MKATE LAINI WA MAZIWA 🍞 SOFT MILK BREAK (2021)

  Рет қаралды 183,356

Ika Malle

Ika Malle

Күн бұрын

Пікірлер: 145
@felistarmaranya6059
@felistarmaranya6059 3 жыл бұрын
Hi Ika, thank you for the recipe, I tried today and was perfect. Sasa sinunui mkate Tena. Be blessed
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Mashallah...hii nitajaribu jamani uko soft😋😋😋
@mlionea
@mlionea 3 жыл бұрын
Kwa rangi tumia pumpkin powder natural and healthy
@handwatchmaro4124
@handwatchmaro4124 3 жыл бұрын
Kitafunwa changu cha kesho😋
@fabiolahyera6965
@fabiolahyera6965 9 ай бұрын
Nmefanikiwa kupika hivo.. ahsante sana
@rosemarymoris8569
@rosemarymoris8569 Жыл бұрын
Blue band kwa mkate au keki tunaweza kutumia
@amrahschannel5599
@amrahschannel5599 3 жыл бұрын
Umekaa vzri...very soft MashaAllah...
@shinayzashiraaz4588
@shinayzashiraaz4588 3 жыл бұрын
Easy recipe 😋to follow and amazing taste after it 😋👌😉
@azizazzzz8043
@azizazzzz8043 3 жыл бұрын
Mashallh mashallh nitaijaribu inshallah 😍😍😍
@joyceochieng2170
@joyceochieng2170 3 жыл бұрын
Very very good, nitaijaribu recipe hii.
@godfreywalala8652
@godfreywalala8652 3 жыл бұрын
I tried it and it was the best I have ever tried, very perfect, mate halisi. Nimesema asante
@sarahbukachi6484
@sarahbukachi6484 3 жыл бұрын
Napenda upishi wako, umenifunza sana
@ranking1501
@ranking1501 3 жыл бұрын
ww good job sis naipenda kazi yako sana sana wowowowo
@HadijaSheban
@HadijaSheban 3 жыл бұрын
MashaaAllah nataka huu mkate na nyama kavu mpenzi 😋
@Nashakirozo4881
@Nashakirozo4881 3 жыл бұрын
Mashallha ntajivunia nikipika kama uwo
@zubedaally4458
@zubedaally4458 3 жыл бұрын
Ma Shaa Allah Tabarakallah 💕 Shukran Sister
@mwajabumsuya1702
@mwajabumsuya1702 3 жыл бұрын
Nipenda asante nimejifuza kitu Mungu akuweke
@aminamohamed9485
@aminamohamed9485 2 жыл бұрын
Niimependa hayo mapishi hongera
@megoj5179
@megoj5179 3 жыл бұрын
Familia yako wamebarikiwa to have you! Mkate better than wa kiwandani 😋
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
😂 Asante
@ayshamwijaka219
@ayshamwijaka219 11 ай бұрын
Moto ni wa juu na chini...
@ikamalle
@ikamalle 11 ай бұрын
Mimi natumia wa juu na chini
@ayshamwijaka219
@ayshamwijaka219 11 ай бұрын
Thanks dear....na cake jee bado natumia juu na chini au ni vipi
@leilanath4807
@leilanath4807 3 жыл бұрын
Thanks dear. I will try your recipe.
@hidayahaji2975
@hidayahaji2975 3 жыл бұрын
Wooooooow mzuri sana Ika Male wewe unatisha
@megoj5179
@megoj5179 3 жыл бұрын
Umeona eeh!kweli ametisha
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق 3 жыл бұрын
Masha Allah nimepika Leo ucku uu wameipenda sana😋😋😋😋😋
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
Karibu
@preciousdoreen9225
@preciousdoreen9225 3 жыл бұрын
Umetumia unga kias gani nusu kilo au robo kilo??
@hamisasolly6242
@hamisasolly6242 3 жыл бұрын
Mashaallah uko good dyadyaa nimependa mapishi yako my
@florakidana463
@florakidana463 3 жыл бұрын
Asante nimependa sanaa nitajaribu nami my
@isakamangola1617
@isakamangola1617 3 жыл бұрын
Sinunui tena mkate ...asante
@veronicamallya4527
@veronicamallya4527 3 жыл бұрын
Asante kwa ujuzi my
@goldmannglobal
@goldmannglobal 3 жыл бұрын
Madam, wengine wetu tuko na utata kiswahili,, naomba utwekee translation ya viuongo apo kwa description.
@fatumajuma9388
@fatumajuma9388 Жыл бұрын
Masha Allah ❤❤😊
@aminamollel5725
@aminamollel5725 3 жыл бұрын
Safiiiiiii nimeupenda mkate
@kadeejakadeeja743
@kadeejakadeeja743 3 жыл бұрын
mungu.akubariki
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
🙏 Amen.... Mungua Akubariki na wewe mpendwa
@fatmaal-ismaili5514
@fatmaal-ismaili5514 3 жыл бұрын
Wawooo mashallah ♥
@MJ-zf6yv
@MJ-zf6yv 3 жыл бұрын
Recept nzur ntajarbu, asante 🙏
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
Karibu
@halimamfinanga8461
@halimamfinanga8461 3 жыл бұрын
Mkate mzur Sana unga hapo umetumia km kias gan
@dydahskitchen6907
@dydahskitchen6907 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah soft
@SalmaNamangongos
@SalmaNamangongos 5 ай бұрын
Ahsante kwa kutokuwa mchoyo ila Sasa unga hapo ni kiasi gani
@najlaskitchen1572
@najlaskitchen1572 3 жыл бұрын
Ma sha Allah, nzuri Sana dear,nitaijaribu in sha Allah 👌
@mwanamkasimohamed2415
@mwanamkasimohamed2415 3 жыл бұрын
MashaAllah nimeupenda
@mariamsaidi335
@mariamsaidi335 3 жыл бұрын
Kama huna oven
@janethkomba4485
@janethkomba4485 2 жыл бұрын
Asante kwasomo
@angelmsodoki1419
@angelmsodoki1419 3 жыл бұрын
Nimependa sana
@aliceadhizig1
@aliceadhizig1 3 жыл бұрын
Siagi nnini jameni😀
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
Butter
@monicalaizer7596
@monicalaizer7596 11 ай бұрын
Asante❤
@halimaally2918
@halimaally2918 3 жыл бұрын
Hujaonekana kitambo ika male mi nakupendaga
@gabinessjeniffer653
@gabinessjeniffer653 3 жыл бұрын
Ahsante
@florencenjihia6759
@florencenjihia6759 3 жыл бұрын
Can you use this recipe to make dinner rolls
@mariakibona172
@mariakibona172 Жыл бұрын
Nimejaribu nimtambsana
@ezradaniel3779
@ezradaniel3779 3 жыл бұрын
amira ni aina gani unatumia
@marthamuthoni8348
@marthamuthoni8348 2 жыл бұрын
Naweza pika huo mkate bila oven?
@catherinendotimbole7587
@catherinendotimbole7587 2 жыл бұрын
Nice
@GladnessPeter-h3s
@GladnessPeter-h3s Жыл бұрын
I like it❤
@gres1182
@gres1182 3 жыл бұрын
Nmejua kupika ntajaribu
@sabrinerfrancis1927
@sabrinerfrancis1927 3 жыл бұрын
So nice isee
@fatmahamad7322
@fatmahamad7322 3 жыл бұрын
Masha Allah mzur
@shariffajamaldin3582
@shariffajamaldin3582 3 жыл бұрын
Mzuri sana mashaAllah
@divahcruz
@divahcruz 3 жыл бұрын
Nzuri sana🥰
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
Asante
@coronanjiku5162
@coronanjiku5162 3 жыл бұрын
Kama huna oven
@dorisgerald441
@dorisgerald441 3 жыл бұрын
Hello Ika,unga umeweka kiasi gani?
@salmandege3961
@salmandege3961 3 жыл бұрын
Santiii
@Georges.Kitchen
@Georges.Kitchen 3 жыл бұрын
Nzuri sana ❣️ nakuja na Nutella apo 😂😂😂😂😂
@hellensaiguran219
@hellensaiguran219 3 жыл бұрын
Ni nzuri nzuri ajabu.Mungu akubariki kwa somo
@amonlusana8143
@amonlusana8143 Жыл бұрын
Hauwez ukapkia kweny jiko la mkaa
@nihfadhimohamed6414
@nihfadhimohamed6414 3 жыл бұрын
Nawez kutumia sufuria la kawaid na kuoka Kwa mkaa
@sumeyahassan6931
@sumeyahassan6931 3 жыл бұрын
Masha Allah
@eunicengandu9705
@eunicengandu9705 3 жыл бұрын
imeiva kweli apo kati na masaa ya kupika si ni mengi sana naeza pika brreakfast watu wakule kweli mum
@janiffernjeri2657
@janiffernjeri2657 3 жыл бұрын
Wow wow like it
@RidhaaHamisi
@RidhaaHamisi 5 ай бұрын
Dada kama hauna oven je
@tatumwita8250
@tatumwita8250 3 жыл бұрын
good trie
@afrigrowers
@afrigrowers 3 жыл бұрын
Hivi kwa nn mkate hukuweka baking powder?
@catherinemapendo2503
@catherinemapendo2503 3 жыл бұрын
Mmzuri nami ntajrbu
@Smartboy-wt1es
@Smartboy-wt1es 11 ай бұрын
Mambo mengi halafu inachukua mda sana hii
@selinamassawe7105
@selinamassawe7105 Жыл бұрын
Upo pawa
@winnerjudith2007
@winnerjudith2007 3 жыл бұрын
kitambaa kilichotota ndo kimefanyaje?
@meelameela1647
@meelameela1647 3 жыл бұрын
Nzuriiiiiiii
@rachaelmbula9413
@rachaelmbula9413 3 жыл бұрын
Wow I gonna try it,thanks girl
@beatricewainaina8026
@beatricewainaina8026 3 жыл бұрын
Hamna vipimo
@margaretmutitika7495
@margaretmutitika7495 3 жыл бұрын
Unga umetumia vikombe gapi ?
@preciousdoreen9225
@preciousdoreen9225 3 жыл бұрын
Umetumia unga kias ganii?? Nusu kilo au robo kilo??
@fotunathapeter2421
@fotunathapeter2421 3 жыл бұрын
Asanteee
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
Karibu
@rosejoely4518
@rosejoely4518 3 жыл бұрын
Hogera
@naliakanusra7241
@naliakanusra7241 2 жыл бұрын
Ni lazima utumie maziwa ya maji tu????
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
, aika unadarasa la kufundishia au
@mlionea
@mlionea 3 жыл бұрын
Nataka tuache kutumia sugar ila natural sugarcane juice. Unaweza jaribu kupika ukitumia natural sugarcane juice ?
@asiaally1025
@asiaally1025 3 жыл бұрын
Unga ni kiasi gani
@mlionea
@mlionea 3 жыл бұрын
Vipi Swahili nyororo? Unaweza nipikia mkate lakini usitumie sukari. Tumia natural sugarcane juice. Pls
@theresianthenge7339
@theresianthenge7339 3 жыл бұрын
You have used a lot of deep Swahili language, I don't understand some terms.
@severakimario6767
@severakimario6767 3 жыл бұрын
Je kwa wale wasio na oven tufunze kutumia mkaaa
@rafiamshana6156
@rafiamshana6156 3 жыл бұрын
Nitapik ijumaa
@theresianthenge7339
@theresianthenge7339 3 жыл бұрын
Siagi, amira no nini
@leilanath4807
@leilanath4807 3 жыл бұрын
SIAGI: Butter or margarine n HAMIRA: yeast.
@nilhamjamaldin4554
@nilhamjamaldin4554 3 жыл бұрын
Samhn inafaa kutumia bluband bdla ya siagi
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
Ndio
@latifaally6742
@latifaally6742 2 жыл бұрын
Swemww
@marthajulius3425
@marthajulius3425 2 жыл бұрын
😘
@gres1182
@gres1182 3 жыл бұрын
😋😋😋😋
@NyokabiDelite
@NyokabiDelite 3 жыл бұрын
Did you use instant yeast??
@josephinakaduma6989
@josephinakaduma6989 3 жыл бұрын
Yes, she did
@annajackson5245
@annajackson5245 3 жыл бұрын
Je kama sina siagi naweza tumia nini kama mandala?
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
Nunuatuu... kile kidogo ni Mia 5... na haitaisha yoter
@hawamwinyi1132
@hawamwinyi1132 3 жыл бұрын
Hivyo vipimo havifahamiki Kuna wengine hawajui gram muweke vipimo vilivyozowelaka mfano robo busy kilo
@dadiseunlcexkeeunlceelvinc4520
@dadiseunlcexkeeunlceelvinc4520 3 жыл бұрын
His
@mwanakombojuma4053
@mwanakombojuma4053 3 жыл бұрын
Dada nimependa mapishi yako ila sielewe vizur manaongea kingereza vitu nyengine atuvijui
@marcelinekibukila2427
@marcelinekibukila2427 Жыл бұрын
Amida ndo nini
@Truly_Afrikan
@Truly_Afrikan 2 ай бұрын
Hamira means yeast
@naomikigoma5098
@naomikigoma5098 3 жыл бұрын
Uko p
@hubiyeyahmed8393
@hubiyeyahmed8393 3 жыл бұрын
Bila oven please
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
Nitajaribu
@hubiyeyahmed8393
@hubiyeyahmed8393 3 жыл бұрын
Shukran
@shikooletting3354
@shikooletting3354 3 жыл бұрын
Ingredients iandikwe kwa kizungu aki
@karinangeny3197
@karinangeny3197 3 жыл бұрын
She used milk,sugar,yeast, melted butter,food colour,wheat flour....
@emmahkamau8571
@emmahkamau8571 3 жыл бұрын
😍😍
@mariamlusega5339
@mariamlusega5339 3 жыл бұрын
Siagiii niniii
@dhahabudida2175
@dhahabudida2175 3 жыл бұрын
Blue band
@annngugi6806
@annngugi6806 3 жыл бұрын
Amira ni nini in English sielewi?
@ikamalle
@ikamalle 3 жыл бұрын
Yeast
mkate wa mchele  /mkate wa sinia  laini  na mtamu sana /rice cake
6:12
HUTONUNUA MKATE TENA  BAADA YA KUANGALIA VIDEO HII
6:21
keki plus
Рет қаралды 1,7 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 21 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 38 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 16 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 35 МЛН
Jinsi ya kupika skonzi laini na tamu za biashara au nyumbani
7:10
JINSI YA KUPIKA MIKATE LAINI NYUMBANI/HOW TO BAKE SOFT BREAD
13:11
Mziwanda Bakers
Рет қаралды 394 М.
MAANDAZI YA NYAMA NDANI/ stuffed Maandazi (2021) ikamalle
13:22
Ika Malle
Рет қаралды 377 М.
Jinsi ya kupika banzi laini sana | Dinner rolls | Soft buns
10:12
Shuna's Kitchen
Рет қаралды 322 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 21 МЛН