Yani napenda Sana hii comedi ina nifuhahisha sana amuku changa ruga kibembe kwenda mbele na kiswahili cha kicongomani napenda Sana ❤❤❤❤❤❤
@PierreHeriIlungu-ks1mr4 ай бұрын
Pamoja Tena sungu 💪💪💪
@malindianoramsey79784 ай бұрын
Kazi Iko bien bro tatizo iliopo unatukatisha tamaa kwasababu aumalizii movie zako kama vile: 1. Mishinga 2. Ubaguzi 3. Mkimbizi 4. Sungusungu Leo tena atujui kama itakuwaje. Napenda kazi zako kaka