No video

JEAN CHARLES AHOUA SKILLS AND GOALS USAJILI WA SIMBA 2024-2025

  Рет қаралды 47,871

Klik Hapa TV

Klik Hapa TV

Күн бұрын

JEAN CHARLES AHOUA SKILLS AND GOALS USAJILI WA SIMBA 2024-2025, JEAN CHARLES AHOUA CV, JEAN CHARLES AHOUA SKILLS, JEAN CHARLES AHOUA GOALS, JEAN CHARLES AHOUA HIGHLIGHTS, JEAN CHARLES AHOUA MAGOLI, MAGOLI YA JEAN CHARLES AHOUA , UWEZO WA JEAN CHARLES AHOUA ,Jean Charles Ahoua (Stella Adjame) Stats, AHOUA CHARLES SKILLS, CHARLES AHOUA SKILLS, MCHEZAJI MPYA SIMBA JEAN CHARLES AHOUA

Пікірлер: 92
@BlessingMwakasoke
@BlessingMwakasoke Ай бұрын
Jamaa n mzuri kwenye suala Zima la kuasisst ana jicho la kimidfielder sanaa tupate tu mastriker wazur jamaa Yuko poa na aina yake y uchezaj n tofaut na chama ana uchezaj kama wapakome kwa hii clip nilioona japo pia clip haitoshi kusema n Bora au laaa
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Umenena mzee
@EliasCosmas-qp6gn
@EliasCosmas-qp6gn Ай бұрын
MUNGU ampe Lais wa heshima maisha marefu na afya njema🙏❤
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Umemkubali kijana?
@Mariampaul-me7qo
@Mariampaul-me7qo Ай бұрын
Wakawaida aisee mutale na mkwala Agostini Akajepha na Valentine Nouma ndo watu wa maaana🎉🎉🎉🎉🎉
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Tusubirie mambo uwanjani
@PROPHETPCANTENA
@PROPHETPCANTENA Ай бұрын
Tayaalii
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
safi
@AlphaOmega-c2y
@AlphaOmega-c2y Ай бұрын
Anafaaa kabs huy tuwaombee munguu
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
sawa
@user-px1gd4de7k
@user-px1gd4de7k Ай бұрын
Ligi ya bongo ya kawaida Sana ni ya vilabu 3 ndio vyenye ushindani Dogo atawatia aibu mtalala ndani wiki tulutane ngao ya jamii to me Sijawahi kuangushwa na usajiri wa Cretus Magori
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Tusubirie Ligi Ianze au Siyo?
@Salum-ij6mg
@Salum-ij6mg Ай бұрын
Tulutane ndo nn
@hizzomaplan1409
@hizzomaplan1409 Ай бұрын
Unafuatilia kila mchezaj anaesajiliwa Simba dalili ya uoga
@user-nm1jh3dy9n
@user-nm1jh3dy9n Ай бұрын
Kazungukwa na Nan mzeee
@JohnJoseph-te2kv
@JohnJoseph-te2kv Ай бұрын
​@@hizzomaplan1409we tahila
@ZakariaSimon-gp1gr
@ZakariaSimon-gp1gr Ай бұрын
❤❤ nguvu Moja Kijana Wa kazi
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Tusubirie ligi ianze sasa
@AletasMbawala-si5kj
@AletasMbawala-si5kj Ай бұрын
Mtu wa maana huyu 💪🦁🙏
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
sawa sawa
@user-tn5zr5lu4r
@user-tn5zr5lu4r Ай бұрын
Msije tukana matusi ligi ikianza😅😅😅
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 Ай бұрын
Simba na vibweka vya usajli, kama kawaida kuchamba kwingi.
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Kwahiyo umegoma Kumpitisha?
@yassirkhamiss2895
@yassirkhamiss2895 Ай бұрын
Hii ni mali
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Simba wamepania Round Hii
@francykahabi6289
@francykahabi6289 Ай бұрын
Mali saana mangungu funding saan atakua kahuzikaa😂😂😂
@francykahabi6289
@francykahabi6289 Ай бұрын
Wajingaa kweli nyinyi na makombe mtaishia kuyasikia tuu kwenye bomba ety huyu ndo wanawadanganya in mbadala wa chama 😂😂😂😂,,Yaani makombe mpaka Samia atoke madarakani washenzi nyinyi
@raymondswed7358
@raymondswed7358 Ай бұрын
Kwa kweli hapa tumepigwa na kitu kizito. Ni afadhali hata na Mutale kidogo sio huyu😂😂😂😂😂
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Kwahiyo umegoma Kumpitisha?
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 Ай бұрын
Wew ni mpumbavu
@HarithAlyhamadi
@HarithAlyhamadi Ай бұрын
Mim sjaona laa jabu kwa huyu niwale wale Akina Jobe t
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Ni MVP ligi ya Ivory Coast Kumbuka
@user-yb8pk6cv7f
@user-yb8pk6cv7f Ай бұрын
Huyu mchezaji wa ndondo cup
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Ni MVP ligi ya Ivory Coast Kumbuka
@WILLIAMPETROSHIGUME
@WILLIAMPETROSHIGUME Ай бұрын
Hamna mchezaji humo tujidae kisokolojia
@omarimbega
@omarimbega Ай бұрын
Sawa mungu
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 Ай бұрын
Kusoma na kuandika hujui ndo utamjua mchezaji? Pimbi wewe
@user-tn5zr5lu4r
@user-tn5zr5lu4r Ай бұрын
Huyu na karabaka bora karabaka
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
kwanini hahaha
@HabibuMuhunzi
@HabibuMuhunzi Ай бұрын
KItu ambacho nakipenda ni bado kabwana mdogo xn
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
bado mdogo kabisa
@MohamedYahya-dd3vm
@MohamedYahya-dd3vm Ай бұрын
Normal player bora asajiliwe kinzumbi
@user-jy1wm8do8w
@user-jy1wm8do8w Ай бұрын
Hii mali ikipta kocha mzur ina fighting sprit
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Ngoja Tusubirie Ligi Ianze
@wiseproent8661
@wiseproent8661 Ай бұрын
Wa Kawaida saana
@asnahemily6321
@asnahemily6321 Ай бұрын
Sema ukweli hata kama unaumia mzee 😅😅😅😅😅😅
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Ni MVP ligi ya Ivory Coast Kumbuka
@petertv1578
@petertv1578 Ай бұрын
Ata akiwa wa kawaida wakwetu
@patrickkilongo3214
@patrickkilongo3214 Ай бұрын
Hamna mchezaji umu ,,,, huyu ligi ya apa bongo lazima afeli
@user-xx3tu3cm8g
@user-xx3tu3cm8g Ай бұрын
Sawa mganga
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Hahaha kwamba amegeuka Mganga
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx Ай бұрын
Baadae mnamtaka mnafanya nasherehe majini fc mnashida
@salummahamud355
@salummahamud355 Ай бұрын
Kama we ni utopolo tulitarajia kusema hayo😊😊
@taseleli9181
@taseleli9181 Ай бұрын
Wapiga ramli wameshaanza duuu😂😂😂
@user-lh9gi4eg1r
@user-lh9gi4eg1r Ай бұрын
Boss hapo umetudanganya hakuna mchezaji hapo
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Subiria kazi uwanjani
@salumkhamis2994
@salumkhamis2994 Ай бұрын
Apa hmn ki2
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Ni MVP ligi ya Ivory Coast Kumbuka
@seifalislam8206
@seifalislam8206 Ай бұрын
Yaccouba sogne aliechangamka
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
hahaha
@FurahaMwankina-k1f
@FurahaMwankina-k1f Ай бұрын
No skills 😂😂😂apa kazi anayo ya kutuaminisha kama anaweza ila kama hzi ndo clip zake bora hapana kwa kweli
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Kwahiyo haujampitisha?
@madenyahaya7937
@madenyahaya7937 Ай бұрын
Mtu na nusu
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
sawa sawa
@user-nm1jh3dy9n
@user-nm1jh3dy9n Ай бұрын
Soccer nyie hahahahah
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
limefanya nini
@AllyKilumbi
@AllyKilumbi Ай бұрын
Normal player
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Ni MVP ligi ya Ivory Coast Kumbuka
@eliudmbange2278
@eliudmbange2278 Ай бұрын
Dah tumepigwa
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Kwahiyo umegoma Kumpitisha?
@user-od6qy7us9e
@user-od6qy7us9e Ай бұрын
Hamna kitu apa
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Kwahiyo umegoma Kumpitisha?
@raymondswed7358
@raymondswed7358 Ай бұрын
WACHEZAJI WANAOENDANA NA KOMBE LENYEWE LA LOSERS😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Kwahiyo umegoma Kumpitisha?
@user-se9mj1sz6r
@user-se9mj1sz6r Ай бұрын
hapa naona kama tumepigwa iv
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
Kwahiyo umegoma Kumpitisha?
@i.dclassic116
@i.dclassic116 Ай бұрын
Mm simba ila humu hakuna kitu
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
@@i.dclassic116 Kwanini unaona hamna kitu
@hgki313
@hgki313 Ай бұрын
Mfuatilie akili yako itakua
@PlatPanky
@PlatPanky Ай бұрын
Kwa Nini ujitambulishe wewe Ni Simba Kwanza inaonyesha wazi sio
@user-gi7tp2mz8b
@user-gi7tp2mz8b Ай бұрын
akuna kitu apa tumepgwa
@KlikHapaTV
@KlikHapaTV Ай бұрын
@@user-gi7tp2mz8b Kwanini kaka?
@richardmlinga3764
@richardmlinga3764 Ай бұрын
kweli hamna mchezaji kabisa humu. Sio wa quality ya kuchezea simba, bora poku
@taseleli9181
@taseleli9181 Ай бұрын
​@@richardmlinga3764 kesho msibadilishe maneno
@hgki313
@hgki313 Ай бұрын
​@@richardmlinga3764hujamfuatilia ndomaan unaropoka, mchezaj bora Ivory
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 28 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 25 МЛН
LISSU AFUNGUKA SIMBA KUPEWA JINA LAKE  NA RAIS SAMIA
6:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 12 М.
Elie MPANZU, the CATALYST (skills, goals & more)
5:31
11leopards
Рет қаралды 136 М.
Power Dynamos 2-2 Simba SC | Highlights | CAFCL 16/09/2023
10:34
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 28 МЛН