Рет қаралды 177
Pan-Africa Bean Research Alliance
Lishe bora kwa watoto na wanafunzi wa shule imekuwa changamoto kwa wengi. Tunaonyesha jinsi maharagwe yenye madini yameweza kuboresha afya na kuimarisha masomo kwa wanafunzi #lishebora #kilimo