This dress reminds me of Grace......the one that Stano rescued and had to give up his logbook trying to save her life
@CharityWachira-zw9cf2 ай бұрын
Mwanaume ameambiwa ukweli mtoto si wako ni WA Tony.jitoe
@godfreylangat22432 ай бұрын
This Girl loves this guy and for sure Tony ni kama ameruka mtu
@judithmelvinealuchio89682 ай бұрын
nimejifinya sana ku comment ila Stan unavyo angalia nikama wewe ni jirani unaskiza umbea😂😂😂
@annderrick212 ай бұрын
Huyu dame atachapa walai bro peana mtoto na usahau huyu dame kabisa acha atembeze asonge akisonga mbele kama injili......ebu mpatie aache kukuaibisha mbele ya camera ataregret after kuchukua virago zake..
@Mercymagie9662 ай бұрын
Bro sorry tunaelewa hukua umepanga kua single bt kuwa na dem kaa huyu heri kua singler,jitoe utapata wa jino lako😢nipitieni tukingoja tonny
@CynthiaKatunge2 ай бұрын
Huyo mwanaume ni mjinga aje surely 😢😢
@Kienyeji25802 ай бұрын
This dude anaforce issues sana,the lady moved on kitambo sana,the sad part is that he just know the truth today and he is not ready to face it thats why hakubali matokeo,,,,,THIS MAN IS IN DENIAL THAT STELLA AMEFANYA HIVYO!!! Farrel hataacha Stella,anapewa KASUSU na atatulia,,,,SAD PART IS THAT,STELLA IS NOT IN LOVE WITH THAT GUY,PERIOD!!!!!!
@Nellykowaka.99882 ай бұрын
This lovebird loves each other ❤
@beckymaria21252 ай бұрын
I can feel the pain of this man sacrificing for the woman and kid just to find nothing is yours this woman will never see peace 😢
@consolatanechesa30042 ай бұрын
Stano plz tunataka hiyo takataka ya Tony plz pia hiyo malaya imrambe nkt
@KingSlayer-o1w2 ай бұрын
I just love the lady, beautiful and composed. Stano get me this lady. She only does not know how to express her regret. I want her digits.
@gracekamau82442 ай бұрын
Huyu mwanaume ni nini unafuatilia leave this lady alone ni malaya nguo yenyewe inakuonyesha ameiva kwenda koinange bro cast net 2 other waters she is not only fish in the pod.
@ivymugei2 ай бұрын
huyu msichana achekomaa akili bado ni kajinga,wwe mzee tafuta mwanamke amekomaa akili
@leahndungu37132 ай бұрын
Msichana Hana pa kwenda 😂😂
@Beatricemidecha2 ай бұрын
The pain of bringing up the kid and after sometime you get News the kid is not yours😢
@adungafredrick59812 ай бұрын
There are alot of positives in it in my opinion. It would have been disastrous had it gone longer
@Lizkeen19452 ай бұрын
The fact that she prolonged this meet up and kept talking, she wanted this relationship to work. But kiburi nayo...wueh....
@edwinonyango16912 ай бұрын
I think so cuz she says if there was money she couldn't cheat.
@millicentmukoya12922 ай бұрын
hizo minutes zote kuargue mbona mnawaste time take round round for wat..hawa wanapendana hii mzunguko ni ya mapenzi
@dismassmaranga89032 ай бұрын
Keep da area safe b4 we join da city of chuma ulete...[Gold diggers]wako after money not love nimeenda!
@Nancy-h8k2 ай бұрын
The way they talk ....watarudiana tu
@bernardgatimu51282 ай бұрын
Wewe mwanaume unaniudhi, achana na mtoto wa wenyewe, usijiabbishe mbele y camera
@Grace-p2u2 ай бұрын
😂😂😂wuuyi ati ata yeye c wa babake audacity
@annwakonyo4372 ай бұрын
Natumia buddles Bure hapa
@beatricemacharia45992 ай бұрын
😢😢 Gen z,,bro run for your life 🏃🏃🏃
@kivatirokitojo6572 ай бұрын
I like this conversation is very soft 😂😂ni body is ready to party
@HarisonKangethe2 ай бұрын
Cwezi pata hiyo tym yote ya kuongea na hii genz
@stephaniekimani4982 ай бұрын
Hizi nguo za bladders ziogope zimebeba umalaya mbaya🔥🤣
@fidelisnganga17592 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣😂wacha kuekelea nguo
@stephaniekimani4982 ай бұрын
@@fidelisnganga1759 🤣🤣🤣🤣
@rosemsaki11112 ай бұрын
HIKI KIZEE KING,ANG ANIZI ACHIA NGAZI MJUBA!
@joycewambui-sq9pw2 ай бұрын
Unakosea mtu then unalusha mdomo hivo 😢angeenda tuu aki ana mhearbreak tuu😢 kitamramba atarudi akinyenyekea😢😢
@LilianWasike-jo7wr2 ай бұрын
Huyu jamaa akutane na mwamburi wa Mombasa waimbe wote wimbo wa Stella pliz
@rhoonestsirooyan48232 ай бұрын
Hao watu wanapenda saaaaana. Nivile jamaa huwa a perform kwa bed.
@LYDIA-mx5dw2 ай бұрын
Ok
@esteroseollotu61192 ай бұрын
Nilikuwa na huzuni juu ya huyu jamaa, ila wananifurahisha
@marymbugua88752 ай бұрын
But hawa watu wanapenda❤❤
@jehovahelgibortv92522 ай бұрын
I really pity this man
@salomenjeri50852 ай бұрын
Stano, we need vayolence 😂😂😂so you tell this man agonge🏌️🏌️huyu mama proper
@consolatanechesa30042 ай бұрын
😂😂😂😂na Tony akuje on set😂😂😂
@salomenjeri50852 ай бұрын
@@consolatanechesa3004 kabisa 🤣
@shemomae46902 ай бұрын
WAP EPISODE YA GODON YAKUUA JULIA'S NIMECHOKA KUNGOJA MIM
@CyphroseRobert2 ай бұрын
Stanoo huchoki kusikiliza pumba 😂😂
@virginiawandia75292 ай бұрын
Ak bna hamuogopagi laani,do you think unaeza fanyia mwanaume hivi na success in life
@CrsAlzaid2 ай бұрын
Legend na Gen z nivitu viwili tofauti 😂😂
@ALBERTGITONGA-l6p2 ай бұрын
Awa Wasee wanapendana deadly bado, but uyu dem ni wale awatoshekangi na nini
@CateWangari-z8s2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na nini
@ALBERTGITONGA-l6p2 ай бұрын
@@CateWangari-z8s nini tu. Elewa
@CharityWachira-zw9cf2 ай бұрын
This dude is in denial
@kijanamzee1787Ай бұрын
i think if these couple was to go for therapy i think they would work things out coz they seem to genuinely care for each other
@JosephatHennry2 ай бұрын
Stano huyu brother sio pekee hadi mm nilijikuta kwa hali ngumu naelewa ujungu wenye huyu brother anapitia
@consolatanechesa30042 ай бұрын
Sorry 😂😂😂😂😮
@MagdalineMbaru2 ай бұрын
Mwanaume anapena madam 😂😂😂😂😂
@WairimuNdungu-qj9lw2 ай бұрын
ati atakla mawe Leo 😂😂😂
@everlineeverlinewamalwa2432 ай бұрын
Wakae tu pamoja walee mtoto huyu atazaa wake hapo ni kama wanapendana sana,,
@bonjourtv25882 ай бұрын
Stano always bring the other party as you used to do - one cheated with
@maryngatia23622 ай бұрын
Stano huyu mzee akiashwa ni connect na yeye ni mzee Smart sana.
@rosemarykihara95962 ай бұрын
Kijana JOB of the Bible lost everything but GOD restored everything. Forget this woman and forge ahead. Let her go to Tony who already has a family. Get yourself another woman for a wife
@ezekielndungu122 ай бұрын
Tunajua ni ngumu, lakini bro, it's time uachane na huyu dame. The more you argue with her, the more she'll humiliate you. Jipende na ujijenge bana.
@patrickngugi20462 ай бұрын
Stano, bring Tony in the mix. The girl is playing both men.
@paulinanduku27482 ай бұрын
Hii ndo inaitwa situationship ama
@FridahGakii-t9p2 ай бұрын
Si pia yeye afanye kazi shes trying to justify Umaliya 😁😁😄😄😃
@shu-r3r2 ай бұрын
huyu mwanamke hata akiolewa na tuni joni moni haaminiki c mwanamhuyu c muaminifu nyoka
@maryngatia23622 ай бұрын
Boy child mko na shinda kubwa sana.
@alexsaidi39402 ай бұрын
Hwa wanapendana nikutusumbua TU APA
@kivatirokitojo6572 ай бұрын
😂😂nikikuangalia tu naona Tony 😂😂
@lucycharles-b8m2 ай бұрын
Mzee mzima ameoa gen z analala Kwa kiti😢
@virginiawandia75292 ай бұрын
Ak the guy looks old
@lucycharles-b8m2 ай бұрын
Anakaa huyo ni daughter kwake
@rukschronicles7582 ай бұрын
The😅 cuckoo bird story. Kutaga kwa kiota ya mwenzako...
@muyokagoret20112 ай бұрын
Brother leave her go ur Way 😭
@maazuu-dm7zr2 ай бұрын
MY GENDER PULL DOWN YOUR EGO LET YOUR E- GO ASK FOR FORGIVENESS AND YOUR FAMILY WORK OUT here IS NOT EASY U LOOK YOU REALLY LOVE EACH OTHER.WE ALL NEED A NOTHER CHANCE SINCE WE ARE NOT PERFECT.MUCH ❤ BRETHREN
@priscillamakena38842 ай бұрын
I don't understand why this man is following the lady... the heart of this woman is where the money is..... brother, OGA urudi kwa field Tena.......n remember out there money first...... love second
@zeinabuAchiengOkara2 ай бұрын
Mzae mpee mtoto wake umove on na maisha
@nvionasenya83962 ай бұрын
Ety ameishi akilala Kwa kiti
@Yuca8782 ай бұрын
Worst episode mtu hakuwi remorseful. Man seach your type
@Princess-g4u-i1v2 ай бұрын
Not Mrs right sir..🏃🏃🏃🏃
@khamisijuma31672 ай бұрын
Hawa Nima crazy wawili
@shaloboy38612 ай бұрын
The man still in love❤❤
@francismburu75442 ай бұрын
Akuna kuachana hapa,focini tu
@RAZIZATUTI2 ай бұрын
Kumeumana hapa
@Faluthe2 ай бұрын
....4:20 😂😂😂, what a start
@FAVOURGRACEKIBALI2 ай бұрын
huyu demu ni mtoto bado hajakoma not ready for marriege
@kyalombili49502 ай бұрын
maneno mingi enda DNA mara moja
@emeldernyamwaya25732 ай бұрын
😢😢mmmh warembooo.
@Semi5392 ай бұрын
DNA ifanyike mara moja ama afanye traditional dna nimshow sai
No wonder wanawake wa siku hizi wanapata mtoto amekua kidnapped na kuuawa juu ya ujinga kama huu. Unaambiaje mwanaume kwa macho yake ati mtoto si wake. Nawezz fanya wewe kitendo uishi kulaani siku ile ulizaliwa
@mbuvemakau2922 ай бұрын
This guy is a joke 😂
@judynzuki51832 ай бұрын
Amesema anaitwa Stella nani?
@pascalinemuthanga832 ай бұрын
Huyu mwanaume ni mjinga anavuruta makamasi kama mtito kwa nini
@MargaretWangui-v2i2 ай бұрын
Ni ni baya na wanaume mtu amevaa umalaya na unamfuatilia tu
@ElizabethWamboi-ur6oq2 ай бұрын
Waaah huyu Dame aki
@Grace-p2u2 ай бұрын
Kanaakaa don't care
@selinahmuthui10792 ай бұрын
Next lete Tony sasa
@judykamau61212 ай бұрын
Not compatible
@ماجيالروسري2 ай бұрын
Sasa huyu ni mwanamke wa kukaa chini na yeye muongee? Hata hana heshima anaongea bila second thought, Siku yenye Tonny atakuja kwa set atajua hajui coz pia yeye anachezwa
@johnstonekisengi66972 ай бұрын
Hawa wanapendana hawataki kuachana
@fidelisnganga17592 ай бұрын
Ukweli aki woiye i wish this lady is remorseful jamaa ameumia
@doreenshii5632 ай бұрын
Stano ulifanya poa kubuy mic
@tonymg98922 ай бұрын
Hii ujeuri ya wanawake hutoka wapi?
@Zaza-bt1hx2 ай бұрын
I HOPE TONY SEES THIS
@CollinsNdira2 ай бұрын
Watu wamechokana😂😂😂😂😂
@marywatetu-w1k2 ай бұрын
Hii ni nguo ......
@CyphroseRobert2 ай бұрын
Nusu nguo😂😂
@samkim23212 ай бұрын
Waschana wakikuyu aki..wamekua cheater bana
@nancykoigi15512 ай бұрын
Huyu gen z must be from coast not ukuyu
@EllyAngel720032 ай бұрын
Wamekuwa tuu much
@nasrasway71432 ай бұрын
Kenya bana
@MagdalineMbaru2 ай бұрын
Wanapendana
@teresamasese4162 ай бұрын
Kwani alitoa msichana high school?????
@oumaoduorydaniel40722 ай бұрын
Usirudie huo moto please
@kipps18062 ай бұрын
Hawa c wamekuwa huko kwa comrades flouver
@samuelgitau47022 ай бұрын
Ai ukweli 😂😂
@kipps18062 ай бұрын
@@samuelgitau4702 can it be walipatikana at the same time
@Grace-p2u2 ай бұрын
Apana ni nguo zinafanana I follow comrade na cjaona