Mca muache uongo munajaza matumbo sai ndio munaongea hizo miaka mbili mlikuwa wapi ama mumetupwa nje🤐🤐
@simonegilan26 күн бұрын
Guyo MUST GO
@Ozihamza24 күн бұрын
Governor Guyo wacha story sms afaadhali call yeye umtusi
@AdanHussein-uz4np25 күн бұрын
Governor kayole nyumbani
@danielkathex950824 күн бұрын
Mca wa isiolo watu yenu wanakula mapera mkikula vinono kutoka kwa kayole halafu munalia sasa na wengine wenu bado ni kama hamjui kuongea baana...ajabu sana flocks of the same flocks wakilia sasa...Tunangoja kuona kama mutasimama na your words na kuhusu hiyo payroll kila mtu aende nyumbani iandikwe wengine ndo tukubali
@ahmedadan734325 күн бұрын
Si isiolo mca mu impeach gavana kaa munasema ukweli
@danielkathex950824 күн бұрын
Ni kalele tu kaka Ile kutufungia vako na cover waheshimiwa wenyewe mmoja tu huyo wa burat ndo anajua kubonga Hao wengine kama wa bullapesa wanagopa kubonga ata hawezi taja jina Kayombotole
@abdinur957423 күн бұрын
Is it about political relevance,loot, diversion, or 2027 political dynamics unfolding....following keenly