Hizi Ngoma zitaishi daima. Kama unazikubali nipe like za kutosha
@JumaKhamis-gz1luАй бұрын
bado nazikubali siku hizi hakuna nyimbo tamu za maana kama hizi for real old is gold
@GSELgodoniАй бұрын
@JumaKhamis-gz1lu You are on point.
@HeriGadauАй бұрын
Mhehe superstar alitisha mwamba. Tia like apa twende pamoja
@SwahibuOmary-rv4lh2 ай бұрын
Ngoma za zamani ziko poa zimetulia zinaisia kali sana
@StephanoMoses2 ай бұрын
0ctober 2024 bado kwangu ni ngoja kali sana . Ujumbe wenye maujazo. . Am proud to be .MNYALUKOLO 🕺🕺
@rukiaiddyyahaya95062 ай бұрын
Nilikua mdogo huu wimbo nilikua sijui kaimba nani leo maraa paap naona nikasema ngoja nione daaa si ndio huu nilikua nausaka
@RamadhanLiteka-dr6pbАй бұрын
Tulifaid muziki aisee sio poa❤❤❤❤
@mohamedhamisi9766Ай бұрын
Acha tuu mwamba nyimbo zilikua poa sana
@mdigokhan8227Ай бұрын
Tulicheza tukaimba tukafurahi walah sisi tuliishi vizuri..
@issamwalimu402414 күн бұрын
Tee hii ngoma ilikua mwaka gani broo....mad respect
@sammytokore938617 күн бұрын
Nikiwa shule ya msingi. Maze it's a pure memory recall ❤🎉
@drisakamwakitalima19372 ай бұрын
Beat fulani saafi ,old is good 👍
@pikanaauntzuu1466Ай бұрын
Zaman wasanii kila mtu aliamini uwezo wake sasa hivi sasa wamejaa roho mbaya msanii anataman km angekuwa anaweza angewazuia wengine wasiimbe aimbe yeye pekee yake zaman kuwaona wasani kwenye nyimbo ya msanii mwingine ilikua kawaida walikua wanapendana na waliamini hakuna mtu anaweza kumzibia mwenzie sasa mpaka wanarogana na bac waimbe vya maana matusi tuu lkn bado wanaona wao ndio wnaaimba kuliko wengine
@RaphaLusse2 ай бұрын
Utanipenda ya Diamond aliicopy hapa📢
@SalumJohn-h2s2 ай бұрын
Kwan ckuizi kuna wasanii bhasiii,mashaka ya roho2
@sultanmswahilitv48642 ай бұрын
Sioni...tittle isikudanganye.hizi ni ngoma mbili tofauti
@MkasyswallehsaidSwalleh2 ай бұрын
@@SalumJohn-h2s😂😂😂
@tigejuma98652 ай бұрын
Huyo siku zote yeye niwa kukopi songs za watu...alafu ana sample..😅😅😅
@shabanponera2895Ай бұрын
Huyu mwenyewe alikopi kwa 50 cent
@TeamBabajoanАй бұрын
OLD is GOLD Ninachoamini nami movies zangu zitakuja kuwa dhahabu.
@mulondakiyomarodriguerodri7261Ай бұрын
ngoma nzuri sana nime kumbuka mengi sana 🎉🎉
@isacknicholaus10572 ай бұрын
Yote tisa kumi mangala kwenye mapenzi haya najiona kama ni sakala
Mk T mie ni mekumiss na tutakuwa pamoja like very much hili bit❤❤❤
@geofreynjanga67942 ай бұрын
Hit song 2005 kali za bongo
@maxwellmkandawire31622 ай бұрын
Mike Tee ,mnyalu ishi mile baba
@ppcomedyke2918Ай бұрын
Yoh 🔥🔥🔥🔥Moto kama pasi Big up
@ankojey-hg9qvАй бұрын
Ebwana eeee old is gold ❤❤😂
@sheilaidahEmpressshish2 ай бұрын
Waaa!!! Mike tee mbona kwenye game hatukuoni??
@greydonalds4286Ай бұрын
Wengi wao wamepotea kwasababu hawakuwa watunzi; walikuwa wanatafsiri nyimbo za mbele. Huu wimbo kwamfano... Mike Tee alitafsiri wimbo wa 21 Questions wa 50 Cent. Waliokuwa na uwezo halisi kama kina Mr. Blue, Professor Jay na wengineo si unaona mpaka leo wapo kwenye gemu!
@ismailmshana2828Ай бұрын
Kiukwel ya kale dhahabu
@juliussanane1860Ай бұрын
Tungo hatari hizi
@erickodhiambo69942 ай бұрын
Ilitamba sana Mombasa Kenya
@hamisinngoa42512 ай бұрын
enzi za 2009🎉🎉
@MagangaJuma-w9d20 күн бұрын
Mtu mzima mnyaru
@Victor-i6m9t2 ай бұрын
Wimbo za hizi zilikuwa ni tamu . Achana miwimbo yenye mitusi kibao za kisasa
@msafirisaimoni95612 ай бұрын
Aise lakin umechelewa kuiweka youtube bhana kwani wasanii wa zamani hamtaki kutumia social network kwani mnashida gani??? Mnaona social network kama n ya watoto acheni ushamba mnapoteza viti vingi sna
@BenedictoTebo2 ай бұрын
Ulitisha sana nakukubali mnyalu
@AlexNicodemo-ym7tdАй бұрын
Made ice Hatar Sana huyu jamaa
@barakamlowe4440Ай бұрын
Best song
@EsterSimkwayiАй бұрын
Mad ice jamn Yuko wapi🥰🥰
@jozanTvАй бұрын
Jamaa yuko zake Finland ndo anaendesha maisha huko na familia tangu kitambo sana
@geombajiАй бұрын
Mnyalu @MikeTee....🎉
@richardkwayson72022 ай бұрын
Kima penzi tukianza kwenye Hali duniii🔥🔥🔥
@shaddyjay2642 ай бұрын
Nakumbuka zamani bro hii Ngoma ilitamba
@geraldgudaАй бұрын
Hawa jamaa walikua wanaimba kweli ndo maisha yetu ya siku hizi bila pesa huwezi kupendwa 😂😂
@djmasaicowboy15342 ай бұрын
Kama unaiskiliza hii ngoma 2024❤ weka like za kutosha
@HadijaoseaАй бұрын
❤
@djmasaicowboy1534Ай бұрын
@Hadijaosea ❤✌
@mulondakiyomarodriguerodri7261Ай бұрын
like wimbo uyu kama tuko pamoja tena 2024
@MohamedHiralr24 күн бұрын
Madd ice star 🌟
@geofreyade273227 күн бұрын
Timeless Music
@felistagerrard2375Ай бұрын
Video HD heshima kubwa kwa production za kale
@kennyjohn3763Ай бұрын
Mike Tee yuko wapi siku hizi asee??
@whitemusic14192 ай бұрын
kwa heshima watt wa buku 2 tupisheni😅
@mirembezainab2722Ай бұрын
❤ug
@ChabindoJumakenyaАй бұрын
Hapo naeza qmini
@josephnjuguna62462 ай бұрын
Bongo one love,b wea z diz dude mad ice?
@collinsmutugimpanda9907Ай бұрын
2024 nipo
@hadijakwiru-vy1ls2 ай бұрын
Noma
@hassanrabii11022 ай бұрын
kali
@mabatizonetzАй бұрын
November 2024 still hit
@BeachCleverАй бұрын
Kama kawa Mnyaru
@Babznation2 ай бұрын
Huyo dada ni Rushena ama?
@babykisura10892 ай бұрын
❤❤
@kapneakapАй бұрын
21 question @50 cent
@chotarawakingoni8148Ай бұрын
Lakini iliyoanza kutoka ni hii aisee fuatilia vizuri