Pole sana mwana mfalume naamin mungu yupo Pamoja nawe naomba viongoz wampambanie dube amelogwa na Simba na Azam
@jahctivetv16 күн бұрын
Ottomal Kamkwenda, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@fulgenceramadhan16 күн бұрын
Pole Sana ndugu yangu ombi langu naomba viongozi washirikishe wanachama kupitia matawi yetu tuone namna nzuri ya kumsaidia huyu kijana wetu mwana WA mfalme
Mimi binafsi huwa nakuombea sana Dube, uchawi upo na inawezekana umelogwa kweli. Wananchi kwa imani zetu tumsaidie Dube kwa naombi na dua zetu kwa Mungu. Yeyote anaweza kulogwa hivi hivi, tumsaidie Dube kupambana wa wachawi wanaomloga.
Fanya hiki. Nendakanisani kwakakobe akiombea tu mambo yatakaa vizuri
@WilfredChomo16 күн бұрын
Wana-Yanga wote tuwaombee wachezaji wote .
@wilbertshilinde722316 күн бұрын
Sio dube tu timu ya yanga Kuna kitu kimefanyika kutoka wapinzan lkn pia hata hao akina magoma wanahusika bila viongozi kustuka na kuwashirikisha wanachaka pamoja na matawi timu itapotea they are something at behind kuwatukana wachezaji ni kuwaonea kilichopo ni kuwasaidia haswa dube Tim imeferishwa yanga sio ya kukoswa matokeo kwanza Tim inacheza vizuri mno wanachama pamoja matawi 2napaswa kuungana na kuona nin Cha kufanya
@JosephMugabe-s8g14 күн бұрын
Mungu ni mwema na mwaminifu kwa wale wanaomkimbilia ...Dube tumemkabidhi MUNGU akufungue yeye hashindwi utafunga magoli mengi maadui watashanga kwa uwezo wa Mungu hakuna uchawi Amen ...
@jahctivetv14 күн бұрын
Joseph Mugabe, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv, Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@IddyNchama14 күн бұрын
daah pole pole sana kijana mungu ajarie sana sana ushauri kabombe ruhusa uwende kwenu ukapate matibabu
❤ We ni Bora siku zote kama Kuna aliye kufanyia ubaya litamrudia kama lilivo ucjali kaka ckuzote hakuna anaependa mafanikio yako wananchiii tunakuomvea sana❤❤❤❤❤🫂
@jahctivetv14 күн бұрын
Octavyan, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@TriphoniaKimaro14 күн бұрын
Mungu akufanyie wepesi inshallah 🙏 yote yanawezekana Kwa yeye atutiaye nguvu 🙏
@jahctivetv14 күн бұрын
Triphonia Kimaro, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@halimaa936716 күн бұрын
Pole kaka mungu akutangulie 😢 utashinda inshallah muamini mungu yupo nawe
@jahctivetv16 күн бұрын
Halima, Ahsante Kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@Vuvuzelaz116 күн бұрын
Nenda Kawe kwa Mwamposa kama Mayele Simba na Azam wachawi sanaaa
@jahctivetv16 күн бұрын
Vuvuzelaz, Ahsante Kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@yousifyousif-p7f16 күн бұрын
Pole sana mungu atakufanyia wps atakufungulia kila aina ya kifungo hakuna kubwa kwa mungu🙏
Ester Mosha, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@IddyyFumbwe16 күн бұрын
Wananchi mmemsikia dube asaidiwe hawa mahasidi wamemuumiza dube hata azizi ki halafu wanasingizia mobeto, wachezaji wetu wengi wamewaumiza wamewafunga, tuamke wananchi, dube kasema lkn naamini kuna wachezaji wengi wa yanga hali kama ya dube inawakita.
Wanasema mchawi ukimuumbua unapona tatizo lako nakupongeza kwa kusema ukweli wa changamoto yako tunajua Sasa tutakukabidhi kwa Mungu muweza wa yote soon utakuwa sawa 🙏🙏
@jahctivetv15 күн бұрын
Kaunga Dory, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@@jahctivetv Pole sana dube mwombe sana mungu atakusaidia ni kwel Uchaw upo' mimi nishabiki wa yanga na ninakukubal pambana usikate tamaaa ukimuomba mungu utapona na utakua bora zaid...
Naomba kumshauri mdogo wangu Dube: 1. Pole sana kwa lawama. Zigeuze kuwa fursa na tusonge mbele, wengine tunaelewa nn unapitia 2. Bila kujali itikadi, nenda na Nzengeli kanisani kwao, ombea miguu yako, komboa na ombea nyota yako. Yote yana mwisho
Chemistry, Ahsante Kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@shaameshaame283715 күн бұрын
Mashabiki wa Yanga tuwe wavumilivu kucheza mpira timu za hapa Tz ni kazi ngumu sna wachezaji wanapitia magumu mengi ambayo sisi hatuyajui kikubwa kila mtu kwa imani yake amuombee na yy awe na aman moyon na kama kuna mtu anaweza kumsaidia basi msaidie ili yy apate furaha na washabiki wite wapate furaha
@jahctivetv15 күн бұрын
Shaame Shaame, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@HumphreyMunyuku4 сағат бұрын
Pole sana dube
@JohnFrancis-x7m14 күн бұрын
Tuanze na chama kufanya uchunguz kabla dube alikua vizuri pakome piah kii aziiz ndo alikua ashikiki lakin ghafla baada ya kuanza kipindi chakwanza baada ya kuanzia sub ndo tumeanza kuyaona haya mkude ndo kazima mazima apo chama ashushe mabegi kabla hatuja fika stand matunda tutayaona
@jahctivetv14 күн бұрын
John Francis, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv, Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Anna Mzava, Ahsante Kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@MiloboyMilo17 күн бұрын
Mm namini utakuwa sw Dube nikipindi ila hakuna asiyejuwa uwezo wako mungu atakusaidiy Amin
@jahctivetv17 күн бұрын
Milo Boy Milo, Ahsante Kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@DolofinaChiza15 күн бұрын
Dube mkimbilie mungu hakuna lisilowwzakana kwake
@jahctivetv15 күн бұрын
Dolofina Chiza, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@josephmwise317716 күн бұрын
Pole sana Dube, zidi kuomba Mora shetani atashindwa.
@jahctivetv16 күн бұрын
Joseph Mwise, Ahsante Kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@dorothyleonard574014 күн бұрын
Pole sana dube hakiki umeeleza yote unayokumbana nayo naimekuwa mwisho wamatatizo yako kuanzia sasa utafunga sana mitego yote umeitegua ombi langu kwa kocha akuamini utamfanyia makubwa wananchi wenzangu sala na dua zinahitajika sana juu ya kijana wetu anapitia wakati mgum sana Eeee Mungu simama na kijana wetu atimize doto ya maisha yake
@jahctivetv14 күн бұрын
Dorothy Leonard, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@LilianMkini16 күн бұрын
Pole sana hata Mimi nimeiona Hilo Kuna mazingira ya uswahili yanaendeles juu yako,ila kaa amini mungu yupo na pia nenda kanisani simama mbele ya msalaba wa Yesu Lia piga goti sema shida yako utafunguliwa
pole sana dube mungu ata kujalia tu uta kuwa vizur tu
@jahctivetv16 күн бұрын
Shidy Music Official, Ahsante Kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@shidymusicofficialtzfami-mz9cr15 күн бұрын
@jahctivetv pia na ombeni sapoti yenu
@SelemaniSelemani-bw4ps16 күн бұрын
Namhurumia sana dube yaan kabisa yani huyu sio dube ninaemjua mim, nakuombea sana aliekufunga,basi in shaa allah kama niuchawi basi allah aurudishe kwake yeye , in shaa allah utakuwa sawa prince dube, Amin.!
@jahctivetv16 күн бұрын
Selemani Selemani, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@elizabethmgassa724314 күн бұрын
Mungu atakupigania mwamini tu.tunakuombea mbingu zikuahike mkono.usiogope Mungu yupo.
@jahctivetv14 күн бұрын
Elizabeth Mgassa, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@veronikasilayo145515 күн бұрын
Pole sana jamani mungu atakusaidia
@jahctivetv15 күн бұрын
Veronika Silayo, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@ashahussein273416 күн бұрын
Dubee Allah akusimamiye so kawaida yako mpaka nashindwa ku elewa ndio kufungwa ni kawaida ila Dubee toka uingiye yanga mambo amekuwa mazito sana naimani yataisha inshaallah
Ujumbe wako umeniumiza sana pole sana ww ni dhahabu utang'ara kwa namungo vumilia matus maneno makali wasamehe wote waliokulaumu huo ni mtihani wa kukuvusha hatua nzuri mbele.
@jahctivetv16 күн бұрын
Maria Sima, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@furahambaga16 күн бұрын
Pole dube,hayo yanapita utakaa sawaa.endelea kumuamini MUNGU
@jahctivetv16 күн бұрын
Furaha Mbaga, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@clementmgongolwa831615 күн бұрын
Watanzani hivi kweli mnashiriki ulozi kwa dube mungu atawazadia zawadi inayoendana na ushirikina huo ngojeni tu
@jahctivetv15 күн бұрын
Clement Mgongolwa, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@raphaelkessy736015 күн бұрын
💛💚Jitahidi uende kwenu ukachinje mnyama au wanyama kulingana ukubwa wa Ukoo wenu upande wa Baba zako wafanyie Karamu ya Upendo ndugu zako ifanyike kule kwenye Asili yenu hakikisha ume waalika wote haiwezekani kuja wote lakini hakikisha ndugu wa Damu upande wa Baba wote wanajua
@jahctivetv15 күн бұрын
Raphael Kessy, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@raphaelkessy736015 күн бұрын
💛💚💛💚Karamu ya Upande wa Mama waulize Garama ili uwawezeshe wafanye wenyewe wakualike wewe na Ndugu zako wa tumbo moja matokeo utaniambia
@godfreymanento281016 күн бұрын
Hizo Imani potofu kuhusu uchawi kwa Dube.. tafuteni sababu za ukweli...
@jahctivetv16 күн бұрын
Godfrey Manento, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@devothaignatius525613 күн бұрын
Uyu mwamba tnampenda sana asiguswe na mtu atafanya vizuri tu
@jahctivetv13 күн бұрын
Devotha Ignatius, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@LilianMkini16 күн бұрын
Nimeiona kupitia Yesu juu ya Ekaristi nenda ukikanyaga tu imekwisha hilo
mungu yu pamoja nawe dube mpaka ameamua kusema ujue anamagumu anayapitia wananchi tulitakiwa kushtuka toka siku mechi walocheza na cost arusha kuna kauli ilisemekana anasumbuliwa na kichwa dah wachawi msio na kazi mnaloga hadi kipaji cha kijana wa watu muacheni hatumie ujana wake mungu ataweza fumbia macho hilo miujiza itatendeka inshaallah
@jahctivetv15 күн бұрын
Aahyan Hassan, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@aloujouasumwisye55316 күн бұрын
Cheza mpira Dube, maneno ya washabiki yawe chachu ya kuongeza bidii, usikate tamaa yote yanawezekana mtangulize Mungu
@jahctivetv16 күн бұрын
Aloujoua Sumwisye, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@paciencemaumba702216 күн бұрын
Kama Hali ndiyo hii , kama binadamu tunapaswa kumvumilia na kumsamehe pia. Hata bench la ufundi nalo Lina wajibu kumpa nafasi ya kutuliza akili yake. Na hata viongozi wamsaidie kuliko kumwacha huku akidhalilishwa na kuvunjiwa heshima.
Dahhh pole sana kwa hicho kipindi kigumu saaaana unachopitia kikubwa Mtangulize Mungu kwa kila jambo
@jahctivetv15 күн бұрын
Kwilasa Charles, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@fuemlindoko983916 күн бұрын
Maombi, Mungu baba Mwenye uwezo sisi ni waja wako watoto wakotunaomba utusikie BABA sisi ni wakosaji utusameme tunakuja Mbele zako uponye wachezaji wote.kama wamerogwa uwaponye na yeyote kwa.namna moja au nyingine kuna.kuhusika. MUNGU BABA UWAADHIBU KWA JINA LA YESU UWASAMBARATISHE WOTE UWASIBISHE KWA JINA.LA YESU na kuanzia mechi.ijayo tushinde kwa kishindo Mungu BABA TUOKOE.na Janga hilo.TURUDISHIE.AMANI NA.FURAHA.UNAWEZA BWANA ASANTE TUNAAMINI UNATENDA
@jahctivetv16 күн бұрын
Fue Mlindoko, Ahsante kwa Maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@ismailmohamed50216 күн бұрын
Hii naona inafanana kwa mchezaji mmoja wa livapool alikuwa anaitwa Fernando tores kuhama kwenda chelse
@jahctivetv16 күн бұрын
Ismail Mohamed, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@ElizabethNavuri16 күн бұрын
Inawezekana anachokutana nacho kweli asikilizwe asifiwe kwa maombi Mungu wetu anaweza
@jahctivetv16 күн бұрын
Elizabeth Navuri, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@simonndunguru162916 күн бұрын
Aombe ruhusa aende kwao wakamtambikie Kimila. AZAM na Simba Chakavu ni wabaya sana wametorogea Wachezaji Wetu.
@jahctivetv16 күн бұрын
Simon Ndunguru, Ahsante Kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@MatronaThomas-wz5si16 күн бұрын
Kimbilia KWA YESU bro Kawe inatosha
@jahctivetv16 күн бұрын
Matrona Thomas, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@SimonMabigi17 күн бұрын
Daah 😢 pole sana sana me nimekusamehe na najua hii dinia 😢
@jahctivetv17 күн бұрын
Simon Mabigi, Ahsante Kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Pole sana mwanangu wewe watu wamekufanyia ubaya mkubwa tena wanajulikana sana waliyokuhusudu mwanangu kwa kudra ya Mwenyezi Mungu atakufunguwa ndo yeye tunamtegemea mnooo walohusika wote waliyomfanyia huu kijana wetu Allah awateketeze kwa njia yoyote ile na uchawi wao pole sana Mimi naumia mnooo kipaji chako umepewa na Mwenyezi Mungu ila tushawajua tayari jishulilkiye mwanangu na nakuombea dua kwa Allah atakuvua ilo walokutupiya
shetani amekwisha shindwa kwasababu hana mamlaka kwa jina la Yesu dube umefunguliwa Mt 18:18 ninafungua vifungo vyote vya uchawi juu yako. Hesabu 23:23 hakuna uchawi wala uganga kwa jina la YESU
@sizabintrajabu670916 күн бұрын
Yani mimi mwenyewe naumia sana nikimuona mchezaji wetu anapitia magumu daah mtihani wallah inshallah hakuna linaloshindikana mbele za mungu tutazidi kukuombea
Pole sana Mungu yupo atakusimamia tu tunaimani na wewe
@jahctivetv16 күн бұрын
Eliza Itolya, Ahsante Kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@TundaIsak16 күн бұрын
pambana my br wanao kutukana hawajuwi dunia ilivo mzunguko kikubwa pambana mngu atakufanyia wepesi lshalha
@jahctivetv16 күн бұрын
Tunda Isak, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@JoshuaMbwaga16 күн бұрын
sis wanayanga bado tunaimani na dube mungu wambinguni akufinyange upya dube utafunga tu adi mwamba wa umalila mtangazaji atasema dubeeeeeeeeee pss dube psss dub
Amwombe Mungu sana aliwakashifu viongozi alikotoka
@jahctivetv15 күн бұрын
Jenifer Ngata, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctive Tv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@hermanjackson65916 күн бұрын
Pole sana dube mimi binafsi nimeumia sanaa unayo yasema yapo na sio wewe tuu hata Azizi wamemvuruga sana engineer said wasaidie vijana hao kwa hali na mali Tanzania uchawi upo
@jahctivetv16 күн бұрын
Herman Jackson, Ahsante Kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@SaraRobert-io8xv16 күн бұрын
Duuuh pole kipenz changu mungu atakusaidia aiseeee tanzania uchawi nimwingi
@ElvisDamin16 күн бұрын
😅😅😅
@jahctivetv16 күн бұрын
Sara Robert, Ahsante Kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@jahctivetv16 күн бұрын
Elvis Damin, Ahsante Kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@MahadhiRahim16 күн бұрын
Pole Sana dube wachezaji wanachezeana Sana,wachezaji wamepigwa Sana,na Tim nayo imepigwa,tusiwe wepesi kulaum tutahama uwanja,tutafukuza kocha tutaangaika Ila shida timu imepigwa kichawi na wachezaji pia wamechafuliwa Sana viongozi,washabiki,na wanachama wawasaidiwe Hawa wachezaji kuna watu wanahalibu wenzao wakipata nafasi ya kucheza wao hakuna kitu,