Haja chafuliwa ila ni kua wote walioenda kwa Diddy nini walifanywa au kusoma hujui ata picha huoni khaaah 😅😅
@timothmwakakusyu45633 ай бұрын
@@abdulrazaknamaneha5772kwahiyo kila alieenda kwa Dddy katolewa Marinda? Chuki za kipumbavu, yaani huyo Didy muda wote anatoa watu Marinda 😊😊😊😊😊 wabongo mna matatizo
@SylvesterKameo3 ай бұрын
Si kila aendaye baa ni lazima anywe bia, bali anaweza akatumia vinywaji vingine. Jambo moja muhimu ni lazima aendane na tabia na sifa za kwenye baa!
@adambakari92763 ай бұрын
Inasemekana jamaa ndo mtindo wake wengi walienda kwake huwa kawalazimisha kuwaingilia sasa km umekutwa na kundi la wavuta bangi bac lazma uende kituona ukaelezee ukweli sasa mond yy anadai kuna vitu vya siri wamefanya na wamezungumza si avitaje tu😂
@yusufnyawa11183 ай бұрын
Hii video ya diamond niya party ya swizbit wacha kudanganya sio ya diddy.
@abdulazizmohammed-fd5mj4 ай бұрын
Anatia aibu wasanii wenzie tamaa mbele uwezo wa kuimba mdogo 3:53 3:53 3:53
@hashimchaoga95663 ай бұрын
Hakwenda peke yake Lukamba na Babu Tale wameelezea vizuri sana kuhusu hiyo safari
@AliNgao-r3j4 ай бұрын
Mnyama ashafanyiwa kweli awe tajiri namba Moja Dunia ukhabithi ndio mwingi
@ShabaniJuma-k2f3 ай бұрын
Hawa wat hivi wamesahau kua kuna mwisho wa dunia ee mwenyezimung wasameh hawa wat kwamakosa wanayoyafany inshaallah
@CareenTemba-j4l3 ай бұрын
Duh mwenyezi mungu tusaidie
@AminaBaraka-x1b2 ай бұрын
Xiyo vizur kumchafua diamond jaman hiv mnamchukuliaj jaman embu achen kumchafulia star we2 bhan mond hanag hizo pgo za kxhamba namn hyo
@EsterMagembe-k2oАй бұрын
@@AminaBaraka-x1b kbc umeon eeeh
@JacobMutiso-t9p3 ай бұрын
Aibu kubwa kwa ma celeb wetu Africa..wanafaa kipiga magoti mbele ya Mwenyezi na kutubu nthambi zao...tamaa ya kuwa famous ni mbaya sana.. what does it profit a man to gain the whole world and loose his soul??😢😢😢
@MwanaidiAlly-q8j3 ай бұрын
jamani jamani mtatenda dhambi bure kwa hili maana hatujaona mondi hata kukumbatiwa au kuchezea kama wengine kwa jinsi tulivyoona msimtukane bure subirini yaani haiwezekani eti Kila alienda kafanyiwa hapana na hiyo listi hata kwenye maharusi tunazizo list za wageni waalikwa
@Shabani-k1v3 ай бұрын
Mond chukulia hatua hili suala kisheria ila mti wenye matunda lazima upigwe mawe c kila mtu anapenda mafanikio ya mwenzie❤
@HussainMaula-f9b3 ай бұрын
Siku zote Tamaaa anatakiwa awe nayo mwanamke mwanaume ukiwa na Tamaaa unaliweka vutu rehani😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@mudymbarouk82793 ай бұрын
Home boy vutu ni nn
@tyroneduplooy99033 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅@@mudymbarouk8279
@IzackNtovyi3 ай бұрын
Kinacho shangaza iyo pati warikuwa Wana cheza wanaume Kwa wanaume maanake nn huruma jb huenda iyo list yote ya mashoga
@MagaliKiswili-bj6yz3 ай бұрын
Ndio nini wabongo mna mambo ya ovyo mnatumia muda mwingi sana kumtafakali mtu kwanini amekua namafanikio Yani Ata umu tunapoishi ukibadilika kimaisha mambo yakiwa safi lazima uchunguzwe uyu kapata wapi ela jamabz uyu tapeli uyu mchawi uyu kamtoa kafala mtoto wake Yani roho mbaya tu ime wajaa Amna chochote chamaana
@zebedayokatamaduni96763 ай бұрын
Toka hapo huo ni ushenzi Wanaume kwa wanaume wanashikana wewe!
@YoshuaNgasa3 ай бұрын
Unaacha kuongerea ushenzi wao unataka uongelee utajiri wao. Kama nawewe unataka utajiri wao bila kuhitaji kujua waliupata vipi utakufa vibaya wewe.😂😂😅
@YoshuaNgasa3 ай бұрын
Unaacha kuongerea ushenzi wao unataka uongelee utajiri wao. Kama nawewe unataka utajiri wao bila kuhitaji kujua waliupata vipi utakufa vibaya wewe.😂😂😅
@SamuelEmanus27 күн бұрын
Sizan Kam watapon😮😮
@IshtarMwinukaАй бұрын
Ahhhh noma sana
@Gloirsonneleboss-n6iАй бұрын
Raimond ni malaya sa pididi
@MuhsinJuma-wo2bg3 ай бұрын
Dahh aisee
@alitobasile14013 ай бұрын
Kila kitu kiko wazi, Mungu akiamua kumuumbua mtu ndio ivo basi🥲
@occham88732 ай бұрын
+ Oprah + Ellen Degeneres + Barack Obama + Legend + Prince Harry
@KazunguCharo-d7s3 ай бұрын
Mungu awalaani wasani wote
@josephmdema8293 ай бұрын
Daa inaumiza sanaa
@HamisiMtanda-q4d3 ай бұрын
Mungu atulinde ishallah
@khadejakhadeja97133 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭😭kutaka utajiri waa dunia waa harakaharaka ndio malipo yake alijuwa haitafichuka mungu hafichi kitu kichafu mmmmmmh aibu kubwa Sana tajiri namba moja duniani kufumuliwa malinda 😂😂😂😂😂
@MariaKazimily3 ай бұрын
Kwan d Diddy ni km nani
@SeverinoLuis-j1h3 ай бұрын
Unaushaidi
@SunhighMkwazi3 ай бұрын
Nan tajiri namba moja
@dionisiaefremu8073 ай бұрын
Jaman kwahyo hyo p ddy ananguvu gan ya kupaka mafuta washekeaji wote hao kwa mara moja? Hapana dimond yko imara bdo😊
@SelinaMdoe-jv1pu3 ай бұрын
Wabongo niwa sha mba sana acheni ku chafua diamond ja mani
@jacklinezombo58063 ай бұрын
ao wako kwenye ulimwengu wa giza APO so uo uchafu sio wa kawaida
@ManzabaySalim4 ай бұрын
Alisema atakua tajiri number moja kumbe anafumuliwa marinda na diddy
@hashimchaoga95663 ай бұрын
Kwa hivi wewe unaamini hata mtu akipiga porojo tu?
@artisthusnatalal30993 ай бұрын
Huwezi kuwa millionaire katika hizo viwanda mpaka ukubali kupitia mambo ya kishetani
@annamussa1853 ай бұрын
Mondi anafirwa kitambo sana hata kiba wanaenda huko nje wanauza mikunfy mpaka warabu wamewauzia mikundu sana tu
@respiciusjohn99363 ай бұрын
We jamaa boya sanaa😮
@annasolomon98553 ай бұрын
@@annamussa185hata omy dimpoz😅
@ChalsMangila3 ай бұрын
Akika izi ni nyakati za mwisho tumwombe mungu tu atunusulu na aya
@PatriciaKuya3 ай бұрын
Leo umeingiza pesa kiasi gani, huo muda wa kuhangaikia hizzzo taarifa za matajiri ungetumia kutafuta name uwe tajiri. Party ya Did lazima iwe na Celebrity ndo circle yako
@SalmaMitonga4 ай бұрын
Kwa iyo ulikuwa ukienda TU kwenye hizo party ndio unabakwa na p Diddy au kwenye hizo party ni za kuamasisha ushoga? maana kama kwenye party watu wanakuga wengi Sasa p alikuwa anawaingilia wote au hizo party zilikuwa na mashoga na waume zao?
@RoseMichael-oz7cy3 ай бұрын
Inawezekana kila alikua na bwanake afu pia kuna wale new comers yn mafom one... na pia ukumbuke izo party zilikua zinafanyika kwa mda wa masaa 48 mfululizo apo ni kunywa kula na kunyanduana tu hakuna kulala
@samwa94963 ай бұрын
Kwani kuongea na mtu ndio kuhusishwa na matendo acheni uswahili
@vickylayda63363 ай бұрын
Hakujuwa kilichko kama ilitokes alihujimiwa tuu kama hafanyi sasa hilo ndio la kangalia Mungu amsaidie
@DavidSemu-gu6wp3 ай бұрын
Dah! Kuwe na ukweli au uongo ila haitakuwa vizuri maneno haya yaka wafikia wanawe mbaya hata kufikiri japo wanawake zake wanashinda mitandaoni wamesha yanyaka dah! ni uongo lakini watayapokeaje,ndio gharama za umaarufu.
@JokhaJokhaabla3 ай бұрын
Mmmmmh mwenye kubeba dhambi ni yule mwenye dhanna mbaya kwa mwenzake ndii mana ukaambiwa anaeibiwa ndii anaepata dhambi kwa sababu hajuu aliemuibia ila anadhani tu ni fulani ameiba
@DoreenDoreen-g2y3 ай бұрын
Mmmmmh pole san mond 😢😢
@zuhurachipa21113 ай бұрын
Wanamuonea wevu kwasababu wamemuona ametoboa maisha ndo mana wanamchafua
@BeebBurn-d2p3 ай бұрын
Hata diamond akichekacheka anafirwa kimamake😊
@stellahrajabu33493 ай бұрын
Ivi R Kelly si yupo jela 😮😮😮 nimezoom nimeona jina lake apo kwa list😂😢
@AgnessMasalu-j8h2 ай бұрын
Diamond kaliwa futa
@CharlesRehani3 ай бұрын
Sasa shida ni Diamond kuwa kwa Dydi ama
@HajiJuma-d5q3 ай бұрын
Ambao tamaa zimezidi kipato chao waliwe tu c wanataka umaarufu😂😂😂
@Papaahansmo3 ай бұрын
Tupe ushahidi😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@HashimSalim-qj7zn3 ай бұрын
Pesa mtihani kwa kweli ila Allah atujaalie tuitumie vzr
@AnnaVisent-b6m3 ай бұрын
P did achukuliwe sheria
@MARIAMABUBAKAR-y9m3 ай бұрын
Inamaana kuwa karibu na Diddy tu shart la kwanza ni lazima azamishe hogo lake atatue malida kwanza alafu ndo mambomengine yaendelee au. Naje hiyo list ya hao watu wote wameenda kwa ajijili ya kulana mzigo wao kwa wao! Na mbona ni wanaume tu wamo kwenye list!!!
@FaustineSylivester3 ай бұрын
Lisemwalo lipo
@BabraNassib3 ай бұрын
Jmn jmn kwa uthibitisho huo diddy amewatafuna wengi mno daah co vizurii lkn😢
@SMuchutz3 ай бұрын
😢asehee kumbe ndio mambo yenyewe Duh hatari kwelikweli
@IsmailiNiyonzima3 ай бұрын
Mimi na itwa ismaili raiya wa Burundi Diamond hajafanyakitu na. P.dd. jameni tuwetuna ishimiyana adabu nimuhimu tu ace kumcafuwa Diamond plz Jana humuitaji sisi wangine tuna muhitaji sawa na rudia Tena Diamond hajafanyakitu na p.dd.ni ndoto nimeoteswa sawa
@JamesKanyenda-y9y3 ай бұрын
Kumtumikia shetani iyo ndo faida yake.
@OfficialRajiban3 ай бұрын
Wenda kweli
@JokhaJokhaabla3 ай бұрын
Kwa iyo yy na Mungu wake ndio wanajua tuacheni dhanna
@yohanamchomvu3 ай бұрын
Acha kumtetea diamond kesha filwa na pi ddy
@magejuliani52933 ай бұрын
Kweli tusimchafue! Simba wetu rijali wa nguvu na yuko kikazi zaidi
@UncleJuju-r2w3 ай бұрын
diamond katombwa😂😂...
@MgangaMillian2 ай бұрын
Achen kumchafua daimond
@Jacksonshayo-u6l3 ай бұрын
Mm naiman na mind yote hayo kisa kawazid weng kipato
@OthumanAlly-tx4js3 ай бұрын
Ache ❤
@HanifaOman-oo4pl3 ай бұрын
Subhanallah. Dalilizakiyama.
@UstadhiRai3 ай бұрын
Innshaallah 😢? Wala yamutu fiha wala yahyah. Kaumu lut. Tubuni Allah Kanadi: Innahu Kana tawaba
@NgoyFahma3 ай бұрын
Kaka hamnaga stori kaeni kimya na usenge wenu wa vichwa vya habari et video ya pdd na daimond imevuja haya ndobimevuja nn hapo
@johnkurio3 ай бұрын
Habari hii mwenyezimungu atujalie isije akawa kweli mana Itakua nihaibu kwa wasani wallah
@HappyBlini-cf2if3 ай бұрын
Hii Dunia tutafika tumechoka
@KheriHamisi3 ай бұрын
diamond angebanduliwa ungekuwa ugomvi mkubwa sana
@MariaKazimily3 ай бұрын
😂😂 pamoja na kusoma comment na video sielew kitu mimi
@Abby_Shawn_KE3 ай бұрын
😂😂😂Lugha za kenya ni waliguthwa ululu, kukunurwa mabuti au kunyanyuliwa,. 🙌🏼Yote inasimamia kuingiwa kwenye tundu la nyuma ukiwa mwanaume
Jaman acheni kuzua mambo haya n maneno2 now kila mtu ataongea yake achen kumchafua diamond
@karanjaalex56483 ай бұрын
Izo ni mbwembwe
@ManzabaySalim4 ай бұрын
Diamond hana marinda diddy Kampala mafuta tizama show zake mashoga kibao
@hajigora52003 ай бұрын
Hàya mashairi ya hizi stori kama kiki za Diamond mwenyewe anazitengeneza maana kunawaosema kama drama ya wanaokubali na wamaokataa kumkinga lkn je na mwenye ukweli jambo hili la P Didy, maswali nimengi yenye majibu ya utata
@BakaliKutafuta3 ай бұрын
Kabla ya hayo alisema anataka kua tajiri dunia nzima tuone atajua ama Ameliwa hamna kitu
@REGINAMZURI3 ай бұрын
Jamani iduna😢😢😢😢😢
@GraceKhinda3 ай бұрын
Noma
@KalundesaidiKalunde3 ай бұрын
Waafrica bana yani wamekaa kohoni kwa Mond kama wameshuudia tukio mweee ndo maana tunakufa makini ukule family zanu ndoto wamejaa mahogaga sema tuu sio watu wenye kujulikana loooh😮
@AtuKalinga-l7i3 ай бұрын
So you vizuri na haipendezi kumchafua m Tanzania mwenzetu acheni uongo. Mondi hawezi upumbavu huo.
@AminaMkude-p4x3 ай бұрын
Co kweli bhana uzushi tu
@MrA24G3 ай бұрын
Mimi hawa wanaojihusisha na hayaaa mambo huwa wanapata nini huwa naona uchafu kbsaaaa
@JohnPeter-yl4xq3 ай бұрын
Marinda tena
@IsakaFumbi3 ай бұрын
Kama arienda kwa niya hiyo kwa jamaa basi nayy mshirika wa mambo hayo harafu kwnn arikuwa anaenda usiku kama jamaa anatabia hiyo hata msanii wetu hvy vitu anavijua
@JamesKanyenda-y9y3 ай бұрын
Si wanataka maisha ya ustaa Wacha waliwe
@brayanomondi29923 ай бұрын
Ata hvyo binadamu kazi hta kama ni ukweli bt najua hamna ukweli hpo ni diamond wa kwanza kulala na mwanaume wa kwanza kulala na mwanaume,,au labda diamond yeye ni mungu ndo mukaona ni miujiza khaaa wacheni ushamba buana
@LukasLukaslaudanusinyaki3 ай бұрын
Kuna nyimbo moja isemayo jueni kwamba siku nizamwisho watu kupenda pesa kuliko kumpenda mungu
@FatumaAliAbdalla16 күн бұрын
Hakuna atakae Pona but hawajaitwa wnywe kupenda kwao
@stevenkampaun63843 ай бұрын
Manina
@Speed.B3 ай бұрын
Mond alikuwa kwenye Swizz beat barty bhn apo sio kwa Diddy
@arthurlouis69933 ай бұрын
Iron Mike Tyson alijaribiwa na Diddy lakini alikataa licha kupewa 50m$. Alisema Tyson mwenyewe.
@MwasitiMkwambi3 ай бұрын
Hata hivyo diamond anatamaa napesa jua kwamba pesa Zina. Mwish
@LucasLuhaga3 ай бұрын
tamaa zake zime mponza
@ChristianNkam3 ай бұрын
Mondi ni shoga2 si anataka utajiri namba1 dunia acha atolewe malinda aibu sana tajiri mtarajiwa😂😂😂
@Kelviniagai3 ай бұрын
Harmonize jeshi kubwa
@tyroneduplooy99033 ай бұрын
Mwenye ukumu ya Haki ni Mungu hii siyo kazi yangu
@AyshaSliman-cg8dr3 ай бұрын
Sio kweli
@AntonyJohn-c2u3 ай бұрын
Asa hapo Mond unamtetea kabisa kafanya huyo
@abdulazizmohammed-fd5mj4 ай бұрын
Daimond anaharibu watoto adi mijitu mizima inayomfatilia na kupenda mziki wake wakishenzi anaoimba pumba kila siku
@PillikilumbiKilumbi-b3r3 ай бұрын
Kwani ukiwa na mtu mwizi unadhani ndio Nawe utakuwa mwizi cheni maneno hayo
@annasolomon98553 ай бұрын
Asilimia 95 anaimba ngono yawezakana ndo masharti alopewa huko
@mdeesporttv65093 ай бұрын
Kwanza ndugu tafuta video ingine ila hii ilikua sio kwa Didy . Wee usije jisifu umejua mengi .tunakuongezea tu comment. Moja hawakuruhusiwa kurekod chochote.
@judithogaya97303 ай бұрын
Mondii anataka kuwa tajiri mukumbwa Duniani na kwa wasani wa Africa yupo no Ten 😂❤😂❤what about the all world 🌍😂😂 Tanzania kazi ipo ila Duh 🙄 kafara na kufumuliwa zitakuwa nyingi may God continue to protect my Nation Kenya 🇰🇪 for all