Subhana-Allah, Allah awafungue vifua hawa marafiki zetu, wako very innocent understanding how hard it is kujaribu kufundisha khaki na kubainisha batil na haki
@Adm94647 ай бұрын
Sheikh Ali . May Allah bless you. Please and please respect the muhadara. If your role is msomaji, please be respectful and kind. Your role is to read when asked by the Sheikhs. This people don’t know much and when you behave like this , they will see Islam as different and argumentative .
@salimdaawah1237 ай бұрын
Inn shaa Allah
@HisMajesty647 ай бұрын
Assalamu Alaykum team. Allahumma Barik.
@Noorein-ws8wk7 ай бұрын
Wsalaam warahmatullahi ta'ala wabarakaatuh
@salimdaawah1237 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@Abdiidaawah7 ай бұрын
Allahu Akbar Maustadh wangu
@SaidiMteluka7 ай бұрын
Sikiza habari 😂😂😂 hapo maalim salim anampa mtu kibano.. daawa mpaka kieleweke
@salimdaawah1237 ай бұрын
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@loner_wolf7 ай бұрын
Huyo wa mwisho wazomu , hajui uweza w mungu hata chembe
@ZakiyaAnwar-w1r2 ай бұрын
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh
@salimdaawah1232 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@adanabdi52497 ай бұрын
Ustadh Ali atulie tafadhali.
@aburaasmedia36827 ай бұрын
Ustadh Ali yuko sawa mwache
@F.j847 ай бұрын
Ustadh Ali ako sawa ni imani ya dini ikiwa kw damu huezi kukaa kuskia mtu anavuruga dini yako kw uongo nyuma yako.
@andallaathman38567 ай бұрын
Sheikh Ali unakoroga madhara wallah unafanya iwe fujo huachi sheikh Hasan akaongea ww waongea ww Hadi anaeuliza anakuangalia ww wallah unakoroga ni BC tuu
@amadimagadi79787 ай бұрын
Anakoroga sana hataki kunyamaza uyu Ali bana
@oopsm35747 ай бұрын
Ndio utamu wa daawah 😂😂
@andallaathman38567 ай бұрын
@@oopsm3574 utamu gani NI bughdha tuu
@F.j847 ай бұрын
Hakuna kukoroga km una imani huezi kuskia mtu nyuma yako anakoroga dini yako kw uongo.. Hata mm sina hio subra
@andallaathman38567 ай бұрын
@@F.j84 urongo hata hakuna mtu wanyuma yy anaongea nahuyo aliekuja kuuliza maswali na mwalimu Yuko siachukue yy BC afundishe mwengine asome ati kma huna Imani mwenye nayo ni ww mwenyewe ushabiki WA urongo ulisikia mtume hata siku moja alitusi mtu ama kurukia watu hangekua mtu muislam Lau mtume angekua namna hio unavyo sema ww atulie watu wapate faida
@samxx4117 ай бұрын
Na mie wanne leo nimewahi
@salimdaawah1237 ай бұрын
Masha Allah
@loner_wolf7 ай бұрын
3rd today
@salimdaawah1237 ай бұрын
Masha Allah
@isahbarasa7 ай бұрын
Mwalimu Ali napenda venye unaweka spice unafurahisha😅👏
@andallaathman38567 ай бұрын
Unadanganya bure anaharibu kila kitu angekua anafanya vizuri masheikh hawangemwmabia atulie atulie niachie mm why coz ana interrupt tuu hata anasinya
@F.j847 ай бұрын
@@andallaathman3856nop wakimwambia atulie sio kua anaharibu wala hajui.. Ustadh Ali haezi kuskia mtu akivuruga dini ya Allah lazma anachemka na hio ni dalili ya imani ikiwa iko juu.. Ikiwa mamba ya mzaha tu munapigania je dini ya Allah.. So wewe vumilia tu
@Adm94647 ай бұрын
Haki lack of education. Definitely unlearned people who have no clue about their Bible.
@F.j847 ай бұрын
Tafadhalini waislam wacheni kusema ustadh Ali sijui anavuruga sijui nini.. Ustadh Ali ni mwalimu na ana hekma na imani ya dini ikiwa juu huezi kabisa kuvumilia ujinga wa makafiri wanaosema maneno juu dini kw ujinga au upumbavu... Je mwamjua swahaba wa mtume omar na abubakar walikua ni wakali sana walikua hawapendi nonsense.. Kama mulisoma sera za mtume hamungeongea haya ya ustadh Ali
@loner_wolf7 ай бұрын
Drama za biblia ni za hovyo sana😅
@omweri057 ай бұрын
Sunday mtakuwa hapo tena nikuje na maswali
@bahsansheikh60427 ай бұрын
Hii team inakua hapo daily, so karibu sana
@ZamzamMakoto7 ай бұрын
Wako hapo kila siku
@isahbarasa7 ай бұрын
Karibu sana upate kujua haki
@ahmedsido58387 ай бұрын
Njoo na list sheikh Salim akupe khabari masha Allah
@ahmedsido58387 ай бұрын
Lakini usiulize swali ya sadaka 😂😂😂
@hythamhashiem44587 ай бұрын
Huyo jamaa anayo sema ilitoka mbinguni na anadai kuwa niya mungu kwani mungu aishi mbinguni?
@josemu8707 ай бұрын
Kwa neema ya uislamu
@maryam28-p4j7 ай бұрын
Assalam alykum mwalimu salim wacha tabiya yakuhigiliya wanawake wakiisilm Unasema yakwamba mabinidi wetu siomabindi wenyetabia nzuri kwasababu mamazao ni Single wewe unawakikahupi utakaha na mkewako maisha Yako yote mbonguza maneno yako naujiregebishe wapewanawake wakiislam mawaidha manzuri lakini sio kuwahigiliya wacha kiburi mwalim salim
@andallaathman38567 ай бұрын
Sasa kiburi iko wapi hapo haswaa hta useme hivyo kua na lugha mzuri hebu Hilo lajjlikana kua watoto wakuelewa na mama wengi hua wnaakosa maadili mara nyingi
@HisMajesty647 ай бұрын
@@andallaathman3856ni kawaida kupata mitihani na misukosuko unapolingania watu kwenye dini hata kama ni watu wa dini yako mwenyewe. Twende nae tu kwa utulivu inawezekana ameteleza na atajirekebisha. Sheikh Salim usi mind ila ongeza volume kidogo.
@HamzaAkilimali7 ай бұрын
Sikiliza kwa makini, na Jifunze ili utoe ujinga, achana na Ushabiki usiyo na maana.
@salimdaawah1237 ай бұрын
Mwalimu ako sawa katika uisilamu hakuna single mother hii ni uzungu au ukristo katika uisilamu watoto wako na baba zao single mother ni wale wanazaa watoto bila kuolewa nadhani hakufahamu mwalimu alivyosema pili mwalimu hakutaja wanawake wakiisilamu alikuwa anamfunza mkristo so please kabla hujasema sikiza video vinzuri
@andallaathman38567 ай бұрын
@@salimdaawah123 huyo ana chuki zake tuu ama labda yy kazaa nje ya ndoa ndio akaja nahasira bila kuelewa kilicho semwa
@NathanielNathan-m4o7 ай бұрын
Qur'an yako inasema sisi.Badala ya mimi
@F.j847 ай бұрын
Majestic plural. Enda ukasome bibilia uelewe kisha ukuje kw quraan😂😂😂
@MuhashamKhalil7 ай бұрын
Hivi una maana gani?
@NathanielNathan-m4o7 ай бұрын
@@F.j84 Majestic plural? Stop dreaming.....there was no such things in the 7th century...Go back to madrasa
@NathanielNathan-m4o7 ай бұрын
@@MuhashamKhalil soma utaelewa tu
@NathanielNathan-m4o7 ай бұрын
Majestic plural?....there was no such things during the 7th century.Go back to where you got this lie from and tell them to tell you the truth