Mwanamke ni kiumbe Dhaifu sana, lakini ni mtu wa ajabu sana kwenye kufanya maamuzi magumu, akiamua kufanya maamuzi magumu anafanya bila kuangalia jamii itamchukuliaje, Huyo ndio mwanamke "MVUMILIVU".
Пікірлер: 74
@farhiyaswthrtgirl51493 жыл бұрын
Maneno ya ibra inaniumiza Sanaa moyoni mwanaume mwgne ata ukimpenda kiasi gani lazima akusaliti na akudarau wcha tu wlh naumia sanaaa
@agnesaloyce53723 жыл бұрын
Yan sjui uwape nn ndo waridhike tena wakikaa kwenye vigenge vyao wanafundishan ujinga tupu
@mulhatkhamis8806 Жыл бұрын
Pole sn my
@simonijacksoni20853 жыл бұрын
Dah shoo kali mno nzuri san
@janethkomba44852 жыл бұрын
daaaa pole sanaaa umenikumbusha mbali Sanaa,wanaume wakiamuwa akuna ataa chakuwakosea🙏
@isharamupenda48183 жыл бұрын
Nakupenda sana kaka yangu.niko drc
@angelinakonde66473 жыл бұрын
Hapo umesema kweli kaka mwanamke akisema imetosha imetosha🇰🇪🇰🇪
@AnethiSaimoni Жыл бұрын
Honger sana ❤❤❤❤
@lydiakaonga21742 жыл бұрын
Hongera kaka kwa kioo Cha jamii may you live long life
@thomasphilimonmolel88553 жыл бұрын
Hongera sana ibra thedon
@joziwefilmmedia2 жыл бұрын
Kazi poa bro kaza tutafika one day yes
@faridapandu7579 Жыл бұрын
Yani kaka huna baya ibra hongera
@jeanettegloria62443 жыл бұрын
Nzuri sana
@edwinezawadi47073 жыл бұрын
Hongera sana Ibra
@estherkariuki26303 жыл бұрын
Inaumiza kweri, mwanaume kweri hawaaniniki, nashukuru ibrathadone kwani napitia haya kwa sasa na umenielimisha namna ya kuihadle sasa hivi, na ubalikiwe watching from saudi arabia but a Kenyan
@OrnellaHabonimana-gr7wp9 ай бұрын
Brother ongera kwa funzo zuri kabisa kitu wanaume hawaelewi wamezaliwa na mwanamke na ewo ndo wanawakuza wakiumwa jicho lamwisho ni mkewe ata kupumuzi la mwisho ni mwanamke maskini inauma wallah
@khadijakitsao54513 жыл бұрын
Wao mzuri sana 🥰🥰
@samwelisikapondah47213 жыл бұрын
Big up Sana brother ibra
@azzamohamed66493 жыл бұрын
Upendo tulio nao wanawake siufananishi mpaka usikie mwanamke amechoka basi jua kachoka kweli