Mnafanya vizuri ktk mfumo mnaotumia wa contemporary Christian music...Kuna kitu cha kurekebisha ktk shooting zinazokuja..Mikono yenu inapoteza uhalisia wa kile mnachomaanisha..mnae mkarimani anaetumia Mikono kutafasiri ujumbe wenu nanyi Mikono yenu inatafasri mapishana na mkarimani wa alama..tulizeni Mikono yenu
@williamgideon467116 күн бұрын
Asanteee sanaa mkuu
@OlivaRobert21 күн бұрын
Mbarikiwe vijan kwa wimbo mzuri 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@mussakishiwa325416 күн бұрын
Amen Ame 🙏🏻
@CastoricMuro18 күн бұрын
Jaman good vibe in Jesus amen as always❤❤❤❤❤🎉
@EsterMalangwa16 күн бұрын
Mbarikiwe sana watu wa Mungu msongembele Kwa utukufu wa Mungu.
@akimuwabara215 күн бұрын
Haleluyah sasa🎉, kazi bora, njema sana wimbo mzuri na huduma ya ukalimani inaonekana vyema.. Mungu awabariki
@ErickMziwanda20 күн бұрын
Mungu awabaliki kwa kazi nzuri
@bwiremaingu167218 күн бұрын
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri
@SarahThomas-yj3lp21 күн бұрын
❤❤❤❤ Ameen sanaa
@harunatex21542 күн бұрын
Wimbo huu unapishana na falsalfa ya uimbaji wa nyimbo za kiadventista mwalimu aende tasuba akajifunze muziki
@jovithangulo115021 күн бұрын
Barikiweni kwa kazi ya Bwana
@MecklineChale17 күн бұрын
Ameen,nimebarikiwa
@gaspereliaisa896819 күн бұрын
Mbarikiwe mno kwa wimbo nzur
@adventistcreativetz20 күн бұрын
MKALIMANI ABARIKIWE SANA KWA HUDUMA NZURI
@frankhezron428618 күн бұрын
Amen
@williamgideon467116 күн бұрын
Mbarikiwe wotee
@angelmagai594521 күн бұрын
Mungu awabariki sana
@Haika-t8q11 күн бұрын
Barikiweni
@HappynessNdalahiwa21 күн бұрын
Wimb nzur sana mung aendelee kuwatumia katk kaz yake