Kila mtu katika maisha kuna milima na mabonde cha msingi umshukuru mungu kwa hatua uliyofika
@tanzanite99443 жыл бұрын
Kitu kimoja hukusema ni vile ulivyokuwa unapiga box Newyork na kuishi nyumba za Za project. Mbona hiyo umeikweoa wakati ni sehemu ya maisha wakati ulikuwa ukitafuta? Usione aibu Bwana 😁
@richardbuhatwa19403 жыл бұрын
Kila MTU ametoka mbali kuna kwahiyo sio sababu za kumsikikia