Najua watoto wa KASONGO mko huku piga like tukisonga
@jogayatheboss222421 күн бұрын
Ibraah from konde Gang umetisha sana mwaka huu Team konde weka like hapa tusonge mbele@konde gang @ibraah@harmonizer🔥🔥🔥
@SalthielMecha-iz8ud20 күн бұрын
Huu mwaka kbx umejitadi sana. ❤❤❤enjoy
@Kiboko_ke20 күн бұрын
Gang gang from Kenya 🇰🇪 weka tano ngoma la ukoo limepigwa 🎉
@MasoudMakanya21 күн бұрын
Oya gang gang gang gang gang,,,,, wahuni nipe tano
@FBBOY.120 күн бұрын
Kaza mwanangu❤
@RahimuHabibu21 күн бұрын
Bombo claaaaaaaaa
@mkutiamani20 күн бұрын
Ndomana mtandao wa KZbin sijawah uelewa nyimbo wanazotaka wao ndo wanaweka namba 1
@queen_zashi19 күн бұрын
Nashangaa et kwanini
@dullanapulungany-l4x18 күн бұрын
nikwel ngoma kma hii inakosaje kuwa top three on trending mpka xx
@HashimuKonda21 күн бұрын
Ibraah umetisha chinga mungu akafungulie Njia💯💯
@jaywilliam805921 күн бұрын
mwkahuuuu kk humetamba sana yani mwaka kesho 2025 sijuwi hitakuwa je ila natarajiya makwunwa sana kwako kama hunahikubali hiyo ebu nipe tano hapo like kama zote
@MR_RAMSATZ20 күн бұрын
tunasapoti Hadi mwishoo wap team ibraah like hapaaa
@Mackey_PEntertainment20 күн бұрын
Fans wa KM Worldwide from 254 🇰🇪 mko wapi huku... let's gather here for The King Of New School 🔥 🔥🔥
@mohamedmwabeha21 күн бұрын
Wanangu wa Gang Gang🔥🔥🔥🔥
@FattyDapetty-tj9vr21 күн бұрын
Oyaaaaa kama nmetoka mirembe wanangu wa geng eng❤❤❤❤🎉🎉🎉
@djjagurcrazy21 күн бұрын
Wakwanza from 🇧🇮🇹🇿 gonga like apa
@EdwardElias-z3g20 күн бұрын
Timu konde kutokea mbeya tujuane kwa like🎉
@owenchatanda990311 күн бұрын
kaamaaa nimetorooookaa mireeeembe💯💯💯💯
@goldenskid20 күн бұрын
Kijana anajituma sna isay #Golden skid was here💯🇰🇪🔥
@MapigoTV-tz3 күн бұрын
Ka Giggy Money nakapenda sana ❤ kama na wewe unakapenda nipe like 👍
@WesleyNyangena-o8q20 күн бұрын
Uyu boi ashaàmua, buda nyuma yako mbaya sana usiniangushe
@RashidiRehani-v1l20 күн бұрын
Butamu yamingiiiu🎉🎉🎉🎉
@DiofueliahMwaluswaswa20 күн бұрын
mbona kaka upo fire🔥🔥sana
@IdrissaAli-ql9gd20 күн бұрын
❤❤❤❤❤umeuwa ibra tz
@paschalmiambi34621 күн бұрын
Omg Ibraaaah Ibraaaah🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Konde Boy Gang oyaa wanangu wa Gang...kama tupo Gang🤛🤛🤛🤛🤛🤛
@Raywizzy_msafi18 күн бұрын
Huyu sikuizi amekua mnyama hatari🔥🔥🔥🤝🤝 anyways much love from🇰🇪
@coasterianbwoy454020 күн бұрын
Chiingaa umetisha kakaa🔥
@caroljoshua220220 күн бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Chinga fun🔥🔥🔥🔥moto
@ChescoNIZIGIYIMANA-l5y21 күн бұрын
Bombo craaaaaaa💥💥💥💥💥⚡
@alexandrodieumerci21 күн бұрын
Kwa nini kucheza kwenu hakuzingatii maudhui ya wimbo!!! Watu wengi ila danse hamna kwa nini?????? Kama unasema kuruka si muruke wote tukaone vibe!!! Kwa nini mmeamua kuchezea barabarani ambapo hakuna uhuru wa kutosha!!!! Si mngeenda sehemu zingine tulivu halafu mkacheza kwa vibe Kali kwa kuzingatia maudhui ya wimbo!! Jamani sijapenda kabisa maana wimbo huu ibraah hujautendea haki maana goma kama hili lenye vibe namna hii lakini likachezwa na watu ambao wanafanana na walionyeshewa na mvua daaah,from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮 Niko hapa mmakonde wa kweli
@isayaogmalume21 күн бұрын
Oya wanangu wa gang gang 🎉🎉
@mswalehmswazi250721 күн бұрын
Mzuka mkubwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@HenrishMathew21 күн бұрын
🙌🙌gomaa la ukoo teen age🏹💔shalap
@pmanpjjp17 күн бұрын
Kazi kazi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DonbrightKenny21 күн бұрын
Wangu WA Gang Gang Kama unaamin mungu yupo na wew nope Tano👊👊👊👊👊
@MzeeMadea4 күн бұрын
Gang27🆔 masterlife..... 🔥 Fire nang'oro
@RabanusHosea19 күн бұрын
Goma Kali sanaaaaa😂😂😂😂
@fannyboybabuji216620 күн бұрын
Wanangu wa gang mukowap gonga like yako
@RamadhaniBisimwa6 күн бұрын
Awakuwezi jamani 👑👑👑👑
@asantechota897420 күн бұрын
Bombo craaaaaah ibrah ameamua kuizima singeli ya waleeeeeeeeee kaja na new style
@MEGAHKE-xy7gq14 күн бұрын
❣️❣️❣️❣️❣️kazi nice san zally keep it up
@Muidumbe45020 күн бұрын
❤❤❤ Noma sana Chinga
@Dainaphiri17 күн бұрын
Fan's kond gng from burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tunawakubali sana 🔥🔥🔥
@snogad20 күн бұрын
Chizi limeteka bendera 💯🔥🔥
@CalmboySGB20 күн бұрын
Ibraa we noma endelea kukiwasha tunakukubali
@Jumajey45719 күн бұрын
Chiz glass umetisha umewehuka sana skuiz big up🤛
@RiderBoy-w6c20 күн бұрын
Ibraah ❤
@immathebway21 күн бұрын
Chiziiii time is tym Mr Chingaaa Mwanangu wa gang gang tupate hapa
@fristonactary137115 күн бұрын
Sema Huyu Ibra Msenge Kumamke Walahi Eeh ! Yan Vers Inaingia Ad Kwenye Ubongo Duh! Nimesikiliza Mala 36
@DonMuyuya21 күн бұрын
Funga tuu mwaka❤❤😂😂
@Charlotteiyungu20 күн бұрын
Ngoma kali ya mwaka mpya bila kazi unaweza bro ❤❤❤❤❤❤ kama nimetoka Mirembe Dodoma kwenye uwanja wao ulioko mashariki ya mwaka mpya
@Akilimbilicomedy7720 күн бұрын
Umetisha sana kaka ibraah mungu akupe maisha malefu ❤❤❤🎉🎉🎉
@Is_jooh20 күн бұрын
Mwanangu chinga kweli bendera ipo mahali salama
@MOZ_KILLER25517 күн бұрын
oyaaaaaaaa umepinda kaka 🔥🔥🔥
@hashimuomary456920 күн бұрын
Tunakukubali mwanetu wa gang gang chama la wana lakn izo oyaaaa oyaaa zinakua nying afande
@AllyMchenga20 күн бұрын
Mwamba unaweza mpaka unaboa anii 🔥🔥🔥
@basilymwakasege873920 күн бұрын
Chinga kama chinga ....tano zako nimezipokeaaaaaa.... Congratulations
@Marombosoofficial21 күн бұрын
Noma sana chiziiiiiiiiii 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 2024 fire wich 2025 we the best ❤❤❤❤❤❤❤❤
@CLEO_25421 күн бұрын
Share,,,ibra afike hata 1million subs,,,,huyu kijana ni mwamba🎉🥳
@KatemboJosh20 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ wa Congomani tujuwane apa
@floodboytz20 күн бұрын
Oyaaa kama nmetoroka milembe
@NGOSHA20 күн бұрын
Ibraah hatar sanaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
@JasiriKML20 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ kazi kwanza brother kaza buti uwazidi wote naendelea ku fuatilia kazi zako❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🐘🐘🐘🐘🐘
@JasiriKML20 күн бұрын
Jasiri hekima apa congo
@Sarai54220 күн бұрын
❤❤❤Oyaa wee....wanangu wa gang gang
@chadsolace20 күн бұрын
Kama wo wote comment ya ukoo nikicomment tunalike wote 🎉
@BrendonMandeyah20 күн бұрын
Team Konde from Zimbabwe🔥🔥🔥🔥 #Jeshi
@marafikistation18 күн бұрын
DOGO SAIZI UMEANZA KUFELI HIZI NYIMBO ZA OYA OYA JAWUUU 📄
@jonesdangote50119 күн бұрын
Chizi siku zote🎉
@Razeboy-j7q21 күн бұрын
Mm wa kwanza hapa from Kenya 🎉🎉🎉
@MC_STAR-W19 күн бұрын
Ooooooya wee skuizi unachafua mwanangu wee💪
@FrenkMushi-i7f20 күн бұрын
Oyaaa mbon nyingi Sanaa oyaa oyaa da! Paka inapowaa😂😂😂😂😂😂😂
@timothypengejoshua869220 күн бұрын
Hivi akakajamaa 🎉🎉🎉🎉
@Newsoundsworldwide20 күн бұрын
Ivyooo sound baba ni balaaa #lyzee
@Kizzyboytz21 күн бұрын
Oyaaeee wanang wa gang gang 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@CharlesNdimila20 күн бұрын
Waueeeee konde gang ndo mchongo
@tanzaboy482420 күн бұрын
Nyimbo mbaya sana
@muksinmkahakala860421 күн бұрын
Broo mwaka umeufinya vzr sana
@muzihilipiusdaudi679221 күн бұрын
CHINGA ACHA UHUNI UNATUAMBUKIZAA❤❤
@timothypengejoshua869220 күн бұрын
Kwenye hii video nimeo atari pale kwenye ibrah anatembelea juu pembeni kabisa gorofani Kuna kuteleza jamani 🎉🎉🎉🎉🎉
@MathayoMathayo-c6y20 күн бұрын
Noma sana nakubali hakika we nimona sana
@kingchitah9620 күн бұрын
Jizi kweli🎉🎉🎉oyaaa weeeh
@salimngari629521 күн бұрын
Nakubali gang
@snogad20 күн бұрын
Oyaa weeee....mwamba atakuja kusababisha tetemeko la ardhi 💯🔥🔥