DEM WA FACEBOOK "EX BOYFRIEND" KIMBIKIMBI SHOCKS EVERYONE WITH THIS TRUTH ABOUT HER MANAGER QUITTING

  Рет қаралды 16,688

Jalango TV

Jalango TV

Күн бұрын

Пікірлер: 91
@wahesh254
@wahesh254 24 күн бұрын
She is still our best and role model nothing can stop God's plans and favour
@lucymakandi
@lucymakandi 24 күн бұрын
Watu waachane dwfb,she is very great ful to all who supported her.
@ngugikyalo
@ngugikyalo 24 күн бұрын
Nyota ya DWFB inanga'aa that's y kila mtu akipumua ni yeye tu. Keep on going girl
@linachepkemoi355
@linachepkemoi355 24 күн бұрын
At least someone is giving Trudy kitui her flowers 🌹🌹, that girl has suffered in the hands of toxic insecure fans projecting their insecurities in other people's relationships,hope Dem wa facebook's new management will do better, the outgoing failed terribly in terms of public relations.
@Grace-f3q7m
@Grace-f3q7m 24 күн бұрын
I think the backlash she received was abit to much lakini ilikua mwiba wa kujitakia if you ask me..They had done an interview na obinna a day before na akasema he doesn't wanna talk about his relationship with dwf so interview ya cassypool ilikua very unnecessary and uncalled for and it was so obvious ilikua script ya kumake dwf the bad one and it failed terribly...Dwf had always respected and given obinna his flowers akienda Kwa interviews so casspool lecturing dwf kuhusu kurespect obinna rubbed people off the wrong way...Nimeona ukisema people pay bloggers so they were obviously paid but the script didn't script😅..Thank you
@reenmakamu2278
@reenmakamu2278 24 күн бұрын
​@Grace-f3q7m hiyo ya cassypul ilinikera saaaana though trudy is just a trude sikapendi 😂..
@linachepkemoi355
@linachepkemoi355 24 күн бұрын
@@Grace-f3q7m caasypool naye ni chawa tu vile hujiita,kiburi ya pesa nane😅😅
@cecilwachuka
@cecilwachuka 2 күн бұрын
​@@Grace-f3q7mthat was my take too
@florenceokoma6313
@florenceokoma6313 24 күн бұрын
Kumbe hii keki ya tumbili iliuma tu wengi sio dwf pekee
@CarolineOnditi
@CarolineOnditi 24 күн бұрын
I vote for Trevor to be dwf manager.
@ruthmulenga6393
@ruthmulenga6393 23 күн бұрын
👍👍👍👍
@lyndahlynne4617
@lyndahlynne4617 24 күн бұрын
Kwani manager wa bebi ndio wa kwanza kuresign??😂😂Ametrend for days now waah....Anyway, trust Kimbikimbi at your own risk
@liliankim254
@liliankim254 23 күн бұрын
Akh kimbikimbi 😁
@FranciscarMuye-ir3jd
@FranciscarMuye-ir3jd 24 күн бұрын
Enyewe Dam wa fb ni star yaani manager kuresign ni kitu ya kudiscusiwa kiwa kila time kwani ni yeye wa kwanza manager wake kuresign 😂😂😂😂😅
@emmaculatembevo6083
@emmaculatembevo6083 24 күн бұрын
😂😂
@lyndahlynne4617
@lyndahlynne4617 24 күн бұрын
Nashangaa, wacha wamuongelelee ndio atrend zaidi😂😂😂
@ChristineSoita
@ChristineSoita 24 күн бұрын
Wacha azidi kutrend
@marynthenya660
@marynthenya660 24 күн бұрын
All social media Dwf
@michaeltadayo1533
@michaeltadayo1533 23 күн бұрын
munachocha uyu dem bt siku ya downfall yake ni nyinyi mtaanza kucheka
@FlorahKironco
@FlorahKironco 24 күн бұрын
Dwfb ni star,yaani wiki akiongelewa
@Mamamakori
@Mamamakori 22 күн бұрын
Imagine napenye watu wanatusi Trudy wacha mungu azaidie trudy.
@PaulineKadenge-fz6ug
@PaulineKadenge-fz6ug 23 күн бұрын
Mkinyamba ni dwf, please wachaneni na Dem wa Facebook kabisa
@zienabshehab4472
@zienabshehab4472 23 күн бұрын
Huyo dem amependa kifua ya kimbikimbi
@machani039
@machani039 24 күн бұрын
#Kunguri is my favourite and so respectful Man
@FlorahKironco
@FlorahKironco 24 күн бұрын
But she thanked everyone who was part of her growth
@catherinepeter1413
@catherinepeter1413 24 күн бұрын
Kimbikimbi alingonja opportunity yakumpasha andrew na amepatata
@MukamiJudy
@MukamiJudy 23 күн бұрын
Bebii is a star
@joekaruga-Natka
@joekaruga-Natka 24 күн бұрын
Kimbi kimbi defending while attacking dame ya facebook
@beatriceloye
@beatriceloye 24 күн бұрын
Haeleweki 😂 defending strock attacking at the same time 😂.
@MonzeKilonzi
@MonzeKilonzi 23 күн бұрын
God bless you mummy . kindly help me to reach Mheshimiwa Jalang'o naomba unipeleke kwa Rais wangu Ruto NIKO NA UJUMBE WAKE KUTOKA kwa MUNGU . Monze kilonzi over 60years old. Kaa ukimbarikiwa mum.
@akishbebe1893
@akishbebe1893 24 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 kimbi yawa nimekumis yawa ❤ let story baba we love you 😍 ♥️
@rodgerswasike2209
@rodgerswasike2209 23 күн бұрын
How can a man over 18 be an orphan ? Wachana na kuharibu jina orphan .orphan is to young kids under 18.
@violetochieng729
@violetochieng729 24 күн бұрын
Ukweli kikimbikimbi😂...ukweli usemwe
@Maryann_ann-q4h
@Maryann_ann-q4h 24 күн бұрын
Ila kimbikimbi😂😂😂😂خ.
@debyadochi
@debyadochi 24 күн бұрын
Trust kimbikimbi at your own risk...
@ChristineWambua-vm6mb
@ChristineWambua-vm6mb 23 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@JaneNdolo-h2s
@JaneNdolo-h2s 24 күн бұрын
I thought it was only ladies who forgive and never forget. Why do you keep condemning Milly? She won't remain a baby forever she needs to grow and grow her brand. Some of this negativity, hate and the trolls is not doing justice to her as a person. Please let's support Dwfb..without dragging her into this negativity.. let's give Andrew his flowers and let him be.
@reenmakamu2278
@reenmakamu2278 24 күн бұрын
But dwf also chambas kimbikimbi..hii ni kiki kama siasa tu usiweke kwa rohoo
@abdinassirhussein190
@abdinassirhussein190 23 күн бұрын
Unajua sazingine mtu ana ngangana kujia inua BT kuna watu wanasema hao ndyo wamefanya umefika hapo pliz mungu ndyo anajua mahali atafikusha mtu tuwache kupea watu kipaombele Kwa bidi ya mtu
@emilynyoike1986
@emilynyoike1986 24 күн бұрын
Bebii to the world.. Kila siku na mapya.... Go go gal
@loicekhanali-xd5xz
@loicekhanali-xd5xz 23 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kimbi kimbi ana watwanga wote Dem wa facebook na manager wake 😅😅😅😅
@GraceJeptanui-hi1vy
@GraceJeptanui-hi1vy 24 күн бұрын
Aky kimbikimbi utaniuwa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 22 күн бұрын
Kimbikimbii angukanayo 😂😂😂
@Rose-s2s
@Rose-s2s 8 күн бұрын
Kimbi kimbo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@TomChumbe-wv6od
@TomChumbe-wv6od 23 күн бұрын
Oyuko wewe😂😂😂😂😂❤
@Andrew_MwikoShow
@Andrew_MwikoShow 24 күн бұрын
😂😂😂 Kimbikimbi the Man 😂😂😂
@victoriakeshy2017
@victoriakeshy2017 24 күн бұрын
Huyu nikama alikuwa anategea chance ya kukuchamba na amepata😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@GRACEGR-f4c
@GRACEGR-f4c 24 күн бұрын
Aki iyi kenya kila siku ni dm wfb kweli achaneni nauyu musichana wawenyewe
@janemulei2070
@janemulei2070 24 күн бұрын
Wacha wamuongee andelee kutrend
@linachepkemoi355
@linachepkemoi355 24 күн бұрын
Do you know celebs pay bloggers or clout chase to trend? That's something Dem wa fb should let her fans know,it's good for her biz but you guys are busy blocking thinking you are helping
@kienyejiwavihiga1009
@kienyejiwavihiga1009 24 күн бұрын
Watu wakinyamaza ndio atasahaulika kabisa tutasonga kwa mwingine
@ChristineSoita
@ChristineSoita 24 күн бұрын
Tulia mamaa the more they talk about her the more anazidi kutrend
@lucywambui8092
@lucywambui8092 24 күн бұрын
Mmmmm jamani kuitikiammmm inakera sana sometimes dont . Kimya na kuiyolia ma kichwa. Hii inabore aki
@CalvinMugami-ti7qp
@CalvinMugami-ti7qp 23 күн бұрын
😂😂😂😂
@Aljazeer.ismail
@Aljazeer.ismail 24 күн бұрын
Mimi ukiniita allien tunagawana majengo ya serikali mmoja jela mwingine mortuary
@shairohShindemmm9127
@shairohShindemmm9127 23 күн бұрын
Why disrespect someone who has truly worked with her. Karma is a bitch you will see what happens.
@JahrelJeremy
@JahrelJeremy 24 күн бұрын
Kushona mangunia😂😂
@VERONICAMulli
@VERONICAMulli 24 күн бұрын
Nonsense
@NANCYMBALA-f1k
@NANCYMBALA-f1k 23 күн бұрын
Kimbikimbi walai unaniforce kucheka 😂😂😂
@AbigaelMisigo-id5cm
@AbigaelMisigo-id5cm 24 күн бұрын
Kimbikimbi 😂😂
@gladyskamanda9756
@gladyskamanda9756 21 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@JuddieLusimba
@JuddieLusimba 24 күн бұрын
Dem wa FB appreciated Kimbi Kimbi for linking him with Obina
@JudithGesare-hz5hs
@JudithGesare-hz5hs 24 күн бұрын
Heeee
@Ndondiafrika254
@Ndondiafrika254 24 күн бұрын
Dame wa Facebook ataanza kusahaulika if she continues to be in such conversations
@njugunawambui1781
@njugunawambui1781 24 күн бұрын
The fact that she's trending daily hawezi sahaulika ....plus that girl carries grace manzee
@lenaatieno508
@lenaatieno508 24 күн бұрын
You lie that lady is favoured, when you have they anointing of God upon your life everywhere you go you will continue to be recognized so if you are waiting for see you are life shame on you. How many people have been famous for many years and now they are old and they are still famous. So continuous sleeping don't wake up on that dream. Because you will wait for bebii downfall you'll not see
@njugunawambui1781
@njugunawambui1781 24 күн бұрын
@@lenaatieno508 tell them ❤️They should sit back and watch the space
@Mikesonko254
@Mikesonko254 24 күн бұрын
Everyone has a season...it's her time..soon mwingine atakam na tutasahau bebii with time...this is a fact
@dorcasnyambura5573
@dorcasnyambura5573 24 күн бұрын
Am sorry but she will never
@jackywambua917
@jackywambua917 24 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤
@margaretngugi6189
@margaretngugi6189 24 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😂❤
@AntoninaEzekiel
@AntoninaEzekiel 24 күн бұрын
Kimbikimbi 😂😂😂😂
@GraciousCollection
@GraciousCollection 24 күн бұрын
Kimbikimbi 😂😂😂
OBINNA SHOW LIVE: OGA OBINNA STOLE DEM WA FACEBOOK - Kimbi Kimbi
12:38
Obinna TV Extra
Рет қаралды 79 М.
NERF TIMBITS BLASTER
00:39
MacDannyGun
Рет қаралды 14 МЛН
Last Person Hanging Wins $10,000
00:43
MrBeast
Рет қаралды 150 МЛН
1%🪫vs 100%🔋
00:36
Аришнев
Рет қаралды 3,3 МЛН
DEM WA FACEBOOK LIVE ON MILELE FM FULL SHOW
54:53
DEM WA FACEBOOK TV
Рет қаралды 112 М.
DEM WA FACEBOOK LETA UGALI SIZE YANGU!!!
13:15
Bradley Gen-Z Goliath Diaries
Рет қаралды 215 М.
Spirituality Vs Witchcraft & Science || Dr. Mwaka
1:56:49
Dr. King'ori
Рет қаралды 312 М.
GITUMI GIAKWA KURUTA KIREMBA  MARY WA HEZEH GUTARIRIA
1:11:54
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 72 М.
MEET DADA SARAH THE LATEST MILLIONAIRE IN TOWN
1:25:38
Ngugi wa karanja Mcee TV
Рет қаралды 53 М.
OBINNA SHOW LIVE: REVEALING THE DARK SCRETS-  Caroline Nyanga
1:40:49
Obinna TV Extra
Рет қаралды 95 М.
NERF TIMBITS BLASTER
00:39
MacDannyGun
Рет қаралды 14 МЛН