Lissu uko sahihi.Haki huinua Taifa.Taifa hili linahitaji mabadiliko ya kimfumo.Sote ni watanzania tushirikiane watanzania wote tuijenge nchi yetu yenye haki na afya.
@AzizMasenga3 күн бұрын
Tusibadilishe katiba kwanza!!,Tupambane tuchukue nchi na sisi tuje tuwabuluze na katba hiyo hiyo😂
@MohammedHimba12 сағат бұрын
Kama vyama vyote havitashirikiana hakuna lolote litakalotokea na uchaguzi utakuwepo
@maase20232 күн бұрын
Risasi miaka 10 iliyopita bado tu unaongelea tu??? Kweli umeishiwa sera
@prospermalala66362 күн бұрын
IQ kubwa sana ndani ya Taifa letu
@maase20232 күн бұрын
Ana iq ipi huyu na tunaona kama aliyechanganyikiwa tu???? Kutwa nzima ni kutukana tu na kukashifu kisha unadai ana iq huyu??? 😂😂😂😂😂😂😂
@ChipakaJama-bi2jg3 күн бұрын
Duh
@sskondopoleani96163 күн бұрын
Pole sana na inasikitisha SANA, lakini hizo rasasi unazitaja sana sasa zinaziba MASIKIO, Nakuombea tu upate URAISI pengine UTAPONYA MAUMIVU yako.
@isaliisu34083 күн бұрын
Wewe unatembeya na Risasi zanzibar wamekufa kwa Risasi
@Wastara0013 күн бұрын
Kazi kubwa ya chadema ni kulalamika kila siku
@kimeinetwork45993 күн бұрын
Mbona hata mama yako Huwa analalamikaga.
@MzeeBabu-s6y3 күн бұрын
Hila kazi ya ccm kupola uchaguzi sindiyo tupe jibu
@Wastara0013 күн бұрын
@@kimeinetwork4599 Wazazi wameingiaje kwenye mjadala?
@gloryharold80222 күн бұрын
kwa sababu wameshindwa kukufundisha nini mana ya kudai haki... na kama wanalalamika unafanya nin hapa @@Wastara001