Karibu katika channel rasmi ya Sheikh Mbarak Ahmed Awes || Like, Share, Comment ili uweze kufaidisha wengine Facebook: / sheikhmbarakahmed IG: @mbarak_alkathiry KZbin: Sheikh Mbarak Ahmed Awes
Пікірлер: 19
@maryamalimussa88433 жыл бұрын
Sheikh mimi Nakupenda kwa ajili ya Allah hebu njoo huku Zanzibar uzidi kutuelimisha. Mashallah Allah akuzidishie elimu na akupe umri mrefu wenye afya na uzima!!!!
@Safinatulshifaa3 жыл бұрын
A.a Sheikh wangu safi sanabna ninakukubali na kukupenda kwa mahaba ya Dini yetu kwa kuendelea kutuelimisha Allah akupe umri mrefu na afya pamoja na mwisho mwema.
@fahimamohammad62513 жыл бұрын
Allah atuepushe na Haraam amiin
@abuhudhaifa62684 жыл бұрын
رایع شیخي أنا بتحبك حبا راقیا والله العظیم
@nasirshekhi60703 жыл бұрын
Jazzakka Allahu khyern 🤲💯
@jamaldinabubakary95073 жыл бұрын
حياك الله يا طبيب قلوبنا ❤️❤️
@abuyunusmohamed69612 жыл бұрын
Kwa kifupi madhara yake ni makubwa kuliko faida yake.Madhara ya kiafya,kiisrafu ya mali na wengi wanaotumia tumeona wanavyoathirika.Hapo ndio uharamu wake.Hukumu yake ni kama hukumu ya pombe na kamari
@issarashidi98243 жыл бұрын
Mashaallah
@zainabukombo41111 ай бұрын
Hauleweshi
@andallaathman38563 жыл бұрын
Sheikh mm nakupenda Sana darsa zako Sana mungu akueke walakin Kwa ushauri huu ama fatwa hii ya miraa naona nikama umewapa nguvu watumiaji miraa nibora ungesema Hilo swali utalifuatilia uzuri kabla kujibu hivyo
@Safinatulshifaa3 жыл бұрын
A.a Mbona sheikh amezungumza vizuri tu na majibu mazuri tu ukimsikiliza kwa makini sana utamfahamu kuhusu hukmu ya MIRAA
@abuusabeel59342 жыл бұрын
Imeekwa wazi zaidi ktk tafsir ya ibn katheer ktk sura abasa Aya 28 angalia ktk sherhe ya Aya hio kwa urefu
@rayreem38463 жыл бұрын
Shekhe langu
@alibadran438Ай бұрын
Ukimsikiliza hilii jamaa wwe hauna akili kabsaaa
@khaleedAlbannah-ul2qe20 күн бұрын
Ww ndio huna akili...si tungekuona hapo mbele... Unamskilia wivu?! Uskue mjinga mjinga
@alibadran43819 күн бұрын
@@khaleedAlbannah-ul2qe nimsikilie wivu khurafi jisufi jiongoo😂😂kisha mjinga ni wwe unayekataa kusomaa jaahiil !!
@mamlomamlo90643 ай бұрын
Yaonesha anatumia huyu
@khaleedAlbannah-ul2qe20 күн бұрын
Ushawai tumia na yeye? Mwonyeshe heshima... Nkt
@kvfihf63243 жыл бұрын
ليس كل ما يعلم ما يقال ما الحاجة إلى ما ذكرته عن الشوكاني خاصة وأنك تنسب أكله إلى بعض العلماء هذا شيء عجيب وانت تكلم عوام المسلمين مرحبا