chat.whatsapp.com/DeDPWulcpXR2FPuRxrUuEc JIUNGE KWENYE GROUP LETU
@joslinchuwa12982 ай бұрын
Niunge
@mariamfritsi49432 ай бұрын
Mama mtoto hodari wa kujieleza, tena mchangamfu sana .Mungu atamsimamia lila kitu kitakuwa sawa.
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
Suhbuhanallah. Allahu akibarr. Pole ndugu yangu Allah atakuponyesha naatakulipa kwa yote lnshaallah
@husnachunga57202 ай бұрын
Pole sana mungu akutie nguvu na akuongezee Imani zingatia matibabu
@YasminaMkali2 ай бұрын
Yaani Madaktari wetu, hawana staha, ya ustahimili ya maombi au matakwa ya mgonjwa. Na wakimlaza huyu Mama, Familia itateseka sana. Na mpk aje kupata matibabu, Wallah ni mtihani. Wata hakikisha wanamnyonya pesa zote. Nakuomba usimlaumu kbs huyu Mama. Ni mgonjwa. Asilazwe mpk wafikie muafaka wa matibabu yake. Subhanallah! Subhanallah! Subhanallah!😢😢😢
@AverinaShirati2 ай бұрын
Huyo mama ana ndugu kama Hana ndugu mtoto apelekwe kwa kituo watoto yatima kwa mda mama apate matibabu
@SalmaSamiry2 ай бұрын
Pole sana mama 😢😢😢usiseme hivyo wanao bado wana kuhitaji Allah akufanyie wepesi upone 😢😢😢usikate tamaa nimtihani tu huo Allah atakuafu inshaallah
@SalamaBakari-eh1mz2 ай бұрын
Mtangazi tafadhali mwambie asiombe kuchoma sindano ya kifo aombe Allah ampe subra yote ni mitihani hiyo ili apate fadhila zake
@Moc.khalfan2 ай бұрын
Na ao watoto wawapeleke kwao ili wao waanze matitabu kwa uangalifu wote wanawazazi wao
@Moc.khalfan2 ай бұрын
Zahir ao wazazi pia wanataka uangalizi wako wakiwa spitali ufahamu wao ndio uko chini Mana kila siku unawaelewesha kitu hicho hicho au Mzee wake wamsimamie
@florarwegerera80252 ай бұрын
Hicho kidonda kukisafisha mwenyewe ni kazi sana hawezi
@AminaHussein-n6m2 ай бұрын
Mungu akuponye jamani ishaallah
@khadiijoaxmed47632 ай бұрын
Zahir usichoke kuwasaidiya hawa watu wamepanic piya Mungu akuzidishiye imani na ssi tusichoke kuwasaidiya uyu mama anamaumivu makubwa kidonda kikubwa sana Mungu atakuafu Mungu ni mwema🙏🙏🙏🙏🙏
@edithaeugeni96952 ай бұрын
Ila hyu baba anampenda sana mkewe shida tu hazina adabu Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi
@fathiyahmuzney73672 ай бұрын
Amiin
@ZainabSimith-ey6vm2 ай бұрын
Hiii familia hajielewi kabisa daaa mtoto mwenyewe mgonjwa daa mungu tuwasaidie tu
@fatmamohammed83462 ай бұрын
daaaaa mungu awasaidie saninhii familia maombi yanahitajika kwa wingi sana ,,,,kwako mungu hakuna kubwa watendee miujiza hawa waja wako🙏🙏🙏🙏🙏
@Mesalimmwadarashi2 ай бұрын
😢😢 MUNGU amsaidia sana yarrab sio rahisi
@mariamkimtai6932 ай бұрын
Ameen Yaraby 🤲
@ashleymohamed69352 ай бұрын
Mi nawapenda wenye wanapendanda ishalha atafanya wepes❤
@MO12-b1q2 ай бұрын
Dah mungu tuokowe sisi maskini namagonjwa sabu atuna Haaki Hapa Dunian sabu ya umaskini wetu😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇲🇿
@edithaeugeni96952 ай бұрын
Jamanii huyo mtoto kwanini asipelekwe upande wa mwanamke ama nyumbani kwa mwanamke??? Au kwa ndugu wowote wa pande zote mbil!
@mariyamgharib9402 ай бұрын
Beetroot anunue zile kiswahili viazi vile vekundu asage kwenye blenda anywe vinasaidiya sana tena mara moja damu inaingiya. Allah atazid kumuafu Inshaa Allah. Allah atakupa funga lako zahir usiwaashe hiii familiya
@anastaziamathias88612 ай бұрын
Yaani ninachokishangaa na hali hiyo anawaza aendelee kuzaa aiseeh? Mungu akuponye mama
@SalmaKhmisi2 ай бұрын
Dah pole Sana mama kipez mungu ata kuponya t
@mgenimoosa52522 ай бұрын
Allah akupe subra
@jovinathasavoie80182 ай бұрын
Huku nje ukiomba,unachomwa tu,lakin wanaomba u make peace na familia.sema kama tunaweza pata mtu wa kukaa na mtoto tukachanga hata hela ya maziwa,hili huyo mama awe na amani.please maximum tv family tusaidie huyo mama.
@radiaarady33072 ай бұрын
Jmn nihuruma Sana ila huyo mama kajichokea mwenyewe haelewi kt😢
@ElizabethWamcha2 ай бұрын
😢na mgonjwa umekaa sehemu mbaya usoni kichwani mishiba ya damu Ipo apo ni raisi mtu kuchanganyikiwa😢mungu mponye uyu mama😢
@EpinesRaimundoJohnJohn2 ай бұрын
Pole sana.
@HalimaKassim-yz3we2 ай бұрын
Masikini mungu atakufany8a wepesi dada angu kua na subra mama yatapita usimuache mtoto wako bado ni mdogo 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@isackkimaryo86372 ай бұрын
Kitengo cha Ustawi wa Jamii, Wizara ya Afya oneni namna ya kumsaidia huyu Mama.
@LailaMakame2 ай бұрын
Mtihani 😢😢mungu akupe subra, usiwe na mawazo potofu allah ndio kila kitu.
@pilisinde88302 ай бұрын
Hawa wote uelewa wao mdogo sana mungu awasaidie
@ziadasalimu17302 ай бұрын
Sana Hawa wanatakiwa wasimamiwa jamani uwelewa ni mdogo huruma sn
@PiusIsack2 ай бұрын
Sasa hatakama mmefutiwa ile ela ilietolewa mumeo ana laki 7 kwenye cm siatoe alipe hiyo laki 2 jaman huyo baba ela anaitunza ya nn
@teddyoscar68762 ай бұрын
Duuh huyo baba anasema akifa mkewe yeye hamuwezi kumlea mtoto, sasa si wangefunga kizazi wasizae tena, hawa hawana elimu yoyote🤔
@Naju6452 ай бұрын
😢😢😢😢😢uwii ee mwenyezimungu mponyeshe huyu mama
@AmiriHumudi-hn6pt2 ай бұрын
Zahir huyo mama msmamieni muwe mnampeleka nyinyi huko hospitali unajuwa unapopat mtihani. Asij akafanya ivo.
@marshaly84732 ай бұрын
Sasa siabadilishe siptali kama hiyo ni ya matapeli na wana madharau kiasi hicho mungu wangu msaidie nae huyu mama mwenye uzito huu
@AmiriHumudi-hn6pt2 ай бұрын
Bora uwe hivyo hivyo huku unafanya tiba. Lkn ukae na mtoto. Mtoto mi mchanga sana uyo usije ukafanya mambo yasiomaana mungu siku ikifika atakuuwa tu. Usiharakie kifo.
@anitarafa2 ай бұрын
Jamani
@SKY-fk3fz2 ай бұрын
Subhanallah hata hawakumlaza
@hasnatrean50132 ай бұрын
Jaman uyu mama anatakiwa afatiliwe kweli yn kwanz uyo baba ajielew
@nusaebahkeis67742 ай бұрын
Wanepewa barua ua discharged
@AmiriHumudi-hn6pt2 ай бұрын
Wewe mama usje ukafanya iyo kitu kwani mungu mwenyewe hakuoni mbona hakukuuwa. Usije ukaingia kufuruni ukafeli mitihani.
@hanifaa14872 ай бұрын
Kweli kaka
@sophiakimaro51742 ай бұрын
Najiuliza huyu mama au baba hawana ndugu jamani?hakuna ndugu anayeweza kukaa na huyu mtoto huyu mgonjwa aendelee na matibabu?
@queenesther26392 ай бұрын
We mwandishi akuambia kazi ya shetani ww unamg'ang'aniza kz ya MUNGU Mungu yupi? MUNGU wa MBINGUNI hatoi mabaya mabaya yooote yanatolewa na shetani naye ni mungu kwa upande wake,,,MWAMBIE AENDE KANISANI KWA BWANAYESUKRISTO ATAPONA NA ATAOKOKA NA ATAPATA HUYO MTOTO ANAYEMHITAJI
@khalsasalim79302 ай бұрын
Hao wazazi wenyewe hawajielewi ndio mana watt nao hawaeleweki, huyo mama kila kitu anajua mume wangu
@MimahMimah-b7k2 ай бұрын
Apo sasa dawa kapewa hajui pia ni nn kapaka ati pia anajua mume wangu yan mama ni mgonjwa mtoto kukaa na mdogo wake hawezi 😢 lol kuzaa pia ni mtihani
@firdaus74282 ай бұрын
Maskini mama anayo subra sana
@isamony582 ай бұрын
Mtt awezi kubaki na uyo kk ake uyo ilitakiwa ndugu zake wakike mtt bado mdogo
@fathiyahmuzney73672 ай бұрын
Zahir pls wasimamie ww
@nusaebahkeis67742 ай бұрын
Haifai hio kazi ya Alllah
@JasminSwai2 ай бұрын
Alla awape subra
@khumayraabdulla962 ай бұрын
Maziwa ya mama umuhimu wake siku za kwanza tuu baada uzao wa mtoto kaka
@SalmaKhmisi2 ай бұрын
Dah pore Sana mama ngukipezi
@MaryamKhawar-h3j2 ай бұрын
Zahir nakuomba mpe mpe moyo atapona kwa nguvu za allah akiwa anafatilia matibabu atapona allah atampa shifaa inshallah mpe moyo
@maximumtvonline2 ай бұрын
Sawa
@mgenimoosa52522 ай бұрын
Mtihani kwakweli
@florarwegerera80252 ай бұрын
Huyu mama amelazimisha kuondoka hospital na hospital alilazwa ili wamuangalie hicho kidonda kikovibaya lakini watua hawa wanakuwaga wabishi sana Mungu amsaidie anapata maumivu sana
@ElizabethWamcha2 ай бұрын
Zahir bwana we ulisema j3 sijui j4 utampeleka ss imekuaj apo amna kitakachofanyika na ela za michango zitqkua azijulikani zinaenda wp na uduma amna
@maximumtvonline2 ай бұрын
Uswaze anapelekwa
@teddyvenance37942 ай бұрын
Namuomben huyo mtoto jaman
@marshaly84732 ай бұрын
Huyo mtoto mkubwa aende na mamake hospitalini na baba abaki na mtoto wake hivo basi
@Husnasalim-f2g2 ай бұрын
Kufut wend aiwezekan huy doctor usikut izo hela anachukua yy maan awana hat maan haw viumb
@superwomansuperwoman20112 ай бұрын
Ka zaili msimamie uyu mama naisi ata ujui kama uwo ugonjwa wa salatani ni mkubwa😢
@nusaebahkeis67742 ай бұрын
Kwa ujuwaji wai😅
@FatumaSaid-t4r2 ай бұрын
Maskini na mwanae.mama hauwi ,akili yake yote kwa mwanae.Allah mpe shufaaa yallabi
@angle36002 ай бұрын
Madaktari wanaroho mbaya
@edithaeugeni96952 ай бұрын
Kitu ambacho hamkijuwi hawa wenzetu wenye ulemavu wa ngozi huwa wanaishigi kwa ratiba zao mie sioni ajabu wao kuwapangya madakitari ratiba yao ya kutibiwa naniwatu wanao penda kujaliwa mda wote popote pale wanapokuwa hususa nisehemu za kupata Huduma za kijamii Hawapendi Husumbufu kabsa nishida tu hazina Adabu ila hawa watu wanajiweka supesho sana😂😂😂😂😂
@clentinangollo78592 ай бұрын
Pole sana,Baba wa mbinguni asimamie hili upate msaada wa matibabu.
@SaraSara-i1l2 ай бұрын
Makosa kurudi ungekaa hospital
@FatumaSaid-t4r2 ай бұрын
😢😢😢🙏
@annamussa1852 ай бұрын
Kwanza amuachishe mtoto mwezi huu apewe maziwa maana now anatoa harufu mbaya kwanini ananyonyesha mtoto jamani why huyo mama naye mjuaji huyo maelezo yake tu yana ujuaji.
@fathiyahmuzney73672 ай бұрын
Sio ujuaj mtu ukikata tamaa hua unaona sawa kuongea chochote
@annamussa1852 ай бұрын
Kila kitu mume wangu yani wote mke na mume hakuna wanachoelewa wanaishi tu
@OmanOman-bx5du2 ай бұрын
😂😂😂nacheka kam mazuri jamani uyu mm kasha chanyikiwa uy
@ElizabethWamcha2 ай бұрын
Apo zahir embu fatilia kuhusu malipo na ela zinazotumwa zinaendaj mi kama uyo baba simuelewi
@fathiyahmuzney73672 ай бұрын
Haumuelew kvp
@PiusIsack2 ай бұрын
Huyu mama anaogopa hospital mumuelewe jaman kaka zahili mpeleke huyo mama hospital jaman
@LevinaMiteo2 ай бұрын
Me ninacho kiona huyu mama bado hajaelewa nn maana ya salatani na hajui nn anaumwa masikini😢😢
@joslinchuwa12982 ай бұрын
Ukweli mimi niko moshi ningekuwa karibu ningemsaidia kukaa na mtoto kaka ananiamini nimchukue.
@AverinaShirati2 ай бұрын
Kwani hawana huruma dokta
@MaryamKhawar-h3j2 ай бұрын
Huo wakiume hawatoweza peke yao kwani huyo baba awasimiwe au kuna ndugu zai
@marshaly84732 ай бұрын
Wana nyanyaswaa sana wanyongee maskini mngu wassidie jamani tuswachee peke yao tuwasaidiee kivovote hi familia
@teedullah57082 ай бұрын
Masikini pole jmn😭😭😭😭
@firdaus74282 ай бұрын
Angelipata mwenye imani akamsaidia mtoto huku akatizama afya yake
@SKY-fk3fz2 ай бұрын
😭😭😭
@SharifAbdallah-bu9hm2 ай бұрын
Wapeleke spital
@pungopungo4112 ай бұрын
Kuna madactari huko Tanzania?hawana huruma .hawana utaalamu .hawana utu wapo wapo tu kama mifungu ya bamia
@fathiyahmuzney73672 ай бұрын
Wanatia huruma hamna wanalolijua zahir wasimamie
@neemamasimba29812 ай бұрын
Mie niliachiwa mtoto wa miezi 2.5. Na sasa ameanza shule , alinyonya miezi miwili na nusu tu.
@florarwegerera80252 ай бұрын
Mimi pia niliachiwa mtoto wa siku 5 na sasa anamiaka miwili
@KhadijaSalum-nf5mf2 ай бұрын
Zahir mtoto wa kiume kuwachia mtoto mdogo ni ngumu
@fathiyahmuzney73672 ай бұрын
Kwel
@jokhahemed2 ай бұрын
Zahiri mdogo wangu please mpambanie huyo mama nahisi amepanik huyo mama
@maximumtvonline2 ай бұрын
Sawa naanza sasa kuhakikisha ameenda hospital
@AverinaShirati2 ай бұрын
@@maximumtvonlinemtoto mpeleke kituo Cha watoto yatima kwa mda
@SalamaBakari-eh1mz2 ай бұрын
Mwambie achemshe maji ya nazi atumie kutwa mara tatu na awache kutumia vitu vyenye sukari sana kwa uwezo wa Allah atapoa
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
Maji ya nazi unakunywa kiasi gani kwa siku?
@MaryamKhawar-h3j2 ай бұрын
Tunakuomba mama samia rais mwenye imani unawasaidia watu umsaidie apate matibabu inauma sana msaidie huyu mama anasikitisha akienda hospitali anazungushwa na madokta asababu hana pesa zakutosha