Claud Manyanda, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@WilfredChomo11 сағат бұрын
Hatimaye ,ukuta wa Yeriko umeanguka kwa njia ya maombi.Giza halitaiweza NURU.
@albinainyasi59219 сағат бұрын
Yesu Kristo, Alfa na Omega atazidi kukuinua Dube wetu.Shetani na wafuasi wake wanazidi kuungua huko motoni.Yesu amekushindia,sifa na utukufu ni kwake milele na milele .Amina.
@AmaniMnzava-g5r10 сағат бұрын
Hakuna aliyemtegemea MUNGU asifanikiwe Hongera sana Dube
@aminakhamis227610 сағат бұрын
Mungu azidi kumsimamia inshaallah
@MaryKagoma20 сағат бұрын
endelea kumlilia.mungu .mungu ndo kila kitu asante mungu!!!!
@jahctivetv20 сағат бұрын
Mary Kagoma, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@edinerjoseph686410 сағат бұрын
Mungu wetu ndio Mwanzo na ndie Mwisho ukimuamini lazima akushangaze siku zote😢😢
@LeonardSumi20 сағат бұрын
Pambana sana Kijana maisha yana mitihani mizito
@jahctivetv20 сағат бұрын
Leonard Sumi, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Mungu ndo kila kitu akuna kama yeye na yoyote aliyemfanyia uyu mtoto Mwenyezi Mungu awangamize waliyehusika awo siyo Mungu kila la kher Allah atakunusuru zaidi
@snipershort698813 сағат бұрын
Kuna genge la wachawi wahuni wahuni wanaojiita mikia au simba wanaroga wachezaji wa Yanga ila Mungu ni mwema hata uyo mganga wao atakufa2😂😃
@stellahkachenje39265 сағат бұрын
Mungu ni mmoja tu
@angeljohnny19 сағат бұрын
Mi pia mungu anisamehe maana nilikua mmoja wa kukukatia tamaa ahsant mungu aliyekurejesha kwa upya
@Muna-en4yq15 сағат бұрын
😅
@mtambogh684310 сағат бұрын
Mungu ataendelea kukupigania dhahabu ili ing'aee lazima ipite kwenye moto mungu hatakuacha kamwe
@ZuhuraothmanMuyaga8 сағат бұрын
Yarabi tulindie wachezaji wetu wote
@JabeliMusa19 сағат бұрын
Hongera dube
@RosemaryGibore11 сағат бұрын
Mungu siku zote nimuweza wayote usimuache mungu wako hapa duniani niwaajabu
@WilfredChomo11 сағат бұрын
ASANTE MUNGU KWA KUJIDHIHIRISHA KUPITIA DUBE NA ATEBA.OLE WAKE ANAYEKUDHIHAKI
@KennedyPeter-q9r20 сағат бұрын
Uchawi upo komaaa
@jahctivetv19 сағат бұрын
Kennedy Peter, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia