INJINIA HERSI AFAFANUA MKANGANYIKO WA TAARIFA ZINAZOSAMBAA AZIZ KI KUONDOKA YANGA,VAR ATIA NENO

  Рет қаралды 13,614

Mawengi TV

Mawengi TV

Күн бұрын

‪@YoungAfricansSCTV‬ ‪@simbasctanzania255‬ ‪@Yanga127‬ ‪@simbascfanstv‬ ‪@simbascfanstv‬ ‪@ayomamedia7511‬ ‪@manaratv__‬ ‪@MpenjaTV‬ ‪@mavalatv‬ ‪@PMTV‬ ‪@NgwaleSportsHD‬ ‪@Salambatv‬

Пікірлер: 9
@MohdAli-fl2ef
@MohdAli-fl2ef 3 ай бұрын
Anawakimbia hugo Aiken wananchi
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 3 ай бұрын
Mmmh waandishi Wa habari wa kibongo bwana daaaah
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 3 ай бұрын
Tatizo waandishi na wachambuzi wa Soka wengi wao uelewa wao ni mdogo. Hivyo wanataka kutulisha Matango Pori.
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 3 ай бұрын
Waandishi wengi uelewa wao ni wa kiwango cha chini ....maana kusoma kati kati ya mistari napo ni shuda😂
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 3 ай бұрын
Msimu ujao Kuna mtu kama shekhani ibrahim okrah paccome Joseph Guede Mudathiri hao watasumbua sana ipo ivyo nipo paleee nimetulia
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham 3 ай бұрын
Shida watangazaji ni vilaza huu ndo ukweli ,hawana weledi wa kutafuta habari,ndo maana waogopa kuhoji Kwa kingereza,hawajui hata thank you inamaana gani
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 3 ай бұрын
Kila siku Azizi ki mnamungea yeye tu KUONDOKA yanga alafu ni Bora aende Kuna mtu kama shekhan ibrahim anafanana Kila kitu na Azizi ki isipokuwa dogo apewinnafasi pia kocha amuamini ila yule kshekhan ni nomaaa
@Mawengitv
@Mawengitv 3 ай бұрын
Hilo nalo neno
@raymondswed7358
@raymondswed7358 3 ай бұрын
Aziz ki kama anaenda aende tu...atufutwe mwamba mwingine wa kureplace. Yanga ni lidude likubwa. Ila tuwe serious Shekhan ni mzuri ila sio kumtegemea kutupeleka nusu fainali klabu bingwa Africa maana bado anakua.😂😂😂😂😂😂
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 3,9 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 61 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 5 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 3,9 МЛН