Message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu
@robydominick95633 ай бұрын
Nimekuelewa vizuriii dokta
@DrMwanyika3 ай бұрын
Okay
@JeniphaJackson-p1w10 ай бұрын
Kaka asanteee Sana mim nilipitia somo lako baada ya siku zangu kukata t Ile tarehe ulosema ilivopita t siku ya tatu nikipima Nina mimbaaa🙏🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe
@DrMwanyika10 ай бұрын
Amina ndugu yangu
@bethjohn9282 жыл бұрын
Samahani dokta nipo nje ya mada Mimi ni msikilizaj wako mzuri na umenisaidia sana ila Leo jioni gafla nikapata maumivu ya mgongo siwez kuinama Wala kufanya chochote mgongoni kumekaza sana sana na Kuna hali ya mvua baridi je Nini shida
Tuma Message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@FlorenciaAngelico10 ай бұрын
Doct yan mm kila nikihesabu nashidwa sjuii hata inakuwaje siku zenyewe zinabadilika mara tareh 10 mara tareh 15 yan sielewi kabisaa naomb unisaidieee🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤐
@DrMwanyika10 ай бұрын
Message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@silverystephano209710 ай бұрын
Docta Mimi mzunguko wangu ni Wa siku 29 je siku yakupata mimba nii ipii?
@DrMwanyika10 ай бұрын
Tafadhari sikiliza video 👆
@SwaxBoy-d4k10 ай бұрын
Je na mtu aliye Anza siku ya Tareh 3 mwez wa pili je siku yake nzur ya kubeba mimba itakuwa Tareh ngapi
@RoyceLameck-yx9fd Жыл бұрын
Asante sana doctor nimekuelewa ubarikiwe sana,ila Mimi Nina mzunguko wa siku 24 na nimekutana na Mume Wang siku ya 10 lkn sijapata mimba kwanin
@DrMwanyika Жыл бұрын
Tangu lini umekuwa ukitafuta mimba?
@monicameena86323 ай бұрын
Dr naomba nieleweshe namna ya kuesabu huo mzunguko ili kujua mzunguko wangu ni siku ngap naanza kuhesabu vp?
@DrMwanyika3 ай бұрын
@monicameena8632 Tuma message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@rabiaseif36072 жыл бұрын
Asante doctor ubarikiwe
@DrMwanyika2 жыл бұрын
Okay
@PendoBon-ou2vg7 ай бұрын
Docta mim mzunguko wangu wa mwezi huu wa nne Ni siku 29 naitji kubeba mimba nisiku ya ngapi ntabeba nihesabu maan leo imwkta sas nahesahebu mpka ngapi docta
@PendoBon-ou2vg7 ай бұрын
Niheasbu kwanzia lini ili nibebe mimba docta
@DrMwanyika7 ай бұрын
@PendoBon-ou2vg Tafadhari sikiliza video
@dicksonndayisaba93005 ай бұрын
Asante
@DrMwanyika5 ай бұрын
Okay
@ashamtulia450411 ай бұрын
Habar Dk ,,Hv kuna uwezekano wa kupima mimba kwa kipimo cha mkojo n isionekane hata km ipo?...Maana nimepitiliza siku mbili cjaingia period n kipimo bado kinaonyesha negative...napata homa pia.
@DrMwanyika11 ай бұрын
Subiri siku 7 usipopata hedhi Pima tena mimba
@SaruKabunda4 ай бұрын
Asante sana❤❤ ila mm nimeenda siku mbili pia ninahitaji mtoto je siku mbili ni sawa kwenye hedhi???
@DrMwanyika4 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@mariumbonifasi7281 Жыл бұрын
Samahani dokta nili ingia kwenye siku zangu yaleh 18 na nika fanyapenz tarehe tatu mwez watisa jenitapt
@DrMwanyika Жыл бұрын
Sifahamu mzunguuko wako ndugu yangu
@VeronicaKongo-h4yАй бұрын
Doctor niliingia trh 1 mwezi huu nimekutana mme wangu tarehe 12 14 16 18 je kuna uwezekano wa kubeba mimba
@DrMwanyikaАй бұрын
Ufuatilie video zetu ujue mzunguko wako halafu utajua siku za hatari ni siku zipi
@TheodosiaAndrea Жыл бұрын
Doctor naomb unisaidie mm sielew maan ya mzunguko na siku gani hatar au salam msaaad nilikuwa natumia sindano nimeacha sasa nachanganyikiwa
@DrMwanyika Жыл бұрын
Message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo.
@nanaarfah808 Жыл бұрын
Doctor me mzunguko wangu hauwelewekagi miezi yote yani iko tofauti tofauti mpaka kuna wakati nakuwa nahisi ndomana nacelewa kushika mimba naomba ushauri wako doctor🙏kama huu mwezi ulikua mzunguko wa siku 35 mwezi jana ilikua siku 31
@DrMwanyika Жыл бұрын
Pole sana message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@EdwardSebastian-cx3fb6 ай бұрын
Hata Mir docta hivohvo maana mwez wanne nmeingia tarehe 13 mwez wa tano huu nmeingia tarehe12
@DrMwanyika6 ай бұрын
@EdwardSebastian-cx3fb okay
@TozyBoy-c3c4 ай бұрын
mimi nataka nimpe mimba mpenz wang nasku zake zaatar nimwisho wamwezi @@DrMwanyika
@WinifridaJoram10 ай бұрын
Habar dock, naomba ushauli nifanyajae Mimi nipate hedhi, Maana tangu mwez 9 mwaka jana je, naomba kama hata kunadawa yakunifanya nione hedhi naomba unisaidie,
@DrMwanyika10 ай бұрын
Uende hospitali wakufanyie vipimo na watakuandikia Dawa
@WinifridaJoram9 ай бұрын
@@DrMwanyika sawa dock
@DrMwanyika9 ай бұрын
@user-ud7cf9km8k Okay
@marylila191 Жыл бұрын
Samahani Dr Nina mzinguko wa siku 26 je yai litakuwa nimeshuka siku je
@DrMwanyika Жыл бұрын
Sikiliza video hii mpaka mwisho
@catherinekiwipa9271 Жыл бұрын
Tujifunze kusikiliza dear Dr yuko vizur sana mi kila siku namfatilia
@DrMwanyika Жыл бұрын
Amina mkuu
@RehemaJackobАй бұрын
Je nikifanya Ile siku yai linatoka naweza nikabeba mimba?
@DrMwanyikaАй бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@barkehussein6542 Жыл бұрын
Dr hali mm nielezee nimepata period tarehe 1mpaka tarehe 5mwezi huu Wa December siku yangu yakushika mimba ni lini mzunguko wangu ni 28days
@DrMwanyika Жыл бұрын
Tafadhari sikiliza video ya siku za hatari ya Dr.Mwanyika
Msaada ndugu yangu maan apo sijaelewa .... ila mzunguko wangu ni wasiku 25 ..... mwezi huu wa kumi nimeingia tr 10 ... sasa nata kujua siku za atari nahitaji kubeba mimba
@DrMwanyika Жыл бұрын
Tafadhari sikiliza video
@NeemaMwita-f6n Жыл бұрын
@@DrMwanyikakaka yangu naomba namba yako please
@DrMwanyika Жыл бұрын
@user-yf4yx9jf6m WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@hassaomary5856Ай бұрын
Samahani docta mm siku zangu Zina badilika mwenzi ulio isha nimeingia siku zangu tarehe 13 na ninaenda siku 6 mwenzi huu nimeingia tarehe 15 na nimenda siku 6 je siku yangu ya Atari Ni ipi
@DrMwanyikaАй бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@rosemarura5 ай бұрын
Daktari Ina uwezekano wa kupitisha wiki moja ndio upate hedhi
@DrMwanyika5 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@tabupamba6005 Жыл бұрын
Je ukimaliza siku Kama leo kesho ukifanya unapata mimba
@DrMwanyika Жыл бұрын
Tafadhari naomba usikilize video husika
@edwigaswai3046 Жыл бұрын
Mm celewi cku zang
@VeronicaRomao3 ай бұрын
Dr, naomba unieleze vizuli,Mimi siku zangu sinabadilika Kila mala,nifanyaje
@DrMwanyika3 ай бұрын
Message WhatsApp number iko kwenye profile picha hapo juu
@imrantemba2 ай бұрын
Nilipata piriod trh 3 mwezi wa 9,/nikapata tena trh 26 / 9,siku zangu za hatari itakuni zipi naomba unisaidie kunielekeza
@DrMwanyika2 ай бұрын
Message WhatsApp number iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@SPECIOZASTEPHANO-kb1po5 ай бұрын
Naweza nikabeba mimba nikikutana na mwanaume siku za hatari ya mwisho
@DrMwanyika5 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@EnjoLwila5 ай бұрын
Samahn doctor mzunguko wangu cielewcku salma naziso salma period niliianza tarehe 27 mwez ulofwata tarehe 29 he mzunguko wangu utakuwa wa cku ngap maana kuna miez mingine naenda tarehe 24 ah 19 nisadie nijue mzunguko wangu wa sku ngap
@DrMwanyika5 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@AyshaaMohammed-e4h7 ай бұрын
Dokta nauliza nikiingia hedhi siku ya tatu ikakata halafu siku ya 5 nikashiriki tendo je unaweza kupata ujauzito?
@DrMwanyika7 ай бұрын
Sikiliza video 👆
@miriamgachieng9761Ай бұрын
Naweza pata mimba kama nilimaliza hedhi septemba 28 halafu nikashiriki tendo la ndoa octoba 10
@DrMwanyikaАй бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@HaikaMassawe-w6m Жыл бұрын
Dr nisaidie hili mim nimekutana na Mr siku zimebaki sita niingie period je apo naweza pata ujauzito au la mim mzunguko siku 28
Message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@dipesshodipessho-tm6lv Жыл бұрын
OK
@DrMwanyika Жыл бұрын
@dipesshodipessho-tm6lv Okay
@AnitaApolinary2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@DrMwanyika2 ай бұрын
👍
@MwanasitiMwakibanda9 ай бұрын
Nimeingia leo kwenye cku zangu .. je nikifanya mspenzi nseza shika mimba
@DrMwanyika9 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin
@CharlesFotunatus2 ай бұрын
Docta mm naenda siku ishilini na moja nifanyeje ili nipate ujauzito
@DrMwanyika2 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@LindaMushi-m6d3 ай бұрын
Doctor me nina maumivu chin ya kitovu kila nikiingia siku za hatr
@DrMwanyika3 ай бұрын
Pole sana uende hospitali wakufanyie Uchunguzi zaidi ndugu yangu
@OmaryZuberi-o3b4 ай бұрын
Mm dr mwez wa 6 nimeona p 18 mwez huu sijaona mpk sasa na nahs homa homa kichwa kinanuma kwenye utosi itakiwa nn au nipime mimba?
@DrMwanyika4 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@mhindimhindi2169 Жыл бұрын
samahani me naomba kujua kama unaingia sku tatu mfano tareh 17,18,19, af ukamalza zikapita 20,21,af 22 ,23 ambae ni sku 6,7 ukaonana na mwanaume je unaweza kubata mimba ??? kwa mtu mwenye mzunguko wa sku 21 ,, please naomba kujua
@DrMwanyika Жыл бұрын
Naomba usikilize video zetu ndugu yangu
@yahayaahongwi-uy1bk Жыл бұрын
Hello daktari,,,,Mimi sielewi,,,,, when is a lady said to be safe?
@DrMwanyika Жыл бұрын
Nitafute WhatsApp number iko kwenye profile picha yangu hapo juu mkuu
@DrMwanyika Жыл бұрын
Okay
@LidyaAbeid Жыл бұрын
Doctor samahan sijaelewa siku za atali unazijuaje
@DrMwanyika Жыл бұрын
Fuatilia video zetu ndugu hapa KZbin
@PeterBujukanoАй бұрын
Dokta mihuwaga nakuja hethi siku 3 je nihesab siku ngapi mbele ili kupata mimba
@DrMwanyikaАй бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin
@FathiyaHassan-f1x10 ай бұрын
Asalam allykum dr Mimi nkimaliza hedhi yangu nakua napata Ute Ute mweupe na unaovutika huo ndio Ute wa aina gani na pia naweza kutana lini hapo na mwenzangu kupata ujauzito napata hedhi ya siku sita
@DrMwanyika10 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin
@MwatanoSaidy4 ай бұрын
Doctor naomba kuuliza mzunguko wangu umeanza tarehe 16 Sasa nikutane lini na mume wangu ili niweze kupata mimba
@DrMwanyika4 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin
@KurthumAwazi Жыл бұрын
dokta mm huaganaumia sn kama niko kw 0:36 0:36 0:36
@DrMwanyika Жыл бұрын
Sijakuelewa
@thabitielimtally6332 Жыл бұрын
Ok
@DrMwanyika Жыл бұрын
Okay
@GetrudaRamadhan-y6y Жыл бұрын
Samahn dr me mweziulioisha niliingia tareh 16 nikatokaa20 nauumwez nimeingia tarhe9 ko mzunguko wang niwasikungap plz naomba unijbuu
@DrMwanyika Жыл бұрын
Message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu
@ASHASIDI-p6u Жыл бұрын
Nimeanza talee 1 nimemaliza talee 4 ckugani ap naweza patamimba
@DrMwanyika Жыл бұрын
Sifahamu mzunguuko wako ndugu yangu
@Lamsony-f4u Жыл бұрын
Samahani dokta mimi sijakuelewa
@DrMwanyika Жыл бұрын
Message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu
@jacklinemushi-v1i Жыл бұрын
Doctor mimi mwezi wa 6 nilipata siku zang tarehe 21 mwezi wa saba nikapata 25 je hapo mzunguko wang inakuwa wa siku ngapi! Na siku ya hatari inakua ni lini!
@DrMwanyika Жыл бұрын
Fuatilia video zetu
@StanSalastan Жыл бұрын
Samahan dr mim nabadisha kama mwez ulopota nimeingia piriod tarhe 24 mwez huu nimeingia. 21 je mzunguko wang niwasiku ngapi?
@DrMwanyika Жыл бұрын
Sikiliza video ndugu yangu
@tumainlenad5141 Жыл бұрын
M namzunguko wa sk 31 na nimesex sk ya 12 he naweza kupata ujauzito dr
@DrMwanyika Жыл бұрын
Sikiliza video zetu ndugu yangu
@Fettyyahaya3 ай бұрын
Samhani unaweza kua mwana ume amekujalibu tu haja fanya tendo landoa unapata mimba au hata Yale maji maji yake tu unapata mimb
@DrMwanyika3 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@theodorateofrid4390 Жыл бұрын
Doct me sijui mzunguk wang una sk ngap unajuaje kuwa una mzunguko wa sk 21 au 25 au 26 au 28???
@DrMwanyika Жыл бұрын
Message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@theodorateofrid4390 Жыл бұрын
Okay
@DrMwanyika Жыл бұрын
@theodorateofrid4390 Okay
@ashampega3061 Жыл бұрын
DOCTA samahn ndugu yangu ... mie nimeingia tar 10 period so it's means tr 20 nipo kwenye siku za atari maan nataka kushika mimba naomba msaanda wako nimeesabu mzunguko wangu ni siku 25
@DrMwanyika Жыл бұрын
Naomba usikilize video ndugu yangu
@spartacustv4428 Жыл бұрын
Dr samahani naomba kuuliza mke wangu huingia period kuanzia tarehe 10 mbaka 14 na haijawahi kuzidi hapo je hii inamaanisha kwamba nkikutana nae kwenye tarehe 10 atapata mimba ??? Please
@DrMwanyika Жыл бұрын
Inatakiwa utambue mzunguuko wake wa hedhi, halafu ujue kwamba siku gani ya mzunguuko wa hedhi ni hatari ya kupata mimba au Kutopata Mimba
@KhairatyMustapher-zp1vz8 ай бұрын
Sasa ukifanya mapenz ukiwa kwenye heshi si nihatari kwa mumeo au?
@DrMwanyika8 ай бұрын
Ok
@SulupisSabas6 ай бұрын
Doctor samahani mimi mzinguko wangu sielewi mwezi wa nne nimeingia tareh 4 long mwezi wa tano nikaingia trh 25/26 nikafunga ni nin tatizo na ninahitaji kubeb mimba
@DrMwanyika6 ай бұрын
Naomba unitumie message WhatsApp
@AsmaMoyo5 ай бұрын
Mmnabilid siku Tatu je siku zatali kwangu nizipi
@DrMwanyika5 ай бұрын
Sikiliza video 👆
@JulianaMndolwa4 ай бұрын
Mm Kila 15 sku ya mimba nilin
@DrMwanyika4 ай бұрын
@JulianaMndolwa Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@SophiaAsenga-o8t5 ай бұрын
Mm mwez uliopita nimeona hedhi tarehe moja mwez huku nimeona tarehe 30 sk yahatari nilini dot
@DrMwanyika5 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin
@rachelelias775010 ай бұрын
Doctor mimi ninamuzunguko mulefu siku 37 nawezaje kupata mtoto wa kiume
@DrMwanyika10 ай бұрын
Mzunguuko wa siku 37 haupo hiyo ni Tatizo uende hospitali watakuandikia Dawa za kurekebisa mzunguuko wako
@JustinMarcus-h7w5 ай бұрын
Dokta mwez huu sijaona siku mpk leo taree26 na mimba nimepima hakuna ila mwez uliopitq niliingia vzr tyu xa apo naxhindwa kuelewa au nimenasa tayali
@DrMwanyika5 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@ViolaViola-go5yg7 ай бұрын
Dokt nisahidiye mim sijuhi muzunguko wangu niwasiku gapi wapili limeingiya there 28 na wanne ni 3
@DrMwanyika7 ай бұрын
Message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@ViolaViola-go5yg7 ай бұрын
@@DrMwanyika mbona namba ahipo
@ViolaViola-go5yg7 ай бұрын
@@DrMwanyika nisahidihe apo nimetoka kumiliza period tarehe 9 siku zakubeba mimba nizipi
@DrMwanyika7 ай бұрын
@ViolaViola-go5yg Message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@NasraKassim-r7c3 ай бұрын
Mie nina mzunguko wa siku 28 lakin mwez huu ute umetoka siku ya 10 maana nilikuwa sitok na ute lakin nilitumia dawa ya kienyej ute ndy ukatoka siku ya 10 kwaiy naweza kupata mimba siku ya 10
@DrMwanyika3 ай бұрын
Sikiliza video 👆
@EstherFrancis-sn1sc6 ай бұрын
doctor mm niliingia tarehe17 nikatoka 21 na mwez wa tano 6 nilifanya tendo vp naweza pata mimba
@DrMwanyika6 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin
@NdamaSimoni6 ай бұрын
Me nimeingia hedhi tarehe 28 mzunguko wang ni sik 4 je sik tarehe ya ck za hatar ni zip
@DrMwanyika6 ай бұрын
Tafadhari sikiliza videos 👆
@NeemaMahili8 ай бұрын
Naomba msaada namba siiyon pls nisaidie nisehem gn niangalie
@DrMwanyika8 ай бұрын
Iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@BintAlly-p6q9 ай бұрын
Doctor naomba nikuulize mtu ukijifungua halafu ukamakiza 40 ukakaa miez mitano hujapata siku zako mwez unao fuata ukapata suku 7 kama week 2 ukapata tena haina shida hiyo ni kawaida ?
@DrMwanyika9 ай бұрын
Siyo kawaida
@JudithErasto-s4m Жыл бұрын
Je Kwa mwanamke ambae mzunguko wake haueleweki atajuaje siku ya hatari ni ipi ? Mzunguko wake una siku 21,24,26 na 30
@DrMwanyika Жыл бұрын
Tuma message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@JudithErasto-s4m Жыл бұрын
Nishatuma
@DrMwanyika Жыл бұрын
@user-kf1ko9fz6s Okay
@joelelson41616 ай бұрын
Doctor mm nilianza kuona period tar 17 mwez 4 na nikakutana na mr juz tar 14 naweza nikawa nimebeba mimbaa mana ilikuwa nione period to tar 15 lkn bado cjaonaa
@DrMwanyika6 ай бұрын
Sifahamu mzunguuko naomba ufuatilie video zetu hapa KZbin
@nishamwenendi-vh4wk8 ай бұрын
Doctor samahn mimi nimeaza hedhi 1234 hedhi imekata naomba unisaidie kujua siku zangu za atari na salama
@DrMwanyika8 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@nishamwenendi-vh4wk8 ай бұрын
@@DrMwanyika sawa ubarikiwe sana
@nishamwenendi-vh4wk8 ай бұрын
@@DrMwanyika sawa ubarikiwe sana
@MaombiKibabi Жыл бұрын
Je mwanamke mimba ikihalibika anaweza kushika nyingine kabla hajaingia kwenye siku zake
@DrMwanyika Жыл бұрын
Ndio, kama hatumii uzazi wa mpango
@American-qu1mf3 ай бұрын
Kama nataka wa KIUME na nimesafishwa nafanyeje nisaidiee@@DrMwanyika
@SaudaUwimana-tv4yr Жыл бұрын
Docta mimi uyu mwezi wakumi nilipata hedhi tarehe 4 mpaka 8 zikakata nakuja kupata hedhi tena tareh 30 mwezi huyo huyo wa kumi mpaka tareh 2 novembre zimekataa alafu nakuja kusex namme Wangu tareh 6 na tareh 7 vip nitapa mimba ? Naitaji mtoto
@DrMwanyika Жыл бұрын
Naomba utambue mzunguuko wako wa hedhi halafu ukijua mzunguuko wako sikiliza video hii 👆 mpaka mwisho uelewe
@NeemaAshimu10 ай бұрын
Mi mzunguko wangu aueleweki
@DrMwanyika10 ай бұрын
Message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@NasriaAhmedАй бұрын
Ne ukipata siku tatu kuna uwezekano WA kupa mimb
@DrMwanyikaАй бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@mohmaterial-lq3wo Жыл бұрын
Kaka nimekuelewa sana ivi yai utoka kabla ya edhi au baada ya edhi?
@DrMwanyika Жыл бұрын
Baada ya hedhi
@mohmaterial-lq3wo Жыл бұрын
@@DrMwanyika sawa brother
@DrMwanyika Жыл бұрын
Okay
@almishiathumani Жыл бұрын
Dokta m nilipata sikuzangu talehe 23 mwez huu je siku yahatali nipi
@DrMwanyika Жыл бұрын
Sifahamu sikiliza video ndugu
@ObadiaLulandala11 ай бұрын
Je mwanamke anaweza kupatamimba wakati anakaria kuanza piriod
@DrMwanyika11 ай бұрын
Hapana
@JanethMwambelaАй бұрын
Kaka mie tangu nime kutana na mme wangu na tokwa na maji mengi uken
@DrMwanyikaАй бұрын
Pole sana uende hospitali wakufanyie Uchunguzi zaidi ndugu yangu
@elizabethmwalukomo9949 Жыл бұрын
Dr sorry ,,,,, je mtu ambaye siku zake zinabadilika badilika unamsaidiaje please naomba msaada apo, yaani mwezi huu siku 24, mwezi mwingine siku 26
@DrMwanyika Жыл бұрын
Nitumie message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@LessonBenadi6 ай бұрын
Me naingia piridi tarehe 21 ckubzangu za hatari ni zipi
@DrMwanyika6 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin
@teclajuventus5610 Жыл бұрын
Dokta mim najitahd San kukutana na mwenza wangu baada ya p na pia ckunyngne nakutana nae nikiwa p lakn sishk mimb
@teclajuventus5610 Жыл бұрын
Napia mzunguk wang ni cku 21
@teclajuventus5610 Жыл бұрын
Nifanyaje Ili nishike mimba doctor
@DrMwanyika Жыл бұрын
Nadhani tumeongea WhatsApp karibu
@glorytarimo8136 Жыл бұрын
Dokta samahani naomba niulize swali mimi nimeacha kutumia njia za uzaz wa mpango na baada ya siku kadhaa nimeona hedhi kwa siku nane je naweza kupata ujauzito baada ya hapoo
@DrMwanyika Жыл бұрын
Ulinitafuta WhatsApp nilikupa maelekezo zaidi naomba uyafuate
@MwanahamisiIssa-n7d2 ай бұрын
Ukiwa unakunywa dawa z uti ukaj kupima mimba kipomo kinaonyesha majibu sahihi masn natumia zile amoxyclavam
@DrMwanyika2 ай бұрын
Message WhatsApp number iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@shuwehaharuna63095 ай бұрын
Mimi kila mwezi nableed tarehe 11 je mimi mzunguko wangu ni upi.
Message Whatsapp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@janethstephen7869 Жыл бұрын
Habar za leo dk, me nikiwa nakaribia kupata hedhi naumwaba mgongo kiuno na tumbo na huwa nasikia uchovu uchovu na ninakuwa na hasira, mzunguko wangu ni wa siku 29, Mwez uliopita nilipta tarhe 16 mwez huu nilitakiwa nione trh 12 lakin lakin hadi leo sijaona ila nasikia tu hayo maumivu ya tumbo, mgongo ,kiuno, kichwa kuwa na hasira, sina Amani kabisa
@DrMwanyika Жыл бұрын
Naomba nitumie message WhatsApp number iko kwenye profile picha yangu hapo juu
@RahabuSonda-yl4io Жыл бұрын
Habr Dr, jumamosi ikifika nitakuwa nimetimiza wiki sita tangu mimba itoke, nimepima ujauzito sina, na ninasikia tumbo linauma na kiuno, shida ni nn na Kwa nn nimechelewa, nimeolewa pia
@mangisaumu570214 күн бұрын
Kabla ya kuingia hedhi huwa natokwa na ute
@DrMwanyika11 күн бұрын
Okay
@AishaDady11 ай бұрын
Dokt me naitaj nijue siku zangu za hatar na sku zakupat ujauzito
@DrMwanyika11 ай бұрын
Sikiliza video 👆
@AishaDady11 ай бұрын
@@DrMwanyika nimesikilza lakin dokt me shid yangu nijue siku zangu za hatar nizip au ,ukishamaliza cku inachuka mda gani unainga katk cku za hatar
@DrMwanyika11 ай бұрын
@AishaDady Nitafute WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu al
@MaryamNassir-cq8tt10 ай бұрын
Doct kwa hyo kwa mtu mweny mzunguk wa 28 cku zak za hatar ni izo tu ukiacha apo yupo ktk cku salama ama vp
@DrMwanyika10 ай бұрын
Sikiliza video 👆
@ChrstinaElia9 ай бұрын
Je mzunguko wa siku 30unapata mimba lini nisaidie
@DrMwanyika9 ай бұрын
Sikiliza video tafadhari 👆
@ZaidatyDeep11 ай бұрын
Doctor habari nilikuwa napenda kuuliza kama mtuu uneanza kublid 19 na ukamalizatalehe 24 kesho yake kama ukikutana na mtuu unaweza kupata mimba kweli
@DrMwanyika11 ай бұрын
Sifahamu mzunguuko wako wa hedhi
@ZaidatyDeep11 ай бұрын
Mzunguko wangu huwa unabadilika basilika yani haina siku maarumuu
@DrMwanyika11 ай бұрын
@user-dn3yq6ej1e Sawa uende hospitali watakuandikia Dawa za kurekebisa mzunguuko wako
@ValentineSanga9 ай бұрын
Samahani ninamzunguko wasiku32 natamani mtoto wakiume nafanyaje mpendwa naomba msaada
@DrMwanyika9 ай бұрын
@user-fb9zv8mb1h Message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu
@DianaMohamed-yk9ri Жыл бұрын
Mimi mzunguko wangu was hedhi ni siku 27au28 na naingia hedhi siku tati je nikishiriki tendon la ndoa siku ya 4na ya 5 nawezapata ujauzito
@DrMwanyika Жыл бұрын
Hedhi unaenda siku ngapi?
@DrMwanyika Жыл бұрын
Hedhi unaenda siku ngapi?
@DianaMohamed-yk9ri Жыл бұрын
Hedhi naenda siku3
@DrMwanyika Жыл бұрын
Sikiliza video hiyo vizuri
@KurthumAwazi Жыл бұрын
doctor mm siku zangu Huwa zinabadilika mara kwamara Yani hazitabiliki mara utaona 1 Mr 30 Mr
@BeatriceJoely-ro1hp Жыл бұрын
Doctor nakusikiliza sana lakini nina swalii. Hiv unaweza kubeba mimba baada yakutoka period
@DrMwanyika Жыл бұрын
Tafadhari sikiliza videos zetu kuhusu maswali yako
@EuniceMakene-vs2yk Жыл бұрын
Jaman me naomba unisaidie me naenda tarhe 20 je nifanyeje nipate mimba
@DrMwanyika Жыл бұрын
Utambue mzunguuko wako ndugu yangu!
@ElishaLebon-tx1kl5 ай бұрын
Mimi muzungu wangu ni wa siku 18 ntahelewaje siku za atari
@DrMwanyika5 ай бұрын
Fuatilia video zetu hapa KZbin kuhusu maswali yako
@ChristinaJulius-ss7ir4 ай бұрын
Mim nin mzunguko wa siku 31 siku za hatari nianzie tareh ngap
@DrMwanyika4 ай бұрын
@ChristinaJulius-ss7ir Sikiliza video!
@mrssamwel58032 жыл бұрын
Habar doctor m mwez uliopita niliingia p na nikakutana na mwenza trh za kubeba mimba huu mwez ulifika sikuingia hedhi nikaona nipime mimba Mana nilikutana na mwenza siku za kubeba mimba ila Cha kushangaza kipimo kikaonesha mstar 1 tu na p sjaingia mpk ss? Nilikuwa naomba msaada apo inakuaje doctor
@DrMwanyika2 жыл бұрын
Sawa subiri siku 7 usipopata hedhi utapima Tena Mimba
@mrssamwel58032 жыл бұрын
Sawa doctor
@mrssamwel58032 жыл бұрын
Doctor habar m nmepata hedhi nilikuwa na waswas Kama Nina mimba lkn hamna nisaidie dokta m mzunguko ulikuwa siku 31 lkn ss mwez huu trh zimesogea mbele Badala ya kuingia trh 23 nmeingia trh30 mwez huu nisaidie dokta trh za hatariii n zipi Ili nipate mtt nisaidiee😩😩
@DrMwanyika2 жыл бұрын
Nitumie message WhatsApp number iko kwenye profile yangu hapo juu