Subscribe to Truth watchdog new channel here kzbin.info/door/xlbAyI-cHuwYCdCPQQ-xFg
@MilkaAdhiambo-wq2dn7 күн бұрын
This guy is a truthful man May God bless you
@PamJeith-c2w9 күн бұрын
I like this guy TWD.. what he's said is very true, facts mtupu. Obinna should improve on the way he handles his team & he should consider TWD as a true friend for telling him the truth. Am a big fan of Obinna & I pray that him & DWF can work together for their brands to grow huge.
@thekorporateeskimo7 күн бұрын
get a job youre too invested in useless information
@marymkyeniy35719 күн бұрын
Obinna ni brand kweli bt akiachana na dem wa fb nilazima.atatingisika kiukweli nyota zao zimeshikana sana
@MukamiJudy9 күн бұрын
That's why alisema ni wife
@marykahunda9 күн бұрын
Nyota zao zimebeba na wakiacha wote watarudi chini juu watu wengi wanawafatilia sana juu ya weekly show
@hassanmakokha2749 күн бұрын
Kwani sai Dem wa fb amerudi chini ama 🤔 she's still moving na at the top@@marykahunda
@sabinaatema20658 күн бұрын
Nilijuwa obbina kupitia dem wa FB
@karenomondi96028 күн бұрын
Obina is a very big brand .He is a very big MC.He was there even before dwfb so you don't know what you are saying
@marthakiongo2719 күн бұрын
Hakuna weekly show ilisha namisahau let's support dame wa fb
@dadychaps75278 күн бұрын
Mwanadada sauti Masha'Allah , Introduction pia moto 🔥💞🥰😋
@bukusumediatv84996 күн бұрын
True, she's doing her job well. Keep up our gal
@MukamiJudy9 күн бұрын
That's true Obinna ako na ego sana
@AnnAnnie-ow4tn9 күн бұрын
Shida ya Obinna,, yeye huona kama ame own DWF,,hajui huyo dame saa hii ni kipenzi cha kila mtu,,so kufanyiwa birthday na mtu mwingine si vibaya,,,awachane na DWF ,,we will support her
@GraceJeptanui-hi1vy9 күн бұрын
Unajua kuchimba wengine na wewe nani anakusema wachana na bebiiiii wa bebi, but don't worry we love you ❤❤❤❤❤
@Esthermwikali379 күн бұрын
Bitter truth big up TWD 🎉🎉🎉
@omanmudhaibi-b2q9 күн бұрын
Apo kwa crew ameongea fact hao ndio hutoa siri nje sameone to tag obinna hasikie hizi facts
@bukusumediatv84996 күн бұрын
Good job Jalang'o TV. A very good interview, Eddy anajituma vile inafaa
@cecilwachuka9 күн бұрын
My take Obina seams to be taking serious decisions of the weakly show without involving dwfb....na still he has publicly said dwfb is not part of Obina tv/ show.......and also he seams very moody like he make decisions using a lot of emotionals......he seams anacatch mafeelings alot, compared to dwfb she seams she knows what she wants she is forcased...she seams to have perfected hinding pain and emotion's
@EstherAnunda-o1t9 күн бұрын
True
@ruthnarotso9 күн бұрын
Pure facts and truth 💯
@MukamiJudy9 күн бұрын
Sure
@annnjoroge-ix7zn9 күн бұрын
Am team bebii but I second you...dwfb Ata hakuambiwa hio kipindi ikistopiwa😢
@masonsanders76899 күн бұрын
Obina alikula DWF akiwa bichi na ku-dump that's why anacatch
@millicentneto16319 күн бұрын
Wacha niseme initoke wachana na oga obinna na dem wa fb kabisa
@emmanuelmdawida5049 күн бұрын
Without oga or dem wa Facebook hakuna Content
@romanus97007 күн бұрын
Truth watchdog is speaking a lot of sense
@TWDCI_19 күн бұрын
Thanks for hosting me
@thekorporateeskimo7 күн бұрын
naona umepona
@julianBereansproductsltd9 күн бұрын
Yes show ya weekly isonge but let Dame wa FB pia do other things independently for her future ata kama ni ya small amount. Chuchill has helped so much talent and he has never bullied any of them. Neither Bragg as in how he has helped them
@nancyanderson35999 күн бұрын
True
@Tanellah19588 күн бұрын
Give Obinna his flowers. He has done well with that girl. The girl can now stand on her own.Done and dusted.
@j.j36017 күн бұрын
She obly goes to the weekly show na pengine akitumwa na Obinna. She is largely independent
@VictorineTv9 күн бұрын
TWD has genuine points lakini nyinyi mnamtusi😂
@montannahlusike12999 күн бұрын
Ukweli si unajua tu😂😂😂
@LeslieSam9 күн бұрын
Exactly
@marymkyeniy35719 күн бұрын
Huyu mwanaume ameongea tu ukweli lakin binadam .ukweli ndio hatutaki kusikia
@SarahMusimbi-ng7nc9 күн бұрын
Exactly
@Waaheda_Red9 күн бұрын
It wasn't smart of them to abruptly stop the show. Nobody needed to know if there were any internal wrangles. The show had gained momentum and was actually the most watched in Kenya. It goes without saying it was making them some good money so it doesn't make sense to just terminate it. As for Obinna, he is doing quite well financially, & for DWFB I believe she was beginning to get the stability but is not there yet. As for their r/ship(kama kweli ni wapenzi) i think sio rahisi kuiweka siri so probably he just thought terminating the show would help in keeping it under wraps. Again, maybe he wasn't comfortable with how it was 'assumed' they were dating so they thought it'd be best to not work 2gether. We can only speculate. Whatever the case, they could've handled the whole thing better. Ofcourse we love seeing them together but there's no need to force issues on their part just to please spectators.
@RuthMurunyu8 күн бұрын
Very smart statement,my thoughts too..
@everlynewanyama38048 күн бұрын
Well put ✅
@christineandiso13879 күн бұрын
Leo umebonga pow asanti bro😂😂❤
@Elvine-l9z9 күн бұрын
In obinna's voice there is alot you don't know you don't know and time will tell
@joanatima8 күн бұрын
❤❤❤❤
@QueenMary-r4l9 күн бұрын
Twd Mungu akupiganie hizo access zimeangushwa Mungu akurudishie 7 times na akukumbuke.
@ruthnarotso9 күн бұрын
Amen 🙏
@kamacha8389 күн бұрын
Amen
@euniceombogo57129 күн бұрын
Saa hii tuko Dubai please @Jalango TV give us abreak some interviews are unnecessary..I come in peace😂😂😂😂.Wacha kwanza tutoke Dubai
@millicentneto16319 күн бұрын
Umesema imekutoka
@GukuGuga-fu4lb9 күн бұрын
Naona pia huyu tukimsalimia😂😂😂
@evelynewangila9 күн бұрын
Aki mwambie aache kutu mix
@larryking2549 күн бұрын
Dawa n uache kuwatch
@KENYANQUEENOFFICIAL9 күн бұрын
😂😂😂😂 nipitieni
@DorothyNthenya-wp8lj8 күн бұрын
Kweli obina na dwfb ni stars kama watu wanaeza waongelelea almost 1month na bado ,hivo angelipiwa flight na boss wake akatae😂😂😂
@j.j36019 күн бұрын
Huyu mwanaume jwa upande wa dem ku advaisiwa na watu ni uongo, thats where TWD is very wrong !!!!!
@Fatuf49519 күн бұрын
hakuna mtu anajua ukweli kati ya Obinna na dwf hapo me siwezi ongea inafa niikaye kimya👍🏼
@hannahrhodah20189 күн бұрын
Huyu mdomo domo knows everything sindio , wakati Obinna na dem wa Facebook watatokea waseme the truth, huyu mumama atajificha wapi. Anajua sana maneno ya wenyewe na yake imemshinda
@joshdaphine88509 күн бұрын
The way obi introduced bebi as his wife 😂😂😂same way alot will come as a surprise to many
@lizy84129 күн бұрын
Siku zote mtu akitokea kuongea ukweli mnamuona mbaya bt the truth is this 2brands are not ok and obina introducing DWF it's all about Kiki kuwa ukifatilia obina kwa insta story vitu anapost utaona kuna shida since birthday ya bebii obina hajawai kupost ama kulike kwa post za Dwf na hatujawai waona wakiwa pamoja ukiwa mjanja utaona kunashida
@hannahrhodah20189 күн бұрын
@joshdaphine8850 exactly 🤣🤣 . Sisi team bebii na team bebii wa bebii we know we are safe 🤣🤣. Hawa sijui watajificha wapi
@euniceombogo57129 күн бұрын
@@lizy8412hakuna ndoa haina shida ata yako iko nayo so koma😂😂😂
@montannahlusike12999 күн бұрын
Alimpost ndo watu waache kumtroll strategy ya kufikisha song 1M views and other things😅😅😅 but meanwhile we pray for both of them wakue na peace of mind @@lizy8412
@Nourahalima9 күн бұрын
Aki nyinyi mnasinya na hizi story mara obina amewekwa mara obina ako na ego .mwenye alikuangushia channel alifanya vizuri
@BarbaraPatience-qt9cc9 күн бұрын
😂😂😂😂
@daisypeters85799 күн бұрын
Iliangushwa tena
@sabinaatema20658 күн бұрын
Sometimes,,,,we need advice to go on
@margysamara94856 күн бұрын
😅😅😅ni vizuri ume sema itutoteke mimi na wewe😅
@Mutesa_19 күн бұрын
if there's one individual who has suffered in this clout in obina. Dem wa FB has had promotions here and there with brands signing her unlike obina 😢
@susanngugi24899 күн бұрын
I agree and obina lost😢😊
@Nourahalima9 күн бұрын
Heal bana wee .obina amepoza nn sasa
@margaretngugi61899 күн бұрын
@@Nourahalimahe has😂😂aheal nn🤣🤣🤣🤣
@hassanmakokha2749 күн бұрын
@@Nourahalimaukweli ndo hamtaki ata nyinyi mnaona Dem wa fb is still trending 😂😂😂
@Tanellah19588 күн бұрын
Obinna has a family to take care of. Family first.
@catherinenzioki42759 күн бұрын
The naked truth❤
@Risperchepkurui-pc9mn9 күн бұрын
That's y i like this guy for free
@MaureenKilonzo-de5of8 күн бұрын
The part of listening to good engu has also helped me
@BeatriceNyaboga9 күн бұрын
Umeongea ukweli kabisa
@priscillaauma26122 күн бұрын
You are a really true friend
@catherinek34099 күн бұрын
Obinna is a classic narcissist. He wants to own Dwfb. Hiyo kusaidana is for show it’s not because he’s kind.
@Tanellah19588 күн бұрын
Binadamu ananga Asante. Obinna has done well with that girl. She can now stand on her own.
@nicholasmbembe78216 күн бұрын
B4@@Tanellah1958 b4 Obinna kupick hayo msichana.....hao wote wenye wanaongea walikuepo wakimuona akiangaika.....
@julianBereansproductsltd9 күн бұрын
Tena yeye do humiliate Dame wa FB Sana ata kama unasaidia mtu c Tena udai heshima kama ya Mungu. Mungu ndiye kupea Kila mtu nafasi
@Tanellah19588 күн бұрын
Vile dem wa Facebook alikuwa anaangamika kwa slum. Muli kwa wapi? Mbona amuku mshika mkono?
@victoriakajabu39728 күн бұрын
@@Tanellah1958ongeza volume
@danielkamau-qe2gw7 күн бұрын
The reason why some of these so called celebrities need mentoring and professional character development class..
@elinagideon9 күн бұрын
Acheni kujifanya munajua mengi khsu obinna acheni apumue plz
@rahmarooney45199 күн бұрын
Watakulia wapi wasipo ongelelea obbina
@conniesigoma67459 күн бұрын
Imagine Obinna ashaclear the air mambo imetulia but watu hawachoki na yeye sijui Nini inasumbua watu poooh! Muache Obi na Dwfb wapumue kidogo
@bonfacewachira32979 күн бұрын
Obinna ana utoto
@rahmarooney45199 күн бұрын
@@bonfacewachira3297 tuliza nyenge bwana bi kizee
@josephinethogo13658 күн бұрын
@@conniesigoma6745Ni Kiki tu hakuna kuclear the air. Have you seen them together? Kwa ground mambo ni different.
@Ann-ou3oq7 күн бұрын
I truly like this gentleman for free ❤🎉
@shammillajibera90077 күн бұрын
Interviewer has a good voice
@themutindasfarm8 сағат бұрын
Wishing all upcoming youtubers here success in 2025😊
@annmmbone75259 күн бұрын
But working together was good for them
@leahayuko76619 күн бұрын
Facts Love this
@rahmarooney45199 күн бұрын
What are talking😏😏😏nongwe hii
@jaykawada54539 күн бұрын
Bamboo amekua akibanja kilami tangu zile enzi... yeye na kantai
@mutileteresia9 күн бұрын
Huyu kwanza niliacha akitwambia nani aliuwa chira na hajawahi twambia, amalize ya chira kabla aingie ya obina hawezi tubeba ufala
@dollynemarther45508 күн бұрын
Maisha ya watu wawili aache kabisa😂
@intameds26525 күн бұрын
Mimi nataka tu weekend show sitaki panganga
@christinekedogo93089 күн бұрын
Jalango TV wachaneni na obina na Dem wa FB 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 wewe madam ongea maneno yako ama fanya kazi kwa jalango kama umenyamaza si lazima useme Dem wa FB mara obina wacha wivu mbona mko na wivu na mtoto mdogo kama Dem wa FB nimeongea. hiyo kitu imenitoka 🤗
@evalineokumu9789 күн бұрын
But hakuna mahali waĺisema wameachana ni weekly show walisema imesimama kwa mda watu ndio walicome out kuongea vitu hawajui
@AbigaelMisigo-id5cm8 күн бұрын
Obi is still soaring higher n higher.Ametoka mbali
@nicerish8 күн бұрын
Waambie waskie. Some people come to you to destroy you. Obiz❤❤, needs to be careful of the so called friends. FYI, Obiz❤❤, has 35 employees.
@AbigaelMisigo-id5cm8 күн бұрын
@nicerish nice one
@martinotieno93343 күн бұрын
Sasa where does watu wa Arsenali come in...
@lizy84129 күн бұрын
Najua watu wataona huyu jamaa ni mbaya but this the bitter truth this 2 brand hawako sawa jiulizeni since birthday ya bebii hatujawai waona pamoja hata obina kupost dwf its just kiki
@امنهالسناني-ث4س9 күн бұрын
Nikweli hawako sawa ila wanajaribu kutengeneza ndio mana weekly show wanakwepesha
@Tanellah19588 күн бұрын
Obinna already said this before dem wa Facebook birthday.Dem wa Facebook was not signed under Obinna TV. They had a show called weekly show, and now it’s time for her stand on her own.PERIOD. he can’t hold her hands forever.
@Tanellah19588 күн бұрын
Obinna already said this before dem wa Facebook birthday.Dem wa Facebook was not signed under Obinna TV. They had a show called weekly show, and now it’s time for her stand on her own.PERIOD. he can’t hold her hands forever.
@JudithNjoga-if4oi8 күн бұрын
Bila obinna na dame wa fb enyewe hakuna kazi,mbarikiwe sana
@DanielOtondi-qf9pp9 күн бұрын
kukosa kazi. kushindia mkiongea kuhusu watu wengine ni aibu kubwa. Jengeni nchi acha ku idle
@KambuaTabitha8 күн бұрын
Kweli kabisa watu tunaongea sana na mambo haituhusu na hata wenyewe hawaongei sjui shida yetu n nn
@RwachiryoraWema8 күн бұрын
Niulize how r u contributing to build the country tuanzie hapo alafu kama huge difference kuwatch kitu si you go without a true but back to point one wewe kama wewe unasaidia aje kujenga inchi yakobecause it will foolish if make that statement and doing anything
@DianaChepkirui-er4zp8 күн бұрын
For the first time this guy ameongea facts
@audrienesmith73008 күн бұрын
Every blogger have a different perspective on the obinnas it's time we change the subject mve on!! Next!!
A change for. You can also open your platform, and make dem wa Facebook your co host. Achaneni na Obinna.His kids come first.
@IgnatiusSanya8 күн бұрын
Very true obi hukuwa rude and cringy
@margysamara94856 күн бұрын
Uzuri ume sema you think so hauko sure 😅sisi alisha tuambia mapema a lot is coming, so hii ni moja yao the girl is doing well.
@emmanuelmdawida5049 күн бұрын
Who knows life of this guy? Nani hushugulika na life ya huyu mse
@KENYANQUEENOFFICIAL9 күн бұрын
Team France tunasema Obinna alikuwa anatumia tu that young lady to grow his channels coz zilikuwa zimezama,yenye ilikuwa na subs mob ilikuwa 250k ,saa hii zinachezea 500k, anyway sina lawyer anajua kizungu, nipitieni guys pale kwangu
@marthakiongo2719 күн бұрын
Once Omosh PA alisema
@Elvine-l9z9 күн бұрын
😂😂
@victoriakajabu39728 күн бұрын
Hata ya dem wa fb b4 apatane na Obinna ilikua na less than 20k subscribers
@nicholasmbembe78216 күн бұрын
Hata hao wenye wanamtaji sahi wanataka,channel zao zi grow....wachaneni na Obinna, amejaribu kuchange bebii.....❤❤❤
@victoriakajabu39726 күн бұрын
@@nicholasmbembe7821 kabisa, ongeza volume
@maggiekanorio49059 күн бұрын
Huyu mtu anahanyahanya kila mahali apambane na hali zake
@Lizakish9 күн бұрын
Bt i think November and December ni busy months walijua watakua busy then dem wa fb brand yake grow coz watu walikua wanafikiria wako pamoja na obinna kama brand moja bt ju Kenya ni akina nani😂😂
@sheiiknaum29519 күн бұрын
Uyu apewe jembe kalime baharini sasa ukome bebii na bebii wake nkt🙄
@thekorporateeskimo7 күн бұрын
hatukuwa na serious😂
@GG7541g6 күн бұрын
Acha kukuna mapua😊
@treasureforashes34978 күн бұрын
Obina ana kiburi ya wajaluo,feeling over important
@eddahkithimba91259 күн бұрын
Yenyewe truth watch dog ako udaku mzuri but hii ya kubackfire kwa Obina na dem ni ukweli,juu 1st Obina alikataa kuhudhulia birthday party na niyeye alisema wapange,also usiwahi dhalau mtu ati one is not your class,what is the difference between the two ,they are all Gods creation na Mungu ndio huinua mtu
@j.j36019 күн бұрын
But you forget alimfanyia kali sana kisumu. Dem said they meet chini ya maji. Think of other problems like pple fighting them and that Lizz
@JuliaNjoki-sy5bs9 күн бұрын
@@j.j3601si yeye alimfanyia n supermarket Fulani ata imeandikwa
@LeslieSam9 күн бұрын
Walisema rate card na huyu ni mtu unafanya job na yeye. Anyway Wacha nipambane na yangu😂
@hassanmakokha2749 күн бұрын
@@j.j3601so wewe unaamini they meet 😂😂😂,the guy has said the truth , birthday ya Kisumu ilikua from khetias
@Tanellah19588 күн бұрын
But those are just allegations. Obinna had other schedules. He is not dem wa Facebook father, he has a family and kids that come first.
@abijahhamisi14745 күн бұрын
Very true
@danielamicheal46809 күн бұрын
Obina anataka kuingia siasa kama jalas
@LizzUnny9 күн бұрын
Izo weekly show ni za kitambo dizo anapost weekly show bado haijarudi
@DorisKwamboka-yc2df9 күн бұрын
Kwan amjipendi mwanaume mzima kwenda kukalisha matako nakupanua mdomo kuhusu mwanaume mwingne s ujrb vitungu
@bonfacewachira32979 күн бұрын
Sema Tu uko Saudi Arabia, you are just bitter
@DorisKwamboka-yc2df8 күн бұрын
@bonfacewachira3297 tuliza nn
@Ann1kaharaКүн бұрын
But there is nothing between Dem wa fb na Obinna. It’s all about business nothing serious.
@Acacia018 күн бұрын
Survival for the fittest is the game
@julianBereansproductsltd9 күн бұрын
Ata walim na na lecturers wametufunza na they don't Bragg everywhere
@elsaatieno5626 күн бұрын
These people did not come out and say that they have separated. Ni watu waliona obina kukosa kwa birthday wakaanza
@alicenalulwe849 күн бұрын
We are in dubai hii ingine later
@euniceombogo57129 күн бұрын
True
@euniceombogo57129 күн бұрын
Ongeza volume 😂😂😂
@alicenalulwe849 күн бұрын
@euniceombogo5712 sisi tuna enjoy na bebii with another team🙏❤️🇰🇪🇦🇪
@Tanellah19588 күн бұрын
@@euniceombogo5712Obinna too will be in Dubai with his kids.
@QueenMary-r4l9 күн бұрын
Truth watch dog usijali kaa ngangari watukane wasitukane wewe go go gooo bro.
@shuaibalula90039 күн бұрын
Jalango niuzie hii Chanel yako
@Sylvia20-cl79 күн бұрын
Akitoka 27 aende wapi?
@blessedblessed85827 күн бұрын
The facts remains that DWFB wamerudiana na OGA OBINA kisirani zingine ni kelele mbele ya chura😂
@lilianjalemba89549 күн бұрын
Dont confuse, kuongea ukweli na mbaya , obinna huongea ukweli .
@bonfacewachira32979 күн бұрын
Wee huezi elewa
@lilianjalemba89547 күн бұрын
@bonfacewachira3297 wewe ndio hata uelewi kabsaa sasa
Huyu Jamaa anakuanga na nguo moja🤔.... Celeb maskini😅
@Onyancha-v9d8 күн бұрын
😂😂 surely
@annearunga30112 күн бұрын
True
@bonfacewachira32979 күн бұрын
Listen to How kibe described Oga Obinna a very childish person
@godfreybarasa88496 күн бұрын
Why would a man discuss a fellow man, that guy always lacks evidence
@Wacheranjoroge9 күн бұрын
Team kupitiana🙏 lets grow together
@Patrick_Okaka9 күн бұрын
Done nipitie pia
@shammillajibera90079 күн бұрын
Sku hizi bloggers mliachana na ruto Sasa n bebii na bebii wa bebii
@edwardsamilee23308 күн бұрын
6:51 uhondo inaanzia hapo
@michaelonyango27118 күн бұрын
Mimi i knew it from the start dwf hawataenda mbali na obinna because obinna hapendi ujinga.
@IgnatiusSanya8 күн бұрын
Obi is so controlling
@sofiesofiachannel9 күн бұрын
Wako na synagy sio energy
@Nourahalima9 күн бұрын
Uyu ndio mahama aliangushiwa channel
@peterbobbyfavored80829 күн бұрын
How does comes he knows everything in kenya?
@EdnahNyamira-rm9lu9 күн бұрын
Mr knows it all kaongea leo sasa apin location nimpelekee dera na kata kundu juu sijui nani huwa anakutuma kuchunguza mambo ya watu umebaki kujua tuh mmi huwa nadinywa rounds ngapi😏😏😏koma maneno za watu wee mzee mmama
@ivaneve81279 күн бұрын
😂😂😂
@bonfacewachira32979 күн бұрын
You are just a slow thinker
@SHOWBINGETV9 күн бұрын
These channel is for Hon. Jalango if am not wrong and he is Obinna friend, why not he tell us those deep secrets. Interview him and ask him those questions. Give us a break with speculation
@joanatima8 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@LeslieSam9 күн бұрын
Ameongea ukweli leo
@HalimaAbby-kc7fz8 күн бұрын
Alafu uyo jama mwenye aligonga uyo ngo'mbe macho sijui kama bado ako akuje amugoge tena