JASSM: Makombora Hatari ya Masafa Marefu ambayo Marekani itaipa Ukraine vita yake na Urusi

  Рет қаралды 21,752

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 186
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
Vita ya 3 ipo njiani 😢😢😢 Tatizo Urusi sio Libya 😢😢😢
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 Ай бұрын
Uchambuzi mzuri sana kaka ally
@losocarsoundsystem1133
@losocarsoundsystem1133 Ай бұрын
Vita ikwishe tu mungu asaidie..
@Anandezi
@Anandezi Ай бұрын
Kaka kazi nzuri sana, I like your analysis👍🏽👍🏽🖖🌻
@charlesmayilla2926
@charlesmayilla2926 Ай бұрын
Urusi kisera haiko vizuri
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Ай бұрын
Safi sana UK,🎉 piga kazi mzee niko na wewe,
@BunzarMarco
@BunzarMarco Ай бұрын
Pamoja kaka 🔥🔥🔥
@JafariNyallu
@JafariNyallu Ай бұрын
dah broo، Hali mbaya nyuklia war ishafika
@festohaule9716
@festohaule9716 Ай бұрын
Kipigo cha juzi kimewaumiza sana NATO..kumbe ni kweli wakufunzi wa NATO walikufa majuzi kwenye majengo huko Ukreni.....
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Ай бұрын
❤❤❤kazi nzuri
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Ай бұрын
Sio kweli kurks imerudu mikononi mwa urusi na uko sasa ni kuzimu.vp? Kupigia debe zile ndege zimeishia wapi?
@ibrahimumchalas
@ibrahimumchalas Ай бұрын
Ila hata huyu Ally masubi ni timi marekan kiitambo sana na ndomaana habari zake nyingi huzibeba upande wa magharibi
@johdanny7816
@johdanny7816 Ай бұрын
uko sahihi kabisa
@josephbills2099
@josephbills2099 Ай бұрын
Apana Ally yeye huwa anajaribu kusema harisi ya ukweli siyo kama ulekipala masud yeye nimurusi na mpaleatina
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Ай бұрын
Nilikuwa nasema hapa kila siku ali masubi ni mmagharibi ilikuwa hamunielewi😂
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Kwahiyo unataka ukweli usisemwe?
@georgemasumbigana7434
@georgemasumbigana7434 Ай бұрын
mbona sma n team russia😂
@FredCharles-u3z
@FredCharles-u3z Ай бұрын
Hakuna sirah ambayo Ukraine ataipata iweze kubadili vita hapana ukrain itaumia tu
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f Ай бұрын
Italeta hasara kwa asilimia 2 tu kwa Russia. Kwahiyo haiwezi kumtishia Russia
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko Ай бұрын
Bwana eeh ukraine hakuna eneo analo likalia lenye ukubwa huo. Hadi sasa urrusi imebakiza kilometa 8 tu. Ili alikomboe lote na ukraine alikua amevuka umbali wa kilometa 38 tu
@johdanny7816
@johdanny7816 Ай бұрын
Ukrain hana eneo analolikalia ndan ya Russia masubi rekebisha apo
@NINFASHAGuyDesire
@NINFASHAGuyDesire Ай бұрын
Nakubari
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
Wasilalamike tu kwa response
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Ай бұрын
Good work mr Putin ❤❤🌹🌹🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇰🇪🇰🇪
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 Ай бұрын
Hakuna kitakacho badilika labda ucraine hawajipendi watachakaa vibaya mnoo
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Ай бұрын
Marekani hataki vita iishe yeye anajaribu silaha zake ndio maana anampa Ukraine azijaribu
@نجمهجمعه-غ8ق
@نجمهجمعه-غ8ق Ай бұрын
Apo umeongea kitu kiukweli iyo ndio sababu wanazidi kuchochea mgogoro
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
Vita vya Ukraine vina mambo mengi sana ndani ake ambayo ni maslahi ya marekani tu ndie anaefaidi
@Joshuajereman
@Joshuajereman Ай бұрын
Shoga yoyote Hato GUSA hata kidogo taifa LA MUNGU urusii wanyoshe wao Sisi kinyume atuendiii lazima wasemee Sisi ni taifa teule hata waje na kombola gani tutazua
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Ukraine ipewe silaha nzito nayo iishambulie ndani ya Urusi ili nae Putin aonje ladha ya vita na machungu wanayopitia watu wa Ukraine.
@uwimana6533
@uwimana6533 Ай бұрын
Wechizi kweli akili kama pumbu
@PUTINN365
@PUTINN365 Ай бұрын
Ila me naona bora urusi amfata marekan mojakwa moja aache kutumia mgongo wa ukrain kumuumiza urus😢
@Fgldesigns
@Fgldesigns Ай бұрын
Marekani ndo amfate Urusi, Marekani ndo inayomtumia Ukraine anaipiga Urusi kupitia Ukraine... Ukraine ndo wapuuzi kukubali kutumika, Marekani siku zote wanapigana vita kupitia nchi nyingine kwakuwa hawapendi nchi yao kuharibika, wapuuzi kama Zelensky ndio wanaokubali kutumika kipuuzi kama hivi
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p Ай бұрын
Zelensky aliwekwa na marekani,uwezo wake ni mdogo sana(mchekeshaji)inakuwa rahisi kwao kummiliki,inawezakuwa hapendi kinachoendelea,lakini inabidi afate maelekezo
@RamaHRIzmaelov
@RamaHRIzmaelov Ай бұрын
Zile F-16 mlikuwa mnasema ni HATARI zimeishia wapi au HAZIFAI tena baada ya ile moja kushushwa??
@juliusdonard933
@juliusdonard933 Ай бұрын
Hiyo ukrein itasambaratishwa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Na urusi nayo itasambaratishwa
@HAMZADADI-y9p
@HAMZADADI-y9p Ай бұрын
​@@MathewNathan-yb2bzMAREKANI INAMUOGOPA MRUSI NANI WA KUMSAMBARATISHA TENA MRUSI!!!!!!!, PUTIN SIO GADAFI KUMBUKA HILO
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
@@HAMZADADI-y9p wale wote wawili ni wakubwa hivyo inawezekana wanaogopana.Huwezi kusema Marekani anamuogopa Urusi.Ila naweza kusema Marekani ana nafasi nzuri zaidi ya kuipiga na kuisambaratisha Urusi kwa sababu Marekani ana washirika imara na tayari kashaingia ndani ya Urusi hivyo urusi kupigwa ni rahisi mno.
@zakariaabdalla-uo3nk
@zakariaabdalla-uo3nk Ай бұрын
Watu hawaelewi vita kushinda vita sio kuteka eneo lote ni mtu mwenyew kukubali kipigo alichopigwa ukrein wneyew ingekua si wamagharibi kumlazmisha aendleee ili waendleze vita ingekua ashaeka mazungumzo na urusi zamani tu
@StellaCharles-zk4kb
@StellaCharles-zk4kb Ай бұрын
Kwa hiyo we uoni kama ukren ameingia ndan ya urus
@Goshi-ov2wy
@Goshi-ov2wy Ай бұрын
Nyie, jichanganyeni, hata f-16 fighting jet, mlizipamba Sana, ila hazijafanya kitu.
@SamwelMartin-h7c
@SamwelMartin-h7c Ай бұрын
Tushawachoka walisema himmers itabadirisha ikafeli wakasema Atacams wakasema itabadilisha imefeli wamepewa f-16 tangu moja ilipuke ni kama wanaogopa kuzitumua watakuja adi waombe zile ndege za B-2
@alextanzania
@alextanzania Ай бұрын
Hufuatilii unaropoka ropoka tu
@SamwelMartin-h7c
@SamwelMartin-h7c Ай бұрын
@@alextanzania Toa hoja sasa
@kdloon2030
@kdloon2030 Ай бұрын
Yaani Ukraine wakirusha kombora hilo moja na likaleta madhara ndani ya Russia, basi Ukraine waandae makaburi ya kutosha
@Mumewangu
@Mumewangu Ай бұрын
Ukrein atakapo ishambulia urusi ndio itakuwa mwisho wa Ukrein. Manake urusi anasilaha kuliko hizo. Lakin marekani hawezi kumpa silaha hizo
@AbdallahEji
@AbdallahEji Ай бұрын
Wakimpa watajuta ukrain
@Goshi-ov2wy
@Goshi-ov2wy Ай бұрын
Dalili moja wapo ya kusimama Kwa qiama, Ni kutanda Kwa moshi angani. Nini kutanda Kwa moshi angani, Ni moshi uliotokana na mabomu mazito Kwa mataifa kupigana vita.
@YamuremyeYarodi
@YamuremyeYarodi Ай бұрын
Vifaru Leopard Abraham jinsi zilivyosifiwa mbon matokeo bado hazijafika uwanjani😂
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Kwani urusi kafanikiwa kuiteka Ukraine au Donbass?
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Silaha zinapelekwa chache sana hata hazitoshi
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
@@anny19988 putin kakwama huko
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Ай бұрын
​@@MathewNathan-yb2bzmpaka sasa ni 30% imechukuliwa majimbo kama bakmut,zaporinha,mariupol na miji mingine imo mkononi mwa urusi.ucrain akiendelea ataipoteza mpaka Odessa,kushinda hii vita hawezi
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
@@Pedeshee01 unachekesha kweli.Urusi lengo lake bado halijatimia na ndio maana bado anapambana na hizo hizo silaha za mmarekani ambazo ww unazizadharau ndizo hizo hizo zinazomfanya Urusi ashindwe kusonga mbele na kumaliza vita mapema.
@gabapentin8070
@gabapentin8070 Ай бұрын
zele boy anachokitafuta atakipata
@ZHING.Tech.
@ZHING.Tech. Ай бұрын
Tatizo sele bobo America wanamjaza ujunga
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu Ай бұрын
Huyu ni timu marekani uchambuzi wake wakinafiki unapo kuwa mchambuzi iga kwa mwenzako Jsimaro unatia kichefuchefu kumpend marekani
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel Ай бұрын
Team Russian tupoimara, tunasubiri mda na saa tu,
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 Ай бұрын
Dunia haina huruma siku hizi :(
@daturuibrahim4954
@daturuibrahim4954 Ай бұрын
Br Ana wasubir waanze.....
@GabrielSky64
@GabrielSky64 Ай бұрын
Naona marekani ye kapata kichaka Cha kufanyia majaribio siraha zake😅
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
Samahani marekani mimi ni zelensky simu yangu haina betri tatizo litakua ni nini?
@alhusnastudios
@alhusnastudios Ай бұрын
😂😅😅
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
@@alhusnastudios 😊
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 Ай бұрын
Mtafute ally masubi pale sns kwa msaada zaidi wa ki electronic, tuko bize na uchaguzi😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
@@mpjozzegalvanize4926 ye nimweusi vitu hvyo wapi na wapi 😁😂😂
@kassimkhalid1185
@kassimkhalid1185 Ай бұрын
Ukraine wameshika shamba na misitu ndani ya Kusky....wamerekani watume makombora haita baadilisha vita ...Mrusi yupo poa sana kwa defence
@daturuibrahim4954
@daturuibrahim4954 Ай бұрын
Urus vita nijadi yao....watapiga sana propaganda ila waingie ulingoni.....br awanyooshe...
@shabaniduduma8885
@shabaniduduma8885 Ай бұрын
We bahnaa acha porojo sisi hatutaki ujinga na ushoga.Wewe na wagharib wenzio mtajuta
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Ай бұрын
Msijaribu kuishambulia urusi kwa makombora,
@Joshuajereman
@Joshuajereman Ай бұрын
Pia yoyote anae spot us na ukilenii basi analipuliwa kwa nyuma Ila yoyote anaekataa kulipuliwa kwa nyuma bx ni time 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 Ай бұрын
😂😂😂😂acha ujinga
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j Ай бұрын
Analipuliwa mam yako
@pauldotto7868
@pauldotto7868 Ай бұрын
Hayo ni kama siraha zingine. Haiwezi kubafili chchote. Russia wanayajua
@AliyKijangwa
@AliyKijangwa Ай бұрын
Hawana jipya ni mara ngap wamezpeleka na hakuna lolote
@RaymondPaul-bs7su
@RaymondPaul-bs7su Ай бұрын
Hakuna kitakacho badilika , kwa hayo Makombora ya Jssm , zaidi Nchi ya Ukreini kuharibiwa zaidi na kutekwa kwa mji wa Kyev
@MuhammedMussa-pv1ut
@MuhammedMussa-pv1ut Ай бұрын
Kwni bad rusia hajajua km anapigana na NATO
@abuuabuu274
@abuuabuu274 Ай бұрын
Mrusi nae hatokubali
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 Ай бұрын
Acheni ungese watu ndio wanakufa marais mpo tu
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 Ай бұрын
Me wala sio vita 3 ya dunian hii vita ni kelele tu kila siku hata wapeleke nini hakuna kinachosaidia ni zaid ya kudanganya ulimmwengu ile waonekane wao bado bala Lao. Kiufupi marekani ni kelele tu toka vitabiaanze washapeleka misaada mingapi tuliambiwa vifaru vya upora wa juu vyote vimewaka. Watu mchezo washasoma kitambo hakuna jibya. Hapa ni wanalazimisha watu waongee ila washachelewa😂
@Goshi-ov2wy
@Goshi-ov2wy Ай бұрын
Acha kudanganya watu, marekani hawana siraha yoyote ya kumtisha Russian,
@festohaule9716
@festohaule9716 Ай бұрын
Ukreni ikumbuke Russia kabadilisha matimizi ya Nyuklia.. Ukreni isalimu amri vita iishe.. Maana Ukreni inataka kufutika..kira mbinu kwao inafeli..kira silaha haileti mafanikio makubwa..
@zakariaabdalla-uo3nk
@zakariaabdalla-uo3nk Ай бұрын
Mana ata akimpiga urusi lkn nayeye. Atpigika vibaya
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 Ай бұрын
Kila siku huwa ninasema hivi USA amekwisha sema kuwa hataondoka ukreini,aiache ukreini ikishambuliwa na urusi.huo ni mkakati wa USA na washirika wake.kinachoendelea hapo ni kuidhoofisha urusi kiuchumi,na kijeshi.iwamo na kujiongezea nchi wanachama wa NATO,waliokaribu zaidi na urusi.na wakifanikiwa hilo,ndiyo mwisho wa urusi,na puting wake.mkakati huu hata dikiteta puting anaujua ndiyo maana unaona anavyokomaa.ila hata afanyeje ni lazima ashindwe tu.
@marioofans5147
@marioofans5147 Ай бұрын
rais w ukren kwafungwa ufahamu eb sir god amsaidie ashituke usingizini
@YamuremyeYarodi
@YamuremyeYarodi Ай бұрын
Izo silaha za marekani zinapigiwa debe sana ila matokeo yake ziro😅 F16 kama zimepowa miaka mitatu mrusi yuko anasonga mbele tuu ofansife inafeli mbon kama hamna jipya
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o Ай бұрын
Ww ni pimbi unajifanya ujui American 😅😅😅 unalopoka ila unajua kipigo chake
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Kwani huyo urusi kashinda vita?na kwa nini hadi sasa hajashinda vita?kama silaha za mmarekani zisingekuwa zinasaidia urusi angekuwa tayari kashashinda vita.
@ramadhanrobin-st6hh
@ramadhanrobin-st6hh Ай бұрын
Vita siyo kama akili zenu nyie wa KZbin watu wanatumiaga akili huko vitani nyie KZbin mnashabikia ujinga tu amuoni vita ikiendelea Dunia itadhid kuwa hatarini au nyie akili zenu zimelemaa badala muombe vita ziishee nyie mnashabikia cjui urusi kafany nn cjui Ukraine kafany nn tumieni akili msiwe kma mna kansa za ubongo mnanikera sana na ushabik wa kipumbavu​@@MathewNathan-yb2bz
@hassanmlawa-o6s
@hassanmlawa-o6s Ай бұрын
Kupigana na nchi 32 sio mchezo ata hivyo mrus bado anawabuluza tu, magharb wangekuwa na uwezo Ukrein isingechakazwa kiasi hicho licha ya juhudi zote za magharib
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
@@hassanmlawa-o6s hivi ukraine nayo ingeruhusiwa na nchi za magharibi waipige urusi kwa kutumia makombora ya masafa marefu ww unafikiri huko urusi hali ingekuwaje?Nayo urusi ingechakazwa sana unajua,
@SamwelMartin-h7c
@SamwelMartin-h7c Ай бұрын
Kuna udhaifu mkubwa tu kwenye silaha za marekan na mifumo yake ya urinzi sababu makombora ya urus yanaonekana ni unstoppable
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
@@SamwelMartin-h7c Urusi inatumia vifaa vyake vya kisasa zaidi, Marekani inatumia silaha kukuu za miaka ya vita baridi ila pamoja na ivo Urusi bado haishindi vita
@SamwelMartin-h7c
@SamwelMartin-h7c Ай бұрын
@@rumdeesonsoa1811 we silaa za kisasa za urus unazijua uliona urus anatumia submarine, uliona urus kasogeza aircraft cariier ama ueona katumoa destroyer , uliona urus ametumia Tu-160 umeoma urus ametumia makombora ya zicon. Kwan unadhan zile ATACAMS, NA HIMMERS NI SALAHA KUUKUU Vile vifaru vya ABRAHAM sondo toleo jipya kama hujui silaha ya kisasa ambayo utus ameiyumia ni makombora ya kinzar ambayo hayazuilik wewe ndo hujui ila marekan wanaijua urus kuliko wewe unavyoijua
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 Ай бұрын
Huyu Zelensky iko siku mtasikia ameuawa. Urusi itakuja kumuua.
@lucasbatano333
@lucasbatano333 Ай бұрын
Kiumane tu
@hamimhassan9354
@hamimhassan9354 Ай бұрын
Huyu jamaa Ally alisema F-16, zitabadilisha mwelekeo wa vita na kuwa ngumi Kwa urusi hatuoni tija ya hizo ndege, Leo kaja na jasmine kombora daah.
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Ndege zilipekwa chache sana
@uwimana6533
@uwimana6533 Ай бұрын
Huyu hamnakitu ndomana sifati habari zako kakakinafiki 😂😂
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
@@uwimana6533 Ww ulitaka awe anafisifia Urusi tu.
@uwimana6533
@uwimana6533 Ай бұрын
@@rumdeesonsoa1811 hana ushawishi kwenye kutuoa tarifa , hana mvuti analazimisha kuongea , dj sma anamvuto wakuatithia jambo , sinaushabiki
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j Ай бұрын
WEW ndo humuelewi haegemei upande wowote anachambua kama vilivyo kuliko dj sma yeye kutwa kuwaponda maghalib kwakila kitu anasahau hata hii KZbin niyao wakiamua kuizima sijui mtapiga polojo zenu wapi😂😂😂😂 😂😂😂😂😂😂😂
@Fgldesigns
@Fgldesigns Ай бұрын
Hapa Afrika ndo itayoumia wakipiga mitambo ya mafuta mafuta yatapungua na wazungu wataongeza bei, maghari ya mafuta yanaenda kutelekezwa soko la magari ya umeme kutoka China mdo yatakuwa habari ya mjini
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv Ай бұрын
Toka wameanza kupewa slaha hadi leo 😂😂😂😂
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Muulize putin aliyeanzisha vita kama kashinda.
@alextanzania
@alextanzania Ай бұрын
Urusi naye anapewa silaha na Iran na Korea Kaskazini
@SaidiMiraji-lk3vm
@SaidiMiraji-lk3vm Ай бұрын
Russia anajua kila kitu wewe unaongea nn, putin ana akili kukushida na anafaham angekua ana hofu na hayo angekua kaisha acha vita lakin haangalii vitisho chochote
@emanuelidamiani2943
@emanuelidamiani2943 Ай бұрын
F-16 nazo zimekuwa butu mpaka wameomba JASSM????
@toyimwamedi6460
@toyimwamedi6460 Ай бұрын
BABA APO NDIPO PUTINI ANAVYO PENDA.APO NDIPO UTAMJUWA PUTINI ANAFANY NINI.APO NDIPO URUSI ANAPO ONGEZA KIPONDO.MTANAMBIYA.WAWAPE MTANIPA MAJIBU?
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Ай бұрын
Magharibi na Marekani watatubu aaah nimeipenda wanaona kila wakijaribu vikwazo vinagoma saizi wanatuma siraha mara wanatuma wanajeshi baaaado hawajasema!😂😂😂
@kuntakinte7339
@kuntakinte7339 Ай бұрын
MUNGU wangu,nisaidie hawa viumberwako wamezeheka wao sasa wanataka nasie tusizeheke wanachana MKEKA tunusuru namie nizeheke kama BAIDEN
@JerisonRaphaely
@JerisonRaphaely Ай бұрын
Walitaka njia ya kuweka siraha ili kuizibiti urusi na sasa washaipata
@hassanihamidu8546
@hassanihamidu8546 Ай бұрын
Oya sikiliza mzee hizo ni biti tu,walitutisha sana na himas wakaja na patrioti,wakaja na atakams,wakaja na f_16 lakini bado wanadunda kilichobaki nikwenda nato wenyewe wakakaangwe na mwamba
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Sasa huyo urusi kashinda?kama hizo silaha za mmarekani hazisaidii.ww vp
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Ukrane kalipua kisima cha mafuta
@nellyjr396
@nellyjr396 Ай бұрын
Jamaa hata haeleweki yaan😂
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Ungemwelewa kama angekuwa anasifia Urusi
@nellyjr396
@nellyjr396 Ай бұрын
Myb angekua anamsifia mwanamalundi😂😂😂
@HAMZADADI-y9p
@HAMZADADI-y9p Ай бұрын
​@@rumdeesonsoa1811baba umekunywa maji ya bendera ya 🇺🇸
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
@@HAMZADADI-y9p Na ww umekunywa maji ya bendera ya 🇷🇺
@PUTINN365
@PUTINN365 Ай бұрын
F-16 zko wap patriot zko wap
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq Ай бұрын
Kwani zile ndege imeishia wapi 😂😂😂yani hakuna jipya hapo kama wewe umeweza kujua hiyo taarifa vipi Russia siwanajua zaidi yako yani kinachofuata ni Ukrein kuwa majivu na huko kursi ukrein wameanza kukimbia wanakufa kama kuku
@venancembwaga-uw6kb
@venancembwaga-uw6kb Ай бұрын
Marekan amebaki na udanganyifu wa vyombo vya habari ,😂😂😂😂 silaha izo zitabebwa kichwani! Mrusi karipua miundombinu yote ya ukren
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Ukrane kachukua eneo
@aediaygo8546
@aediaygo8546 Ай бұрын
We muongo
@omarydololo1717
@omarydololo1717 Ай бұрын
Umeona bro
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu Ай бұрын
Huyu bwana ally ndie mtaalam kwa uchambuzi wa habari pasina upendeleo.
@jonasmrema8550
@jonasmrema8550 Ай бұрын
Magaidi hawampendi 😂😂the
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j Ай бұрын
Jamaa yuko vizul angekua dj smaa kashaponda kilakitu utazan anaushikaji na putin😂😂😂😂
@emmanuelmasoso
@emmanuelmasoso Ай бұрын
Sikieni mumeaza kutundanganya heshima yenu inashuka hii habari haieleweki.
@danvannyzawad6452
@danvannyzawad6452 Ай бұрын
Ufirwe wew
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Unadanganywa na nani? Kojoa ulale?
@jonasmrema8550
@jonasmrema8550 Ай бұрын
Hujazoea kusikia Urussi kupelekewa Moto wee tulia jifunze kuelewa
@MussaKulanga
@MussaKulanga Ай бұрын
Sns sisi tupo kunasiku tutaamka asubuh vyombo vyoote vya habari vitariport Ukraine akiweka silaa chini kama wajapan baada ya kupigwa bomu la nyuklia beleave me,tuombe uhai tuone maana Ukraine ni mjinga sana anafikiri Russia hawezi kutumia silaha hizo nonsense
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Ww ndio mjinga.kaa kimya watalaamu wa vita wenyewe wanajua.
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j Ай бұрын
Kama ukren wajinga tuoneshe wew uelawa wako
@josephkostans9128
@josephkostans9128 Ай бұрын
Vita ipo mwishoni na inaisha kwa kushindwa kwa NATO na sio vinginevyo. Russia ndio dola lenye kubwa na lenye nguvu toka vita ya kwanaza ya dunia mpaka sasa na Putin ndio kiongozi bora na mwenye nguvu zaidi kwa wakati wote.
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Sidhani kama vita ya kwanza ya dunia Urusi ilipigana pekee yake
@natual7572
@natual7572 Ай бұрын
Huyu jamaa simuelew ametaka F16 kapew akasema atashinda akizipata sasa leo anaomba kubwzaid zaid ten, kuwa F16 ni ndog zelensky utatapika tope badla ya chakula
@MrLee-xl4kf
@MrLee-xl4kf Ай бұрын
Ila Putin nae mbn mchovu anxhndwa kuwapga nykria ili mchezo uixhe mbn kama tumechoka
@alextanzania
@alextanzania Ай бұрын
Atadhurika na yeye. Nuclear sio maandazi
@saidiomar6642
@saidiomar6642 Ай бұрын
Ali masubi hatutaki propaganda za mashoga kama huna habari mpya bora kaa kimya
@AbduliSpepo
@AbduliSpepo Ай бұрын
Mm putin nayataka hayo tunazuia tu marekan mbwa koko wameshazoea kuwapiga wanafk urusi co wanafki awo warusi ndio wakar wa vita wamarekani watapotea
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Wakali wa vita ipi?
@SamwelMartin-h7c
@SamwelMartin-h7c Ай бұрын
NILICHOGUNDUA URUSI HAWANA MBWEMBWE ILA WANAONGEZA KIPONDO KADRI UNAVYOJIWEKA NA KAMA URUS AKIAMUA KUIANGAMIZA UKRANI NI MUDA WA MASAA MACHACHE NA KWA KOMBORA MOJA TU KAMA SIO MAWILI YA NUCLEAR AMBAYO YATAPIGWA MJI MKUU WA KIEV
@bashirksabu3540
@bashirksabu3540 Ай бұрын
Tumeshazoea maneno tu tulitishwa na vifaru vya Abraham leopard challenger ataccms f 16 na vikolombwezo kibao. Nato hawana jipya.
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 Ай бұрын
USA hawahofii nyukilia,Kama unavyofikiri,wao nyukilia wanayo,na ndiye wa kwanza kuunda mabomu ya nyukilia yaani atomic bomu.wewe ikumbuke Hiroshima,na Nagasaki. huko Japan, USA aliwafanya nini miaka hiyo.sembuse leo tekinolojia imekuwa mara dufu.acha kabisa.usishabikie tu.hapo afughastani mrusi alishindwa vita na afughastani,wakisaidiwa na marekani.
@YasreArafat-kk9en
@YasreArafat-kk9en Ай бұрын
Oya mbona hamueleweki data zenu zinamapungufu mengi Data tunazo Ila mmebez Sana Na nagharibi 😊
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Hebu yataje hayo mapungufu
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j Ай бұрын
Njoo na ukweli wako acha polojo za dj sma
@YasreArafat-kk9en
@YasreArafat-kk9en Ай бұрын
@@GeraldElias-s7j njoo to the world news Utakula madini ya kutosha uzushi WA hawa machalii wanabez Sana Na magharibi Wanahofia Chanel Yao kuwa suspended Ushaelewa
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Ай бұрын
Wewe ali masubi acha uwongo krusk imebakia kilomita 8 tu au uko usingizini bado😂
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 Ай бұрын
Usipende kuongea kitu ambacho hauna elimu nacho au haukifahamu vya kutosha.
@GodfreyRichard-v4f
@GodfreyRichard-v4f Ай бұрын
Mumgu awasaidie waache kupigana
@pauldotto7868
@pauldotto7868 Ай бұрын
Russia ni superpower!/ Wewe toa sifa zako. Unazani russia ni afganistan.
@alphoncejohn6308
@alphoncejohn6308 Ай бұрын
Kwnn urisi hana na yeye pia anayo
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Ni silaha zipi ambazo Urusi hajawahi kuzitumia Ukraine ukiachana na nuclear?
@JafariNyallu
@JafariNyallu Ай бұрын
oya uyu mchambuzi alikuwa mjeda nini?
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j Ай бұрын
Nacho mkubali huyu mwamba hana ushabiki kama mzee kipara😂😂😂😂😂
@daviddonatus8121
@daviddonatus8121 Ай бұрын
Hii vita kuna wanasiasa wa Ukraine hasa Zelensinky ambao wananehemeka kupitia utakatishaji pesa huu .... Kikubwa watu wa Ukraine wamgeukie raisi wao ambae muda wake umeshakwisha kitambo atoke madarakani😂
@SalumuChamkulu
@SalumuChamkulu Ай бұрын
Uyu jamaa ally Amna kitu uchambuzi wake uchwala
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Ай бұрын
Ww unapenda wachambuzi wanaosifia Urusi
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j Ай бұрын
Kama huni d2 huwezi kuelewa,utaishia kutukan tu
@MohammediKihimbwa-bj4pf
@MohammediKihimbwa-bj4pf Ай бұрын
Nato inataka iisambaratishe rusia ila shetan atashindwa tuu
@hajimaruzuku6583
@hajimaruzuku6583 Ай бұрын
Unaongelea kitu gani wewe masubi mbona una tuongopea una juw hasara wanazo zapata Ukraine na wame bakisha km chache Russia wachukuwe krusk yote
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Ай бұрын
Unaumwa ww sio bure
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j Ай бұрын
Hapa ndo naamin kwel watanzania bado niwajinga sana ametoa uchambuz wasilaha ambazo marekan wanataka kumpa ukren sasa wew na hakili zako finyu unataka kusikia muda wote ukren kapigwa acha ushabiki bro wa dj sma
Wait… Maxim, did you just eat 8 BURGERS?!🍔😳| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 8 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 7 МЛН