ISAYA 9:6 "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, (Mungu mwenye nguvu), Baba wa milele, Mfalme wa amani." soma maneno niliyoyawekea mabano.!! Yesu ni Mungu na mwokozi wa maisha Yangu❤
@AugustinPatrick-gt8ex5 ай бұрын
@@Mroni5451 🤗
@desaumwaweza8 ай бұрын
Good jobu
@anthonyassenga23657 ай бұрын
Thanks
@anthonyassenga23657 ай бұрын
🙏🙏
@jastinmkoba8 ай бұрын
🙆🙆🙆🙆🙆🙆🤤
@anthonyassenga23657 ай бұрын
🙏🙏🙏
@mohamedally1218 ай бұрын
Wewe nae ni mpuuzi kweli, yesu angekuw mungu lazima kungekuwepo andiko la wazi kabisa, sasa njia ndo Mungu?? Naamza kumuelewa mzee
@NasekileAnthony7 ай бұрын
Inawezekanaje. kuwa yesu kuwa mwana na kuwa baba wakati ni mtoto mzee waupako hupo sahihi nawaomba sisi watu tusome vitabu vya bibilia
@GodfreyMonzo6 ай бұрын
Hao wachache tunaomuunga mkono mzee wa upako tunamuwakilisha nuhu wakati wa ghalika
@GodfreyMonzo6 ай бұрын
Mungu ni yeye yule jana leo na hata Milèle Utatu mtakatifu, kwa lugha rahisi ni uzihirisho wa mungu kwa wanadamu, uzihirisho huo uko katika nyakati kuu tatu, wakati wa Adam, Abraham, nuhu musa mpaka kufikia sulemani, mungu aliongea moja kwa moja na wanadamu, mfumo huu wa mawasiliano ya mungu kwa wanadamu ulipungua na hata Kupotea kabisa kutokana na machukizo ya wanadamu mbele ya uso wa mungu, uasi ukawa mkubwa, Mungu katika asili yake ya huruma na upendo akaamua kujizihirisha tena kwa wanadamu kupitia yesu kristo aliyemuita mwana ambaye sifa na ukuu wa mungu ulijizihirisha kupitia maisha yake, wakati wa yesu watu waliuona ukuu wa mungu kupitia kristo yesu na kupitia yeye watu waliponywa na kubarikiwa, Yesu alipokaribia kuondoka duniani aliwaahidi wanafunzii wake hatawaa wakiwa bali atawaletea msaidizi wa kuwaongoza ambaye ni roho mtakatifu, ambapo kupitia roho mtakatifu kizazi cha sasa tumeendelea kuuona uwepo wa mungu katika maisha yetu na kupata nafasi ya kusema mbele za bwana mungu watu. Kwa ujumla Mungu baba,, Mungu mwana na Roho mtakatifu ni nyakati kuu tatu ambazo mungu alijizihirisha kwa wanadamu. Hivyo Mungu ni yeye yule jana, leo na hata milele....Amen
@AugustinPatrick-gt8ex6 ай бұрын
@@GodfreyMonzo Amina
@bumijamshana10457 ай бұрын
UNAWEZA KUANZA VIZURI ILA UKAMALIZA VIBAYA HII NI HATARI KUBWA KWA LUSEKELO
@AugustinPatrick-gt8ex7 ай бұрын
🤝🤝🤝
@BensonKaminyoghe7 ай бұрын
Ninabii wa uongo
@AugustinPatrick-gt8ex7 ай бұрын
🏃🏃🏃
@anthonyassenga23657 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/m5inaqZ5bcRkq5I Mungu awabariki watu wa mungu kwa kufuatilia watumishi wa mungu karibuni pia muendelee kujifunza neno la mungu