ISRA MWENDA ALIVYOKIWASHA KWA MARA YA KWANZA MAZOEZINI BAADA YA KUJIUNGA NA YANGA

  Рет қаралды 6,292

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Пікірлер: 49
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 Сағат бұрын
Coach wa Fitness Yuko vizur ukikosea mazoez kidogo tu Push up zinakuhusu kuna watu watavimba miili vibaya mno😂😂😂😂
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Сағат бұрын
Huyu Mwamba wa physic yupo serious! Full fittness🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@maelezo
@maelezo Сағат бұрын
Yanga ni timuyangu lakini kwasasa inanikosesha fulaha najuwa ni nyakati lakini wachezaji wanalilax sana ❤❤❤
@halimasawa611
@halimasawa611 Сағат бұрын
Ivi ndio twataka sasa😂😂😂wakikosa wapige push up 😂😂😂team irudii km zamn ❤❤❤kama nawaonaa wapiznii watakvyoo tapika damu😂😂😂😂😂
@teopistakomba2189
@teopistakomba2189 18 минут бұрын
Kibabage ni mchezaji wa ndani asitolewe, ataendelea kuimarika
@GodwiniFwelo
@GodwiniFwelo Сағат бұрын
Farid yupo., kibwana yupo, ata boka tunamuona et kibabage ndo anapata nafasi. Mm siamini kam hizi game mbili kocha kam ndo alipanga kikosi ila naamin viongozi ndo mlipanga. Team tunayo ila kibabage hatumtaki ana wenge
@halimasawa611
@halimasawa611 59 минут бұрын
Kumbukaa kibabage alitusaidia last seasons kwa iyo n wakti tu atarud km zamn tuwaombe dua wachezj wetu viongozi na macoach wetu
@Yassirjuma-i1c
@Yassirjuma-i1c 56 минут бұрын
Kwel viongoz wnampangia coacher kikos sasa kwanin duke asichez no yake ksha mkude akakamata dimba la kati
@SisalSisalc
@SisalSisalc Сағат бұрын
Kwa nn Faridi hachezi
@Ramoko5040
@Ramoko5040 19 минут бұрын
Wewe hujui kuwa alikuwa majeruhi. Lazima awe sawa ka la ya kucheza.
@mwitajohn4882
@mwitajohn4882 8 минут бұрын
Hyo kocha hafiki kristmass hajatimuliwaa
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 Сағат бұрын
Kibabage akajaribu huko MANYEMA FC ya rukwa😮😮
@ommykiss7049
@ommykiss7049 Сағат бұрын
Hili kocha la viungo nalikubali sana yn linafundisha kw vitendo safi sana
@AllanMohammad-v8n
@AllanMohammad-v8n 26 минут бұрын
kibabage aondoke anawaalibu wachezaji wetu number 3 anataka nafasi na hajui boka majeraha haya ishi lomalisa kila siku majeraha mpaka kahamua aondoke mwenyewe mtoto mwanga sana ajui mpira zingatieni hilo...
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 2 сағат бұрын
Kocha wa viungo sasa wazamani kweli maeondoka ao?
@BbasuleBasule
@BbasuleBasule 25 минут бұрын
Mechi Na Tp Tunamuitaji Sana Mkude Kuliko Maelezo Mechi Ya Mamelody Alicheza Game Nzuri Sana Na Kama Tunajitaji Ubingwa Lazm Tupate Pure No 6 Aucho Kashachoka
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 Сағат бұрын
Simba B au? Maana Chama,okra,Mkude,Mwenda,wote Simba..dah..tumeishiwa
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Сағат бұрын
Ili mrad wacheze vzr tu kutok Simba siyo tatizo
@MakuoeJafary
@MakuoeJafary 40 минут бұрын
Shida mnachofanya chaaibu kwenu na kwetu
@SOPHIASALUMU-u3b
@SOPHIASALUMU-u3b 34 минут бұрын
Tuwaaapoti kibabage nimzuli aongeze umakinitu
@boazygodfrey9371
@boazygodfrey9371 55 минут бұрын
Hapa ni Tanzania au DR Congo??
@FrankLuhaha-p4l
@FrankLuhaha-p4l 2 сағат бұрын
Duuuuuuuuuh mpaka naishiwaa nguvu Kwa timu ilivyooo ngojaaa tuoneeeee
@faridmwinyi9462
@faridmwinyi9462 Сағат бұрын
Hivi kwani timu imehama Avic au?
@SOPHIASALUMU-u3b
@SOPHIASALUMU-u3b 27 минут бұрын
Jaman acheni hizo aongeze umakuni tu
@HassanHassan-vh6pc
@HassanHassan-vh6pc 2 сағат бұрын
Jamani david byson beki wa kushoto arudishwe. Ni bora kuliko kibabaji
@MkumboKahongo
@MkumboKahongo Сағат бұрын
Kibabage apelekwe kwa MKOPO MANYEMA FC akacheze huko hafai kuwa mchezaji wa Yanga SC
@GodfreyKarino
@GodfreyKarino Сағат бұрын
Kibabage ame kuwa uchochoro watu wana pita upande wake vibaya mno
@KhadijaMilosso
@KhadijaMilosso 27 минут бұрын
Kibabage nkane kibwana falid atuwataki bwana wanafanya nn
@boazygodfrey9371
@boazygodfrey9371 54 минут бұрын
Mbona Azizi Ki Sijamuona???😢
@chrissantkaunda9958
@chrissantkaunda9958 14 минут бұрын
We nae unataka kuleta habar sizo, angalia dakika ya 7:29 utamuona
@annamashauri7421
@annamashauri7421 Сағат бұрын
Tunataka faridi mussa kibwana na baleke nao wawe wanacheza
@AllanMohammad-v8n
@AllanMohammad-v8n 33 минут бұрын
kibabage mchawi number yake wachezaji wetu wanaumia ovyo lomalisa hadi kahamua kuondoka...
@GodwiniFwelo
@GodwiniFwelo Сағат бұрын
Kibabage hatumtaki mbona hatumii akili kucheza mpira ye akipata mpira anawaza apige tuu. Tena anatuferisha san mara mia awe kibwana azuie sio aneyeshambulia bila mipango
@pacomezouzoua9175
@pacomezouzoua9175 55 минут бұрын
Kibabage atolewe kwa mkopo anaende hata kengold yule sio mchezaji bora hata faridi mussa mariki
@NurdeenHassan-j1w
@NurdeenHassan-j1w 47 минут бұрын
Hata msuva alianza kwa kuzomewa Yanga baada ya mda alikaa sawa na maisha yakaenda! Tuwasapoti wachezaji wetu
@BbasuleBasule
@BbasuleBasule 31 минут бұрын
Sure
@Zpauljr994
@Zpauljr994 2 сағат бұрын
Kocha wa viungo kapoa san
@AllanMohammad-v8n
@AllanMohammad-v8n 32 минут бұрын
boka nae majeruhi haya muishi mtoto miyayusho huyo kibabage timua hatatuhalibia timu....
@fatmaomar8335
@fatmaomar8335 2 сағат бұрын
Kila la kheri inshaallah mazoezi mema Allah awatie nguvu muweze kwenda kupambana daima mbele nyuma mwiko 💛💛💚💚
@goldenbrown1826
@goldenbrown1826 Сағат бұрын
Kibabage toa kwa mkopo uko pamba
@NasriAshel-e6s
@NasriAshel-e6s 2 сағат бұрын
naomba kuulza mwenda atacheza dhid ya tp mazembe
@MkumboKahongo
@MkumboKahongo Сағат бұрын
Hapana, hadi dirisha dogo litakapofunguliwa
@aminahdaniel2756
@aminahdaniel2756 Сағат бұрын
Hapana
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Сағат бұрын
Kibabage anatakiwa kufukuzwa km. Kaseke mchawi sana
@MkumboKahongo
@MkumboKahongo Сағат бұрын
Sana
@aminahdaniel2756
@aminahdaniel2756 Сағат бұрын
😢😢😢
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Сағат бұрын
Usimshutumu mtu bila ushahidi kaka Hii kwa Mungu utaijibu kaka Mzaha mzaha hivi hivi
@NurdeenHassan-j1w
@NurdeenHassan-j1w 43 минут бұрын
Uchawi tena? Wakisaidia timu wachezaji wetu ila yakitokea makosa wanakuwa wachawi?
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 28 МЛН
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН