As salam aleykum warahmatullah wabarakatuh sheikh me nimtalaka ila mume wangu anasema ya kwamba hawezi kunirudia tukaishi pamoja yy kwao na me kivyangu ila kunikizi mahitaj ang ya chakula mavazi ya mtt na me pia kadirii ya uwezo wake na kabla ya eda haijakwisha hata mwezi hujapukuchika tayari tulijaniana baada ya Eda kwisha kanitamkia kwamba hawezi nirudi na talaka ya mwisho hatoi na bado ananihitaji je Me nimkee au ni hawara?
@alisaidabdallah1480 Жыл бұрын
Mm si sheikh lakini nilimsia huyu Sheikh wetu akijibu swali kama lako mume akikuingilia katikati ya edaa ya twalaka ya Kwanza au ya pili Ile kitendo cha kukuingilia huwa amekurudia kwa hivyo kama ni talaka ya Kwanza au ni ya pili bado ni mumeo
@abdisalamshee3698 Жыл бұрын
Shekh naomba number yko ningependa kuuliza maswali watsap