Ma shaa Allah...ustadh said..ustadh Yusuf...daa'wa tamu maze...informative ..kisha vile munaingiza vicheko..na maandiko...Alhamdulillah....Rabbuna azidi kuwafungulia milango za kheri..
@abdulzakaria45882 жыл бұрын
Wandugu zetu musi vunjike kwa kazi ya kueleza watu kwenye Dini ya Allah. Muta batikiwa Dunya na kesho Akhira. Amin. Amin. Amin.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Amin sote brother
@nooor1120 Жыл бұрын
Aamiin yaarabb al alamiin
@nooor1120 Жыл бұрын
Maa shaa Allah ,Allah awahifadhi masheikh wetu. Daawa iko wazi inafahamika iliobaki wakristo kuslimu tu.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Жыл бұрын
Amin sote
@mosmart47182 жыл бұрын
MaashaAllah straight forward maandiko sheikh Yusuf na team Tawhid. We always learn so much from you. May Allah guide our Kikuyu brothers and sisters so they can come back to their tradition
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Amin
@janaleokesho83742 жыл бұрын
Whose traditions.we have our own tradition.we know Ngai Mwenenyaga and worship him even before religions.Never to foreign traditions
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
MaashaAllah mashekhe wetu Allah awaongoze katika pepo yake inshaaAllah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Жыл бұрын
Amin sote
@yusufmwangichannel66922 жыл бұрын
Masha Allah, kazi nzuri walimu wetu, Allah azidi kuwapa nguvu afya njema na awaepushe na shari na awajalie kila la kheir Allah Ummah Amiin
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Amin sote
@saifalhussaini97022 жыл бұрын
Allahumma amiin
@guyogalora273610 ай бұрын
Masha Allah shukran jazeelan sheikh yussuf daawah
@rizikiali3282 жыл бұрын
Mungu awajaze kheri mashekh wetu kazi nzuri munayo fanya kuilmisha watu wasio ijua kwenu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Amin sote
@nailahsaeed8372 жыл бұрын
Ameen Allah awape Afya inshallah na nguvu kwa kazi yenu nzuri
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Amin sote
@aishahazary40972 жыл бұрын
Maasha Allah..Yaa Rabb tuondoshee ubahir tutoe ulivyotubariki kwa ajili yako.Hakika kazi mnayoifanya inatuhitaji sisi waislam ili kutangaza kalma ya LAILA HAILLA ALLAH MUHAMMADA RASULULLAH.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Amin sote
@nailahsaeed8372 жыл бұрын
Mash Allah shekh Allah akuwezeshe
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Amin sote
@abubakaralimohammed33882 жыл бұрын
Mashallah Good Job,ALLAH AWAJAALIE JANATUL-FIRDAUS,Amin.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Amin sote
@lillyflowers99762 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah. subnaAllah may Allah continue to bless you all.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Amin sote
@ahmedsalatbashir43802 жыл бұрын
Keep going bro 🤲🤲🤲
@husnanancyatieno23912 жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah
@bahatikenia392 жыл бұрын
Mashaalah
@hassanmpemba57472 жыл бұрын
Asalam alaikum masha Allah sheikh Yusuf Allah atawafanyia wepesi ili wamjue yeye peke yake 1 na mitume yake
Waleikum salaam warahama tulahi wabarakatu, MashaAllah Allah hawazindishie Kila la heri mashekh wetu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Amin sote
@jamilaomari24442 жыл бұрын
Sheikh Yusufu Allah azidi kukpa Elim na afya.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Amin sote
@muhammadmwangi52362 жыл бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu...hapo kagumo ni karibu na home. Maa shaa Allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu
@jamilaomari24442 жыл бұрын
Naam shem
@muhammadmwangi52362 жыл бұрын
@@jamilaomari2444 umelost sans
@abdilatifhashi96592 жыл бұрын
Hamisi naye anapenda toothpick 🤣🤣Masha Allah Mola awahifadhi
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Amin sote
@aminaabu15992 жыл бұрын
MashaAllah nimefika
@hafsakirao3982 жыл бұрын
Masha'Allah ❤
@louisejeanne17602 жыл бұрын
Bado mnaendelea na midahawa yakuwadanganya watu 😢😢. Adhabu yenu inakuja 😢😢jihadharini sana
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Alhamudulillah, Sisi tunatangaza uisilamu na maripo yake ni unzima wamilele
@chiefmkalikibz15032 жыл бұрын
Kwanza jifunze Kuswahili na kuandika pia, hapo Bila shaka utaelewa maandiko na Kati ya wewe na waislamu Nani amepokea....@1wakorito 15/18 Na hapo nao wao walio lala katika kristo, wamepotea. Qur'an 43/68...SISI HAO FULL SHEREHE PAMOJA NA MANABII
@fatumamwalimu57652 жыл бұрын
Ukidanganywa na watoza ushuru wenu inatosha na usione muislam anaweza kudanganya, ili iweje? Jahannam inawasubiri nyinyi mnaojiita wakiristo msipo toka uko, wanaodanganya niwale watoza ushuru uko makanisani nasio waislam wanaokaribisha maswali, watoza ushuru wenu uweka sijui mnaita KURUSELI na ni mziki mwanzo mwisho, hivyo ndio mnapenda? Kuweka disco nakukata mauno?faida yake ni nini? Lakini mnakerwa na waislam wenye wanatumia kitabu cha MUNGU QURA'AN, napia kuna bibilia mnayosema nikitabu chenu!!
@jamilaomari24442 жыл бұрын
Andiko adhabu inakuja kwa wale wanatangaza neno la Allah?
@shabamuhidin6342 жыл бұрын
paulo ashakupoteza wewe,tumia akili vizuri toa andiko kama ukristo dini sio kuja hapa na maneno matupu ndugu
@chiefmkalikibz15032 жыл бұрын
Assalam alleykum
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Waleikum Salam warahmatullahi wabarakatu
@abdillahmbarak74182 жыл бұрын
Sheikh saidi watafuta wa pili nko na dadangu 😂😂😂
@wadimtwana72862 жыл бұрын
Maashaallah ameen
@tikicoco62832 жыл бұрын
Keep it up our Dua is white you
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp2 жыл бұрын
Amin
@barakamwita32632 жыл бұрын
Tafuteni mtu competent kama Ndacha kama mnataka hizo debate sio watu ambao awajui vizuri bible