Sema bongo huwa tunawapatia vichwa na tension wachekeshaji ambayo hawana hata vipaji,but tunamsahau huyu jamaa ase anajua Sana ase tuendelee kumsaport awe Superstar
@alikutenga33033 жыл бұрын
Umeona eeehh umeongeya ukweli babaaaa.
@martinmaryogo36763 жыл бұрын
huyu jmaa mm nmechek had machoz yan hil kuongea tu ni komedy tosha
@martinmaryogo36763 жыл бұрын
et gari zko nje cluser
@idontknowwhoami30663 жыл бұрын
He's already superstar
@elishafadison57493 жыл бұрын
4sure bro
@babuugwakey42773 жыл бұрын
Yaaan huyu mboyoyoo na mpoki wakifanya kaz wataua sanaaa maana ni pure talented with no script i believe 💪💪
@dalali_professionalwa_dodo83303 жыл бұрын
Huyu mboyoyo ni kisanga na nusu... Wanachkuliwaga watu wapumbavu tu..ila huyu jamaa ni MAJESTIC...
@chrssmsafi83073 жыл бұрын
Leo nimekuwa wa5 naombeni ata like 100
@godfreybatton65153 жыл бұрын
😍
@fatmaally72523 жыл бұрын
Yaaaaani wewe kaka ni moto wa nchi za njee daaaah cjui ❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mathewdeo83263 жыл бұрын
Jamni leo na mm nmewai like pongez kwangu
@mangekimambi61903 жыл бұрын
Hilo bango sasa hiko kiingereza 😂😂😂😂😂😂😂 "Tanzania Plofeshino Fiunelo campany" huyu mwana wallahy ni mbwa sana 😂😂😂😂
@joakimjosephat99843 жыл бұрын
Ni namna tu ya kukuchekesha
@luqmaneme91053 жыл бұрын
Hhhh jamaa mbunifu
@yasodishonest97923 жыл бұрын
😂😂😂😂🤣🤣🤣
@joshmangi3 жыл бұрын
Leo nimecheka sana, kazi nzuri.
@MrMtebwa3 жыл бұрын
R.I.P Rashid Hamis Raula daaaadeki gonga like twende sawa
@luagampugusi83892 жыл бұрын
Kazi nzuri sana...hiki ni kipaji kilichokomaa sana....napenda na somo unalolitoa mwishoni kwamba watu hawataki kuwa kwny kujenga wanakuja kugombea vyeo baada ya mjengo kumalizika....hhhhhh.. mko vzr jambo na vijambo big up
@zungutouch65083 жыл бұрын
nafikili katika hii REFLITION mmefeli woote😂😂😂😂😂😂😂😂 Dah huyu jamaa anarahisisha sana kingreza
@jipozeonline39833 жыл бұрын
This is true definition of talent ,,,All the best for them!
@hb_powe_bnk1883 жыл бұрын
Duh cjawahi cheka kwa sauti1🤣🤣🤣mboyoy big up #like100
@khalifasultan26773 жыл бұрын
Watu wanapigana jumamosi,Jumapili Hospital,Juma Tatu Wanakufa Daah..🤣🤣😂😂😂
@jerrycardo67703 жыл бұрын
Ila mboyoyooo 😂😂😂👏🏿👏🏿 embu niache n mbav zanguuu
@nurdin.mndeme34473 жыл бұрын
anatumia jina gani Insta huyu aise 😂😂
@jerrycardo67703 жыл бұрын
@@nurdin.mndeme3447 maneno kumi anatumia
@anthonylister7543 жыл бұрын
Wapi Likes za Mboyoyo tafadhali
@mwanamisakulembwa11473 жыл бұрын
Umeweza xana kulia style zote gd job mboyoyo .🤣🤣🤣♥️
Jamaa anafanya watu waone kingereza chepesi Sana😂😂
@zungutouch65083 жыл бұрын
kwel mwanangu, anakwambia I WANT TO KNOW YOUR FELLAS😂😂😂😂😂
@nyimbizikamtima9673 жыл бұрын
Mboyoyo we ni 🔥🔥 Broo nakukubali sana.
@methodjulius74893 жыл бұрын
ili nisiende I.C.U ikabidi nisimalizie kuangalia maana leo washenzi wamenifanya nijue nni maana ya kucheka ni kuvunjika mbav😅😂, ktk dkika 56 nimeishia 18 tu nasiwez endelea ili kuokoa maisha yang😅😭
@Kazungujr2553 жыл бұрын
Hawa jamaa hatar sana
@aminakipande56452 жыл бұрын
Yaan nlikua na mawazo lkn kuangalia hii kitu kidoogooo niimepata amani nimecheka bila kutaka 🤣🤣🤣🤣🤣
@Samactortv3 жыл бұрын
Namuwazaga sana uyu jamaa sjui anaishi vip na watu wake wa karibu si wanafurahi mda woote aisee😆😆😆
@aseid29953 жыл бұрын
This is so amazing
@fatnahsaleh8603 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 aisee big up #Jambonavijambo🔥🔥🔥🔥. #Wasafimedia ni noma 🌍🌍🌍
@msasenathpotiphar17322 жыл бұрын
Yaan. Mboyoyo yuko vizuri hakuna sehemu anaigiza nisicheke jaman wamwangalie huyu mtu kwa jicho la 3 hafanani kabisaa na wachekeshaji wengine😁😂🤣
@meshacksamson10083 жыл бұрын
Aaah kwel kipaj anatoa mungu asee
@daudmwalimu9712 жыл бұрын
The number one comedian of Tanzania😁
@swaylee92083 жыл бұрын
Motooo Sanaa wazee wa qazii
@benomudi20393 жыл бұрын
Dahh mboyoyo tuache kidogo
@husseinhajji69843 жыл бұрын
Ila Huyu jamaa Hata Watoto wake huko Nyumban Kwake anawaongopea Kiuhalisia😁😁😁😁
@mahirnoma36733 жыл бұрын
Aturudi kwa boti kwa ndege, tutaogelea na Popobawa juu watatupa 😂😂😂😂
@praxedaandrewkato74723 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@yasodishonest97923 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣uyu kashindikana
@yahayamjenga19963 жыл бұрын
Ni comedy but at the end ametoa nondo muhimu sana kwa wabongo
@21century53 жыл бұрын
I like it....Mna Balaa sanah nyie
@vom843 жыл бұрын
Huyo dada anajua sana kuigiza
@abdulkareemseif18923 жыл бұрын
Mboyoyo mjinga sie wazanzibar munatuhanithi Sana nyie Kwa iyo sie tukilia tunaimba 😋😋😋😋😋😁😁😁😁
@joharishabani7603 жыл бұрын
Dah mbavu zimejua kuniuma maana nimecheka atal....huy mshkaj ninoma na nuthuuuu😂😂😂😂
@danielmwakaseka35553 жыл бұрын
😂😂😂 Maneno kumi( mboyoyo ) hakuna kama ww tz daah!😂😂😂
@habibaa95032 жыл бұрын
Nawapenda,Allah awaongoze katika utaftaji wenu😃
@hamisimjaka86642 жыл бұрын
asanate maneno kumi uko powa sana wewe noma. sana na kwaitaja my place nungwi 👌👌✌️✌️✌️😂😂🔥🔥🔥🙏🙏🙏
@shyfettymtunda49353 жыл бұрын
Fala sana Mboyoyo a.k.a Mzizi mkuu 😆😆😆😆😆😆🙌 Nimesemaje hapo? 👆
@iam__kizzo79423 жыл бұрын
Kimeumana🤣🤣🤣🤣
@glorylema3 жыл бұрын
Mzizi mkuu😂😂😂😂
@shomikhamis19313 жыл бұрын
Sema jamaa anajiamini sana uyu kama hadanganyi vile😂😂
@duhrurhhddhheud85753 жыл бұрын
😅😆😆
@arafaamir7353 жыл бұрын
😆😆😆
@mwanyemishemweta8483 жыл бұрын
Great Mr Mboyoyo Your the best
@hanashhanash5353 жыл бұрын
Hahahhahahaha guy make me happy thank you 😊🤣🤣🤣🤣
@ukhutymamuu74703 жыл бұрын
Nimecheka sanaa khaa huyu jamaa ni shida🤣🤣🤣
@markomariniwise18033 жыл бұрын
Tin number 😅😅kazoa chz sana
@nyauclassictv8053 жыл бұрын
Tulie kizenji kwapamoja kwa kugonga like yako...tu
@EliyacostantinoPius3 жыл бұрын
Mjifunze kulia positive😀😀😀😀😀😀😂😂😂
@mawaidhapopote25003 жыл бұрын
Mboyoyo una kipawa cha kuchesha si mchezo, nakukubali sana 😂😂
@YonderGold30983 жыл бұрын
Mboyoyo at his best
@rashiymrang61343 жыл бұрын
Kingerez jaman kisomeni hicho tanzania plofeshino fiunelo campany 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nasrimikidady13253 жыл бұрын
Aaaah jamaa noma sana ahseeee
@samwelowange96243 жыл бұрын
Tin number zangu😂😂😂😂😂 umepata ajira hapa😂😂😂😂
@yasodishonest97923 жыл бұрын
Wenyewe wanakuona Zanzibar .fala ww😂🤣🤣🤣🤣🤣
@KhareedMatamboКүн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 tirio kumi duu huyu jamaa mwongo kweli
@fredrickndalu10572 жыл бұрын
Jamaa anajua sana
@davidsomi4513 жыл бұрын
Noma sana nawakubaliii🤣🤣🤣
@thomasraiton77603 жыл бұрын
Umeua sana kamanda mboyoyo
@ismailmtoro66063 жыл бұрын
Jamaa fundi mnoo
@mikemike71983 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 TANZANIA PLOFESHINO FIUNELO CAMPANY
@devisanselmo3 жыл бұрын
Kizibo pen yangu kizibo..😂😂😂
@shawejimnipera29373 жыл бұрын
Umeona hii my stracha instead of my structure 🤣🤣🤣
@lekajr91603 жыл бұрын
hicho kiingereza,daaah😂😂😂
@amryjuniorjr.91803 жыл бұрын
Hadi raha..........yani nimecheka sana.
@shujaabrave57663 жыл бұрын
Pengo la mashariki na pengo la magharibi 😂😂😂
@hidayayussufu70803 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka Sana aisee,mboyoyo
@saidshaal48143 жыл бұрын
Duuh mboyoo nomaaa🤩🤩
@shyfettymtunda49353 жыл бұрын
Kama nakuona vile na vumbi la ugoko. 😆😆😆😆😆🙌
@MastaOtto3 жыл бұрын
Maneno 10 ni 🔥🔥🔥
@Fgldesigns3 жыл бұрын
Elfu mbili elfu mbili nyie ndo mnipe Mimi... Mimi ndo Boss na kazi mmeshapata.
@harounaman74733 жыл бұрын
Zanzibar wanalia Kwa mipashoo😂
@barakachaula70503 жыл бұрын
My Face Where The Put 😃😃😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 The Best One
@binsalmaan63663 жыл бұрын
😂😂🤣🤣 hatr n nusu😃😄😄
@frankmgendi87513 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mboyoyooo weeeeee mmsyuuuuu jmn
@carlosbrowna22543 жыл бұрын
Mboyoyo falaa san ni bonge la talanta huyuu jmaa
@allymdoka86343 жыл бұрын
Awa jamaa nitatizo kama ilivo Corona🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nasscholo75103 жыл бұрын
Huu msiba kwa ufup tumechezea nyembe woote ... 😆😆
@saobill96883 жыл бұрын
😀😀
@zuleikhakhamis33033 жыл бұрын
kwani Wanzanzibari wanasemaje kuhusu huyu MBOYOYO😂😂😂😂😂😂😂😂
@abdulkareemseif18923 жыл бұрын
Mshenzi huyu jamaa anatupumbaza wazenji ila Yuko poa
@walaaabdallah32363 жыл бұрын
Mboyoyo wewe jamaa fikisi sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abdulrahmanabubakar15313 жыл бұрын
Mboyoyo sio mzima haki 😂😂😂😂
@aminakipande56452 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@peterjanuary79723 жыл бұрын
Huyu mwamba ni nomaa😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥
@bettyrobert9562 жыл бұрын
Sawa has always had fun with my
@Dr.Richard_Mshangila3 жыл бұрын
😂😂😂 Mboyoyo/Maneno 10 anajua
@omarylukindo53063 жыл бұрын
Sie tunaitwa ng'ombe 😂😂😂
@bin1awami9993 жыл бұрын
Wembe haina sifa ya kushonwa🏃🏃🏃🏃
@lucresiashee12899 ай бұрын
Makamee si ntuuu auza nchele wanuka kigunia atiii ✊🤣🤣🤣🤣🤣
@jumamarwa27953 жыл бұрын
Pengo la kaskazin na la mashaliki🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@raoplatnumz39623 жыл бұрын
Mboyoyooooooo unatsha brooooo
@davidicdidas72523 жыл бұрын
Aaaah mboyoyo ni nouuuuuma
@mdzainb37223 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yani huyu jamaa noma
@abrahmanifarouckissa5662 Жыл бұрын
Hatare sanaaaaa😂😂😂😂😂😂❤
@ahmedaziz78533 жыл бұрын
Umenikumbusha supu ya mapupu we mbwa 🤣🤣🤣 nimesemaje hapo