This guy is my neighbor 😂😂😂 na vile wao ukaa romantic together 😂😂😂Leo nmeamini kweli
@chanceobondo38437 сағат бұрын
haha walai, noma noma
@GladyKalekye7 сағат бұрын
Romantic nini 😅tunakuanga tu nikujipaka rangi muone twapendana ,,,ukijua reality utakaa single
@Faustine_KE6 сағат бұрын
Apo pa kuanika matandiko ni ukweli?
@kenyamedia-t2e6 сағат бұрын
unaonaka mattresses ya mkochoo😂😂😂 twambia 😢
@ironlady254theone26 сағат бұрын
So sio scripted 😂
@Jedidahmwende-os7mj7 сағат бұрын
Wa kwanza Leo 😂😢 Aki hakuna mtu uwa analike comments zangu 🥺😢
@elizabethkosgei47313 сағат бұрын
Nimelike bebygirl 😂 Ni follow plz ❤❤❤❤
@elizabethkosgei47313 сағат бұрын
Nimelike bebygirl 😂❤❤❤, Ni follow plz niku follow pia
@Itskafutvofficial7 сағат бұрын
Kanairo dating blander by Mejja should be the best song of the year😂.
@AliceCharo-wz9oz6 сағат бұрын
😂😂😂😂walai huko n balaa tupu unaeza pta man ako clean woman ana cheat au upate woman ako swa man ana cheat
@Itskafutvofficial6 сағат бұрын
@AliceCharo-wz9oz 😆😆
@djmysh6 сағат бұрын
ovacado was just chilling .,,,, then boom😂😂😂
@paulinanduku27486 сағат бұрын
If you call me beb once again you will loose a tooth😂😂😂
@VioletMwakamu-j4w6 сағат бұрын
Kukojoa kwa kitanda😂😂😂haki marriage ni ngumu
@rachaelosiche1214 сағат бұрын
Huyu dem anachoma kama anasusu kwa bed hyo ni Siri yake 4 years amevumilia y useme hivyo kwa camera 😢😢😢😢
@henrybushnell6243 сағат бұрын
Marriage na bedwetting zinaconnect wapi ama ni point unataka kuput across ndo tuseme uko better tan married women becase wewe ni tangatanga?
@PhilomenaMwangi-k3t42 минут бұрын
Bona umeumwa hivo na comment ya wenyewe everyone is free to comment ama imekuguza maybe ww ni team kususu kwa bed😂😂@@henrybushnell624
@fayatess72636 сағат бұрын
I can conclude by saying...never ever aibisha your man in public kwa vitu kama kukojoa ama ugonjwa, plz ...the man will never ever forgive you for that , heri ungenyamaza 😢, nimeabika but sio mimi nakojoa , lkn mkirufiana plz buy tu pampers za adults na hutaanika mattress tena 😢
@Roxana-q5j4 сағат бұрын
Ama weakness yake ooh small sized,0me minute man, toothpick vitu kama hizo
@teresianjeri27225 сағат бұрын
We have shops that sell extra large mackintosh.....the lady could just buy one and cover her husband...acha aende kwa titus ...a married man...that y we don't involve relatives kwa maisha personal...acha tupatanange kwa matanga
@user-ed8ig5lf3c6 сағат бұрын
She welcomes me with good romance when I'm back in the house...20 minutes later anakojoa kwa kitanda😢😂😂
@jo111k-yr6dt5 сағат бұрын
😅😅😅 the same mouth
@HubasaFamily2545 сағат бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@georgejuma92214 сағат бұрын
😅😅😅😅😅
@elizabethkosgei47313 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@thegospelmessage50392 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@beckykenyaable6 сағат бұрын
How come every family kwa kina dame ndio wako broke na Chali ndio wa kusaidia😂😂😂😂
@mulewajoel655234 минут бұрын
Luyhas are synonymous with pettiness 😂😂😂😂😂
@MwanamisiBakari-xh3jo7 сағат бұрын
Another reason to remain single until further
@ezinahmoraa19145 сағат бұрын
Wah kwa nini Mungu amenisahau na kunipea mwanaume aki. Akojoe bora asinicheat😅
@RonaldWekesa-qz3gn3 сағат бұрын
Your prayers has been answered 😅😅
@Purity_Akinyi.40 минут бұрын
😂😂😂😂😂@@RonaldWekesa-qz3gn
@festuslagat9446 минут бұрын
Nimewabariki 😂
@Mama-A6 сағат бұрын
Siku tatu she cant hold it na mimi hapa 2 years still counting
@mansoordelfuenzo6 сағат бұрын
Not everyone has your strength and discipline @Mama-A😅 congratulations 🎊 😅😅😅
@AnneNyambura-s8j5 сағат бұрын
Me 3 yrs and still counting gulf si ya mchezo 😅😅
@ancyliz4 сағат бұрын
Imagine…. Ajaribu wakenya wako diaspora wako na dry spell ya 5 yrs and still counting😂😂😂
@ToxicAfricanKing6 сағат бұрын
Don't Rrr-raize my Dember! Ntakupika parre 😂😂
@shadrackamani76755 сағат бұрын
😂😂😂😂,omwami. 🤣🤣🤣
@HubasaFamily2545 сағат бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@rensonmure52277 сағат бұрын
"Do not enter into marriage lightly" means that you should not make the decision to get married without careful consideration and a deep commitment to your partner, as marriage is a significant and lifelong commitment that should not be taken casually.
@ellyabwao51073 сағат бұрын
Wololo....na vile naplan nioe kumbe simchezo🙆🤔
@Mokesh-k3e3 сағат бұрын
😂😂😂😂
@ElgahAdongo-r4u7 сағат бұрын
Si poa kuexpose mtu weakness Yake so bad😢😢
@abrahammasinde52826 сағат бұрын
Kabisa
@ELIJAHGETANDA6 сағат бұрын
Exactly,hiyo sio kupenda kwake
@fridahndungenzaumi65916 сағат бұрын
True . been that it's a medical condition
@cynthiatom3 сағат бұрын
True, not good at all
@wairimuwaihwa247513 минут бұрын
This man is heart..... ..but relatives...... please keep them away..
@prettybrenda6 сағат бұрын
Leo ata watu 10 wapitie kwangu pia mimi nitapitia tugrow pamoja
@josephmaina-vm1lc6 сағат бұрын
Sawa pretty nimefanya ivo 👋😘🫂
@fayatess72636 сағат бұрын
The way ametamka "Monica"😂😂😂this man
@nancydan24257 сағат бұрын
Eti mwanaume ni mkojoi 🤣🤣🤣🤣🤣
@BowensVince7 сағат бұрын
How do you know ama Dem anasema tu juu amepatikana
@ericmwaki10566 сағат бұрын
A cheating woman will give all manner of excuses to make you look bad.
@johnodegindege60565 сағат бұрын
Those are silly talks of women when they are caught cheating.
Marriage is really a scam manze....At this rate I surrender 😂😂😂😂
@stevenmuigai55927 сағат бұрын
Ati kazi yake ni kuwatch akili kids na Hana akili 😂
@edithwalusaka59336 сағат бұрын
😂😂
@Handloid5 сағат бұрын
Mwenye alileta hii jina beb sasa i think it's enough 😅😅😅
@Hadijah-ro9lo10 минут бұрын
Tena unaita Cousin beb,, relative ya Mme. Halafu Ni mtoto mdogo....😢
@MinahMjeni6 сағат бұрын
Kumbe mko na vikojozi na hamsemi😂😂😂huyu lzima atakula makofi
@maulineillonda13833 сағат бұрын
Ndoa ni ngumu owada
@chimwanifaith32477 сағат бұрын
If you call me beb once again, you will loose a tooth 😂😂😂 yaani hamutaki kutulia mnunuliwe nguo ya Christmas 🎄 😉 😜
@alexkabeho56095 сағат бұрын
Hapo mwanaume ukiingiza tena kukojoa, hawezi kukusamee tena, men can can forgive to cheat but aibu na dharau no no
@marylinebarasa17644 сағат бұрын
Dem hakufanya poa,
@paulineomwamba7 сағат бұрын
Mtu mkubwa kukojoa ni abnormal, sio kupenda kwake but cheating zii
@MagdaleneMukanda3 сағат бұрын
Huyu mwanamke asirudi hapa akilia akiomba msamaha heri venye ulikuwa unaanika kimya kimya sasa venye umetangazia ulimwengu unafikiria utaweza kustahimili hata ukisamehewa.
@Zuuh4286Сағат бұрын
Mwisho wa mwaka tunafunga bila mbuzi😂😂😂😂😂😂😂
@janewanjiku-c3c5 сағат бұрын
Nimekwama hapo kwa mimi nayeye ni mwili moja😂😂😂wacha ningonje the end nione mili ikiachana🧎♀️🧎♀️🧎♀️
@phanicemochama65745 сағат бұрын
Sasa hawa ata kwa hao wanakaa aje surely na hizi kerere aky
@HubasaFamily2544 сағат бұрын
Wacha nicheke in a manner that pleases Mungu 🤣🤣🤣
@blackmediawiki19886 сағат бұрын
Eti heavy strokes ni nini😂😂
@mansoursaid83 сағат бұрын
Anakojoa mkubwa anasingiziwa mtoto jamani 🤣🤣🤣🤣
@akinyiokeyo46182 сағат бұрын
Anawatch akili kids😂😂😂😂is she a teacher?
@fridahmwanzia99215 сағат бұрын
Si we unasusuugu... Siunakojoaga... 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jumaramadhan93685 сағат бұрын
Me hua naambia watu kila siku hili shimo kulijaza ni ngumu sana kama babu yako mwenyewe alishindwa kujaza itakua wewe na mkia wako mrefu😂😂😂
@shady92525 сағат бұрын
Hawa wamefanya ni reduce volume,tuko wangapi😂😂
@phanicemulongo70986 сағат бұрын
Ooh my God ati Akili kids shame on you, cheater is cheater bebu huna time na mimi
@Lizz-b9s4 сағат бұрын
😅😅cpendi mtu tukikosana ananitoanisha😅😅😅😅(kususu)
@TeresiaWanjiku-tk2py6 сағат бұрын
Apo pa kukojoa kwa kitanda kwanza😂😂
@trey_e3 сағат бұрын
Ogopa relationship 😂😂😂😂
@thebatcaveentertainment49953 сағат бұрын
Hapa nje vinembe zinatumiwa kusaka job😂
@SailezKingBee7 сағат бұрын
Sawa basi 😂 wenye Tuko single Tunaenjoy bila tujuwane hapa 👋 piga like tukisonga 👋🙏😅
@omanoman20444 сағат бұрын
Et sii unakojoa duuh wallah mtihan san
@mollywambui53602 сағат бұрын
Men need respect na hapa sioni kama iko... Hata vile huyu madam anaongea... She's there for material support sio mapenzi.
@crazykids57797 сағат бұрын
Karibuni leo mimi dio nakaribishana,mtu wa kwaza kupata ukimwi alitoa wapi?
@millicentmukoya1292Сағат бұрын
watu huishi aje pamoja kwa the same house before wapatane na stevo juu before and after character ni different😅😅😅
@gabrielowenga6483 сағат бұрын
"...unaka kufanya worse " BMS
@bensonwacira12877 сағат бұрын
This is the reason I have two baby mamas ata watatu naona akijoin very soon 🤣 Funny thing watoi hujuana but mama zao hajuani 😂
@esthermuyoka6 сағат бұрын
You're a hero😂
@Martha-nduta6 сағат бұрын
Lemme tag your wife ajue hio kitu ikutoke
@josephmaina-vm1lc6 сағат бұрын
Wewe Ni kadinya kweli😂😂
@millicentokwaro6 сағат бұрын
I see you are proud 👏 😅 of it
@virginiawaeni26626 сағат бұрын
Mimi ni moja wa hao baby mama but maina sii wako😅
@rosalineruguru281611 минут бұрын
A shameless tick saying 'am going nowhere' 😮😮
@millycate7 сағат бұрын
Mwanaume ni kikojozi 😂😂😂😂
@ericmwaki10566 сағат бұрын
Let her go to Titus ambaye sio kikojozi.
@shadrackamani76755 сағат бұрын
😂😂😂. 🤔🤔
@nabilmswahili19623 сағат бұрын
Akili kids and kukojoa kwa kitanda joined
@WilliamNgariba6 сағат бұрын
Nataka hizi codes za stivooo please please please 😅😅😅😅
@bensongerald5636Сағат бұрын
Titus una juaje kama pia ana kojoa na ni quicky tu mna fanta😂😂😂
@PatriciaMuingi7 сағат бұрын
Kwa call register,number 3.maajabu.
@JacklineWasya-m2g6 сағат бұрын
Waaah bado mnasema marriage is working for some of people 😅😅
@jimwafula47334 сағат бұрын
KIKURAMBE wewe because hio kiherehere ya kusaidia in-laws tulisha KATAA! Hapo hakuna huruma😂😂😂😂😂
@user-ed8ig5lf3c6 сағат бұрын
Na Steve ulikua umewamark kwele😂😂😂😂
@syliviahkerubo4 сағат бұрын
Ghai stivo ladha bwana umechoma😅😅😅
@pinchesmkulima3239Сағат бұрын
Dem wa Facebook Nini😂😂😂
@gracekeya29565 сағат бұрын
Eiiiish kama ni hivi acha niendelee kuwa singol😂😂😂
@GodfreyBarasa-tx8zg39 минут бұрын
Huyu ni kama dada ya manzi wa Facebook 😂😂😂. Sauti na mwili hakuna tofauti 😅😅😅
@edithaeugeni96953 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂Hii nayo nikali boy kukojowa kwa kitanda 🙌
@salimkhadija65932 сағат бұрын
Nothing new here,hiyo ni condition na huwa inatibiwa na sio yeye wa kwanza...hata kuna dem kwa hii channel alikuwa na hiyo shida...mimi sioni aibu hataaa...boychild akanyage kubwa kubwa awachane na hii nongwe
@edithaeugeni96952 сағат бұрын
@salimkhadija6593 😂😂😂😂Dawa nikuamshwa usiku mara 4 kla baada ya masaa2 akakojowe hadi azoee
@collinsochieng48503 сағат бұрын
The previous loyaty test these guys past over the screen and here they are sanitized 😂😂😂😂😂
@Mums-d7k4 сағат бұрын
Unasaidia aje in-laws. It's not your responsibility. Halafu watu wenu pia wakae kwao. Mimi hata ndugu yangu kwangu hawezi kuja. Akae kwao.
@jairuskipchumba80197 сағат бұрын
😂😂😂etii Beibs unanitusi my foot😂mkojozi amekataa hii story bana.
@jamaatuu7 сағат бұрын
ATA Avocado 🥑 was not spared 😂😂😂
@User679022 сағат бұрын
😂😂😂
@User679022 сағат бұрын
😂😂😂
@Spurs97-spurs3 сағат бұрын
Kukojoa kwa kitanda na kucheat inaingiliana wapi😂😂
@SlythesleekСағат бұрын
Upcoming youtuber guys,si tupitiane pls guys
@jimwafula47334 сағат бұрын
Haki mbona mumerezz Temba ya omwami? 😂😂😂 Una hadi akakumbuka AVOCADO 🥑! Ukiona mluhya akiongeleya avocado hiyo umemuumiza roho kweli 😂😂😂
@vall46659 минут бұрын
Ati unasusungu😂😂😂😂🤣🤭😅😅
@fayatess72636 сағат бұрын
23:37 akili kids 😂😂😂
@HappyChameleon-xm7gs5 сағат бұрын
Introduction imenimalza before ni watch the whole video 😂😂😂😂😂😂
@josephbongo82725 сағат бұрын
Three days you can't be faithful to your partner
@murungaeddy16176 сағат бұрын
ati walienda kujuana zaidi
@Annmueni143 сағат бұрын
Huyu hajijui aty Dennis
@bakariomari24omar212 сағат бұрын
Bros Kwann munashuglikia familia ya mke .bros invest for your futer life binaadamu hawana shukurani.ivearn good money bt sikumbuki nilini nilisend money to father or mother inlaw
@victormaina93433 сағат бұрын
Kanairo kugongewa ni constant!!
@shellyrehema69817 сағат бұрын
Alikuwa anatafutiwa job wakaenda kujuana zaidi 😅😅😅
@LilianCute-43 минут бұрын
Mapenzi tuliajia wanzungu
@fridahmwanzia99215 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 we listen but we don't judge
@bridgitsimon74474 сағат бұрын
Kususu😅😅😅😅😅😅😅😅 wooii
@simplesimon41854 сағат бұрын
Avocado tukule😂😂😂
@bensonwacira12877 сағат бұрын
Lakini luhya cousins hugongeana sana aiii 😂
@Gatwiri2137 сағат бұрын
Seems shemeji sio mashemeji tena
@maulineillonda13833 сағат бұрын
Mnasema huku nje hamtaki single mothers na mnabeba responsibilities za family mzima ,huna mtoi campus bt unalipa inlaw weee
@aomealaome4933Сағат бұрын
Kwani hiyo 4yrs yote hukua unajua huwa ankojoa kwa kitanda wewe kwenda hukoo ..
@barnesmalimbe92327 сағат бұрын
Sasa kukojoa kwa mattress na kucheat na cousin yake inaingilia wapii????Madam jipangee eti sasa nani atasaidia mtoto
@abiudwamalwa81805 сағат бұрын
Siku tatu na akienda mwezi
@MagdaleneMukanda4 сағат бұрын
Wacha siku tatu mwingine ako lakini hiyo kitu inakaa yajirani akikutana na hii siatakufa. Mwanamke pliz Kuingia Kwa ndoa tarajia chochote juu siku za uchumba sio zile utaface the real truth of marriage.
@abiudwamalwa81804 сағат бұрын
@MagdaleneMukanda 100%
@akinyiokeyo46182 сағат бұрын
Paint strokes😂😂😂😂
@salimkhadija65933 сағат бұрын
Kukojoa kwa kitanda sio kitu cha kuambia watu wewe bwege,kwani yeye ndio wa kwanza?ma older siz alikojoa mpka kwa ndoa...hiyo ni condition na huwa inatibiwa inaisha so mimi sioni aibu yoyote hapa....ka kauke na huko
@davidochieng32785 сағат бұрын
Apo kwa "Tukule kwa Kitheri'' :) :)
@phanicemulongo70985 сағат бұрын
Enda kwa Tutas mwenye hakochoi
@davidkariuki79516 сағат бұрын
Waah 😲😲 both were waiting to expose one another, when you can't persaviour your partiner's weakness, love 💕 has gone.
@Data_Analyst095 сағат бұрын
kukojoa kwa kitanda sio kupenda kwake. You don't insult someone who is there for you that way! Too bad! May you find PEACE!