Nimerudi hapa kuiangalia hii interview baada ya huyu mama kupata ajali na kukatika mkono.! Pole sana Bi Halima
@pcthemaster90962 жыл бұрын
Inasikitisha sana. Ndoto zake maskin zimeishia hapo
@happycharlie1552 жыл бұрын
🙏😭😭
@elishajeremiah82402 жыл бұрын
Pole Sana dadaangu... Wewe mjasili Sana mungu akutie nguvu.
@hamedrashid18822 жыл бұрын
Nakubali Sanaa Halima na pia pole sanaaa tena kwa ajali inshalllah utapona kwa uwezo wa mungu
@kitambimwana49742 жыл бұрын
Duuuuu ilikuwa interview nzurii Sanaa kwa kipenzi changuu Halima ,,Ila leoo ,,tunaongea menginee ,,,pole sanaaa kipenz changu ,,,m/mungu ataweka wepesi ,,,inshallah
@عبداللهباحميد-ت7ج3 жыл бұрын
Hongera. Kwa. Mwana. Mama. IN SHA ALLAH. M/MUNGU. Atakuhifadhi. Na Kila. Baya. Amin
@thatkidluffy63902 жыл бұрын
M.mungu umfanyie mja wako wepesi katika maisha yake na umfungulie kila lenye kheri kwa wepesi na pole sana kwa mtihani
@fredyjeremia70742 жыл бұрын
Pole sana dadangu...imeniuma sanaa.mungu akufanyie wepesi upone Kwa wakati.urudi kujenga taifa
@athumanimapande83942 жыл бұрын
Daaah zaidi ya maumivu nimesikia leo 22/05/2022 amepata ajari amekatika mkono Mungu akusimamia upone haraka
@mosesmzakwe77743 жыл бұрын
Hongera sana sana Mdada. Wanaume jifunzeni sana
@khamiskamtoi26092 жыл бұрын
😭😭😭Dah Dakika ya 19:24 second dah 😥 Mungu Akufanyie wepes Ccter upone Amiin Inshaallah Maisha yapo Bora hujafa Ccter
@montanaprime3 жыл бұрын
Mungu akusaidie sana Mama. Ndoto yako itatimia
@ericktarimo81572 жыл бұрын
Dah Leo ndio umepat ajali Mpak umepoteza viungo... Mungu akutie nguvu up one haraka.. Inshallah dada khalima
@petersynto20432 жыл бұрын
Pole sana best maaana mmmh niimeumia sana baada yakuona ajali uliyoipata Mungu ni mwema daima atakufanyia wepesi upone haraka ili tujumuike pamoja na shughuri za kulijenga taifa letu Tz
@reganndoss26793 жыл бұрын
Ongera Sana pia napenda kuona mwanamke akiendesha gar kubwa pia mi dereva nipo nao kwenye kampun
@juniorshekaoneka96622 жыл бұрын
Halima kapata ajali majuzi akiwa na basi la superfeo akitokea songea kwenda dar na kakatika mkono. Mungu amponye
@sarahmsigwa67282 жыл бұрын
Pole da Halima mungu akupe nguvu kipindi hiki kigumu😭🙏
@aboubackhrkassangullah47553 жыл бұрын
Cku ya kwanza namuona halima nilizani ni konda nilipanda gari nilijua kuwa yeye ndo dereva baada ya kufika nangurukuru kiujumla Yuko vizuri
@mwajumambowa40352 жыл бұрын
Pole dada halima kwa ajali uyopata jana mungu atakujalia utapona 🙏😭😭
@OfficialA836402 жыл бұрын
Acheni Mungu aitwe Mungu na kabla hujafa ujaumbika sasa mkono umekatika kwa ajari aisee awe pole
@aishaally6542 жыл бұрын
Pole halima kwaajali kukatika mkono daaah pole san
@priscajohn60902 жыл бұрын
Pole sana my' Mungu akuponye
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Mashaallah mungu wetu mlinde huyu dada azidi kipaji chake
@aishaally6542 жыл бұрын
Daaaah halima sasa Amepata Ajali juzi 2 kapata Ajali sasa hanamkono inauma
@maikovineventscompany11802 жыл бұрын
HUYU ANAITWA MAMA LAO. MIENING NICE. KILA AKIFIKA LINDI CHETI.
@supertal29432 жыл бұрын
Pole Sana Daa Halima, Allah shifaq
@shanielmasoud41302 жыл бұрын
Hongera sana dada khalima tuko pamoja
@janematuta30572 жыл бұрын
Duh my friend Mungu akuponye
@ladyt14712 жыл бұрын
Hongera sana mamy wanawake tunaweza
@muungujaunguja86092 жыл бұрын
Mshukuru Mungu dada shukuru kwa kila jambo dada yetu utapona🙏
@mosesmzakwe77743 жыл бұрын
Halima kiukweli Abiria wako wanakupenda sana sana.
@mekumeku24842 жыл бұрын
Aliyemwamini na kumpa gari ndio jembe zaidi
@hadijaabdrahamani50893 жыл бұрын
Sio kwa wanaume wetu Dada
@babramakungu26922 жыл бұрын
Dah mambo yetu wanadamu tufanye kimya ki.ya kwa kweli mungu atusaidie leo kilema
@khalidsalum17402 жыл бұрын
kweli kwaniii husda ni nyingiii mnooo
@magrethngonye19812 жыл бұрын
Pole sana kipenzi changu mungu atakuponya
@abdilahijumatv7273 жыл бұрын
Mama lao akisukuma zhongtong climber 💯💯💯
@theresiamilanzi59072 жыл бұрын
Safi kabisa .mimependa 💔
@fatmaabdallah77092 жыл бұрын
Maskini pole halima nimesikia Leo umepata ajali umekatika mkono 😭Allah atakusaidia utapona. Kumbe uliomba kwa mola wako usipate ajali ukakatika kiungo!😭
@siriusa1862 жыл бұрын
nilitaka kuandika Kama wewe mungu ampe subira🙏🙏
@edwardmbungani65242 жыл бұрын
Daah! Nikimuona huyu dada roho inaniuma
@amosmwanga40273 жыл бұрын
Mungu akulinde mama.... big up sana
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Mashallah
@elizabethkalemwa47142 жыл бұрын
Pole halima kushukuru uhai unao
@nasrinairi95563 жыл бұрын
Umeumbwa kuthubutu na kufanya Mama, endelea kujitoa ili ufikie malengo. 🙌🔥🔥
@zwinaalhabsi6643 жыл бұрын
Hongera dada
@imanifrancis83812 жыл бұрын
Du!Mungu akusimamie
@عبداللهباحميد-ت7ج3 жыл бұрын
MASHALLAH.
@zuhurambonde19822 жыл бұрын
Nimejisikia vibaya mpaka nimerudia leo kuangalia upyaa
@pascalnicolaus69862 жыл бұрын
Big up super woman
@jitukorofi95172 жыл бұрын
Pole sana dada
@tanjaniyoman31603 жыл бұрын
Mwijaku oman zamanisana wanaendesha gari wanawake mi saudia tu.
@salamaseif41832 жыл бұрын
Ongera Sana halima
@daudmtange80053 жыл бұрын
Daah huwez amini huyuu dem nishawa kusafili nae kama konda
@fatumaathumani99773 жыл бұрын
Nice one
@danieljoseph16102 жыл бұрын
Hizo km ndogo sana, Mi hapa nazunguka Est africa nzima naendesha bila kuchoka!
@edsonqasus68852 жыл бұрын
Kwa hiyo wewe naye ni demu unaenda enzini na kuzaa coz unajilinganisha na mwanamke
@lydiakangongole67832 жыл бұрын
Mungu akutetee
@mwajumambowa40352 жыл бұрын
Daa umepoteza mkono wako wakulia nimeumia Sana jamani
@iviejustified81093 жыл бұрын
Mashallah.... Hongera saana miaka 10 ndiyo kawaida mtu ana upgrade katika maisha .... Kila baada ya miaka 10 katika kazi yoyote uki focus lazima upande juu uwe master...
@zuhuzuli.51502 жыл бұрын
Pole sana kipenzi😭
@meckrinapaulo81223 жыл бұрын
Namkubali sana mama lao
@ramamchina47302 жыл бұрын
Dada ulikoxea sn kuweka mambo yko adhalani
@mosesmzakwe77743 жыл бұрын
Bora huyo mpumbavu alifukuzwa kazi. Hakupenda maendeleo yako.
@yassinsalum18642 жыл бұрын
Pore sana dada
@kefrinpatson78003 жыл бұрын
Hongera mama.wanawake tunaweza
@sulleyally50403 жыл бұрын
Huyo mume atakae muowa awe na wake wawili lazimaa
@zakiahamisi98403 жыл бұрын
Namkumbuka huyu Dada ,wakati yuko kwenye kampuni ya Hamanju wakiwa wanakuja kutia mafuta kwenye kituo chetu oil com Lindi , na tulikuwa tunacheza nae mchezo Wa kupeana alikuwa vizuri sana
@nekashash21903 жыл бұрын
Naomba namba zake huyo mdada Kwani ameolewa?
@oyay28212 жыл бұрын
Eti watu wa Kenya hawataki masomo? Hio ni athari ya kuishi Tz
@africanflame15213 жыл бұрын
super woman
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Sasa la ajabu nn? Hiv wanawake mnajiweka WAP? Ndyo maana mmepewa nguvu ya kubeba mimba na kusukuma mtoto, halafu mjue ni binadamu Kama binadamu mwingine tu! Wote akili ziko sawa na binadamu mwingine! Kwa hiyo hamna sababu ya kubweteka kuwa et kazi ngumu ngumu nj za wanaume!
@maufoung3 жыл бұрын
Ukiona gari ya Kwanza inaingia dar ujue alima anatembea ovyo huyo hatar
@shabansalee49242 жыл бұрын
Uyo mtoto kuna mtu anaitwa Aridi simbaaa ama kichuya muuliziee uyo utapata moto wake uyo naraaaaaa ataliiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤐
@samwelmhando91043 жыл бұрын
Mama Lao
@mohamediyusuph55272 жыл бұрын
Huyu dada hanywi energy ili kutoa usingizi
@amoselead40293 жыл бұрын
Badirsheni kama tunduru siyo tunduma
@babazungu31803 жыл бұрын
Masaa 8 tu hp km 800 kwa south Africa speed 120
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
Much 😂😃😃 DURBAN J, BURG KM 600 Tu Lakini Ma BUS Yanatembea Masaa Ma Nane 😃😃😃 INTER CAPE , TRANSLUX , Sijui GRYHOND Zote nimepanda na Hakuna Bus Inatembea KM 120 BUS zote zina Stika Za KM. 100 PH na KM 80 PH
@maurididinani74533 жыл бұрын
Tatizo la huyu dada anakimbiza sana gari
@aboubackhrkassangullah47553 жыл бұрын
Kiboko ya baraka classic huyo halima
@shabbymakapaneshabby50002 жыл бұрын
@@aboubackhrkassangullah4755 😂😂😂 Wacha weeh
@priscamlyuka55312 жыл бұрын
Leo kapta ajali dah Mungu amlinde
@happyvilukamtawa89483 жыл бұрын
Mama lao hilooooooo
@khadijakadunda62333 жыл бұрын
mm mwenyew dereva wa Lori nimefurah Sana
@fatumadavd5053 жыл бұрын
Nakupataje halima ili unipe muongozo napenda sana hii kazi my dear
@kambiantony60983 жыл бұрын
Khadija kadunda mie mwenyewe napenda hii fani dada naomba unishike mkono
@khadijakadunda62333 жыл бұрын
jaman Kwan ww dereva
@lilianievaristo59223 жыл бұрын
Khadija naomba tuwasiliane plz nataka kuwa dereva wa maroli.