Mungu awatanguliye jeshi letu inshallah tutashinda daima mbele ❤❤❤💚💚💚
@AnnaMarthias14 сағат бұрын
mungu awa saindie sana kwajina ra yesu
@monicalucas373819 сағат бұрын
MUNGU awatangulie ktk safari yenu na MUNGU awape afya njema wachezaji wetu awaepushe na majeraha na wakacheze kwa kujituma tupate matokeo mazuri 🙏
@Beagasper14 сағат бұрын
Eeeee Mungu wa mambo yasiyo wezekana nakuomba utusaidie tushinde match hii
@YahayaBakari-hf5yk15 сағат бұрын
Mungu atusaidie tufungwe kama goli 2-0
@RobertKajege22 сағат бұрын
We believe we can come up with good performance and results the only thing we need is to be ready to change our first eleven squad selection by starting with players like diara ,yao , Aziz andambwile, job,bacca, mkude, mzinze, aucho, musonda, Aziz ki and chama . This is our winning team please technical bench get this done
@Asamtz36019 сағат бұрын
Azizi andambwile?!!! Work done=0 Mudathir instead.
@JoseHaule-tx7lu19 сағат бұрын
Yes boll inataka uongee kwa adabu namuna hiyo
@hassanyassin-ny3qh16 сағат бұрын
Yanga iyo itafungwajee.? Nendeni mkakandwe na mazembe.
😂😂😂 hata malaika hawaja shuka kichez mechi na yanga msha anza kuomba MUNGU inshallah mnafungwa Tena kwa kuzalau malaika wa MUNGU😂😂😂
@Kuminamoja19959 сағат бұрын
Ameen
@BashiruMchelenje-zs3fs18 сағат бұрын
Sisi tunawaombea...je wachezaji wapo tayari kucheza?.
@elisantedyumyeko429719 сағат бұрын
🎉Matapishi tunayoyameza kutoka Simba na Azam yanatukosesha raha. Pia kicha Bingwa wa kufeli anatuumiza. Tutapigika sana Eng Hersi sitamani kuiangalia mechi kwani vipigo vimezidi
@kupazahotnews674718 сағат бұрын
We simba
@JohnMbogo-c1n17 сағат бұрын
Panya road na matapishi yako mambo ya Yanga yanakuhusu nini😅
@LilianBitwale22 сағат бұрын
Kwan huyo boka haponi tuuu 😢😢😢kheeee aseeee
@hawamasanje958923 сағат бұрын
Msemaji achana na hao wachambuzi uchwara usizungumze nao
@AishaNgoyi-vi2ku15 сағат бұрын
Mungu tusaidie tufunge ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@Ba63828Күн бұрын
Uhalisia. Waafrika tuna matatizo hamjui wa-Israel na Waarabu wanasali kila nukta na kumuomba huyo Mungu lakini anathibitisha hayuko?