IRAN:TUNAENDA KUSAINI MKATABA KUUNGANA NA URUSI TULINDE MATAIFA YETU/HAKUNA ADUI ATAWEZA KUTUKARIBIA

  Рет қаралды 15,448

THE WORLD NEWS

THE WORLD NEWS

Күн бұрын

Пікірлер: 99
@ShehaHaji-k8t
@ShehaHaji-k8t 13 күн бұрын
Safiiiiii Iran sio kuilinda Iran mkataba uwe ikipigwa Iran imepigwa urusi ikipigwa urusi imepigwa iran
@RashidBusanya
@RashidBusanya 13 күн бұрын
Safi sana safi sana nataka kuwaona wale wanajiita taifa la mungu time is over
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 12 күн бұрын
Hongera Urusi hongera Iran dunia sasa inaelekea kwenye amani shukrani kwa muungano wenu wenye faida kwa amani ya dunia.
@MirajiWaziri-hl2hc
@MirajiWaziri-hl2hc 12 күн бұрын
Mashaallah mungu awape nguvu
@IsayaJoseph-v3s
@IsayaJoseph-v3s 13 күн бұрын
Safi sana urusi mkombozi wa wanyonge
@ramadhaniOsujacki
@ramadhaniOsujacki 13 күн бұрын
Habari hii ni nzuri sana mungu akubariki
@gotfriedmwesiga4234
@gotfriedmwesiga4234 13 күн бұрын
Hivi Iran ikipata nguvu hivyo si amani itapotea kabisa duniani ? Kwasababu angalia makundi yote yanayopigania dini yéyé ndo anatoa hela
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 13 күн бұрын
​@gotfriedmwesiga4234si kweli huyu analinda wanaoonewa
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 13 күн бұрын
Lini umesikia Iran imeanzisha vita?
@HajiMkomwa
@HajiMkomwa 13 күн бұрын
​@@gotfriedmwesiga4234ww waanzilishi wa vya ni Israel na marekani yaan nch za magharibi tuambie Iran alianzisha vita wapi?
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 13 күн бұрын
​@@gotfriedmwesiga4234 Irani dini yake sio ya kiislam ila dini yake ni ushia Na ushia sio uislaam na hili halijui Ila mtu mwenye ilimu ya dini Kwahio Urusi anajua kabisa kwamba dini ya Irani ni Ushia hivyo Hana wasi
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 13 күн бұрын
Safi kaka Adam Hussen 💚💚💚
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 13 күн бұрын
Hapo mumemaliza vijana sasa hao mbuzi na wajusogeze waone kilicho mtoa kanga manyoya🤝🤝💪💪🇷🇺🇮🇷🇮🇷🇷🇺👏👏👏👏👏🤝🤝👍
@YussufHaji-g1j
@YussufHaji-g1j 13 күн бұрын
Ewe mungu jaalia mataifa haya yaungane Kwa Amani na salama siku sio nyingi amiin
@issadullah2074
@issadullah2074 12 күн бұрын
Safi sana mtangazaji hapo nakubali Bola waungane maana hawa mashoga kazi yao kuangamiza uchumi wa wenzao marekan moto unawaka mpaka watie adabu
@hassanibakari9667
@hassanibakari9667 12 күн бұрын
Inshallah Allah awatie nguvu ni hatua ya kupongezwa na ni hatua muhimu sana
@evancemichael5489
@evancemichael5489 13 күн бұрын
Huu muungano ni mzuri Sana kwa mustakabali wa amani duniani, lakini upande wa pili wakileta mchezo mchafu watakuwa wamejimaliza wenyewe
@jumamayonga8914
@jumamayonga8914 13 күн бұрын
Power!!!
@MbaroukAbdallah-k8h
@MbaroukAbdallah-k8h 13 күн бұрын
Tunakupata vzr Adam husein
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 12 күн бұрын
Itamsaidia sana Iran kupata technology ya urusi hasa makombora hatari ya oreshnik, nuclear na yale ya mabara
@AmaniMathod
@AmaniMathod 13 күн бұрын
SAFI URUSSI NA IRAN NA CHINA
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 13 күн бұрын
Siku siyo nyingi tutaona Urusi na China wakiungana kijeshi😂😂😂
@azizmiraji2610
@azizmiraji2610 11 күн бұрын
​@@maniamba.tz_marekani mavi yatambana
@hawrajehan2398
@hawrajehan2398 13 күн бұрын
ORESHNIK IPO NJIANI INAKUJA IRAN
@mansoursiulapwa8624
@mansoursiulapwa8624 12 күн бұрын
Yule Yahudi atabutuliwa vibaya sana 😂😊
@babuloliondo74
@babuloliondo74 13 күн бұрын
Safi sana wailani na mshilika wako
@nordbrowntz1665
@nordbrowntz1665 9 күн бұрын
Mbona kazi ipo
@safeniubwa3588
@safeniubwa3588 13 күн бұрын
Kazi ipo.
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 13 күн бұрын
Saf sana iran umoja ni nguvu
@ummukuluthum1355
@ummukuluthum1355 13 күн бұрын
Allhamdolillah
@Nyamataga22
@Nyamataga22 12 күн бұрын
Uraaaaa💪💪💪🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo 12 күн бұрын
Allahu-akbar 🇦🇪
@MordAlly-ng8jj
@MordAlly-ng8jj 12 күн бұрын
Wanatakiwa waongeze north Korea na China kisha wazoe nchi zote karibu yao
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 10 күн бұрын
N korea tayari,bado china& Vietnam
@mombasa0076
@mombasa0076 9 күн бұрын
HAKUNA TENA KUONEANA
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 13 күн бұрын
mi ninawaambiaga ukiwa huna nguvu jisogeze kalibu na mwenye nguvu
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 12 күн бұрын
Hawa ndo wanaume
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 12 күн бұрын
👏👏👏👏👏
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 12 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@isaacvtv547
@isaacvtv547 11 күн бұрын
Wa africa ndio waoga tu. Machafuko yote ya Congo Tanzania wakitaka yaishe inawezekana
@Kulindwa
@Kulindwa 12 күн бұрын
Iran inahaha
@FadhiliAlly-fy2tx
@FadhiliAlly-fy2tx 13 күн бұрын
Vita ya 3 haiepukiki
@husseinc
@husseinc 13 күн бұрын
Iran asimuamini urusi mojakwamoja kuna kuuzwa ili nadhani analitambua, iran ijihimarishe yenyewe kuongeza uwezo
@IsayaJoseph-v3s
@IsayaJoseph-v3s 13 күн бұрын
urusi haina tabia ya kugeuka geuka fatilia historia yake. Iran ipo sehemu salama asilimia mia.
@sallumabeid1162
@sallumabeid1162 13 күн бұрын
Urusi sio kigeugeu ndio maana miaka yote aelewani na mataifa ya magharibi ambayo yanapelekeshwa na marekani vita iliopo kubwa duniani ni marekani na urusi kwasababu hayo ndio mataifa yenye nguvu nahakuna sehemu yenye vita halafu ukute Marekani na Urusi wakae upande mmoja haijawahi kutokea
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 12 күн бұрын
Urusi sio marekani
@Malcolmxtv
@Malcolmxtv 12 күн бұрын
Kweli kabisaaaa ​@@sallumabeid1162
@husseinc
@husseinc 12 күн бұрын
@@IsayaJoseph-v3s urusi ukaa mara kwa mara na marekani kuingia makubaliano uoni mtu huyo anaweza kukuuza?
@FrankAugustino-g2s
@FrankAugustino-g2s 13 күн бұрын
Ahahhahah mkileta ujinga tu mtapigwa
@wanguwangu34
@wanguwangu34 12 күн бұрын
Mbona Syria imeguswa
@ShehaHaji-k8t
@ShehaHaji-k8t 13 күн бұрын
Wameyatafta magharibi wameyapata bdo Venezuela na cuba
@KhamisShekifu
@KhamisShekifu 12 күн бұрын
Kwisha kazi yao Marekani
@mohamedmarijani
@mohamedmarijani 12 күн бұрын
🇮🇷🇷🇺❤️
@sulaimanabdullah-qp8vs
@sulaimanabdullah-qp8vs 13 күн бұрын
Wenye akili wanajitambuwa
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 12 күн бұрын
Gogu huyo anajiandaa kwa vita iliyotabiriwa .
@FaustineRichard-kk5xt
@FaustineRichard-kk5xt 12 күн бұрын
Wewe unajua sana, unajicho la kiunabii, hongera sana wasio jua ngoja wamshangiloe Gogu. (Yesu)Yahshua hamashia anakuja huyo yuko mlangoni. Israeli tayari itaichokonoa Irani na urusi, Mungu nisamehe uovu wangu kwa damu ya Yahshua amina.
@JosephSozi
@JosephSozi 13 күн бұрын
Urus mwenyewe ukrain yamtoa jasho
@IsayaJoseph-v3s
@IsayaJoseph-v3s 13 күн бұрын
Ww ujuikitu upo nyuma ya muda
@clementsabuni75
@clementsabuni75 13 күн бұрын
Weee kenge Ukraine haiwezi kuitoa jasho urusi mmeshabiwa vita vya Ukraine ni Nato anapigana na Ukraine kwahiyo Nato wamejificha kwa jina la Ukraine jana kuna nwanajeshi mmoja wa Australia amekamatwa na urusi yaani marekani anajua kuwapambaza watu akili na wananwamini hasa sisi waafrika ndo wajinga kabisa mnajengewa imani kuwa Ukraine anapigana na Urusi na mnaamini kama matahira wakati marekani na Nato wapo nyuma ya Ukraine wakimsaidia zelensky comedian.
@clementsabuni75
@clementsabuni75 13 күн бұрын
Waafrika wachache tu ndo wenye ufahamu wa kujua Nato ndo anapigana na urusi kwa mgongo wa Ukraine miaka mitatu sasa kilichotokea Siria tayari marekani ameshajigamba ndo amemwangusha asadi hata kwa mfano ikitokea Ukraine ameshinda vita atakaejigamba ni marekani na Nato wala sio Ukraine kwahiyo Ukraine hawezi kuushinda urusi wala kuitoa urusi jasho wanaoitoa urusi jasho ni hawa manyang'au yanavaa combati za kijeshi za Ukraine.
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 13 күн бұрын
Urusi wangekuwa na akili kama za hao manyang'au angekwisha iangamiza Ukraine kama wao walivyofanya gaza
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 12 күн бұрын
32 vs 1
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 13 күн бұрын
Hao wote watapigika ni jambo la muda tu
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 12 күн бұрын
Hao sio Iraq au libya tambua
@AziziSalimini
@AziziSalimini 12 күн бұрын
Mawazo ya shoga 😂😂unateseka ukiwa wap choko
@mansoursiulapwa8624
@mansoursiulapwa8624 12 күн бұрын
Watapigwa na nani!? 😂 ..huyo aliyeshinda hata kukomboa Mateka na Kumaliza Hamas ndo ataweza kupigana na Iran pamoja na Urusi 😂 ..unaota wewe! 😂😂😂😂
@AyubuFufulu
@AyubuFufulu 13 күн бұрын
Haiwezekani niongo
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 13 күн бұрын
🐕 Tafuta 🐕 Channel 🐕 Yako 🐕 halafu 🐕 tangaza 🐕 habari 🐕 za 🐕 ukweli 🐕 mbwa 🐕🐕
@ErickWankuru
@ErickWankuru 13 күн бұрын
Assad kapinduliwa na mrusi anamtazama hivi hivi
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 13 күн бұрын
Kwani Wewe ulikuwepo? Yaani Mijitu mijinga sana sijapata kuona mimi duniani huna mpango wowote umasikini tu unawasumbua mbwa 🐕🐕🐕🐕 mwitu Wewe
@Sh_Taqee
@Sh_Taqee 13 күн бұрын
Ina Mahusiano gani hiyo na mikataba ya kuungana ya Iran na Urusi?!
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 13 күн бұрын
Kuna mmoja anadai mrusi kashidwa Syria.
@totobest6913
@totobest6913 13 күн бұрын
Kafiri urusi hawezi kuitetea irani
@DeusRobart
@DeusRobart 13 күн бұрын
Kafiri bibiako
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 13 күн бұрын
wewe ndo kafili wenzako wanaungua moto kutoka kwa mungu uko
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 13 күн бұрын
​@@DeusRobart😂😂😂
@Sh_Taqee
@Sh_Taqee 13 күн бұрын
Acha kauli za hovyo
@amournassorsaid7694
@amournassorsaid7694 13 күн бұрын
Kuna tofauti kati ya wakristo na wazayuni
DKT. NCHEMBA AKABIDHIWA NOTI MPYA 2025
5:07
Hazina TV - Wizara ya Fedha
Рет қаралды 241 М.
How to have fun with a child 🤣 Food wrap frame! #shorts
0:21
BadaBOOM!
Рет қаралды 17 МЛН
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН
В Швеции ищут, кто разорвал подводный кабель
1:01
Euronews по-русски
Рет қаралды 30 М.
URUSI YATOA TAMKO ZITO KWA KAGAME
5:10
THE WORLD NEWS
Рет қаралды 2,6 М.
FALANQAYNTA SIYAASADDA CAALAMKA | WARARKII UGU DANBEEYAY
15:44
BRIT SOMALI TV
Рет қаралды 21 М.