Watch the pre episode here kzbin.info/www/bejne/pH3SZXujhbislaMsi=eALoyJk80dFTCFVO
@bettymwende5566 Жыл бұрын
Waiting for part 3 kindly
@benson.isalambo Жыл бұрын
What some women
@sammythomas7901 Жыл бұрын
good job
@TreasureFaith-jd7yw Жыл бұрын
Cousins shouldn't be entertained at all, I remember back in primary school i used to stay with my aunt and my cousins used to threaten me if I don't give in to their sexual wants they'll send me out of their home, i stood my ground and left their home however life wasn't easy but I thank God for saving me from that incident
@chakafay1175 Жыл бұрын
Same to me,my cuzos walinisumbua but I never agreed am now 31 and tukipatana home one of them 34 bado ananiambiaga ujinga and am married,I really hate them
@jacksonsasala3566 Жыл бұрын
Where is that cousin of yours?
@normannorville1830 Жыл бұрын
@@jacksonsasala3566😂😂😂😂😂saitan
@chakafay1175 Жыл бұрын
@@jacksonsasala3566 huku tu Nairobi
@beatricechepngeno7050 Жыл бұрын
Nmefika leo mapema nipewe hata likes jameni 😊
@patriciamuregimbogo Жыл бұрын
Who want cousin on set🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
@micahmose5789 Жыл бұрын
😂😂😂 Pass
@carolinewambui8060 Жыл бұрын
🖐🖐🖐🖐🖐🖐
@hun_bee Жыл бұрын
🖐🏾🖐🏾🖐🏾🖐🏾🖐🏾🖐🏾🖐🏾🖐🏾
@brendayvonne1150 Жыл бұрын
✋✋✋✋✋✋
@bethmurage511 Жыл бұрын
Vayolence always 😂
@younglion4847 Жыл бұрын
When i grow up i want to be like this guy, focused and time consciousness 😊
@Njeri-Healthy-Meals-Recipes Жыл бұрын
And dont forget he is tall, dark and handsome ❤
@evanceabisai9687 Жыл бұрын
Tell the guy afanye DNA ya mtotot that kid myt not be his na anasumbukana hapo.....this girl is for the street....
@maggie7makoha414 Жыл бұрын
Exactly ety cousin ..Ana have sex na yeye hii ni tribe gani ..paka anamleta kwa nyumba ya bwanake na bado ana lala ..and she's house wife ...Amelaniwa shetani DNA mtoto c husband 😢😢😢
@liliankariuki7708 Жыл бұрын
Some tribes marry their cousins like some kamba's do
@mashabrand8126 Жыл бұрын
DNA asap 🔥🔥
@evanceabisai9687 Жыл бұрын
@@maggie7makoha414you cant do that in luhya land...you will be killed or chased away from the community
@evanceabisai9687 Жыл бұрын
@@liliankariuki7708kambas from where ??? 98% of this cases come from central
@ruthbosibori1482 Жыл бұрын
More prayers 🙏🏼to this generation 🙏🏼
@mamamalaika4413 Жыл бұрын
Yes as of older generation, I feel that way too more prayers
@johnyjoe2894 Жыл бұрын
Almost all women who come back wanting the man to take them back talk about life being hard ....so it's like wao huona bwana zao kama source of livelihood not partners
@annmaina4343 Жыл бұрын
True its time we as women we b independent pesa ya mtu ni tamu sana
@vikeke1782 Жыл бұрын
Women Are Looking For HELP Not Love
@Tifah939 Жыл бұрын
@@vikeke1782not all ..some of them are hard working out here 😊
@edinahopati7914 Жыл бұрын
True
@ioicemauda4604 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@iqtarab535 Жыл бұрын
Dressing code explains a lot nowadays
@traceeytracie6811 Жыл бұрын
Kama kienyeji wanacheat if you want someone just look at their personality
@onduruomolo475 Жыл бұрын
Dress code says a lot.
@magarematara8919 Жыл бұрын
That's what i always say,people dressing tu handkerchief ,,ogopa
@Faith-cu7ff Жыл бұрын
Not sure about that
@leakeyojiambo1423 Жыл бұрын
@@magarematara8919siku hizi ni vifuniko
@gakiimiriti9809 Жыл бұрын
DNA for the child should be done. Huyu dame ni wa wapi who is sleeping with the cousi????
@BettyMbeche-j9u Жыл бұрын
HOW MANY AGREE WITH ME THAT THE BABY BELONGS TO THE FIRST COUSIN?
@nabukenyahadijah8297 Жыл бұрын
That baby belongs to the cousin
@samuelkhaemba2000 Жыл бұрын
I do agree 100% sure, adi dem anajua, walai wakisema staff name DNA atakua ameisha
@leahwanjiru1004 Жыл бұрын
💯 DNA ASAP
@nicholasbuyoya4290 Жыл бұрын
This man was just helping them bring up the child…. Nowadays I suspect everyone,everything walking on earth, sharing can happen with anyone literally anyone could be chewing ya Mrs from dildos to animals to anything cucumbers bananas etc world has changed 😊
@lilianawino1873 Жыл бұрын
Exactly 💯
@josephineaumamuhola1798 Жыл бұрын
I like how Mr. Stevo is busy asking her tough questions concerning kurudiana na Mzee wake....mtu analala na relative wake????
@naaumy63 Жыл бұрын
Waaaa..... Mambo ndo imechemka mummy, cross your hand mtoi awe wa bwana juu premium tears loading
@augustinemwengi8779 Жыл бұрын
This is something which cant be stopped because its has already stuck in their minds😂
@kenyamerikantv-hotnews5736 Жыл бұрын
I hear people say in kikuyu " ona watata niatatagirio" and "ona wamama niamamagirwo"
@patriciamuregimbogo Жыл бұрын
See this Mumu bado ako na cuzo kwa nyumba
@anitastellah2894 Жыл бұрын
😲😲😲🙆🙆🙆jesssoo,let them marrie each other,juu kama ilianza kitambo ni ngumu,move on my brother 🤗🤗🤗🤗I know it's painful but itabidii, cousin akam pia on set
@christophervitar9085 Жыл бұрын
I love the maturity Steve possess
@johndalton23 Жыл бұрын
What is this thing about maturity?
@christophervitar9085 Жыл бұрын
@@johndalton23 how he handles issues maturely
@frankodida3539 Жыл бұрын
@@johndalton23ni kama huezi elewa. Wachana nayo.
@jesusyoulovemetoomuchwanji8860 Жыл бұрын
We want cousin on set we don't want peace we want problems always 😅😅😅
@producergoodman Жыл бұрын
😂😂😂😂 sallahale!
@Mayah-ki5qj Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅! Why are you bringing seriousness in jokes?
@Kafment001 Жыл бұрын
He got the advice from a mad man
@Kafment001 Жыл бұрын
His face looks like he could have killed alot of people
@FaizeFaize-gt1kt5 ай бұрын
Huyu ni mkokuyu ,,,,they like their cousins even there father's so much so waoane tu wawe bb na bwana hiyo ni uchawi
@fridahnkatha9589 Жыл бұрын
Asindanganye hapa wamethinosh the whole week coz bwana hajakuwa!
@eliphasmutwiri9623 Жыл бұрын
🤣🤣
@johnkush920 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@rayg.7926 Жыл бұрын
aki madame wengine utaka nini husband ni tall handsome an cool guy ,sasa ona vile kimemlamba huyu dame 😮
@martinsafaris4314 Жыл бұрын
Cousin aletwe ni zile nyanya na muturaaaa...tumuoneeeee aombewe na pastor pius Muiru
@danfur5472 Жыл бұрын
" ndio maana hakanoni hiyo mileage yote from primo 😂😂😂😂"
@kennedyodero7075 Жыл бұрын
Okuyu mbona mnapenda kula Cuzo zenu hizo ni laana
@Rozziecool Жыл бұрын
Huyu dame ana need deliverance aki ... Nani ako na Mimi
@lindanjogu Жыл бұрын
Heri Sasa kulala na bwana ya wenyewe kuliko cousin 😂 weuh mîcii nî ndôgó
@SarahMuema-zf1vb6 ай бұрын
We cha mama na tata ti kiu andu makwa
@joyprecious8822 Жыл бұрын
There's a propability mtoto ni wa Nick, She's only sorry for being caught otherwise angecontinue hadi mwisho wa dahari
@mercylinnie2771 Жыл бұрын
I blame the lady, why can't she lock the guy outside amwambie aende kwao, maybe by then jamaa aneza msikiza ,
@geoffreykhaemba3178 Жыл бұрын
maombi tuu. but cousin atoke kwa hao kwanza aende ndio tuamini huyu dem
@micahmose5789 Жыл бұрын
Sasa imefika wakati Mungu ashuke, hata asitumane!😢😢😢😢
@Caren254 Жыл бұрын
Mimi nmeskia vibaya ama ety kuzo ndie alibreak virginity ama 🙄🙄,,but i like the maturity of this man he want 🧬🧬 test 🤗
@cyndiehnyashiroz4630 Жыл бұрын
Unaninyima bwana ati umechoka kumbe cuzo amegonga the whole day huyu akiwa job wieeeeh na uko house wife less financially stable really this is seriuos 😢😢😢😢😢😢😢
@johnkush920 Жыл бұрын
That's exactly what is hurting the husband, she is refusing to give him his rights yet she is giving the cuzo, GADAMIT 😢😢😢😢
@samuelthuita7239 Жыл бұрын
Uyo cousin ata hana akili yu mean amekwama kwa iyo nyumba tu ...how will he face this guy ata hana haya..
@millicentmukoya1292 Жыл бұрын
Ni mhandsome ningependa kuona huyu cuzo ya mtu...hata kama ilianza kitambo she should have quitted but spirits zingine zinakuvurunga hadi kwa ndoa usipo zi renows
@MarystoneMwamburi Жыл бұрын
Nataka nimuone huyo cousin
@davidnjuguna8340 Жыл бұрын
Huyo cuzo lazima ni bingwa kama anaweza break mtu vajo akiwa class five 😢😢??....huyo ni moto wa kuotea mbali
@oyaronick8021 Жыл бұрын
Mtoto niwa cousin 😂😂😂😂😂😂
@micahmose5789 Жыл бұрын
😂 😂😂
@puritywinnie1772 Жыл бұрын
I suspect that too
@peterolal650 Жыл бұрын
Mmmm
@jacklinewanjikuwanjiku9241 Жыл бұрын
Hii dressing code yote na huna kazi ukna kasoro msichana tafuta something to do,sisi huku team strong tunachoka na kazi but we are proud wewe huku n cousin my foot learn to appreciate your man,
@vaniceobino4760 Жыл бұрын
Hii generation Zi itatuonyesha mambo
@akulllumonica Жыл бұрын
The man is so gentle n handsome bumbi God send cheater to cheater n aloyal one to aloyal person 🙏
@gedionmugoya1032 Жыл бұрын
Cousins hukulana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hio si kitu mgeni,kama Chinese huona macousins so sioni Acha ya kusema bro
@lauraimbwana1319 Жыл бұрын
The way Mm naongopa village boy's wa home huwa nawaona kama brothers weee 😢😢 This girl
@kymdavies9698 Жыл бұрын
Kulingana vile alihesitate kujibu mtoto ni wa nani it raises a lot of questions......DNA quick fast minus slow😂😂😂😂😂
@totietoo6218 Жыл бұрын
Na bado jamaa tu ako tu kwa nyumba ??? Waache waoaneee😅
@eunicemmbone7871 Жыл бұрын
Mtu na kuzo wake mambo gani haya jamani 😂😂😂😂 kW hali kama hii tutafika kweli jamani😢😢
@msemakweli133 Жыл бұрын
That girl is so composed. This thing is spiritual.
@lonewulfmo9128 Жыл бұрын
kuna pastor niliskia aki accuse infidelity ya bibi kwa maneneo spiritual. dawa ya huyo pastor ilikuwa kudoss na huyo wife.
@Jeremiahflorah19 Жыл бұрын
Lkn they have no shame..yaan dem after kupatwa bado waliendelea kukaa kwa nyumba yenye si yao😂😂😂the audacity hawakuogopa kupigwa wakipatwa huko na si nyumba yao? Wako na jokes
@ruthbosibori1482 Жыл бұрын
Even the devil himself is sitting aside now taking notes haelewi nini inaendelea na hiii generation
@lucynjuguna9653 Жыл бұрын
Aiii please stop defending the author of sinful nature
@McLeinads254 Жыл бұрын
😂😂😂
@Ozon-u4t Жыл бұрын
😂😂😂s
@majamaja8136 Жыл бұрын
This is a spiritual and psychological issue . They both started as children , where were the parents , teachers , relatives , neighbors and community ? It is easy to point 👉 but we forget to account for what role we played that such manifests
@asteriaheliza1093 Жыл бұрын
The same question am asking ma self,mtoto wa class 5 anajua nini surely?????
@birih8801 Жыл бұрын
Cousins men are worse kama umezaliwa village na mnaishi pamoja na most of time wazazi hawafatilii watoto wao na Hawana time na watoto kuwafundisha story kama izi unapata cousin mwenye mamako anakuacha nae ndio anakufanyia hizo vitu huwezi ambai mamako cos you never free to speak in that house or close to ur parents naongea na experience it's happen to me nilkuwa sijaanza ata period 4 of them make me addicted to sex at young siwezi sahau
@hun_bee Жыл бұрын
@@birih8801woi.. Pole Mungu awachome😢
@Bonnae..11 Жыл бұрын
We hujui utamu wa cousins uliza tu wazazi walikua wapi mambo n mengi
@ltspossible Жыл бұрын
@@birih8801wuehhh... Seriously...😢 So they broke your virginity at that young age 4 of them 🤔
@samsonnjuguna-eo8gb Жыл бұрын
I like ur show steev,just wonder venye hua unacapture wasee wakiwa hap,then wanaachana hapohapo,big up for "enlightening the darkness"
@ruthbosibori1482 Жыл бұрын
You will never know the value of what you have until you lose it 💯🤷👌😌😉
@risperondiba7347 Жыл бұрын
Kweli
@maggie7makoha414 Жыл бұрын
Very evil na vile alikuwa na confidence ya kwambia bwana twende shopping ..yeye anaona kwake c kitu juu ana Enjoy cousin yake the whole day..paka Anasahau Attention kwa bwanake 😢
@jedidahmuchiri4243 Жыл бұрын
Yeah
@makoripeter2976 Жыл бұрын
weee cousin wewe tu...tutakupata.
@oscarkibira-jk1mf3 ай бұрын
You always know the value of what you have, you just never thought that one day it might not be there
@glorymoraa1637 Жыл бұрын
Hapo kwa mtoto design ametulia,ajui mtoto ni wa nani for sure
@chemutaijaneth568 Жыл бұрын
Welcome to singlehood mummie ama huyo cousin akuoe
@MaryanneAwuor-jy5mj Жыл бұрын
Simple and straight....I love this guy
@christinewavinya3978 Жыл бұрын
Shoot your shot
@naitorefridom665 Жыл бұрын
Huyi ni mjojwa wa akili
@virginiashitichi5999 Жыл бұрын
This guy look like Michael mwenye bibi anataka mzungu they talk sem even action and mature on them
@stella722 Жыл бұрын
We are coming for you Nick 😂😢haki huyu dame amelose a gentleman.....ingekuwa wengine we would be talking about a different different story....I really feel for this man😢
@emillyaoko9357 Жыл бұрын
Eti hawa walioana kitambo, they're happily married, let me for DNA results 😂😂😂😂😂😂 huyu dame hata ajielewi,
@jedidahmuchiri4243 Жыл бұрын
Huyu dame qwa kusema ukweli ako na ujinga mingi sana kwa kuonekana coz ata hajali
@mugesiabrigitte8843 Жыл бұрын
Hawa wamelaaniwa haki…. Yaani hata after wameshikwa bado wako pamoja kw nyumba? Shame on them…..
@paulkimuyu-z3q Жыл бұрын
Cousin akuje kwa set buana
@hun_bee Жыл бұрын
Mi siwezi hata angalia any of my cousins twice.. Huyu aliona nini aki😮
@santanac.8572 Жыл бұрын
Waaa...hiyo pose!!!...mtoi ni wa cousin
@miriamkimingi5777 Жыл бұрын
DNA DNA DNA ifanyweee....... abomination ohhh 🙆...
@paulinanduku2748 Жыл бұрын
This guy is so composed and focused
@farecogero7622 Жыл бұрын
I know this guy in and out don't trust him
@esthernjogu6302 Жыл бұрын
Kahaba,kapokooooooo ww, shez here bcoz of the bills ,walipiwe waendelee kukulana na ,"cuzo", kwa nyumba ya hubby 😂😂😂
@leahmiringu5829 Жыл бұрын
Mambo Ni matatu 😢😢😢😢😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅za mwizi Sio forty siku hizi😅😅😅😅😅
@johnyjoe2894 Жыл бұрын
Most probably ata huyo mtoto ni wa cousin yake.......
@HarrisonKimatu Жыл бұрын
Dunia simama mimi nishuke coz mahali unaenda naona ni pabaya,,,,,, cousins wanakulana hizo miaka zote
@glorymoraa1637 Жыл бұрын
Steve nipee uyo mwanaume Mimi,😊😊😅
@wanguimwash7326 Жыл бұрын
Cousins sasa owanenini juu hadi mtoi mko naye...warabu pia huowana na cousins
@kalaini Жыл бұрын
Ati the cousin should have come to the show to solve 'this issue'? Stevo cannot be serious.
@Janekadzo Жыл бұрын
Naalikuwaaa anadanganya bwanake alifanya once surely 😮😮🙌🙌
@MasitaAgoya Жыл бұрын
We uliona EVE akikubali eti amekula tunda?😂
@Janekadzo Жыл бұрын
@@MasitaAgoya 😂😂apo Sasa umenene
@christinekamau-br7yv Жыл бұрын
She said the boy is younger by 4 yrs. Meaning if she was in class 8 the boy was in class 4😮
@kimkimaniofficial7146 Жыл бұрын
Age difference can't be equated to class difference
@faithfultoyeshua4576 Жыл бұрын
Possible
@cliffordaviha2756 Жыл бұрын
Eeh,,,akili yako imeganda
@nelvinawino9196 Жыл бұрын
He was class 5
@lucynjuguna9653 Жыл бұрын
Am trying to imagine ile aibu her family imepata huko ushago.i cant fathom😢😢😢
@la-ry1ms Жыл бұрын
And ukute the parents ni wale wa church
@ropmercy5980 Жыл бұрын
Alafu kuna mtu pahali anasema stevo anavunja ndoa za watu !! what is this surely cursed generation 😢😢
@sophiaobori5232 Жыл бұрын
Na vile ni mdogo kumbe miti ilishaamwingia akiwa mdogo
@patiencemwandairo5434 Жыл бұрын
Mtoto ni wa Cousin ni sio kubahatisha ata the way anasitasita kujibu hio wazi manzee
@user-cg3vf2bl6b Жыл бұрын
Kuna mambo matatu inafaa MTU kuogopa ya kwanza ni mungu ,kisha mwanamke ,tatu uji ,
@lucynjuguna9653 Жыл бұрын
Hapo kwa mtoto she ain't sure ni wa nani.DNA assap
@magarematara8919 Жыл бұрын
Wah,from class 8 n 5 surely!!these are like couples.Jamaa should leave these 2 to continue smashing cz ni kama huyu dada ako na 2 husbands
@fredmwanzu9105 Жыл бұрын
Hii ni aibu hata kama ni mimi ni cuzo siwezi come!!
@albertsmith8744 Жыл бұрын
It's soo hurting na unaongea like sio bigdeal😢 u r not even sure who is the father to ya child shameless 😮😮😮😮😮
@THEPUREFAM Жыл бұрын
CUZO NA CUZO MTOI HAKOSI KUWA WA CUZO DAMU NI NZITOO😊😅
@dianidiaries Жыл бұрын
Akh stevo nipee number ya huyu x-hubby please 🥺 it's an emergency 🦺 I just want to take him for a holiday 🙈
@erenestawanjiru1935 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
@JohnTomask Жыл бұрын
Huyu msichana ni Chizi akili punguani ni nyege tu
@teclanekesa6557 Жыл бұрын
Steve DNA utuonyeshe aki wagapi mnataka kujua mkono juu
@dorcasmunandi3377 Жыл бұрын
Mtoto afanyiwe DNA ichulikane ni WA cousin ama hubby.
@Ann-Strong Жыл бұрын
Kwetu ukoo mzima ungeitana watwange hizi ghasia 2 viboko na zipelekwe tamadumi
@magarematara8919 Жыл бұрын
Hapa hata mtoi anahitaji kufanyiwa DNA isikue na issues
@Keli25floor Жыл бұрын
Been waiting for this follow up
@mariawahito3874 Жыл бұрын
Huyu ni mtoi aki, I blame parenting
@elizabethwaswa Жыл бұрын
😂😂😂stevo stop being funny with your quiz......(sa ii kitendo tuseme ww ulianza mapema??)
@millicentkinyaka6516 Жыл бұрын
Kikulacho ki nguoni mwako
@ZeOBrians Жыл бұрын
Ni fiti sana to make sure the sweetness sharing remains in the family sioni shida hapa cousins kusalimiana kimwili now and then
@peterwamanchester.5166 Жыл бұрын
Hakuchange nguo ata uyu dem
@brianombok9999 Жыл бұрын
If this video was recorded 6 days and apploaded yesterday,,how comes the lady is saying that it had gone viral yet the follow up episode was recorded even before the first video apploaded,,hapa Leo sijakuamini Stevo
@vinnienduch790 Жыл бұрын
DNA hapa muhimu,,kitu imekuliwa from childhood 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂