IJUE NYOTA YAKO( NYOTA YA NDOO)

  Рет қаралды 13,922

ABALQAASIM ONLINE TV

ABALQAASIM ONLINE TV

Күн бұрын

Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 50
@laylasaid8406
@laylasaid8406 2 жыл бұрын
Waalaykum msalam warahmatullah wabarakatuh shukurani shehe 🙏kwa ufafanuzi 💫 na Elimu yako Allah Akuzidishie elimu💫
@welldonedasilva9632
@welldonedasilva9632 Жыл бұрын
Napenda funzo Lalo ila kwA sisi wa kristu tuna fukiza Pete kunuia Kwa lugagani
@johnefrem
@johnefrem 3 ай бұрын
Tunakuelewa sana babangu
@jeffkibonge8193
@jeffkibonge8193 2 жыл бұрын
Asante sana, umeongea jambo ambayo inanitokea sana, kuwaza sana ku usu dunia, tabia,... Umenena
@jeffkibonge8193
@jeffkibonge8193 2 жыл бұрын
Kk, mm niota watu wawili wakiniombea kisha waka enda kushika maji, yale maji yaka chemka, baada ya dakika maji mengine ikaja na uchafu lakini uyo mtaliniombea aki shika maji iyo ninakuwa mazuri. Tulianza ku kimbia lakini juu yetu palikuwa na mwangaza kubwa tena tulikuwa wenge lakini watumishi wale walikuwa na niangalia mm kuliko wengine
@jeffkibonge8193
@jeffkibonge8193 2 жыл бұрын
Kk, mm niota watu wawili wakiniombea kisha waka enda kushika maji, yale maji yaka chemka, baada ya dakika maji mengine ikaja na uchafu lakini uyo mtaliniombea aki shika maji iyo ninakuwa mazuri. Tulianza ku kimbia lakini juu yetu palikuwa na mwangaza kubwa tena tulikuwa wenge lakini watumishi wale walikuwa na niangalia mm kuliko wengine
@KambarageZakaria-gx7fk
@KambarageZakaria-gx7fk 8 ай бұрын
Habari Je mtu mwenye nyota ya samaki anafaa kuoa mwenye nyota gani
@alyehemed4477
@alyehemed4477 Ай бұрын
Asalamun alaykum, sheikh je ikiwa huna mafusho ya miatu sail unaweza kutumia udi?
@thethreestrawberries3032
@thethreestrawberries3032 Жыл бұрын
Jamani hapa kwenye utovu wa nidhamu dah Mm kwangu sijaona ila ni mkaidi sana wakati mwengine 😂 ila hii nyota kaichambuwa
@zainabmtima4730
@zainabmtima4730 8 ай бұрын
Anaweza kufanya bihashara gan? Asante kwa somo
@ahmadabdallah6641
@ahmadabdallah6641 2 жыл бұрын
Ukubwa wa nyota yaani nyota yenye nguvu zaidi kuliko zote
@thethreestrawberries3032
@thethreestrawberries3032 Жыл бұрын
Kila nyota ina nguvu
@UmmmMaryamabdallahAliy
@UmmmMaryamabdallahAliy 5 ай бұрын
Nyota ya menzani NI nyota ya pesa nyota ya Simba NI nyota ya kitajiri na nyota ya mshare ni nyota ya mapato
@khamissmohd
@khamissmohd 8 ай бұрын
Tunakuelewa shk
@mahmoudmpitabavuma3158
@mahmoudmpitabavuma3158 Жыл бұрын
Naam Sheikh,endeleeni.
@sadatisabihi3818
@sadatisabihi3818 2 жыл бұрын
I see my self wallah
@thethreestrawberries3032
@thethreestrawberries3032 Жыл бұрын
Hahahahha wallhy 😂nimecheka sasa hapo kwenye kutowa siri Mm Kiu kweli sipendi kusema la mtu ila Mm langu mwenyewe napenda sana kujiongelea ata hii tabia siipendi kweli.
@mwanakomboomari1145
@mwanakomboomari1145 7 ай бұрын
11 mwezi uo nyota yangu niipi
@bamuhigafidel4330
@bamuhigafidel4330 Жыл бұрын
Nakuelewa
@FatamOmary
@FatamOmary 9 ай бұрын
Tumekuelewa
@salimaalharthy6473
@salimaalharthy6473 Жыл бұрын
Sehem ya kufukiza
@fabianpeter6629
@fabianpeter6629 2 жыл бұрын
Nyota yenye nguvu zaidi kati ya nyota ya jina au yankuzaliwa
@kuruthumcharles626
@kuruthumcharles626 2 жыл бұрын
Nami mwenye jina linaazia k inanihusu
@furahajacqueline1339
@furahajacqueline1339 Жыл бұрын
Wawa achiye nyota ya mashuke
@DidahNunusabry
@DidahNunusabry 5 ай бұрын
Habari mm naitwa hadija na sijui helufi yang kama ni k au h au A nime zariwa mwenzi 12 taree 16
@DidahNunusabry
@DidahNunusabry 5 ай бұрын
Nyota yang siijui nakuomba sheeh unisaidie
@MwanvitaBwaaa
@MwanvitaBwaaa 5 ай бұрын
Kama hujui kusoma
@vitukovyatiktok3103
@vitukovyatiktok3103 2 жыл бұрын
Asalam aleykum ustadh manukato ya watu wa ndoo ni yapi?
@thethreestrawberries3032
@thethreestrawberries3032 Жыл бұрын
Mkademia
@NaomiYusufu-d2t
@NaomiYusufu-d2t 6 ай бұрын
Tunakuelewa
@nkeshimanamohamed8099
@nkeshimanamohamed8099 2 жыл бұрын
Ndufunze iyondua
@margaretwanjohi7367
@margaretwanjohi7367 10 ай бұрын
Yes
@shanellportia176
@shanellportia176 2 жыл бұрын
Salaam aleykum sheikh Nyota Yangu ni ipi 11/l
@vitukovyatiktok3103
@vitukovyatiktok3103 Жыл бұрын
Mbuzi
@yunisiselemani3239
@yunisiselemani3239 2 жыл бұрын
Mafusho hayo nayapata wap
@khaijakadija2082
@khaijakadija2082 Жыл бұрын
Jamani huyu ni mimi tu sina sili jamani 😢😢
@yunisiselemani3239
@yunisiselemani3239 2 жыл бұрын
Ombao hatujui dua hiyo
@pendowambali8612
@pendowambali8612 2 жыл бұрын
Mi sielewi lugha ya kiarab ktk dua ila naelewa hayo mafundisho unayoyatoa.
@anuarabdul9801
@anuarabdul9801 2 жыл бұрын
Walaykum ssalam
@tullysanga453
@tullysanga453 Жыл бұрын
Maelezo mengi mno bando ni shida shehe nenda kwenye mada
@atugonzalugemalila5142
@atugonzalugemalila5142 2 жыл бұрын
Umezungumzia kazi tuu biashara vp?
@thethreestrawberries3032
@thethreestrawberries3032 Жыл бұрын
Computer, ufandizi, umeme
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 2 жыл бұрын
Tufate nini sasa jina au mwezi ulio zaliwa mbona mna tuchanganya
@fatmaswalehsaid8850
@fatmaswalehsaid8850 2 жыл бұрын
Assalmu alykm sheikh ana maanisha ikiwa hujui tarehe na mwezi wako wa kuzaliwa tumia jina lako
@ZainZain-ki5lg
@ZainZain-ki5lg 2 жыл бұрын
shukran
@ahmadabdallah6641
@ahmadabdallah6641 2 жыл бұрын
Ni ipi Sheikh
@hafsazaitun8980
@hafsazaitun8980 Жыл бұрын
A.aleikum tumekuelewa
@subirampugusi4948
@subirampugusi4948 2 жыл бұрын
Tunakuelewa
@hafsazaitun8980
@hafsazaitun8980 Жыл бұрын
Sheikh watuhurumia buddle lakini story imezidi turaisishie
@pendowambali8612
@pendowambali8612 2 жыл бұрын
Nakuelewa
IJUE NYOTA YAKO (SAMAKI)
52:56
ABALQAASIM ONLINE TV
Рет қаралды 11 М.
IJUE NYOTA YAKO (NYOTA YA PUNDA)
1:05:21
ABALQAASIM ONLINE TV
Рет қаралды 22 М.
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 28 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 17 МЛН
PanAfriCon AI 2024 Conference/ Day 2/ Session 1-Natural Language Processing
1:56:09
Ethiopian Artificial Intelligence Institute
Рет қаралды 308
IJUE NYOTA YAKO (NYOTA YA MASHUKE)
1:17:56
ABALQAASIM ONLINE TV
Рет қаралды 15 М.
IFAHAMU NYOTA YA MIZANI NA MAAJABU YAKE KWENYE MAHUSIANO
7:24
AFYA YAKO
Рет қаралды 2,3 М.
IJUE NYOTA YAKO (NYOTA YA NG'E)
57:55
ABALQAASIM ONLINE TV
Рет қаралды 12 М.
PAZIA LA KUJIKINGA NA MISUKOSUKO YA MAISHA - SHEIKH WALID ALHAD
37:29
ZAINAB ONLINE TV
Рет қаралды 80 М.
🔴#live:IJUE NAFASI YAKO NDANI YA MAVAZI YAKO ,DR.SHEIKH ABALQAASIM
2:06:59
Surah Mulk - سورة الملك Recitation For Inner Peace & Restfulness | NOOR
3:53:10
IJUE NYOTA YAKO( NYOTA YA KAA)
1:04:03
ABALQAASIM ONLINE TV
Рет қаралды 8 М.
IJUE NYOTA YAKO (NYOTA YA MIZAN)
1:20:05
ABALQAASIM ONLINE TV
Рет қаралды 11 М.
MAMBO YANAYOTUSHUGHULISHA DUNIA YA LEO NI UFUKARA //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:31:15