Usikumbuke uovu wangu baba, nisamehe .I want to start over again and I need your guidance lord🙏
@TupoNasson Жыл бұрын
usikumbuke uovu wangu wimbo wangu pendwa, barikiwa mama jane misso
@GodefroidMunganga9 ай бұрын
Mungu akubariki kwa wimbo nzuri huu umenifariji sana nipate kumurudiliya kwa kazi ya Mungu nakutakiya baraka ya mwenyezi Mungu ikulinde ata n'a jama zakwako asante
@fedhajoseph76873 жыл бұрын
Mungu awabariki sana dada yangu kwa huduma nzuri umenibariki mno.
@royalpriesthoodministers-j83952 ай бұрын
😭😭🥺🥺🙌🙌🙌The God who is full of mercies.... Hear us.... Forgive us and uphold us by your mighty hand as we live to glorify you every day😭🙌
@Lydiamaheli-uj7ok Жыл бұрын
Mungu usikumbuke uovu wangu mimi, nahitaji mwanzo mpya. Ameeeeeeeen
@irenekariuki257213 күн бұрын
Forgive me my sins my God
@gloriahmwaniki65797 ай бұрын
I'm here July 2024. The song is still a blessing 😢🙏🙏.
@mercymudeizi7416 ай бұрын
𝐒𝐚𝐦𝐞 𝐡𝐞𝐫𝐞😊
@paulineaule1755Ай бұрын
Mungu usikumbuke uovu wangu Mimi nimekutenda mengi baba naomba unisamehe
@suzanmutinda1694 Жыл бұрын
Huu wimbo unamaneno mazito yakubadilisha mienendo nakujiunga naye Yesu..Asante sana kwa wimbo huu Jane,mam yangu anapenda sana huu wimbo nami sasa nimeupenda..unanibariki sana..God bless you Jane..God see us through 🙏🙏🙏
@roseninah558428 күн бұрын
God av mercy on us sinners
@gracemutave94802 ай бұрын
Nmekutenda uovu mwingi baba samehea 😢😢
@Caroline-w5j2 ай бұрын
God give me another chance 🙏🙏 nmekutenda uovu mwingi mimi...ila naomba unisamehe usikumbuke uovu wangu....rehema zako naziitaji
@danielkabiru-m5z29 күн бұрын
Great thanks to God
@DebbieMunene2 ай бұрын
Dear Lord God l repent of all my sins,my siblings, parents, church and nation at large..have mercy upon us 🙏🙏
@_Karenmnatty254 Жыл бұрын
My favorite song I can't stop listening everyday
@MenorahKisato7 ай бұрын
Wimbo ambao unatukumbusha Toba,Ni Kwa kutubu tu ndio tunaeza pata upatanisho na Mungu.
@kelvinmwiti7482 Жыл бұрын
ooh Lord forgive this generation🙏🙏🙏
@fridahtallam63537 ай бұрын
May God forgive Kenya. We have done so much evil things oh God! Please find it in your heart to forgive us.
@jacklineayuyo85774 ай бұрын
My favorite song am being blessed ❤
@greymondy1011 ай бұрын
My all-time hit gospel rendition. Thanks mama Misso. Barikiwa hadi watu washangae
@miriamnaliaka7327 Жыл бұрын
Nisamehe YESU usikumbuke uovu wangu nirejeshee haki yangu.unirehemu Bwana wa rehema
@everlynekedemi91123 жыл бұрын
Tumurudie mungu naye ataturudia ni mwingi WA rehema
@Dickymyself Жыл бұрын
hongera mama kwa wimbo hu
@brendaeugene1943 Жыл бұрын
My favorite song makes me remember alot when my father never wanted to give us peace in the house and when I heard this song it really comforted my soul thanks alot madam jane
@SusanMgeniАй бұрын
Nisamehe baba😢😢nimakutenda mambo mengi
@CathyMbithe-y7p6 ай бұрын
Amen ,,,,,,mungu nisaindie Kwa yote ninayotaka kupitia hii wimbo,,,,, very nice song
@alledymusanga8661 Жыл бұрын
Mommy please continue singing uko na bahati inzuri Sana mungu aendrehe kukupa mabariki
@ruthnthenya96133 жыл бұрын
Naupenda wimbo huu sana barikiwa kwa huduma yako Dada 2021
@muthonimuinde69513 жыл бұрын
I heard this first time in 2016 and become my prayer and God healed me.my heart was bleeding I had gone through alot.
@streetdesciple95363 жыл бұрын
My everyday theme song.🙏🙏 For all have sinned and fallen short of glory of God
@agathachughu11 ай бұрын
Nimekutenda uovu mwingi usikumbuke...
@nicholaskamadi77743 жыл бұрын
Waniinua kila wakati kila saa
@rrerruhbyyyhseeko40493 жыл бұрын
AMEEEN
@nicholaskamadi77742 жыл бұрын
He has all to us.glorify to us is important to me
@laurynwambui-nh5md5 ай бұрын
I love this song 😍
@eunicekaio25643 жыл бұрын
Hii wimbo imenikumbusha mbali Sana
@edina-f6j Жыл бұрын
I feel God's presence 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@edwinkarani5593 Жыл бұрын
Wimbo wenye ujumbe mwema.
@liversonmwaponda5611 Жыл бұрын
I really love this song it takes me to another level in the realms of the spirit