Hizi ndo nyimbo za injili ziletazo wokovu kweli ? Za kukata mauno? Za watu kujikirimu? Za watu kuvaa kidunia? Hapa Hamna tofauti yeyote na kina Fally Ipupa Mathayo 7:21 « Si kila aniitaye Bwana ataingia katika ufalme wa Mungu. Watakaoingia ni wale tu wafanyao yale ambayo Baba yangu wa mbinguni anataka ».
@Hananja.r Жыл бұрын
Safi sana. Mungu akubariki sana na wimbo wenye ujumbe wa nguvu. Barikiwa sana.
@bembestarsedimonda21542 жыл бұрын
Wahoooo nikali sana vijana wayesu tristo 🔥👌🤝🔥🔥🔥🔥🎶🙏🙏🙏👏meseji imefika Kwa wapendwa wenzangu
@nisharichmood12322 жыл бұрын
Umetisha 🔥
@bensonkizito-gl4bs Жыл бұрын
Wimbo mtamu sana.Barikiweni ndugu
@gespodavid1182 жыл бұрын
Barikiwa sna man of God. Nilingojea san this song🔥🔥🔥🎹🎹🎹🎸🎤
@emelinaeliasi81912 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana 🙏🥰
@situmausa73282 жыл бұрын
Number one at all time my kaka Mimi James🔥🔥🔥❤️❤️❤️🙏🏼mungu apewe sifa 😇😇🙏🏼
@UpendoMbawala-cd7bz3 ай бұрын
Uko vizuri mtumishi wa MUNGU Endelea kusimama na MUNGU atakuinua zaidi
@emmaandrew32982 жыл бұрын
Bro Bro Bro never give up nakufuatilia sana sana Mungu akuinue zaidi hadi washangae...by Emma nipo mwanza tz
@chanceecilo47082 жыл бұрын
Amen kubwa kaka wimbo mzurisana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@johnmshan40172 жыл бұрын
Ameni Yesu akubariki sana mtumishi wa Mungu kazi zuli sana hongera sana
@espelyasako16252 жыл бұрын
Amen, ya leo sio ya jana, bali ni ya Bwana. Ubarikiwe sana mtumishi
@annaabwenondo34642 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka yetu, wimbo huu ni fundisho tosha
@Themwamikrowntv Жыл бұрын
Mélodie bro 💯 🇺🇸 🔥 bakakieleweke ❤ papa élégance
@masifaentertainment2 жыл бұрын
🎉🫶🏿 I can’t wait wimbo wangu ❤
@winnerbenjamin62652 жыл бұрын
Jems ya nguvu, I can’t explain my feelings about your songs. Muziki wako uko vizuri endelea ku focus. Ili ufunike na Afrika pia
@koyassa45092 жыл бұрын
Bro nakukubali sana
@KaskileamuriJeacque6 ай бұрын
Amen, ndugu jems yanguvu Jeremia
@Kizajk2 жыл бұрын
Kazi nzuri
@lilemasoka36312 жыл бұрын
I can’t wait for this blessed
@newlightmoviesproduction35987 ай бұрын
God bless you my brother this song 🎵 bless me alot 🙏 🙌.
@Teamboss2562 жыл бұрын
Umehuwa mzee🙌🙌
@rizikibyaomb Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu hakubariki sana kwa mwimbo uhu mtamu.
@MariaKungwa10 ай бұрын
Binam kweli nakuwaga nafarijika sana Ubarikiwe na mungu milele❤❤❤
@amisiswedi66252 жыл бұрын
Wow Amen 🔥!!!
@willymzazi41322 жыл бұрын
Daahhhh ndugu yangu wimbo mtamu mnoooo hongera sana
@alamusictz2 жыл бұрын
Nice Barikiwaa saaana kaka
@chansonsdeconseils35972 жыл бұрын
Ubarikiwe GrandFr 🙌🏿
@rizikiriva51522 жыл бұрын
Félicitations pour toi mon frère god bless you more 🙏🙏🙏🙏🙏🙏👌♥️
@mawazoramazani9370 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sanaaa🙏🙏🙏🙏
@musangwajordan36352 жыл бұрын
Hongera sana nduguyangu umetisha kinomanoma 💞🙏👋👋☄🔥🔥
@bembestarsedimonda21542 жыл бұрын
Kwaniaba ya bembe kapany pamoja na bembe stars Edimond inatowa comment unaweza sana dugu jems mungu hakubariki katika safari Yako nimwendo wamoto 🔥🔥🔥🎵🎵🎶🎥 powa kijana tunasubiri kitu kipya 🤝👏🔥🔥🔥🔥🤝🙏👍
@bembestarsedimonda21542 жыл бұрын
Moto mwegine tena 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤝🙏🎥🎶🎵👌
@mrrajjy2 жыл бұрын
Big J Ilike it bro fire
@d_thanks2 жыл бұрын
Esthetic 🔥🔥
@Uwiringiyeimanamurienzi123452 жыл бұрын
So amazing melody again for real may God bless 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️
@mwatumuomari37272 жыл бұрын
Amen ya dunia ya napita huu ni mda wa Bwana ubarikiwe Sana