Nishati ya kupikia hatukatai bei ndio kubwa hivi uki angaria bibi wa kizee kvijijini pesa watatoa wapi kununua hiyo gesi mnataka kuwa watu pesa zenyewe hakuna maisha imekuwa mbaya vijijini harafu mpange watu wanunue gesi hata ulaya masilini wapi Wana pikia Kuni anarieni tuna enda wapi Tanzania nchi yenyewe masilini wa mwisho
@salamwajeka-yo6suАй бұрын
Nawapata vizuri
@MaunaTorongeiАй бұрын
Watanzania tuna lia sana kukemea ukatili
@MaunaTorongeiАй бұрын
Atoke
@AltenKiswaga-zw9rfАй бұрын
Nyinyi mnafikir wote wanaweza hizo gharama au hamjui kama nchi hii wengine niomba omba tu
@AltenKiswaga-zw9rfАй бұрын
😢punguzeni garama za ges na umeme bas
@HawaMwijageАй бұрын
Jmn Ni mtihan huu
@danielisafali1185Ай бұрын
Kwa Hali ya utekaji vyomb vya ulinz na usalama nchini pamoja na wananchi wa Tanzania tunajidalilisha uzalendo na ni Waz kwamb tunaonesha unyonge wetu kwa hawa wadudu wanaoteka na kusababisha mauaji hvo vitendo tuvikemee hasaa kwa kuwa wamoja
@MaunaTorongeiАй бұрын
Tanzania acheni ujinga mimi napenda kufa lazima niseme ukweli watanzania mnapoteza masuja kwaajili ya ukweli nipo tayari kuliko kusema ungo mimi ni masai peter kerika
@JosephKipiga-cz6nrАй бұрын
I t v reo
@MaunaTorongeiАй бұрын
Ifisasa mbaka sisi wanainchi tunaamua tunatska ukweli
@MaunaTorongeiАй бұрын
Nyiemapolisi nyie niwafiki tena mnapenda rushwa
@MaunaTorongeiАй бұрын
Sisi tuna onewa tukisema ukweli mimi nko taya kufa kwajili ya ukweii
@NasoroJuma-m3jАй бұрын
Nawapata vizuli nikiwa kitunda
@mathayomwashambwa1238Ай бұрын
TUTAUNGA MKONO IKIWA ITATUSAIDIA HIYO NISHATI..
@NcheyeNswilaАй бұрын
Kama mtukuo yanaonekana wazi vyombo va dola kweli kutakua na haki ukweli ukisemwa unaonekana mchochezi wa amani