Jay Melody - Turudiane (lyrics)

  Рет қаралды 49

TtendoSamuel45 Swahili

TtendoSamuel45 Swahili

Күн бұрын

🔔 Turn on notifications to stay updated with new uploads!
⭐Follow me:
/ ttendo100
/ ttendosamuel45
/ ttendosamuel45
/ ttendosamuel45
.........
🎤 Lyrics:
Nilikukosea naomba unisamehe
Nishajionea kwamba sina lolote
Bila wewe siwezi endelea, naomba
tuendelee
Yalikua matamu mapenzi yetu, yalikua
super aah
Ex dua gani uliyoisoma ah
Kama ndo chamoto nimekiona, aku
siwezi
Kujifanya niko sawa kumbe inachoma,
inaumiza
Nimeshindwa kukaza, mwanzako natakaa
Turudiane, mwenzio nataka
Turudiane, mwenzako nataka aah
Turudiane, mwenzio nataka
Turudiane, once again
Saa sita saa saba usiku, nitakupigia nna
kitu
Nawe pokea japo tu, nikuongeleshe
kakitu
Huku nje kila mtu wa mtu, nishakua
single masiku
Basi nielewe kiduchu, tumalize hili beaf
Nimeshindwa (Ku move on)
Nimeshindwa (Ku move on)
Hata siwezi (Ku move on)
Wanawezaje (Ku move on)
Ex dua gani uliyoisoma ah
Kama ndo chamoto nimekiona, aku
siwezi
Kujifanya niko sawa kumbe inachoma,
inaumiza
Nimeshindwa kukaza, mwanzako natakaa
Turudiane, mwenzio nataka
Turudiane, mwenzako nataka aah
Turudiane, mwenzio nataka
Turudiane, once again
#ttendosamuel45 #Jaymelody #Turudiane #swahili

Пікірлер
Jay Melody - Mbali Nawe (English lyrics )
3:42
Jay Melody
Рет қаралды 15 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Jose Chameleone & Bushoke - Mama Rhoda (lyrics)
4:32
TtendoSamuel45 Swahili
Рет қаралды 9
Diamond Platnumz - Nitafanyaje (lyrics)
4:44
TtendoSamuel45 Swahili
Рет қаралды 18
Jay Melody - Mbali Nawe (Official Music)
3:43
Jay Melody
Рет қаралды 6 МЛН
NANGOJEA BY GUARDIAN ANGEL(INSTRUMENTAL BEAT)
6:08
Big brand international
Рет қаралды 658
Mbosso - Kupenda (lyrics)
2:56
TtendoSamuel45 Swahili
Рет қаралды 4
Lagu Arab Viral Enak didengar 2024 TERBARU
18:01
Yuliana El
Рет қаралды 1,4 МЛН
Jaguar - KIGEUGEU (lyrics)
4:00
TtendoSamuel45 Swahili
Рет қаралды 5
Abdifatah yare iyo Ikraan Caraale
13:17
Shiine Media
Рет қаралды 2,8 МЛН
Diamond Platnumz - Mapoz (lyrics) ft. Mr. Blue & Jay Melody
4:13
TtendoSamuel45 Swahili
Рет қаралды 121
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН