Simba inahitaji striker mkali kama Rupia au Mabululu. Kinyume na hapo tutaendelea kustruggle. Tunahitaji mlinzi wa kati pia. Che Malone amechoka. Hapa ilipo Simba bila kuongeza striker na beki hatufiki nusu fainali.
@duaelly22064 күн бұрын
Unazingua kaka Simba Haina haja na streka .. inashida na wapishi tu wa nafasi
@HabibuMuhunzi2 күн бұрын
Km atutafika kwa gari tutafik na ndege ww km utaki safri kaa mbali n simba
@wapancraswapancras69554 күн бұрын
Simba kama tutamnasa huyu jamaa Simba itakuwa tishio