sijawahi kuona kipaji kikubwa kama Gold b. mdogo wangu Mungu akubariki sana
@halisiherbalandnaturalremedies5 жыл бұрын
swaga kwny video ndio inanogesha, gold boy umetisha ulipokonyeza
@andrewmejja63546 жыл бұрын
The best cover I've ever heard kwanza hapo anapiga verse ya nyash that's pure talent for sure
@margrethsalvatory13595 жыл бұрын
Nakukubali sana mdogo angu alaf unakipaji amin kwamba kuna kitu kikubwa unaweza kufanya.
@majidfrolian49046 жыл бұрын
Duuuuuuuuuuh Tanzania Yan vipaji Kama vyoooooteee
@AfroCoverstz6 жыл бұрын
ASANTE SANAAAAAAAA
@rkplatnumzrkplatnumz96915 жыл бұрын
Majid Frolian Hasa upande wa kigoma. Sio powa vipaji nivingi
@citycity11305 жыл бұрын
Naomba kujua aloimba ino nyimbo
@gorillaman22944 жыл бұрын
Ninoooma saaana
@smitraminah67965 жыл бұрын
Km kuna alomfananisha dogo na jux 👇tupia like twende sawa🤜🤛
@sholamamoha90585 жыл бұрын
Waaah!! Hugo dogo mwenye ameimba kama #Nyashinski ameuwa Walai 👍👍👍
@rahmamfaume94105 жыл бұрын
Mmmhhh,,nabaki nagunaguna,,,mana c kwa utamu huuu😍😍😘😘😄😄
@mcguccitv36374 жыл бұрын
Mie nalia Tu furaha hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪😢😢😢😢😤😤😤😤😤😤what a talent,DAMN
@iamemmasylvester44776 жыл бұрын
I alwayz luq on yuh Gold boy...yan ww n moo dan a star...keep it up...naipnda s tz yangu!!🤩🤩
@mercyjelimo46995 жыл бұрын
Can't stop watching @gold boy does it so well and the Tanzanian shinski@normal tz
@sylviemutwale95275 жыл бұрын
Uyu dogo kazi anaweza sana ufanye upate nyimbo zako itakua ninzuri zaidi
@franksanofu33656 жыл бұрын
Daah umetisha sana ila jaribu kuandika yako itakuwa pw sana kama unamuelewa dogo weka like apo
@danielmalimi98906 жыл бұрын
Frank Sanofu anayo yake inaitwa child from streat itafute.....
@duncanmbuthia63335 жыл бұрын
Awooow nyc
@kennisblessed86395 жыл бұрын
yes
@annaciawilium61725 жыл бұрын
Frank Sanofu ❤😘👏👏👏👍
@manfreddy98745 жыл бұрын
Ajulikane kwanza mzee akitoa yake lazma utamsapot
@taniahsasha78265 жыл бұрын
uyu boi anatoa nyimbo zaidi ya original frm 254 big up sana
@jestinacharles73876 жыл бұрын
Gud.... N nouma...!!! Nyieeeeee
@hildahkendi81554 жыл бұрын
Imeweza kabisaa♥️♥️
@mcguccitv36374 жыл бұрын
God bless you and open your paths.... watching from 254,you so talented guys🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✊✊✊✊✊✊
@sarahmwangi49283 жыл бұрын
Nimejua huyu Gold boy,yaani 2021...naye Normal Tz ako mzuri jamani! I'm in love with them both!
@annemwangi29945 жыл бұрын
Oh!maaaaan..this cover is bomb! the guy who did nyashinski's part killed it!!big up guys...
@yaxcowiz28735 жыл бұрын
Unaweza zee babaa
@tonybestsenior88745 жыл бұрын
Najua mkenya mwenye atawatch hii cover ataongojea verse 2 kwa hamu askie hiyo accent ya Nyash kwa mtanzania, naona aliwezaaa!!!!! Big up guys
@kansiijdon85895 жыл бұрын
Nilingoja pia
@mwariwawanjiru..29254 жыл бұрын
Tuko wengi
@wairimu91134 жыл бұрын
Ameweza ila some words amekosea.. He's really good
@cecymaro13745 жыл бұрын
weee iyo kaliii meipendaa umerapu kidogo apoo km jux💪💥💥😗
@charlittotarimo5195 жыл бұрын
Duuuuuuh kudadadeki bonge la cover,, sema mzee ulierap big up sanaa dingii,, pambania kombe,, unaeza toboa,, unajua kufloo sanaa
@veileronesmo92195 жыл бұрын
Tarimuuuuuu
@elvisMatama6 жыл бұрын
I like it 🇰🇪
@chrissjoel77524 жыл бұрын
*We jamaa haufai hata kidogo mamae unajua mpaka homa* 😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mtncakes22475 жыл бұрын
Oyooooo, nimeinuia makono yote juu mana mko juu
@cindydayo72645 жыл бұрын
I got this on repeat..... I love it
@muksinismail87614 жыл бұрын
Me nazid kugonga ma like kama yte tu babu frm kgm boy golden boy na camp yenu
@certain22495 жыл бұрын
Where is the love button??????This is absolutely awesome !
@nebulazzkenya99165 жыл бұрын
Dope kabisa... You talented I say... In case you dont know
@evasimba67525 жыл бұрын
You guys did exceptional in this song...The cover is lit keep blazing
@matildachami13026 жыл бұрын
Nimeielewa iyo cover gold boy ft normal Tz nimewakubal mreeeeeeeeeeeh
@fanulibopezzuto3365 жыл бұрын
Mambo Matilda
@elisiachilongani70425 жыл бұрын
Nyashik doh mmetisha madogo💞
@usambacomedy28653 жыл бұрын
Love you brother from Tz ueweza aki❤️🎉🌠🌟
@alejpapsyoh58765 жыл бұрын
Wow moto sana. Kenya nawakalisha kisela
@nemamwekwa62984 жыл бұрын
Mumenifurahisha sana mama huo wimbo naupenda snnnn
@habibaswalha99126 жыл бұрын
Yessssss that my boy i love ur spirit wapi likes zake
@sharonwairimu18885 жыл бұрын
Part ya nyashinski🔥🔥🔥🔥🔥it's blazing mahn!
@nicholasmutwiri8064 жыл бұрын
Dogo anaweza sana..moob love from Kenya..
@azibetamusimbi94586 жыл бұрын
Wooow congratulations.... Tamu sana. Great love from +254
@yaabtv30285 жыл бұрын
Goldboy kweli ni dahabu
@sharonnyakioskitchen4445 жыл бұрын
i cant stop watching this....sauti nayo😉
@doktasingano78235 жыл бұрын
Normal yuko sawaaaa
@chapteronlinetv58796 жыл бұрын
Huyo alie ingza raper ametishaa!!!
@rehemamgata66525 жыл бұрын
Sanaaa
@jeremiewamuyinga79915 жыл бұрын
Duh yaani hii cover haiwezi pita bila kuiangalia jamani!
@justinabieberbianca40555 жыл бұрын
Gorgeous... I support you keep up
@realjinxmanic86575 жыл бұрын
Eish! Eish! Eish!....dope
@aishasaid93985 жыл бұрын
Kumbe hadi wanaume wanamapoz ivyooo.... Unajua kijana
@edwinnjuguna2565 жыл бұрын
I just love this guy goldboy will proceed far bro
@jisephmatheaslameck9825 жыл бұрын
Wooow good idear mmeweka radha frani hvi amazng
@saluali26485 жыл бұрын
Yyyyaaaa jitahid dogooi upok sawa ileee basiii kisss noo nooo for youuuuu
@chachagidion25913 жыл бұрын
kuna watu hawawezekani kabisa....huyo shinski ni tabu kubwa ila poa, kazi nzuri
@marymbugua17315 жыл бұрын
I really love gold boy's diction in all his covers! Keep up guys 🥂
@damarismmuange78584 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️GB and nyash jnr kariiii sana. 🇰🇪
@richardngendakumana28716 жыл бұрын
Ebwana wanya kazi zako baba utafanikiwa
@chapteronlinetv58796 жыл бұрын
Mbona mmetishaaaaaa!!!
@beatuslyawe10136 жыл бұрын
mafundiiiiii
@thomasmakala20825 жыл бұрын
Normal Tz, Nouma mzeiya....
@king-boorow71135 жыл бұрын
I am from somalia🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴 Fan of you alot👐👐👐👐👐👐
@patriquelaicer31695 жыл бұрын
zote umefanya hii umefanya zaidi ya yenyewe
@jacksonngetich10425 жыл бұрын
That dude did Nyashinki part ameweza sana big up
@Aidenkai97153 жыл бұрын
You better than more musicians in Tz aki u da best ever 💪💪💪💪💪
@fatmatuma93375 жыл бұрын
i dn knw why nmempenda hasa da guy anavyoimba #goldboy me namwangalia hassa swag zakr
@davidmpogolo59335 жыл бұрын
Aahh awa wasenge noma sana..dahh
@mohamedmwandugu66275 жыл бұрын
From Kenya umeweza hiyo part ya Nyashinski
@chelseamaimoana48815 жыл бұрын
Love u love your voice gold boy
@saniasharif95556 жыл бұрын
Normal tz unajua kinyama✌
@emmylitarashidi68456 жыл бұрын
aisee nyi nomaaaa wallah mnajuwa
@alieshkenya56385 жыл бұрын
Daaah... Nimeipenda jameni...
@prolific90596 жыл бұрын
Daaah.... mnajua aseey
@officialmichaeltz46766 жыл бұрын
Gold boy unajua Sana na zaidi
@ticketmastertips14925 жыл бұрын
Sisi mashabiki wako wa Kenya tunakushauri ukitoa covers za all east african countries usikwame Tanzania pekee ka unadai kupata 1million subscribers try on that,,best advice ever hujawai ambiwa
@ashakarimu13356 жыл бұрын
Cover by upo vizur jaman daaaah
@markjuliusdaud80055 жыл бұрын
Big up to you gold boy uwezo mia mia.
@saharaali71725 жыл бұрын
kamaunampendagoldboy gongalake haha👍👍👍👍👍👍👍
@sammymak29754 жыл бұрын
My oh My, even Jux didn't do enough Justice to this song..Gold Boy & Normal Tz , Kudos guys. You kill it!
@Mars_Dede77126 жыл бұрын
Gold boy ntazidi kusema unakipaji ambaye in 3years utajivunia pakubwa na normal endelea kazi kinoma
@augustinewiraka22945 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 254 tunawakubali sana
@kassimally53583 жыл бұрын
Wanaimba kushinda ht mwenye wimbo
@hemedimuna14005 жыл бұрын
Uyo dogo anae chana nimkali ile mbaya wote mpo juu
@princeXtream5 жыл бұрын
I love jux so much n I know he would be proud of this guys...mazishi ya track
@2cooltv9195 жыл бұрын
Kazi safi Jux na shinski am sure wako proud wakiskia hii💯🚀🚀
@rechomushi97665 жыл бұрын
Duuuh pendaaa sana mmeimba vzr
@jacklinemkude7935 жыл бұрын
hatariiiiiiiii xnaaaaaaaaaa ni nomaaaaaaaaaaaa ......
@petroerinest38285 жыл бұрын
Prof cover..Napenda unavyofanya G😘we ni mkali wa cover aisee
@moseya04795 жыл бұрын
Muko juuuuuu... Nimewakubaliii sana..♥️
@kunikhiratusiie74215 жыл бұрын
umeonaee
@divadaqueen65585 жыл бұрын
Duuuuuh munaweza kbs i love you from 🇧🇮
@mercykimasa70675 жыл бұрын
nasikia saut ya Jux...in you....dah💙💙💙💙💙
@pauljohn10166 жыл бұрын
wadgo zangu mungu awabariki sana ktk kazi zenu na mfike mbali zaidi
@kacheali47775 жыл бұрын
Gold u r the bst watching frm +971..i lov all ur covers grt job
@marybismak69865 жыл бұрын
Waooo nice #nitacheza nawe
@rachelchelango9414 жыл бұрын
Nakukubali kijana ingeza bidii
@DaggerSwordras5 жыл бұрын
Wow wow wow I am speechless manzee
@michaelkasalila68305 жыл бұрын
Noma kwerii gonga like twende sawa Kama umeelewa cover
@catherinejoseph57155 жыл бұрын
Good sana... Mmeweza sana
@mohammedmkele50936 жыл бұрын
Umemfunika hadi jux dogo hongera
@mercyongile83294 жыл бұрын
i love your smile and voice you rock it
@masseyluv7025 жыл бұрын
Goldboy your voice😭😭😭😭😭God blessed you
@jamesthuita2195 жыл бұрын
Bro tafuta mtu akwandikie nyimbo zako incase you don’t know 👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿