JEMEDARI KADI YA BACCA IFUTWE | HALALI KABISA 100% ARAJIGA AMEFUATA D'4 APEWE MAUA YAKE...

  Рет қаралды 12,789

Tanfootball Channel TV

Tanfootball Channel TV

Күн бұрын

#simbasc #cafcl #yangatv #usajilimpyayanga #yanga #yanga #yangaleo #manara #mayele #simba #ligikuu

Пікірлер: 22
@omega-gl9wt
@omega-gl9wt Күн бұрын
Arajiga alikua sawa kabisa😢😢
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 Күн бұрын
Jemedari Huwa haisemei vizuri Yanga anajulikana yupo upande upi
@piumagoha
@piumagoha Күн бұрын
Kwa hiyo hata kwenye ukweli awasee tu uwongo?
@sadih5333
@sadih5333 Күн бұрын
😅😅 yanga wamepigwa kwa guu la kushoto
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp Күн бұрын
Kadi ni sahihi halali alichokifanya bacca sio mpira
@MwajumaMsogoti
@MwajumaMsogoti Күн бұрын
Ni kadi hiyo ipo sahihi yanga wamezoea kubebwa
@AnciscoKayombo
@AnciscoKayombo Күн бұрын
Makosa ya kibinadamu,tukubali tu hivyo maana hata Simba wanapoonewa mnasema makosa ya kibinadamu refa hakuona😂😂😂😂
@geophureysamsoni5033
@geophureysamsoni5033 Күн бұрын
Reo refa kafanya kweri kuriko kubeba watuu
@mazengojohn2090
@mazengojohn2090 Күн бұрын
Sawa tunakubali
@salvatoryoscar823
@salvatoryoscar823 Күн бұрын
Pia wachezaji wa yanga hawana nidhamu wakiongozwa na kocha wao utakuta wanatoa lugha chafu, angalia AZIZI alivyokuwa analalama na kutoa lugha chafu refa akasikua na akamkima kadi ya njano, wanajiamini saana kupita kiasi. Toka ligi ianze hii ndo mechi amvayo tanfa wamecheza bila usaidizi na ndoo maana walikuwa wanajiamini na kucheza rafu
@hamisikatabi
@hamisikatabi Күн бұрын
Ukiulizwa kauli Gani chafu alioitoa na gamond ametoka kauli chafu kuwa na uelewa mpana kaka Kuna vitu ww upo mbali unasema kauli chafu je umeisikia
@SanziNzige
@SanziNzige Күн бұрын
Utopolo ni washenzi haawajui hata mmpira wanaddhani Moira NI kubebwwa kila jambo tu
@GenesisReuben-d4o
@GenesisReuben-d4o Күн бұрын
Uko sahihi kabisa ila Tanzania tuna wachambuzi wa mchongo
@salumchoma8731
@salumchoma8731 15 сағат бұрын
Furahini sana kufungwa kwa yanga na Azam ni wakati wenu huu nani ataitetea yanga wakati inawatesa kwa kuwafunga muda wote? Cc yanga tumekubali,tumefungwa lkn mnaolalamika nyie watu WA Simba ni ujinga ulioje mpk mwezi WA Tano utajulikana Kila MTU na position yake (
@AMIRIKASIM
@AMIRIKASIM Күн бұрын
Nyie ni wacha ng'ombe sio wachambuzi
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson Күн бұрын
Kuna Penati pia Azam wamenyimwa. Tunajua ni 0-2
@lugatakitula3855
@lugatakitula3855 Күн бұрын
Futa kuzaliwa wew ndo ulete mchezoni
@salvatoryoscar823
@salvatoryoscar823 Күн бұрын
Huu sio mpira ni masumbwi sasa
@JacobWaryoba
@JacobWaryoba Күн бұрын
WA Tanzania. Refaaa. Ametenda haki. Muangalie machi. Ya arsenal. Dhidi badmouth ulifanana kama. Hii ya leoo alipewa beki wa. Arsenal. Waache. Ushabiki. Mwamuzi. Ametenda haki. Yangawamezoea kucheza vibaya baka. Anacheza hovyo. Auchoo.jooobu
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu Күн бұрын
Yani kucheza wanakochezaga wachezaji wa yanga wakiwa wanashambuliwa kwa refa ambae yuko makini kunauwakika wa kila mchezowao kuwa wanapigwa penalty na kadi nyekundu inawezekana ila kwasababu ligi ya TANZANIA kaulimbiuyake ni MAKOSA YA KIBINADAMU ndokwamana huwa inakuwahivo.
@JamesSendu
@JamesSendu Күн бұрын
Wewe ujuyi kuchambuwa mbira wewe sasa uta
@salvatoryoscar823
@salvatoryoscar823 Күн бұрын
Pia wachezaji wa yanga hawana nidhamu wakiongozwa na kocha wao utakuta wanatoa lugha chafu, angalia AZIZI alivyokuwa analalama na kutoa lugha chafu refa akasikua na akamkima kadi ya njano, wanajiamini saana kupita kiasi. Toka ligi ianze hii ndo mechi amvayo tanfa wamecheza bila usaidizi na ndoo maana walikuwa wanajiamini na kucheza rafu
Wait for it 😂
00:19
ILYA BORZOV
Рет қаралды 10 МЛН
Senegal vs Mali FINAL CAF U17 Africa Nations Cup 2024 Qualifiers
Basketball Lovers💏
Рет қаралды 7 М.
Ronaldinho Gaucho Goals That SHOCKED The World
7:01
iLance7i
Рет қаралды 10 МЛН