Ibraah - Kopo (Official Lyrcs Audio)

  Рет қаралды 67,297

Ibraah

Ibraah

Күн бұрын

Ibraah steps into a new musical dimension with Air Piano, his first-ever Amapiano EP. This project celebrates rhythm, energy, and emotion, bringing the vibrant beats of Amapiano to life with Ibraah’s unmistakable style.
With its infectious grooves and soulful melodies, Air Piano is more than just a collection of songs-it’s an experience. Each track is crafted to make you move, think, and feel, as Ibraah seamlessly blends the essence of Amapiano with his signature storytelling and vocals.
Whether on the dance floor or unwinding at home, Air Piano delivers something special: a fresh, heartfelt, and undeniably uplifting sound. This EP isn’t just about music-it’s about bringing people together through the universal language of rhythm.
Let Air Piano be your escape, vibe, and soundtrack for every moment.
Download and Stream on all Digital Platforms
onerpm.link/AI...
Subscribe for more official content from Ibraah:
/ ibraah
Follow Ibraah
Instagram: / ibraah_tz
Twitter: / ibraah_tz
Facebook: / ibraah255
Listen to Ibraah
/ ibraah
Audiomack: audiomack.com/...
Apple Music : / ibraah
Spotify : open.spotify.c...
Boomplay: www.boomplaymu...
The official KZbin channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
For Bookings & More
Email: Ibraahmanagement3@gmail.com
Call: +255 652 102 829
#Ibraah #AirPiano #KondeMusic

Пікірлер: 235
@NillanLamar
@NillanLamar 2 ай бұрын
Wakwanza mimi apa 😊 likes zangu fan from Burundi 🇧🇮
@Vikiranking
@Vikiranking 2 ай бұрын
Bb
@Ankilosmela-e1r
@Ankilosmela-e1r Ай бұрын
unanijua Mimi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@blesmedia689
@blesmedia689 2 ай бұрын
Otaa Oya weeeee kama nimetoka mirembe nimependa hii kitu sana brother 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 gaki umejipata uko kwenye pick🎉🎉🎉
@HarmoïseKasereka-p4o
@HarmoïseKasereka-p4o 2 ай бұрын
Jamani skwizi ibraah ame kamilika sana kwenye kuandika !tafazali kama una mkubali chinga gonga laik hapa ! Piya dondosha komente handika neno konde gang is m'y familly
@KidBoy-b3m
@KidBoy-b3m 2 ай бұрын
From 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naombeni like zangu tupo tunakesha kwavajili ya Air piano
@ramadansorby-iq9oi
@ramadansorby-iq9oi 2 ай бұрын
Nomaaaa🙌
@SepamaybeMsafii
@SepamaybeMsafii 2 ай бұрын
Love from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤
@Ommywhity7
@Ommywhity7 2 ай бұрын
Weeeeee chingaaa mnyamaaa oya wee oyaaa kama umetoroka mileeeeeeeeeeeeeeeeeeee ududuu mwingiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@NabothiayubuChance
@NabothiayubuChance 2 ай бұрын
Tupe vitu baba ni metoloka milembe ❤❤❤Mr Kabaïsa de chinga
@esthjohn545
@esthjohn545 2 ай бұрын
Kali sana airpiano. Wanangu wa gang gang gang
@dogomuushamas9898
@dogomuushamas9898 2 ай бұрын
Huuu mwaka hakuna wakukufunika mzee wa milembe ww fundi 🔥🔥🔥🔥🔥
@CarlosAmergo
@CarlosAmergo 2 ай бұрын
Kali kaka ibraah ❤❤❤
@Funnyguy-mb1sc
@Funnyguy-mb1sc 2 ай бұрын
Hii ngoma inadeserve more 🔥🔥🔥
@mmsontherexboy3248
@mmsontherexboy3248 2 ай бұрын
Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 félicitation vraiment 🎉🎉🎉🎉🎉
@IranezerezaSmail
@IranezerezaSmail 2 ай бұрын
Oya kama nimetoroka mirembe chingaaa❤❤
@Moses-yj4df
@Moses-yj4df 2 ай бұрын
Kama tumetoloka milembe 😁😁🔥🔥🔥🔥
@BakariKawambe
@BakariKawambe 2 ай бұрын
Bomboclaaaaaaaaaaaa😮
@BUSHASHASWITCH
@BUSHASHASWITCH 2 ай бұрын
Air piano 🎹 kama tumetoloka kwarujati 😂😂😂 oya oyaa ooyaaa nipeni like 2 , coz ibraah ni namba nyingine 🎉
@paulmoshi
@paulmoshi Ай бұрын
Huu mwaka maalum kwa wasani watatu wakiume bongo ila kwa maoni yangu shitaji matusi nahitaji like km ukikubaliana na mimi ni ibraa alikiba na vanilla❤
@RehemaBenedict-v4c
@RehemaBenedict-v4c 2 ай бұрын
Hatariiiii sanaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@funisahtz
@funisahtz 2 ай бұрын
Oya kama nimetoka mirembe😮
@younglee1574
@younglee1574 2 ай бұрын
Aise baba hii ngoma balaa aise IBRA apa umetisha mwana❤❤🫡
@Mrishowalengamina-bx2to
@Mrishowalengamina-bx2to 2 ай бұрын
Jaman nime chelewa kdg naomba lake ata 1k tu jaman 🎉🎉
@NamikupaNdohome
@NamikupaNdohome 2 ай бұрын
Wewe kweli chizi kubabak..Motooooo
@richardmloha1762
@richardmloha1762 2 ай бұрын
Kondegang🔥🔥🔥🔥🔥
@ChenchiKing
@ChenchiKing 2 ай бұрын
Kam Nimetoroka Mirembeeee Gang Gang Chinga Ajawah Kufelishaaa❤🎉🔥🔥🔥🔥✅
@nyota-k5s
@nyota-k5s 2 ай бұрын
Ngoya nikali sana
@AsyaDaruwesh
@AsyaDaruwesh 2 ай бұрын
Ibrahim kweli umetoroka milembe tena watu wakae mbali na wewe tayari ushaua ❤❤❤
@HopeOfficiel-x3o
@HopeOfficiel-x3o 2 ай бұрын
Iyi kali mzee, kama ume toloka walaï 🎉🙌
@AishaVuai
@AishaVuai 2 ай бұрын
Oyaaa Ngoma ni hiiii apa sulute hebu vuta picha upo club na hili song❤️❤️❤️❤️
@RejoaJR
@RejoaJR 2 ай бұрын
Goma kalii🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MasanjaSamweli-b3r
@MasanjaSamweli-b3r 2 ай бұрын
Ibrahim kachangamka sana
@AlexanderMuthwii
@AlexanderMuthwii 2 ай бұрын
Kitaelewekaaa mwakani
@HaruniAdamu-b6g
@HaruniAdamu-b6g 17 күн бұрын
Kama unamkubali chinga .....konga like hapo ......❤
@salumukatani03-u8b
@salumukatani03-u8b 2 ай бұрын
Kopo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Kebaclassic10
@Kebaclassic10 2 ай бұрын
❤❤❤❤ naomba like jmn 👍🙏🙏🙏
@RiderBoy-w6c
@RiderBoy-w6c 2 ай бұрын
Toka congo song zote zimekubalika sana congo drc
@ChamoDhatii-t9d
@ChamoDhatii-t9d 2 ай бұрын
Naoga kijana umemzid boss oyaa oya kama nimetoroka milembee 🎉🎉🎉
@AishaVuai
@AishaVuai 2 ай бұрын
Aaaaaaaaa kzid boc tena hapan unakufuru bana bos ni rais wa Tanzania nzima
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 ай бұрын
Oya gang gang kma 2metoroka mirembe 🔥🔥🏃‍♂️🗣🇶🇦
@MahamudJabil-u2u
@MahamudJabil-u2u 2 ай бұрын
Chingaaaaas🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JucksonJulius
@JucksonJulius 2 ай бұрын
Unyama sana ❤❤🎉
@geniusgangkenya8732
@geniusgangkenya8732 2 ай бұрын
Chiiiiingaaaaaaa⭐💯🔥🔥🔥
@rajabuSaid-hj7fm
@rajabuSaid-hj7fm 2 ай бұрын
Chingaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 🔥🔥💪🙌
@IdealDebijifils
@IdealDebijifils 2 ай бұрын
Iyi ni song nzuri kwa mara ya kwanza ibraah kamuangusha hamo
@LatifaMkwewa
@LatifaMkwewa 2 ай бұрын
✌️✌️oyaaa oyaaa! Bonge la vibe ❤❤❤❤🔥🔥🔥
@JanethJoseph-d7g
@JanethJoseph-d7g 2 ай бұрын
Oyaoyaoyaaaaaa
@garibojamal9872
@garibojamal9872 2 ай бұрын
Noma mane
@dullah153
@dullah153 2 ай бұрын
Ila ibrah mwakaaa umeupigaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
@MichaelErnest-do5yc
@MichaelErnest-do5yc 2 ай бұрын
Oy nyie ibraah ametoroka kweli milembe anayebisha anipe like
@Maswaggadk
@Maswaggadk 2 ай бұрын
Huyu jamaa anajua sana kumbe ndio maana alitoloka milembe😂
@FaustinRubungenga
@FaustinRubungenga 2 ай бұрын
❤❤❤😂😂😂Ndo tunaondoka nayo mm Apa from America 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸👌👌👌walete
@salumukatani03-u8b
@salumukatani03-u8b 2 ай бұрын
Ibraah ni hatar sana Gonga like ✌️👍 kama umelikubali hili goma
@HopeOfficiel-x3o
@HopeOfficiel-x3o 2 ай бұрын
🙌🙌
@AhamedyKibarati
@AhamedyKibarati 2 ай бұрын
Kaliiiiiii chiziiiii
@rajabuSaid-hj7fm
@rajabuSaid-hj7fm 2 ай бұрын
Chingaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 🔥🔥
@Billybrownamy
@Billybrownamy 2 ай бұрын
Nc ni Ibrahim majina
@m___ck799
@m___ck799 2 ай бұрын
My best tune 💣💣
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij 2 ай бұрын
🎉🎉🎉 pamoja Moçambique
@Immashirima-p7c
@Immashirima-p7c Ай бұрын
umetisha Sana mwanangu
@AndrewFikwa
@AndrewFikwa 2 ай бұрын
Naomba like Kwa tem KONDE
@mkadebekadanger6537
@mkadebekadanger6537 2 ай бұрын
Oyaaaaa weeee oyaaaaaaaaa
@IsayaLaison
@IsayaLaison 2 ай бұрын
Ibraaaah❤
@RosecocoRose
@RosecocoRose 2 ай бұрын
Iyoooo intro🔥🔥🔥
@khan44719
@khan44719 2 ай бұрын
Chiziiii🎉🎉😊
@Scotawizzy24
@Scotawizzy24 2 ай бұрын
Tufanye malaya kaliona pochi😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Oyaa Oyaa
@saidiwizsantos4641
@saidiwizsantos4641 2 ай бұрын
Chingaa🔥🔥
@MerudaSanga
@MerudaSanga 2 ай бұрын
watu wamilembe mje mmchukue huyu kiumbe uku mana anatuvuruga akili ad co poa ,mana co kwa kututolea magoma haya daaah🔥🔥🔥🔥🔥
@kalungilucien-rc1dw
@kalungilucien-rc1dw 2 ай бұрын
Wakwanza mimi Apa kutoka Congo Dr
@leykekasereka
@leykekasereka 2 ай бұрын
Oya !Oya
@JamesPhiri-sz5qn
@JamesPhiri-sz5qn 2 ай бұрын
Ibraah ❤❤🎉🎉
@chikoanderson669
@chikoanderson669 2 ай бұрын
Ibra hii Ngoma nikali na nakuombea uagaie hili jambo kama unaeza kata kipande chankwanza hii Ngoma ianze ata 0.24 ikiendelea hii Ngoma itapata views nying hio intro ni ndefu sana twaelewa this intro nikitu uko proud of bt ata ikianza at 0.24 pia Kuna kasignature ka into umekaacha watu hawana subra wape utamu haraka wakisonga into imekuja ndefu alafu itaboo juu unapoteza utamu na utamu uko apo mbele mwengine Hana time yakungoja evyo love from 🇰🇪
@alexandrodieumerci
@alexandrodieumerci 2 ай бұрын
From BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🔥 nipeni like kwenye wimbo huu wangu pendwa
@damasisayoni-ug3un
@damasisayoni-ug3un 2 ай бұрын
Oyyaaaaaaaa
@kwame1706
@kwame1706 2 ай бұрын
hufai chinga EP yko nimeielewa
@BenjaminTitto-l9v
@BenjaminTitto-l9v 2 ай бұрын
Congratulation God protecte
@andrews_kodeson
@andrews_kodeson 2 ай бұрын
🔥💥 goma kali sana.
@Xonicboy0
@Xonicboy0 2 ай бұрын
Oya gang gang 😅😅😅😅 KAMA NIMETOROKA MILEMBEEEE😅😅😅😅
@StevenPeter-h7g
@StevenPeter-h7g 2 ай бұрын
💣 noma
@hamfreyjuliasi7418
@hamfreyjuliasi7418 2 ай бұрын
Noma sana
@JumaJux-26
@JumaJux-26 2 ай бұрын
Oya gang gang
@mussayussf640
@mussayussf640 2 ай бұрын
Fantastic 🔥
@IssaMohamed-u5o
@IssaMohamed-u5o 2 ай бұрын
Ibraah🎉🎉🎉🎉🎉
@edwins5804
@edwins5804 2 ай бұрын
honestly speaking,... izi amapiano Sio mziki wako
@getherymwanginde8838
@getherymwanginde8838 2 ай бұрын
🔥 bro goma kali ila kinoma japo base ipo chini
@SaideSaide-m9v
@SaideSaide-m9v 2 ай бұрын
Unyama mwingi 🎉
@GASTONDesire
@GASTONDesire 2 ай бұрын
kutoka Kenya 🇰🇪 Congo DRC 🇨🇩🇨🇩 🇹🇿kama upo gonga like
@GalimosseJose
@GalimosseJose 8 күн бұрын
Oya we😂🎉
@AkonJacquesAkonkwa
@AkonJacquesAkonkwa 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤safi kwa kopo
@victorkadiriashayo2791
@victorkadiriashayo2791 2 ай бұрын
Spessoooooo
@Elias13083
@Elias13083 2 ай бұрын
Chinga❤
@rashidingole1588
@rashidingole1588 2 ай бұрын
Oyaoyaoyaoya Ni mistari au😂😂😂
@ZawijiMohamedLuwali
@ZawijiMohamedLuwali 2 ай бұрын
Noooma sana🇲🇿
@ZakiaAlRamadani
@ZakiaAlRamadani 2 ай бұрын
Mimi team konde gang toka iraq kama nimetoka molembeee🎉🎉❤🙌🙌🙌
@issaKighanga
@issaKighanga 2 ай бұрын
Big up chizi 👍
@Ankilosmela-e1r
@Ankilosmela-e1r Ай бұрын
nawombeni likes zangu from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🤟🤟🌲🌲
@Kazi255
@Kazi255 2 ай бұрын
Kama nimetoloka milembe like hapa
@PCBOYchibuOfficial
@PCBOYchibuOfficial 2 ай бұрын
Piano🔥❤🌍🙌
@SleepyCat-im6mp
@SleepyCat-im6mp 2 ай бұрын
Nice song ❤
@BekaMsafi-qy5ry
@BekaMsafi-qy5ry 2 ай бұрын
Kijana alie torika milembe mukali uyu albam kalisana iyi 🔥🇹🇿🇹🇿chinga 🔥
@KwaremaTV254
@KwaremaTV254 2 ай бұрын
Kijana amekuja Sana
@BrianKenik-e2n
@BrianKenik-e2n 2 ай бұрын
Love from Kenya