Hadi raaha bismillahi mashallah nice song naipenda hatari no one like u jafar mashallah
@anwargohil68543 жыл бұрын
Talent ya mtu inatoka moyoni na ikitoka hakuna kinachozuia kua kizuriii basii tuu binaadamu na yetu mioyoo dhaifuu.... lafudhi zimeenyooka Masha Allah ya binaadamu sio madogoo kwa kweli.... Aliopewa Amepewaaa na ilishaandikwaa ...🔥🔥🔥🔥
@soudjumah55292 жыл бұрын
Good song of all time, Fantastic
@alihamisi8440 Жыл бұрын
Wimbo unaitwa wasiwasi sina,kaimba eshe mohd akiwa na muungano cultural troupe,umeuweza mashaallah. Upo juu
@qaltumsaid30954 жыл бұрын
2020 anyone???💋
@Visit_zanzibar4 жыл бұрын
Wow
@salwasuleiman35254 жыл бұрын
Me
@tamimwatamim34274 жыл бұрын
Hujambo qaltum?
@muhidinsaidsalim30806 жыл бұрын
Sawa kaka umenimaliza Fanya kazi2 nice I love
@abdallaamour86583 жыл бұрын
Nice song Love you znzbr
@salmaoman63475 жыл бұрын
Kumbe ndio huyu kaimba Mashaallah
@atibz45702 жыл бұрын
Hongera Sana kwa wimbo mzr kma huu mwenyez mung akulipe her kwa shair lako zur kma hili hongera San
@hemedhemed56735 жыл бұрын
From muscat oman .zenjibar ilove you brother
@aishabakari92593 жыл бұрын
Kalipenda langu umbo...😚😚😚 niacheni nitanue mie
@rayanamrsshariff57772 жыл бұрын
Hata Kama nina mawazo yanaisha wallah moaka nacheza hasa huku mwisho 🤩🤩🤩🤩
@jumazamani9825 жыл бұрын
Sio mm bure unajisumbua Zenji mojaaaa iyooooo dah kwetu kuzuri
@shamsahussen10595 жыл бұрын
Mashaallah umeimba wew Kweli nyimbo nzuri
@aliissa66325 жыл бұрын
I'm very happy you're nice song in zanzibar nice old is gold thanks jaffar bay
@user-te7cj6yp8t Жыл бұрын
Naipenda sn hii nyimbo acha tu najisikia mwenye furaha
@likedatshorty5 жыл бұрын
Mimi ni kifimbo chezaaa mekutoa jeuri yako moyoni mekubeza hicho ndo kilema chaakooo. Na kizuri wapenda kiwe kwakooo. Santeeee
@muminmohamedahmed24533 жыл бұрын
Langu kubwa kushukuru,yenu namuachia mungu,wala sifanyi kufuru ingawa nnamachungu,matusi hayanidhuru
@rashidhabib14454 жыл бұрын
Wonderful🔥🔥🔥🔥.. "Kama mvuvi wa pweza tutakutana mwambani🎵🎼🎙🎤🎧" mambo ya pwani ayoo💯
@wardaomar30014 жыл бұрын
hii nyimbo inanitoa stress zote ina maneno matamu
@khairathothman63776 жыл бұрын
uko juu my classmate
@mozaabdallah23955 жыл бұрын
hii nyimbo naipenda yaani sijui nieleze vipi,yaani kaimba kwakweli hongera zake
@fatnafaraj75452 жыл бұрын
Hunishindi mm
@nureyna6295 жыл бұрын
Kupendwa ni damu yanguu, utamaliza mafushoo, nimekuzidi mizunguu, nimekutowa kijashoo, lililobaki kwa watu kuniteta🤣🤣
@alikiloko1974 Жыл бұрын
kijasho kinamtoka chururuuu😂😂😆😆
@nuweyrahmohamed15573 жыл бұрын
2021 ?????🥰🥰🥰
@haroubjuma51074 жыл бұрын
Who listing this song???2020
@aliabeid51224 жыл бұрын
Utamaliza mafusho hahahaha ahsante Jaffar
@salimahmed63124 жыл бұрын
Nakupenda sana uliimba vizuri sana 💓💗💞
@hamzaselemani95783 жыл бұрын
Mm naipenda mpaka naumwa
@fatnafaraj75452 жыл бұрын
Hunishindi mm
@aminakhamis8540 Жыл бұрын
Wimbo mzur Sana wa tarbu
@abdulrashidi91105 жыл бұрын
maashaallah ...japhar naomba utuekee mja hufungi rizki ya Ahmed mgeni ni zaid ya nyimbo
@christiannyomboke95053 жыл бұрын
Hahahaaaa aya
@KhalidKhalid-ox4pg2 жыл бұрын
Aisha Oman siyo mm nyimbo kamili na maneno matamu ww huigizi taarabu nifani yako mashaalla alopewa kpw
@ashuu797211 ай бұрын
MashaAllah nakupenda Jaffar bhai waimba vizuri...upo juu ❤😊
@lightnessayub86876 жыл бұрын
Wallah siichoki hii nyimbo 🎶
@kambiboy7154 жыл бұрын
Hahaaaa! tamaaa itakuua tamu iyo kama chungu ungeitemaaa!
@abdallaallhajimzee77286 жыл бұрын
inapendeza sanaaaaaa
@joharimkiwa15176 жыл бұрын
Sio mimi jamani naipenda sana
@fatmamwasabu19922 жыл бұрын
Siichoki wallwahi... Vishindo vingi si kutenda mambo👌
@neziali69926 жыл бұрын
Nakukubali sna my dear miss you 😚😍😚
@KhalidKhalid-ox4pg2 жыл бұрын
Jaffar Bay nyimbo mnae inanikosha nafsi yangu huna mpinzani ww wanaiga tuu👍
@somakhamisi46145 жыл бұрын
Ubaya auna posho 👌
@greatiq82344 жыл бұрын
"Hukuwa. Wala hutokuwa!"😎
@mwinyiusiali-gd1hx3 ай бұрын
Good tarabu , Jafar bahi .
@munatisaidi44496 жыл бұрын
Kalipenda langu umbo😀
@halimanabir23805 жыл бұрын
Sina haja ya kulipizaa atanilipia mola wangu
@mansourahmzinga50615 жыл бұрын
Sio mimii' sio mimii' unajisumbua vishindo vingi si kutenda mambo' Wallah umenikuna kumoyo lop u my best Jafar bay
@saidaabdalla50983 жыл бұрын
Nzuri MashaAllah
@galayagalaya485 жыл бұрын
Mhh imenikuna iko poa pambeeeee
@mangofish90796 жыл бұрын
unajua kuimba sauti yako inakwenda hasa na mahadhi ya muziki wa taarab hasa kwa hizi nyimbo za kale
@bilalimbulaa34585 жыл бұрын
mashaalah unanimaliza
@rizikigharib48676 жыл бұрын
pambe sana watajijuuuu
@raihasalim73163 ай бұрын
Nice song ❤
@queenking01223 жыл бұрын
Dec 2020 anyone ??❤️❤️
@nuweyrahmohamed15573 жыл бұрын
Mi
@fahashmohd61025 жыл бұрын
Love The Song👌👌❤️
@ahmedwar.f.f55175 жыл бұрын
Mkongwe nyimbo ino inkaza hamba tembo hasikiliza nyimbo ino najona hamba nyiwa juu ya kinena mkongwe nakona laha hasa mmakunduchi mie
@reallyman98363 жыл бұрын
Kuwa tembo mkongwe
@rashidalijuma35695 жыл бұрын
Namie naona Unakidicho unapenda uonekane peke yako usiku unakesha macho Hiki ndicho hiko sicho unamsimamo gani Kila kizuri kiwe kwako Hiyo roho yako ya korosho imepinda ichemshwe ikaangwe Alopewa keshapewa Nice over beauty song inashika namba za sifa tumuachie mungu ubaya huo alopewa amepewa
@kambiboy7154 жыл бұрын
Hahaaa! Mimi ni kifimbo cheza
@husnachande8045 жыл бұрын
Tyeeeeenaa
@fatmamwasabu19922 жыл бұрын
Kupendwa ni damu yangu utamaliza mafusho... Heeee umeniua mjomba
@nouramzeysf21584 жыл бұрын
Love from Comoros 🇰🇲❤️
@mershackeydaniel736210 ай бұрын
Kwa rajuu au gymkhana zenjibar oyeeeeee bure unajisumbua
@nabilyussuf40585 жыл бұрын
Bai sina la kusema kwako...MashaaAllah kupendwa ni damu yng Mama watatu mwenyew....lilobak kwa watu kumiteta
@mashamwarami67424 жыл бұрын
Uko vzr
@nabwamzeeloo88636 жыл бұрын
Wajua imba
@MohammedAli-rh5si2 жыл бұрын
Teinnaa 💃💃
@faal62344 жыл бұрын
Mola wangu atamilipiya Nyimbo nzuri sana
@twalibumohamedi24945 жыл бұрын
Hatareeeeeee!
@mwaka308said72 жыл бұрын
Ayeeeeee!.....yaaani wacha tu
@mwagosultan22276 жыл бұрын
Naipenda hii taarab sijui naipataje msaada please
@eddysalim61054 жыл бұрын
weka ss mbele ya neno youtube halafu search itakuja link ya kudownload basi rahisi tu nyimbo unakuwa nayo
@saidaabdalla50985 жыл бұрын
Wewe Hukua Wala hutokua
@yosamyahya15066 жыл бұрын
jamani mwenye hii nyimbo naihitaj
@hamzaselemani95783 жыл бұрын
Mmmm utapata kama unaitaka
@tmarkturn5 жыл бұрын
Nimeisikia leo hii nyimbo Leicester,nimeipenda sana Mashaa Allah.ninatamani unitumie.
@zinahattas99064 жыл бұрын
tuma namba yako ya simnikutumiye nyimbo ya jaffar
@khamisali60986 жыл бұрын
jafar ukoo juuuuuu i love it.........
@khamisali60986 жыл бұрын
i love it songyyyyyyyyy
@fatmaabdulmajid8076 жыл бұрын
Sio mm wewe hukuwa wala hutokua pambeeeee tyuuuuuu