sasa goli tatu na assist 2, labda unambie kwenye mechi ngapi. Bado hamjasema, mpaka mseme mwaka huu
@twahakabajemi97163 күн бұрын
Mbona simba walimchukua mgunda?
@HarunakiongoziMohamed5 күн бұрын
Halafu mnataka penat
@maase20235 күн бұрын
Unajua hawa vidampa ni kuongea sanaaaa yani wao ni wajuzi zaidi ya hata kocha dah
@HarunakiongoziMohamed5 күн бұрын
Mimi mmoja wapo mavambo.sijamkubali mpaka aondoka
@kitovasaidi67534 күн бұрын
Tatizo sio hisia tatizo kanuni na taratibu kama amevunjiwa mkataba tatizo liko wapi?Punguzeni kulinganisha na fuateni umuhimu wa mahitaji kwa wakati husika na sheria vingine ni kelele kama kelele nyingine yeye amejisahau ishu ya Mgunda tatizo la hawa wachambuzi unazi na si uhalisia kama wanavyojidai kutumiaminisha.
@AshoooraMct5 күн бұрын
ila simba kuchukuwa costy
@DottoWence4 күн бұрын
Tatizo naniii ?...au niniiii ?Gardiel Michael ,Beno Kakolanya, Ibrahim Ajib,. Yanga ipo hoi watu wakateka. Kaka kumbuka Mwamnyeto katoka Singida ? Mwalim Abdulhimid Maoulin katoka Singida ? P. Mwenda katoka Singida?...... Kapombe, John Boko, Aishi Manula walitoka Ice cream, wakaingia Msimbazi Road... "Said Salim yupo huku na huku" -mpaka Mr . aliwahi kulalamika katika mkataba fulani akasema "You make contract without consulting Me".... Kaka Yanga huwa inawaheshimu Wanachama Wanachama..... Kocha huwa hasajiliwi hivyo ANAWEZA kuondoka wakati wowote... Mbona Feysal huyo huyo Kahama Yanga ?... Yaniki Bangala ? Juma Shaban chupu chupu...... Kaka Transaction za mchezo wa mpira wa miguu ni utata mtupu kwa watendaji... . Asilimia kubwa Azam Fc hanunui mchezaji MUHIMU kutoka Simba....
@yunusimchala65695 күн бұрын
Vp azam kuwapa Simba 6 Simba ili wachukue ubingwa
@Komtonga4 күн бұрын
Daaaaah ww nae upo nyuma sana jaman kwahio simba waliuziwa wale wachezaji au mikataba Yao ilikuwa imeisha ndio maana ikawa rahisi wale wachezaji wakakubali kwenda simba halaf acha kufananisha mambo wakati vitu vipo wazi
@kenwatkinz98284 күн бұрын
@@Komtongavipi Juma Mgunda alitokaje Coastal?😂😂
@Adammwandambo4 күн бұрын
Unalalamika points 6 hulalamiki zenu 24 za bure
@PatridaMlaponi5 күн бұрын
Waambie hao mazwazwa wasiojitambua
@tembonyarobi10075 күн бұрын
Singida nitawi la yanga linalosimamiwa na Mwigulu Chemba
@abdunnurahmedsilim74565 күн бұрын
Na Coastal ni tawi la Simba linalosimamiwa na Karia kama ambavyo Tabora ni tawi la Simba linalosimamiwa na Rage
@saidijuma93865 күн бұрын
Pia costal ni tawi la simba
@yunusimchala65694 күн бұрын
@@tembonyarobi1007 pia Namungo ni tawi. La Simba linalosimamiwa pm
@ExsavaryYangayanga4 күн бұрын
Je? Unakumbuka mugunda aliendaje akitokea kosti kwenda chimba.
@samsonmwingwa3645 күн бұрын
Uyu jamaa ni yanga
@hermanmwita25395 күн бұрын
Naona sasa mnakubari wenyewe,simba walipokuwa waiongea mliona wanazua,tunaharibiwa ushindani wa mpira
@FaridiAkida2 күн бұрын
Huyo ni kolo
@HarunakiongoziMohamed5 күн бұрын
Club bingwa ya wap
@joojombi23415 күн бұрын
Wacheni kupotosha umma nyie bhana muogopeni mungu wenu huyo kenda Morocco kapewa offa kubwa na nzuri mtu kafata maslahi yake. Wacheni kupotosha umma nyie
@halidmaunga91502 күн бұрын
Yaani umesahau simba ya makombe manne mfulizo na azam ya juzi tu imefunga yanga na kutoonyesha upinzani kwa simba book kapombe kipa ngasa yaani wewe Acha maneno yako