Mapenzi ya kweli ni kutoka kwako kwenda kwake wewe unamfanyia nini mpenzi wako sio wewe kumtegemea yeye akufanyie wewe anza wewe kumpenda na onyesha kwa vitendo sio I love you tu.
@ayunramadhan31045 жыл бұрын
Nice 🙌🙌
@winfridaw.mwashala2895 жыл бұрын
good
@adelamlay64844 жыл бұрын
Daa yaani wee acha tu haya mapenzi nishida tuuu
@husseinhaji58115 жыл бұрын
Huo mziki niwanini si mutuache tusikie maneno
@husseinkonz51926 жыл бұрын
Nalo neno
@koimobomba47406 жыл бұрын
Nawapenda jamani
@a.8565 жыл бұрын
Hmm🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
@Esthernyenyezi34 жыл бұрын
Kweli hiyo
@berithaandersonn22346 жыл бұрын
The skips are really boring!
@ramsostopthisbullshitmanal40025 жыл бұрын
Acha kingereza sana mzee baba
@kelvintz76845 жыл бұрын
Hajibu maswali ipasavyo
@iddyamri26295 жыл бұрын
Kaka Acha uzushi!Mbona huna saiklojia yyote ya mapenz? Kuoa unadhan ni kukurupuka swala la kujipanga lipo hapo,Unaharibu mahusiano ya watu,kafanye kazi ingine iyo sio yako