WAPENZI WATAZAMAJI MUSIKOSE KUFUATILIA SEHEMU YA PILI KUHUSU KUANZISHWA KWA LUGHA YA KISWAHILI. BOFYA LINK HII: kzbin.info/www/bejne/laHJhqyubNSsnpY
@bas282318 күн бұрын
THANKS FOR SHARING" GOD BLESS U ALWAYS"
@mahfoudh.official73186 ай бұрын
Shukran sana Mm ni mzanzibari Ilikua sijui KUHUSU HILI Allah akujaze kheeer ❤ MUNGU AIBARIKI NA AILINDE ZANZIBAR YETU 🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤲🏿
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Aamin. Shukran na wewe pia
@bas282313 күн бұрын
@@mahfoudh.official7318 AMEEN YA RAABY AMIIN🤲😍😆🙏
@amihaji-w7g11 күн бұрын
Allah azidi kuilinda znji yetu wanayo inyemelea wasiiyone
@Fitraz-xf1bz6 ай бұрын
inshaallah shuran .بارك الله فيك وفي ذريتك.
@bas282318 күн бұрын
THANKS FOR REPLIED OF THE MEANING OF BANTU" THANKS FOR REPLIED" GOD BLESS U ALWAYS 🙏"
@nuzlanhassan231618 күн бұрын
@@bas2823 shukran. Thank you
@mwatumsaidi51046 ай бұрын
Allah bariq zinjibar yetu
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Aamin
@DelightfulMacawBird-tl5hf6 ай бұрын
Mashallh najivunia kua mzanzibar
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Hakika. Zanzibar tuna historia kubwa na ni dola ya mwanzo kusimama Afrika Mashariki. Zanzibar kwa maendeleo yaliyokuwepo kipindi hicho laiti tungeyatunza basi tusengalikuwa hapa tulipo mda huu. Lakini ziliingia chuki na mauaji na tamaa mpaka nchi ikaharibiwa
@harithmohd63186 ай бұрын
Iloveyou somuch PBE and UGJ
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Inshallah Pemba na Unguja vyote ni kitu kimoja.
@AbdulwahidAbdulla-qj8jh6 ай бұрын
Unajuwa kama sisi hatumo kwenye ramani ya Africa 😂😂
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Tobaa
@awatifalghanim11066 ай бұрын
Kweli
@awatifalghanim11066 ай бұрын
@@nuzlanhassan2316Kwa nini Tobaa🤔
@abdulshaq-qx8wz6 ай бұрын
Zanzibar so Africa eti
@abdulshaq-qx8wz6 ай бұрын
Waraabu ndio walovumbuwa Zanzibar
@jumaabrahman11696 ай бұрын
Naipenda sana zanzibar ❤❤❤
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Hakika. Na ndio sifa ya muislamu awe mzalendo na awe na uchungu na nchi yake. Sote tunakwenda ZANZIBAR
@hajjseif57376 ай бұрын
naomba mada ifuatayo iwe asili ya watu wa zanzibar
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Inshallah tutajitahidi kuelimishana.
@mohammedmbarouk11296 ай бұрын
Shukraan 🥰. Nimejifunza kitu muhimu kuhusu nchi yngu Zanzibar ❤❤❤❤
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Afwan
@AbdusamadBaghazal-v4v6 ай бұрын
Zanzibar is part of Arab World
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Hakika
@khalfanabdullahumoud42126 ай бұрын
Makosa yaliyomo kwenye mada hii 1-sio joNzani Ni Jozani...2-si Mzuri Nzuri. ...ardhi Nzuri sio ardhi Mzuri..Baraka llahu fyk
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Shukran sana akhui. Uko makini. Tukipata watu walio makini kama were tutapiga hatua. Video inayo kuja nitajitahidi
@ally17026 ай бұрын
Hii jozani ni SAWA ila kuhusu nzuri na mzuri kwenye muunganiko wa ardhi Kuna baadhi ya lahaja kisiwani Pemba huwa inaongeleka pia hivo
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
@@ally1702 kweli kabisa.na ndo mimi nimeathirika na lahaja ya kipemba 😁😁
@Fitraz-xf1bz6 ай бұрын
awwalan لك منا جزيل الشكر ومن الله الاجر الوافي . kwann sasa imeitwa darussalam na ipo tofaut. tunaomba ufafanuz
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Inshallah hii tutakuja kuichambua katika clip yake peke yake
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Hii tutakuja kuichambua kuhusu Dareslam katika clip yake peke yake
@Fitraz-xf1bz6 ай бұрын
inshaallah.shukran kwa ihtimamik. allah akuzidishie elim na akuwafiq pamoja na kukuthibitisha ktk khayrab.بارك الله فيك و في ذريتك
@Fitraz-xf1bz6 ай бұрын
yan khayraat aasif kwa kukosea
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Aamin kwa sote. Bila ya samahani
@abdithabit6 ай бұрын
Je kabla ya kufika wao na kuteta jina hilo znzbr ilikuwa inaitwaje
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Unguja ndio jina lake kwa kiswahili. Na hapo zamani pia iliwahi kuitwa na waroma kwa jina la: (Manthoyas) ni neno la Kirkman hili
@SULEIMANMBAROUK-m8e14 күн бұрын
Unguja ikiitwa Unguja na Pemba ikiitwa pemba, walipokuja Unguja wakaiita Zinjibar na Pemba wakaiita Jaziiratul - khadhw-raai.
@amihaji-w7g11 күн бұрын
Hawa wabantu wanatokea wapi?
@nuzlanhassan231611 күн бұрын
@@amihaji-w7g inasemekana kuwa asili yao ni Afrika Magharibi. Kisha baadae ndio walitawanyika wakafika mpaka Afrika Mashariki
@IbrahimSallim-xd4lx6 ай бұрын
Mashallah
@rafaelmarquez93966 ай бұрын
Bantu maana yake ni watu hakuna wabantu wazungu kushundwa kuita watu ndio wakaita bantu asili ya watu wa pwani ya afrixa mashariki ni oromo au ni mijikenda
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Wabantu ni makabila maalum na sio kila mtu. Waarabu na wazungu sio wabantu
@safaanassor99976 ай бұрын
Lakini hivi visiwa 2 vya unguja na pemba kwa asili ni visiwa pacha. Havikuungana. Na hili jina Zanzibar ni maana ya unguja na pemba Kwa nini sasa Zanzibar iwe ni unguja tu na pemba kubaki pekee. Utasikia zanzibar na pemba.hivi pemba sio Zanzibar?
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Mazowea ya watu ndio wamezowea hivyo. Lakini asili vyote viwili ni sawa. Na Zanzibar kirasmi inakusudiwa visiwa vyote viwili
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Pia kuna wengine wana mtazamo wa kwamba hapo awali ni Unguja peke yake iliyoitwa Zanzibar. Ama Pemba imeitwa: (الجزيرة الخضراء) kisiwa cha kijani. Lakini kwa vile Pemba ilikuwa chini ya usimamizi wa watawala wa Unguja na ikifata serikali ya Unguja ndio yote ikapewa jina hilo la Zanzibar kwa vile ni nchi moja. Na ukisikia Dola ya Zanzibar basi inakusanya Unguja na Pemba. Lakini hata hivyo watu wamezoea kukiita Zanzibar kisiwa Unguja peke yake
@SULEIMANMBAROUK-m8e14 күн бұрын
Kihistoria Zanzibar khasa ni Unguja, lakini Pemba moshi inaingia katika Zanzibar kwa sababu za kimamlaka na kiutawala, kama mfano Unguja ni khasa asili yake ni kule Unguja ukuu lakini ikaitwa yote Unguja kwa sababu Unguja ukuu ndiyo iliyokuwa mji mkuu wa zama hizo.
@hamilsaleh-zo3hp6 ай бұрын
Watu wa mwanzo kutamakani zinjibaar
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Ndo ni waarabu
@buchbeats53376 ай бұрын
Umeanza vizuri kweli ila kwani kila mtu mweusi ndo mbantu kwani history ya kweli inatuambia wabantu ndo watu wa mwisho kuja kuishi east coast mana hata wareno wameandika kwamba wao wamekuja kabla ya wabantu africa mashariki ulitakiwa useme watu weusi na c o wabantu
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Haina haja ya kusema mtu mweusi na kutaja rangi. Hiyo haitombendeza kusema watu weusi kwa sababu hilo neno litaweza kupelekea ubaguzi. Historia. Ukisema watu weusi pia inakusanya mataifa mengi sana ambayo hajaijishi Zanzibar wala Afrika mashariki kabisa. Sisi tunakusudia walioishi maeneo ya Afrika mashariki ambao ni wabantu hatukosudii kila mtu mweusi duniani
@buchbeats53376 ай бұрын
@@nuzlanhassan2316 Ndo Mungu alivyo tumba ili tujuane hiyo history haifa kufanya mabadiliko itapoteza maana halafu ilo jina bantu kuna muengereza mmja ndo alowaita wafrika wote bantu anaitwa M.Guthrie British linguist mwaka1924 kabla ya hapo hapakua na watu wanaoitwa bantu tunasoma info za wazungu kwa reference tu ili tujue ukweli na c o kufata mapendekezo tao
@SalehSaidmbarouk-pu9jq6 ай бұрын
Shukran kwa elimu
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Afwan
@stephenndagalla81836 ай бұрын
Kabla ya ubatizo wa majina (ujio wa Waarabu) hayo, eneo lilijulikana kwa jinanlipi?
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Miongoni mwa majina ya Zanzibar ya zamani ni Unguja. Na maenoo mengine yalikuwa yana majina yake hadi leo kama Pemba Tumbatu na mengineyo. Na baadhi ya maeneo na mitaa yalikuwa hayana majina kwa sababu yalikuwa ni mwitu hayakaliwi na mtu
@bas282321 күн бұрын
NINI MAANA YA BANTU!?? WATU WA AINA GANI!? HAWA!? NA WAMETOKEA WAPI!? ASILI YAO NI WAPI!?? THANKS I NEED REPLY PLEASE 🙏 ABT IT"
@nuzlanhassan231620 күн бұрын
Neno bantu linakusanya makabila mbali mbali ama mataifa mingi ya Waafrika weusi. Lakini tunaowakusudia sisi hapa ni wale walokuwepo ukanda wa pwani ya Afrika mashariki. Na inasemekana asili yao ni Afrika ya kati na ya Magharibi. Yaani Cameron na Nigeria nk. Na kisha baadae ndio wakatawanyika katika mataifa mengine ya Afrika hadi kufikia Afrika Mashariki na Afrika kusini na maeneo mengine
@alihussein51076 ай бұрын
Zanzibar ni mchanganyiko wa makabila yote duniani hakuna atakejisufu kama yy ni mwenyeji zaidi kuliko mwenziwe madqmq umezaliwa zbz ww ndoo mqenyewe
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Ni kweli. lakini Siyo makabila yote duniani.
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Kuna mataifa au makabila mengine hawakuwahi kuishi Zanzibar hadi leo
@fakijecha6 ай бұрын
Naona unapayuka tu Dunia nzima asili yake wTu wawili tu adamu na Hawa hakuna alotoka mbinguni akaje kwenye ardhi ikawa kwao sehemu flan ila Allah amekadiria Kila mtu kumpa luha na tabia hiyo ni mmoj ya nembo ww asili yako ni ipi
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
@@fakijecha Sote ni wa Adam Na Hawwaa. Na sote ni wa Allah. Lakini Allah kamjaaliya kila mmoja Na nchi yake ama taifa lake. Haifai binaadamu akaichukua haki ya binaadamu mwenzake aliyo pewa Na Allah kama wanavofanya Mayahudi leo Palestina kwa kuwapokonya wakaazi wa asili ardhi yao tena kwa nguvu.
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
@@fakijecha mimi mzanzibari
@MaryamKambandefu-nr8bt6 ай бұрын
Hawa wa bantu ni kina nani
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Ni makabila ya asili ya Afrika mashariki na mataifa mengine ya yaliyoizunguka
@LovelyBubbleTea-vz4ol6 ай бұрын
Nataka jazeerat pemba
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Inshallah usijali. Tutakuja kuizungumzia
@SelemaniMndai-ox8dy6 ай бұрын
Walio zaliwa Zanzibar ukiwauriza wewe kabira Gani Huwa awasemi anakazana Mimi mzanzibar wakati irojina Ra kisiwa wanaokaaumo razima wawe na makabira. Mwambie makabira yenu tukiwauliza
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Wapo walokuwa na makabila yao. Na wengine wamechanganya makabila tofauti. (na sio aibu kutokuwa na makabila) au wanayo makabila lakini hawajui asili yao. Kuna wazanzibai wengi wana asili ya kiarabu lakini hawaijui asili yao. Na wengine hawataki kujidhihirisha. Pia wapo wanao sema kuwa asili yao ni shiraz Iran
@SelemaniMndai-ox8dy6 ай бұрын
@@nuzlanhassan2316 mhm inshallah 🙏🙏
@thamani58426 ай бұрын
Ww umetuandikia nn hapa? Yaani unakivuruga kiswahili namna hii? Huogopi?
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
@@thamani5842 uandikaji wake anaandika kama anavyotamka. Kaathirika na lahaja yake
@omarmohammed51576 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@hafidhhamed76006 ай бұрын
Lakini hili neno bantu wazungu ndo walowaita bantu watu kutoka Cameron na wenyeji wa African mashariki mwanzoni ni oromo na wapili shiraz
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Hata ikiwa ni wazungu walowaita ndo lishakuwa jina lao tena na ndo wanajulikana kwa jina hilo. Na halafu Shirazi asli ni mji upo Iran. Walihamia watu wa Shirazi Afrika mashariki
@peterbillas91316 ай бұрын
Zanzibar sio kiarabu ni ki assiria na hawa wa omani hawakuiita Zanzibar hicho kisiwa tu pwani yote ya Africa mashariki ilikua inaithwa hinyo na ni sababu ya watu weusi na kiasiria hilo ndo jina walilokua wanawaita watu weusi zinjiweke assiria siyo siria ya asad
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Zanzibar ni kiarabu. Na ni kweli kuwa inamaanisha pwani yote ya Afrika mashariki lakini makao makuu hasa ni Unguja.
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Maelezo yako hayapo wazi vizuri. Halafu Assiria ndio lugha gani. Na kwa hiyo Zanzibar maana yake nini kwa mujibu wa ufahamu wako
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Zanzibar ni kiarabu n sio ajabu. Kwani hata Dareslam ni kiarabu. Na hata lugha yote ya kiswahili imetokana na kiarabu
@peterbillas91316 ай бұрын
@@nuzlanhassan2316 kama kiswahili chote ni kiarabu kwanini maneno mengi ya kiswahili yako kwenye kizulu na wazulu hawajakutana na waarabu? 2 kiarabu hususani cha Kuruani ni mchanganyiko wa ki nabatian na Syriac amariki ambao hizi lugha zima itwa afro Asiatic ndo maana nilisema zenji in assiria sababu hivi ndio walivyokua wanawaita wa misiri na wanubia miaka 2000 kabla kuja yesu hata misirahimu ambayu ni misiri kwa kiarabu ni kiasiria vilevile na ufalme wa assiria ni leo irani uturuki kipande cha iraki na siria leo kumbuka kizulu ni kibantu. Na domaana wa omani walinyofika hapo mashariki mwa Africa lilikua ni rahisi sababu hizi lugha za Levant (middle East ) nyanzo nyake ni lugha za kiafrika
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
@@peterbillas9131 asilimia kubwa ya misamiati ya kiswahili kinatokana na kiarabu. Hata neno (kiswahili) asili yake ni kiarabu. Halafu wabantu ndio waliyokutana na waarabu wakachanganyika nao kisha kikapatikana hicho kiswahili.
@abdallahsuwed656 ай бұрын
Tupe history ya Tumbatu
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Inshallah usijali tuko pamoja
@sulumRashid6 ай бұрын
shukran
@ZANAMBER6 ай бұрын
Bora awape hawo wajomba ili wapate kuitumia kwa kilimo
@ayshasaid15476 ай бұрын
Zinjibar ni kisiwa chawatu weusi
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Ni kisiwa cha wote sio weusi peke yao
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Tukisema Zanzibar kwa wakati huo inakusanya mwambao wote wa Afrika Mashariki na sio Unguja peke yake. Kwa sababu Unguja ni kisiwa na kilikuwa hakina wakaazi hapo kale. Lakini ni nani wa mwanzo kugundua kisiwa hicho ama wa mwanzo kuishi? hapo ndo hajulikani nani hasa
@ayshasaid15476 ай бұрын
Yaan wenyewe warabu wameita zingibar maana yake kusiwa chawatu aswadi
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
@@ayshasaid1547 maana yake ni ardhi ya watu weusi. Sio kisiwa peke yake ni mwambao wote wa Afrika mashariki
@TayDasaro-xc9jf6 ай бұрын
Na ni nini asili na maana ya Unguja
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Nimesoma katika kitabu kwamba asili yake ni: (Ungo umejaa.) Lakini mkasa wa hili jina mpaka likawa hivyo.
@hajihassan54336 ай бұрын
Ina maana unakusudia Waarabu ndio Walioanza kuja kuliko Wandelemo, Wanyamwezi nk. Acha kutawaliwa kifikra. Zanzibar ni miongoni mwa visiwa vya Afrika.
@nuzlanhassan23166 ай бұрын
Wanyamwezi na wandelemo asili yao sio visiwani. Ni Tanzania Bara usijichanganye
@MuhammedAliOmar-c9u21 күн бұрын
Wewe umezidi tena hao uliowataja hata miaka 200 nyuma hawajafika huku.
@pauloropian23676 ай бұрын
Siyo bure Samia anawaondoa wamasai ngorongoro ili awape wajomba zake.