Mashabi na Wanachama wenzangu twende Kwa Mkapa tuka ujaze uwanja chonde chonde daima mbele nyuma mwiko,Asante.
@misambo753917 күн бұрын
Tunaoamini tutafuzu kwenda Robo fainali like zenu hapa >>>>>>>>>>>>>>>>
@zahramsangi363217 күн бұрын
Wananchiiiiii….Tumtangulize Mw. Mungu kwa Duaa 🤲🤲🤲kila jambo litakaa sawa bi-idhinilah, tushikamane🤝💪kwa umoja wetu huku tukishangilia mwanzo mwisho…GUSA, ACHIA….TWENDE KWAO na vibwagizo vingi vya kutosha Tumezungukwa na mahasidi kila pembe, lakini Mola wetu yuko nasi Sambamba na huwa halali usingizi kama sisi viumbe wake…tumuombe kwa unyenyekevu na In Shaa Allwah ushindi utapatikana
Mechi ya j.mosi itakuwa ngumu ila uwezo wa Yanga kushinda upo. Najua TP. Mazembe nao watatumia uzoefu wao ili wapate ushindi. Kitu muhimu: 1.team icheze ki team. Si muhimu nani kafunga.Muhimu point 3. 2.Yanga hasa wachezaji na mashabiki wasijiandae kulipiza kusasi cha fujo uwanjani. 3.Uzalendo mbele. Yanga j.mosi wanaipepea bendera ya Tanzania. Sioni kama ni jambo la busara kuitakia T.P Mazembe ushindi wakati wewe ni Mtanzania unaendesha maisha katika nchi hii unahudumiwa na nchi hii. To my opinion those who are against Yanga, Saturday let call them are not real citizen. If will continue with thir rude habit, I don't think we will have a good future terms of football carrier. Let all join Together. One unit one Nation in order to help Ynga to forward further in this competition. Yangaa oyeee! Na team zote za 🇹🇿 Tanzania oyeeee!
@AminaTanzania16 күн бұрын
Makolo tokeni humu na ushamba wenu lazima tuweke wazi mungu aone watoto wake ww vpi kemwendeni huko na robo mwaka wenu yangaaaaaa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 mwaaaaa
@am_mwinyi17 күн бұрын
Yanga bingwa❤🎉🇹🇿💚💛🖤🏆⚽️🥇
@FidelisBanga17 күн бұрын
Kama unaamini mazembe anakufa 5 weka like apa
@FeristaMhagama17 күн бұрын
Gusa achia twende kwao kulala heri wachezaji wetu
@saidikomba312017 күн бұрын
Mungu atufanyie wepesi wake
@MohammedOman-y4l17 күн бұрын
Penda yanga tamu yangu ya moyo yanga bigwa💚💚💚💚💚💚💚
@jeysenbenedict17 күн бұрын
touch,release,attack 🎉
@shafiikibwesi307617 күн бұрын
Diara Hayuko Tayari.. Tuendelee na Msheri tuu.. sawa ni Mechi Muhimu sanaa.. ila Pia Ni Muhimu Wacheze walioko 💯 Fit - GUSA ACHIA TWENDE KWAO...
@egidiusmushubirwa426717 күн бұрын
Hayuko tayari wewe ni kocha?
@zakiakondo284917 күн бұрын
Wewe kocha bhana kakate tiketi huko 😅
@victorishengoma572417 күн бұрын
Diarra hypo tyr asituletee mambo yke ya kuchomesha atuachie Mshery wetu
All the best Young Africa All the best Pacome Zouzou🤣🤣🤣
@SospeterKusaduka17 күн бұрын
Mungu aiongoze Tim yetu. 💛💛💛💛💛💚💚💚🔰🙏🙏🙏🙏
@WakudamshY17 күн бұрын
Hii ñi Liverpool cyo yanga acheni kutudanganya au mnatuona kama visoda
@GeorgeMachota17 күн бұрын
Umeisha kaka
@enesimwasalemba123517 күн бұрын
Punguzeni kuonyesha mazoezi mtandaoni mnajianika kwa wapinzani wanawasoma. Ninawaza tu
@radhiamussa162917 күн бұрын
Msojekuwachukulia poa manzembe mwende kwa tahadhari na mjitahidi mtumie nafasi mtakazozipata kwa usahihi hazitorudi tena ikipind first half mmalize kabisa mchezo second half ni nyongeza tu nawatakia ushindi mnono wapambanaji wetu
Kasi ya kukaba adui bado ndogo,kuamini.mpira umetoka kabla haujatoka, kumpa ishara refaree off side inaonyesha uchezaji wa kivivu,ushirikia wa kuwa karibu kati ya mcheza mwenye mpira ilikutengeneza triangle kwa haraka haya ni mambo muhimu kwenye kupata ushind
@chacha-25517 күн бұрын
Diarra anahitaji mazoezi ya ziada, bado hayupo fiti 07:34
@MohamediSleyum17 күн бұрын
😂😂😂hao wasio jua kiswahili kwa mfumo huu lazima wajue maana wabongo wanaongea kama wamemezeshwa Memory card😂😂😂
@ModouTop-h3g17 күн бұрын
Yanga is the best team in the africa🎉
@issakabwende508317 күн бұрын
Kunamchambuzi alichapisha habari kuwa imethibitishwa na madaktari wa yanga Diarra atakosekana uwanjani kwa wiki 6 hata mechi za caf za marudiano atazikosa isipokuwa mechi ya mwisho ya ugenini na Hilal Ormduman jaman? 😊😊😂😂😂
@marcobulili434117 күн бұрын
Diarra naye ana kkiburi sana , asilazimishwe kucheza na hasira zake atachomedha. Msheri yuko vzur tu.
@AminaTanzania16 күн бұрын
Lazima tuweke wazi sisi tufiche nini tunajiamini na timu yetu🎉🎉🎉
@GlorymartinNdossi17 күн бұрын
Mungu tusaidie
@marcobulili434117 күн бұрын
Yanga mnajionyesha sana kwa wapinzani wenu, wanawasoma. Ni timu pekee inapenda mitandao sana Siyo vzuri! Mengine fanyeni siri, mmebaki nyie tu mtandaoni.
@CaissedoMosses17 күн бұрын
Ni kwel lkn kumbk ukisoma iv ujue wapo wengn hawatapat kazi sasa
@SubiraMohammed-ks6qg17 күн бұрын
Ayo mazoezi wanayoonyesha ni yakawaida ya umuhimu hawasubutu kuonyesha
@EdwardMaclean-dc9pn17 күн бұрын
Ko ayo ndio mazoez ya kufcha kwa wapnz mazoez ya kimbinu ndio yakufcha sio aya ya fitness
@KajunaJovinary17 күн бұрын
Na mechi zake walizocheza wasioneshe kabisa Azam😂
@RobisonMlagala17 күн бұрын
Kaa kwa kutulia mzee
@PetermollelmollelMollel17 күн бұрын
Juma mosi yanga inashinda 4 bila ngojeeni😊
@MuslihiShafii17 күн бұрын
Asante kibwana kumbe una ziweza izo
@ahmedsalehe948917 күн бұрын
Chama anasinzia sana mazoezini wameamua wamfukuze
@rachelcheyo-p5z13 күн бұрын
Yanga bingwa
@NdevuKamdini16 күн бұрын
Nice
@FrolidaDionis16 күн бұрын
❤❤❤
@FatawiSheha17 күн бұрын
Hata real Madrid wapo
@KhamisKisengh17 күн бұрын
Yanga bingwa tena
@EzekielLosai17 күн бұрын
Daima mbele nyumba mwiko napend San timu yanguu
@alishaplate629017 күн бұрын
Wa 44 mimi naomben nauwa yangu🎉🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
@triceyanga17 күн бұрын
😂😂😂😂
@RozaliaStanslausRaphael-zw7zj17 күн бұрын
Nimemmiss Diara screen protector
@MussaBani17 күн бұрын
Wanaenjoy kam mm kuangalia mazoez ya champions gonga like zangu hapoo zakutosha
@RazackLawrence-rt8fn17 күн бұрын
Those who believe that we will qualify to quater finally until finally like here.
@jacklinemushy687017 күн бұрын
Sasa hapo kibwana na pacome wanaelewana kweli😂
@RozaliaStanslausRaphael-zw7zj17 күн бұрын
Mwambie Job Aache kudanganya wenzake😂😂😂😂😂
@fahadrashid975417 күн бұрын
Kichwa changu kinajadili maongezi ya pacome na kibwana😂
@scratcharico622316 күн бұрын
tuambie wameongea nn
@fahadrashid975416 күн бұрын
@scratcharico6223 😄
@KyllianWafula17 күн бұрын
Musonda na Aucho ni mandugu kweli,😅😅
@Abdulshaame-t1u17 күн бұрын
Mmmh
@JumaAlhajj17 күн бұрын
Huyo kocha yup seriousy kishenzi
@mosokaisack1217 күн бұрын
Wajeezee
@EvaNdayishimiye-n5o17 күн бұрын
Diara wetu musimulazimishe kucheza mungu atatusaidiya tutawachapa tu nyingi mazembe
@omarykinyesa640517 күн бұрын
Hii mechi ni ngumu kuliko tunavy fikiri tujiandae kisaikolojia lolote linaweza kutokea
@Arashamael17 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@ShuakaBilauti-p9u17 күн бұрын
Aziz ki ana kiburi Mbona hakimbii😅
@GeorgeMachota17 күн бұрын
kumbe na wewe umemuona
@ElizabethLazaro-x3y16 күн бұрын
yanga wangeshinfa ila so kwel
@issakabwende508317 күн бұрын
Walosema wachezaji wetu watazimosa mechi za Caf CL akiweno Diarra kuwa atarejea mechi ya ugenini na Hilal sijui anajisikiaje sasa 😂😂😂
@yasrikomba787417 күн бұрын
Kila la kheri jumamosi
@HamissiSelemani-s6d17 күн бұрын
Moto moto tu
@aminasogo578017 күн бұрын
Duwa kwanza
@Reyy240617 күн бұрын
Kwani chama bado hajarudi.
@romimwalu17 күн бұрын
Kila la kheri timu yetu! Tutashinda
@ferejifaraji864417 күн бұрын
sindano fc
@RozaliaStanslausRaphael-zw7zj17 күн бұрын
Mlete professor
@Kidumerashid-b9j17 күн бұрын
Kila la heri katika maandalizi hayo tunategemea kupata ushindi kwenye mechi zetu Tatu zilizosalia