WILLY PAUL IN TROUBLE AGAIN AFTER BABA LEVO TEARED HIM WITH THIS BITTER TRUTH ON DRAMA WITH DIAMOND

  Рет қаралды 26,890

Jalango TV

Jalango TV

Күн бұрын

Пікірлер: 416
@malunirafael1231
@malunirafael1231 Күн бұрын
Good advice Baba Levo. ongeza volume waskie wanao mchocha willy
@Lordmeshack
@Lordmeshack Күн бұрын
I say tumepigwa ten -nil
@AnneWasike-yl4sn
@AnneWasike-yl4sn Күн бұрын
Very true mimi kama mkenya siwezi acha kusikiliza mziki wa Tanzania
@Alicia-eh7uu
@Alicia-eh7uu Күн бұрын
@@AnneWasike-yl4sn mboch
@Stella-1995
@Stella-1995 22 сағат бұрын
We ni mtanzania acha kujiita mkenya
@Maureenjelagat92
@Maureenjelagat92 21 сағат бұрын
Hahaha this one is not ours 😅
@abelwangwe9075
@abelwangwe9075 Күн бұрын
Very well spoken. Be blessed for that wisdom
@oscar-kibet
@oscar-kibet Күн бұрын
Now I understand why Diamond charges a premium. He is not just talented but he invests alot in his music.
@coryokech2272
@coryokech2272 Күн бұрын
True. This was a good explanation
@JoelTeti-q3w
@JoelTeti-q3w 20 сағат бұрын
That’s how every musician supposed to do. Music needs investment .
@oscar-kibet
@oscar-kibet 19 сағат бұрын
@@JoelTeti-q3w Duly noted
@oscar-kibet
@oscar-kibet 19 сағат бұрын
@@coryokech2272 He is a strict businessman.
@MorisGweba
@MorisGweba 18 сағат бұрын
Sasa bila uwekezaji itakua kazi kweli (Rabish)
@Summertm
@Summertm 20 сағат бұрын
- You can't stop talent! Diamond Platnumz New song "Holiday" is already a Hit!...And Kenyan's are loving it!! - People listen to what they like, I don't understand why Kenyans think they can control what their people should listen to, Goodluck with that plan!.. will see how it works...
@rey_ar
@rey_ar 17 сағат бұрын
Baba Levo is very correct the only way for our Kenyan music to get better is to learn from our Tz brothers.
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga Күн бұрын
Na wengi wanaomchukia diamond hawana hata hela za kuingia ukumbini, they are just kufata upepo.
@mamboleo7766
@mamboleo7766 Күн бұрын
bana diamond in shoga. do you understand that. that is the biggest mistake. why are they lecturing us
@jerominalfonce
@jerominalfonce Күн бұрын
As someone who's attended events by both artists, I've seen the dedication firsthand. At both the Kisumu and Nakuru concerts, Diamond Platnumz displayed incredible discipline, rehearsing for four straight hours from 2pm to 6pm, and then returning to perform at 10pm. That's what I call commitment. Contrast this with a different experience we had( Mediamax sponsored ) in Voi with Size 8 and Willy Paul. We were supposed to leave Nairobi at 6am, but Pozze kept everyone waiting until 12pm. I was beyond frustrated. Now, let's fast forward to the Furahia Festival. Everyone's throwing shade at Diamond, but I haven't seen a single clip of him causing any trouble. Maybe his security, but not him. On the other hand, our “artist wetu” seems to be everywhere, but not always for the right reasons. In my opinion, there's corporate behavior and then there's...well, the opposite. Diamond Platnumz consistently lands corporate endorsements because he understands the value of discipline and professionalism. Talent without restraint is wasted potential. We can criticize Diamond all we want, but it's often based on hearsay or boycotts, not his actions. And then, there's our boy Willy Paul. I didn't even know about his new collaboration with Rayvanny until he stepped on stage and told the DJ to "remove that trash." Was he forced to do the collabo? Forced to release it to the public? Such tantrums won't elevate his career. It's a matter of learning or perishing. Finally, there's this new wave of "embrace our artists first." Yaani nipate Pneumonia kwa kujifunika Masai shuka ilhali kuna Blanketi za Kichina”.It's great to support local talent, but they need to uphold standards of professionalism and discipline to truly succeed. Ti
@zalendo
@zalendo 19 сағат бұрын
Best comment ever from Kenya ragarding this issue
@deeruta9894
@deeruta9894 15 сағат бұрын
100% 👍🏽💪🏽
@isaachayes9783
@isaachayes9783 13 сағат бұрын
best comment have ever, FORESIGHTED, principalled with truth and openness.
@alfajay2188
@alfajay2188 Күн бұрын
baba levo your wisdom is of another level....
@ViratVictory-p5w
@ViratVictory-p5w 15 сағат бұрын
Nasapoti Kuchezwa Mziki Wa Kenya Isipokuwa Una Fact Kweli Mentality Ndio Yafaa Kubadilishwa 💯
@bettyomore934
@bettyomore934 23 сағат бұрын
Well said Baba Levo. Very mature advice. Please let's all embrace peace and co-operation.
@DjissarHtown
@DjissarHtown Күн бұрын
Safi sana mkuu umeiweka sawa … Numbers Don't Lie .. Especially kwenye Top 10 ya views ya KZbin.. Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza 😅😅😅
@edsonkyejo7218
@edsonkyejo7218 Күн бұрын
Welldone B levo B umeongea vyema for the sake of the 2 countries in music industry
@1sambobby312
@1sambobby312 Күн бұрын
Weeee sisi uwa atupangwingwi Kenya 🇰🇪
@hamadiayossy
@hamadiayossy Күн бұрын
Wakenya tulieni dawa Iwaingie 😂😂
@Deggoo
@Deggoo Күн бұрын
Dawa gani na Diddy's gays.
@hamadiayossy
@hamadiayossy Күн бұрын
@@Deggoo wala hatuumii ukisema hivyo,,waambieni wasanii wenu wawekeze kwenye muziki na sio kuleta chuki kama wewe ,tunawashukuru kwa kuwatizama sana kwenye KZbin wasanii wetu,
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Күн бұрын
Kweli
@JustusOrori
@JustusOrori Күн бұрын
I am with you my brother.
@thewalltours
@thewalltours Күн бұрын
Kenya will never grow in Music & Football
@EDWINKISIERO
@EDWINKISIERO Күн бұрын
and where are Tanzanians in other sports like athletics,rugby,basketball,volleyball,hockey and many others..just football that every other country can manage,bogus
@alfajay2188
@alfajay2188 Күн бұрын
says a man who can't afford to pay for your simba's show.....
@vinny.morales
@vinny.morales Күн бұрын
Dear Kenyan Artists, Wekeni effort to make good music. Hii jealous won't take you anywhere.
@LucidTonic
@LucidTonic Күн бұрын
We unajuaje wawekii effort do your research before talking
@vinny.morales
@vinny.morales Күн бұрын
​@@LucidTonicNumbers don't lie buddah. If they were making effort we would have seen numbers. We are not living in the 70s bro, now kila kitu ipo online
@LucidTonic
@LucidTonic Күн бұрын
@vinny.morales that's why am saying bro do research Ka sahii Kenya ndo ina do more effort than TZ ju Tanzania MTU akiwa msanii ndo akuwe big artist amekua signed by a label Kenyans are self made uwezi compare hard work MTU ako kwa lebel na independent ju anajua lazima awake to much effort ndo watu wamjue so in terms of of hard work Kenyans do the most amazing Nipe msanii mkubwa WA Tanzania ule akuwa signed na lebel ndo akuwe mkubwa
@rankinbazu7054
@rankinbazu7054 Күн бұрын
Jealously is part of the competition.
@joh6916
@joh6916 Күн бұрын
​@rankinbazu7054 and who is great at the end, you can't match Tz, it's another level.
@RukundoEmmanuer
@RukundoEmmanuer Күн бұрын
Asante sana baba levo numbers never lies today I know willy because this sag tell him to work hard
@shemmoseti5467
@shemmoseti5467 Күн бұрын
I agree with you everything you are saying, but you need to know Kenya is the biggest consumer for Tanzania music, this guys needs to work together instead of fighting, Kenya and Tanzania we are brothers and sisters kindness to each other.
@joshuapallangyo7703
@joshuapallangyo7703 Күн бұрын
SAFI BABA AKE NA LEVO USHAURI WA KUJENGA
@giddyakali27
@giddyakali27 19 сағат бұрын
Wueh! Now I understand why Diamond must be paid Ksh. 20 million
@mobutu3884
@mobutu3884 Күн бұрын
Hata wakenya waliofanya vizuri katika top 10 Baba levo hawajui anauliza qa pembeni 😂
@maxwellgem5167
@maxwellgem5167 Күн бұрын
😂😂😂wacha atapata comeback ndio aende kabisa 🔥🔥
@Onepiecefamily-v1c
@Onepiecefamily-v1c Күн бұрын
😂😂😂😂
@MarklineAkinyi
@MarklineAkinyi Күн бұрын
Asante sana baba levo waambie waache chuki aah mm ni mkenya lakini siezi acha kussupport diamond
@W4NGSN34K
@W4NGSN34K Күн бұрын
Una hekima lakini baba levoo🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪
@trendz_2548
@trendz_2548 Күн бұрын
Tumbili anachocha pozze na anaomba show TZ 😂😂😂😂😂😂
@DanKaranja-q3u
@DanKaranja-q3u Күн бұрын
Money is in Kenya
@tanzalandtv3311
@tanzalandtv3311 Күн бұрын
Usiwape ushauri hao baba levo , waache na ushamba wao
@zdy373
@zdy373 Күн бұрын
Sasa nani washamba. Kati ya wake ya na watanzania. Epuka wake ya kama radi bila mawingu
@fndege
@fndege Күн бұрын
@@zdy373😂
@josephcharles7589
@josephcharles7589 Күн бұрын
​@@zdy373Kenyans are very primitive and backwards. It is the ethnic hatred dripping through. Acheni upuuzi, mtabaki maskini kisa hatred
@Deggoo
@Deggoo Күн бұрын
Atleast mkenya gospel Wakwende huko na mashetani wao.
@JaphethMbusya-ld4xc
@JaphethMbusya-ld4xc Күн бұрын
Kenya ni watu wa gospel...Mungu ametujalia na azidi kutusaidia tumtengemee yeye na tumwimbie yeye tu. 😅😅😅😅
@davidolal4108
@davidolal4108 Күн бұрын
willy aingie studio atoke barabarani
@milardfrancis6230
@milardfrancis6230 Күн бұрын
Ndio kabisa
@bong2594
@bong2594 Күн бұрын
Very well said. Tz wapo juu sana wengine wanabangaiza tu maneno yao kwenye mziki yanakera sana
@TimotheoSimtowe
@TimotheoSimtowe Күн бұрын
Numbers never lie. Wape shule hao baba Levo wanajifanya wajanja wakati hawana lolote.
@millicentAnyango-rk1lk
@millicentAnyango-rk1lk 17 сағат бұрын
Wewe una nini Wala hujuhi kuimba
@1sambobby312
@1sambobby312 Күн бұрын
Willy Paul is going to take over
@Sean1877
@Sean1877 Күн бұрын
Maybe over Miso Misondo
@joh6916
@joh6916 Күн бұрын
Taking over kwa talent ipi?? I think you're not referring to music, Kenya tunamtambua Bien na khali wengine wote ni mbwaaa😂😂
@FathilieMutai
@FathilieMutai Күн бұрын
Na nini
@dorrie-b8q
@dorrie-b8q Күн бұрын
Over weiyaaaa😂
@nancyanderson3599
@nancyanderson3599 Күн бұрын
Liar
@JaneKalagho-i7e
@JaneKalagho-i7e Күн бұрын
Well done Baba Levo🎉
@aliceanyango7240
@aliceanyango7240 Күн бұрын
Pozee pozeee pozeee❤❤ Hizo zote ni kelele😅😅😅
@CalvinWanyonyi
@CalvinWanyonyi Күн бұрын
We must support our own 🇰🇪 kenyan artist.
@ChengokarisaKwicha
@ChengokarisaKwicha Күн бұрын
Please hapa sasa Sheria itumike tujue nani alikuwa na makosa ama nani alikuwa ni afungue jukwaa kwanza kama simba alikuwa ndio mwenye kuanzia show basi pole sana willy lazima ulipe gharama za show na vilele kama willy alikuwa ni aanze yeye show basi Simba lazima pia akadhibiwa na Sheria yani ujinga ukomeshwe, lakini Kwa sasa hakuna mkweli hapa
@Brook-es5eg
@Brook-es5eg Күн бұрын
Wow! This is a message from a wise man.
@ericmuthiani1676
@ericmuthiani1676 Күн бұрын
Most uptown kenyans stream music on Spotify where bien is the leading artist in east Africa..KZbin imeshika tz na ocha za kenya saa hii
@karyori69
@karyori69 Күн бұрын
Wacha ujinga wewe hata Spotify Diamond is leading!
@ericmuthiani1676
@ericmuthiani1676 20 сағат бұрын
@karyori69 😁😁😁...ni bien na marioo huyu Simba wenyu ako ndogo.. Google ama tz hamna 5G
@karyori69
@karyori69 20 сағат бұрын
@ leta evidence ya views! Nimepita angalia nimekuta kaachwa mbali!
@DorcasMukhebi-gx7mk
@DorcasMukhebi-gx7mk Күн бұрын
Majivuno ndio mingi but ni kama unatupembeleza love Kenya
@JayJaysb
@JayJaysb Күн бұрын
Shemeji yenu
@DorcasMukhebi-gx7mk
@DorcasMukhebi-gx7mk Күн бұрын
@JayJaysb ata kama but Kenyans always love their rights and maintain protocol
@JaphethMbusya-ld4xc
@JaphethMbusya-ld4xc Күн бұрын
Diamond akifa ataenda wapi??? Ama atazikwa kwa 5star hotel....what is he sayiiiing😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@CROWNMEDIAKE
@CROWNMEDIAKE Күн бұрын
Toa hukuma hapaaaa nonsense
@JaphethMbusya-ld4xc
@JaphethMbusya-ld4xc Күн бұрын
@CROWNMEDIAKE that is the fact and if it is not sweet for you..zoea
@Onepiecefamily-v1c
@Onepiecefamily-v1c Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@KhadijahMukamrenzi
@KhadijahMukamrenzi 22 сағат бұрын
Wewe wajua utaenda wapi ukifa
@JaphethMbusya-ld4xc
@JaphethMbusya-ld4xc 21 сағат бұрын
@KhadijahMukamrenzi definitely I know paradise is my home...if you don't know the. your relationship with your God might be weak so get back to the right track and you will be confident enough of where you are ending to.
@hajjihadhrajeee1523
@hajjihadhrajeee1523 21 сағат бұрын
For me let's be together east africa we're one but if Kenyan wanataka kama ukabila walio nao ku pambana na tz hii itawashinda am telling you kenya inashinda tz kwa kingeza tu ila mengine fatiliane mtajua watching from Sweden 🇸🇪
@Soso12nov
@Soso12nov Күн бұрын
Hivi vitu sijui sisi tuna maendeleo, tunaela , tunajua kingereza. Vitawacost siku moja 😂
@ayubunzunda7416
@ayubunzunda7416 Күн бұрын
Pumbavu wewe unajivunia kingerez ni lugha Yako hiyo? Kumbe we mburura hivyo mjinga mmoja wewe unadhani kujua kingerez ndio akili? Afu unasema mna pesa.... pesa Gani mnazo nyie? Kilndage wewe
@alfajay2188
@alfajay2188 Күн бұрын
aje sasa,,,we lala na kiswahili chako
@ayubunzunda7416
@ayubunzunda7416 Күн бұрын
@@Soso12nov we msenge unachokiandika hapa ni kingereza mbona kama unapakwa mafuta matakoni we fara sana
@allthings1302
@allthings1302 20 сағат бұрын
​@@ayubunzunda7416 sawa umejibu bila kuelewa
@Cristiano-c9v
@Cristiano-c9v 20 сағат бұрын
My fellow Kenyans tuachane na hizo drama za Willy Paul. Love to the east in General.
@salomenewsome4188
@salomenewsome4188 3 сағат бұрын
We will support our own
@sampachino5184
@sampachino5184 Күн бұрын
Kwa ushauri tu diamond asiende kenya kwa miaka miwili kutoka sasa akienda atapata kipigo uo ni ushauri tu 🙏🙏🙏
@macggregoraziz6595
@macggregoraziz6595 Күн бұрын
Mwambino hatishiki 😂
@AlfosoJakufu
@AlfosoJakufu Күн бұрын
Huyo jama akikam ma area anafaa abonywee hizo mabling,,,, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪4reva
@W4NGSN34K
@W4NGSN34K Күн бұрын
Eti most wotchedi😂😂😂😂😂 pesa si elimu
@josephcharles7589
@josephcharles7589 Күн бұрын
Where has your education taken you? You're laughing at a millionaire. Mawazo ya kifukara
@branzwacchy
@branzwacchy Күн бұрын
Unajua 20 000 000 za Kenya ni kusema nini wewe😂😂 Kadanganye waTanzania wenzako kenya tumesoma🤣🤣
@davidwassambo5463
@davidwassambo5463 17 сағат бұрын
Diamond hawezi kuwa mkubwa kuliko wakenya ambao ndio waajiri wake ambao ni wakenya
@salomenewsome4188
@salomenewsome4188 3 сағат бұрын
Diamond crossed the line. Why did his security beat Willy pozy in his own country?
@fmagege
@fmagege Сағат бұрын
Because he acted a fool
@VvipBABLEE
@VvipBABLEE 22 сағат бұрын
We have to support our music industry tuwache kuwanufaisha watanzania tupende vya kwetu wakenya
@deokibona2835
@deokibona2835 12 сағат бұрын
It is good to support your music, but in this case it is very wrong to side with willy Paul just because he is a Kenyan. Reasoning is very important.
@maryannemwangi168
@maryannemwangi168 Күн бұрын
aambieni ukweli this time creatives listen and learn instead ya chuki
@jaffarishabani
@jaffarishabani Күн бұрын
😮kwani kunashida gani basi kama wakenya hawataki muziki wa tanzania waache hakuna shida muziki watanzania unajitosheleza na tena afrika naduniani wana upenda
@nbwchannel4997
@nbwchannel4997 Күн бұрын
Wewe anakutaka na mmbwa wewe.
@Alicia-eh7uu
@Alicia-eh7uu Күн бұрын
The campaign to play 70% kenyan music was a 2018 initiative, today no one is pursuing that agenda because its already overtaken by events, kenyans moved to other avenues/channels and thats what got gengetone out there and now abartone music all this happened organically with no major push from traditional media. My take is as this continues the bongo brainwashing will quickly fade and kenyan music will florish all thanks to streaming platforms.
@eddymkwambe574
@eddymkwambe574 Күн бұрын
The bottom line is the production of quality work. That's what moves the needle . Otherwise, ni ukabila at global level
@Alicia-eh7uu
@Alicia-eh7uu Күн бұрын
@eddymkwambe574 I would like to disagree with you and the view that quality production is what moves the needle, im sorry bro that's just lazy thinking , what drives a song is the market team behind it and its not convincing to say a guy in NYC listening to hip hop is ukabila unless the term lost it meaning.
@LvMoshi
@LvMoshi Күн бұрын
NUMBERS LIE TOO JUST SOME MATHS , KENYAN ARTIST 1MILLION VIEWS IS WAY MORE THAN 2 MILLION VIEWS ZA TANZANIA Just check this out whena song comes out...A kenyan song trends starting even 50k,100k views kuendelea, tanzania hadi views 500k ndo iingie trending, so do the maths, numbers lie too, my opinion alafu mziki wa kenya na tanzania haufanani, thinking capacity is on different modes
@elijahmativo
@elijahmativo Күн бұрын
Mimi napenda diamond pozeee tulia upangwe,,big love from kenya
@Stella-1995
@Stella-1995 22 сағат бұрын
We ni mtanzania, wakenya hawaongei hivo fala wewe.
@tanzalandtv3311
@tanzalandtv3311 Күн бұрын
Diamond is the big Baba levo achana na hao wapuuzi kwanza wana njaa ns hawana mahindi
@melchizedekwekesa7928
@melchizedekwekesa7928 Күн бұрын
Wewe mahindi tunapanda kitale pekee yake inaweza lisha Tanzania nzima kwa mwaka wote
@tanzalandtv3311
@tanzalandtv3311 Күн бұрын
Wakati mwaka huu pekee tumewauzia tani laki moja Na mchele ndo msiseme , muulize Rais wenu aliwambia ukweli majuzi ​@@melchizedekwekesa7928
@KambuaTabitha
@KambuaTabitha Күн бұрын
Wewe tukome chakula chenye tunakula wewe ndie unatulisha
@Bigenergy94
@Bigenergy94 Күн бұрын
Numbers?!!! Numbers zakununuliwa na collaborations za wasani wakubwa ili uonekane mkubwa 😂😂😂😂 wabongo ni wajanja kweli
@DudaSafarisAdventures
@DudaSafarisAdventures Күн бұрын
Babu na willy si akanunuee
@Bigenergy94
@Bigenergy94 Күн бұрын
@DudaSafarisAdventures why faking?
@Bigenergy94
@Bigenergy94 Күн бұрын
@DudaSafarisAdventures Willy akiamua anaweza hakuna ujuzi mkubwa vile ni pesa tu na iyo pesa iko ni vile tu hataki uongo
@jacobotieno1250
@jacobotieno1250 17 сағат бұрын
Hulifurahia Willy alipigwea kofi ni Wewe next sasa On his behalf (diamond)
@IdrisSudiMwagore
@IdrisSudiMwagore 14 сағат бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tuko nyuma Yako babalevo
@carenmwendwa9528
@carenmwendwa9528 Күн бұрын
I dont know much but before the year ends i will be somewhere in bootyshort ed baggy tshirt with zuchu begging simba to sing(simbaaaaa imbaaaa😂😂)
@GoodluckAM
@GoodluckAM Күн бұрын
At last, pozee is in the same sentence with Diamond 😄 but with so much damage. This type of suicide was used in old age, its pozee wear a vest bomb and attacked a robot pilot plane🤯
@eddymkwambe574
@eddymkwambe574 Күн бұрын
😂😂😂
@dorrie-b8q
@dorrie-b8q Күн бұрын
Kwa kwl wa Tz hatuwajui wasanii wa kenya😂😂 baba levo inabidi aulize ao wasanii kumbe ni wakenya na mm nilkuwa siwajui😂😊
@h.o9971
@h.o9971 Күн бұрын
Waah,,ety kichwa mviringo😂
@PunjuMadoo
@PunjuMadoo Күн бұрын
Kenya should not entertain this nonsense. Kila MTU akae kwao kama hana heshima
@Sean1877
@Sean1877 Күн бұрын
Heshima gani wakati event promoters walimess up schedule
@Soso12nov
@Soso12nov Күн бұрын
Hampendi kuambiwa ukweli, chukua Education acheni hasira
@amukoaletshavefun8859
@amukoaletshavefun8859 Күн бұрын
Which type of education are you instuating. Sioni bro i only advocate for respect. without it there is nothing can continue
@boraimanijumamahenge7554
@boraimanijumamahenge7554 Күн бұрын
Baba Levo usiongee Sana Acha Wakenya wabaki na KIMOMBO Kingi pamoja na slogan Yao ya KENYA KWANZA bila kutafuta njia sahihi ya kujikwamua... Wakenya wengi wametawaliwa na CHUKI,,UJUAJI MWINGI na ROHO MBAYA Ndio maana leo hii wanaumia kwa mafanikio Kiasi ya majirani zao...😂😂😂😂😂😂😂😂
@TheMasomito
@TheMasomito Күн бұрын
Free market economy: The market decides at the end of the day. Competative advantage and symbiotic relationships are essential for growth in any economy, industry or country. @Babalevo kept it one hunnid! We should not get to Xenophobia level. East Africa let's get united on our values. Peace, love and prosperity. We are better than this.
@jamesemillion6530
@jamesemillion6530 Күн бұрын
This time round we will show you dust..we must support kenyan artists..willy paul will overtake diamond very soon.🇰🇪🔥💪🏻
@WycliffeAbdulLigare
@WycliffeAbdulLigare Күн бұрын
Kenya akuna msaniii maybe maandamano
@TimotheoSimtowe
@TimotheoSimtowe Күн бұрын
Stop that notion that we loose you win. We are all east Africans
@pena_tz
@pena_tz Күн бұрын
Unaongea ths tym gani? 😂😂 this tym youtube ya mondi wanaongoza wakenya..
@vinny.morales
@vinny.morales Күн бұрын
Unaota wewe😂
@pengefeza2563
@pengefeza2563 Күн бұрын
Diamond is not comparing himself to any Kenyan artists but he is just doing his best.
@mwinyiswaleh8388
@mwinyiswaleh8388 Күн бұрын
Chawa kawaida ni Msenge tu.
@KenyaWide-j6d
@KenyaWide-j6d Күн бұрын
Waaa. Open truth hapo
@bossej1212
@bossej1212 Күн бұрын
Baba Mlevi kuwa pole, hatupendangi ufala
@irenewile
@irenewile 17 сағат бұрын
Wakenya mshindane wenyewe achaneni na tz ,,wivu na roho mbaya ndio inawasumbua
@millicentAnyango-rk1lk
@millicentAnyango-rk1lk 17 сағат бұрын
Wewe mwenye roho nzuri unafanya nini kwa channel ya roho chafu
@deeruta9894
@deeruta9894 15 сағат бұрын
Kwani tanzania munapiga music za kenya? Sijawahi sikia wa tz kupiga ngoma za kenya popote. Kenya kwanza wasikize music za kenya ziwe namba 1
@DavidJohn-i2d
@DavidJohn-i2d Күн бұрын
Wakenya ni brain zero ndio maana yana ukabila sana.
@amukoaletshavefun8859
@amukoaletshavefun8859 Күн бұрын
Nonsense endelea
@MaryMsuya-s6e
@MaryMsuya-s6e Күн бұрын
Bravo Baba levo👏👏
@musiccaentertainment100k8
@musiccaentertainment100k8 18 сағат бұрын
Sisi usituletee ushoga kenya.. huyo bibi ya Diddy aende huko
@BrianMatumbo
@BrianMatumbo 18 сағат бұрын
Tanzania music and movies zote zimeshinda kenya
@trienette6224
@trienette6224 Күн бұрын
B levo fundi majumba funguka kaka🎉🎉
@Agnes-ok2ld
@Agnes-ok2ld Күн бұрын
ATI sawa ngoje Sasa tumufanyie hiyo kitu ndio ujue ni mdogo
@Niika870
@Niika870 Күн бұрын
Wakenya huku ni Wengi sana saana wamejaa tele,wakileta tutapigana
@Deggoo
@Deggoo Күн бұрын
Kuna wtz wengi huku pia we tutawatandika kweli kweli. U joke with us we gonna come there and take over
@lovsply
@lovsply 10 сағат бұрын
TZ NO MORE COLLABO WITH WILLY PAUL
@juniorsenior.
@juniorsenior. Күн бұрын
Unamaanisha kwanba,, kama DIAMOND ange perform,, willy paul hange India stage,, peekaboo ujinga huko kwenyu
@enockkilele3283
@enockkilele3283 Күн бұрын
Heavy J, Mkweeehu, salimia Elly bado hamuja niivite Lunch, if you know you know, Mzee Bughaa mwenyewe hajaongea Jameniii...hii inakua tamu zaidi, unabishaaaa, paaaaaah... panga Mwakideu 2027...tutakua pamoja zaidi... #006TukoNdani
@clasiesiloh5871
@clasiesiloh5871 Күн бұрын
Hawa wangwana wako na kiburi sana, acha round this tuwaonyeshe. Hii si ni KZbin na sio radio. Right now I'm just playing Kenyan music. Wakwende kabisa maghasia hao. Hii kiburi wako nayo imezidi sasa
@LaughKey-f8x
@LaughKey-f8x Күн бұрын
Na Mii I'm with u br imagine ghasia Kaa hii inakuja inaongea with confidence kbisa eti amelipwa 20million afu anauli willy Paul amelipwa ngapi shame on them
@joh6916
@joh6916 Күн бұрын
Oh really una play only kenyan music, do you enjoy, vina muda basiiii, deep inside unatamani jirani, ukizidiwa utarudi, our music is like water whether you drink it ama utaogea. Endelea kusikiliza KiberaTone😂😂😂
@joh6916
@joh6916 Күн бұрын
​@LaughKey-f8x sasa willy apewe iyo 20 millions kwa standards zipi alizo nazo, IG page yenye ni huelewi ni musician, comedian or kichaa nae apewe 20 million?? Hit song zake ni za collabo na waTz. Make yourself respectable 1st ili u earn iyo 20million sio kulia lia njaa 😂
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 Күн бұрын
@@joh6916 Wana ji console tu but tuna juwa most kenyan consume Tz,SA na Naija hii ingine ni kelele wana piga huko x na haisaidii
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 21 сағат бұрын
😢Kenya mabahili hawana hela
@zdy373
@zdy373 Күн бұрын
Hatuli muziki....nyamazeni nyiye watanzania
@JoelTeti-q3w
@JoelTeti-q3w 20 сағат бұрын
Huyu jamaa anajua sana kuongea🫶🫶
@amukoaletshavefun8859
@amukoaletshavefun8859 Күн бұрын
Uliongeya mbaya ukiwa Tanzania tunguja ground tukusalimie 😂😂😂😂
@alexndihokubwayo8010
@alexndihokubwayo8010 Күн бұрын
Sasa mama levo wewe ume enda kwa kuongereya mupira ao muzuki
@japhetmasigo2919
@japhetmasigo2919 Күн бұрын
Baba Levo umevunja 😂😂😂
@ayublandscapes4536
@ayublandscapes4536 22 сағат бұрын
Na pia unafaa ujiulize akina Nani hao wanamwangalia Sana diamond, mamboch ndo huskiza bongo, any sane Kenyan listens to proper music
@Lordmeshack
@Lordmeshack Күн бұрын
Hatunanoma bro usiwe hivyo 😂😂mbona hiyo list inashusha moyo
@jacksonmekubo409
@jacksonmekubo409 Күн бұрын
Mara mingi mtu akishajua pango pahali ambapo nyoka hujificha naaribu hyo sehemu,, basi utakuwa umeiua hiyo nyoka ndo Haya. Unayosikia they know Kenya is number one playlist and promoter of their music.. safari imeanza.. kutakuwa na usawa
@MosesKimemia-tk5ce
@MosesKimemia-tk5ce 12 сағат бұрын
😅nani amelishwa matangapoli
@villa499
@villa499 Күн бұрын
Bibi ya diamondi
@irenewile
@irenewile 17 сағат бұрын
Watanzania hatuna ushetani kama hiyo nchi iliyolaaniwa
@millicentAnyango-rk1lk
@millicentAnyango-rk1lk 17 сағат бұрын
Thank you deputy Jesus
@NancyMukazivi
@NancyMukazivi Күн бұрын
Baba levo ingwee speaking about cassypool his rudeness
@thewalltours
@thewalltours Күн бұрын
But Kenya is so quiet 😅😅😅😅 Is there people around you? Kimya sanaaa. Make something jamani tuwasikie. Hampo kabisa yaani kwenye hii universal
@KimeuWambua-t9g
@KimeuWambua-t9g Күн бұрын
babalevo kitu gaaaaan...akwendeeee
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 13 МЛН
RUTO NI NG©MA😱MUTUMIA URIA ARATREND KWARIA NA RUO NA MARAKARA
49:59
Rediscovering Core Teachings of Islam | Mufti Menk
1:06:34
Ummah United
Рет қаралды 3,1 М.
OBINNA SHOWLIVE: WEMA HAUOZI - Cs Ali Hassan Joho
1:12:26
Obinna TV Extra
Рет қаралды 156 М.