Рет қаралды 3,510,562
Wimbo huu maalumu uliandaliwa na kuimbwa siku ya msiba baada ya kifo cha mwanakwaya mwenzetu Ndugu Marco Joseph Bukuru ambae alikuwa ni Mwenyekiti,mwimbishaji na Mwalimu msaidizi kwenye Zabron Singers.
Kwa mavumbi tuliumbwa,mavumbini tutarudi. Mwanzo 3:19
#msiba #zabronsingers #imeniumasana