Jenerali ULIMWENGU atoa Agalizo Nyerere kutangazwa MWENYEHERI"hakupenda Democrasia/Hakuwa Mwizi"

  Рет қаралды 19,536

Breez Online Tv

Breez Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@edwinlyimo5611
@edwinlyimo5611 Жыл бұрын
Huwa nakusikiliza sana,hujawahi kukosea,hata leo nimefurahi sana,uko vizuri Sana,ila hapa kwenye ushauri wako kwa mwanasiasa kuwa mwenye heri sijakuelewa,kwakuwa Nyerere alimtumikia Mungu, kupitiatia siasa,na umethibitisha hakufanya mabaya yoyote,alikuwa na mwaminifu na mkamilifu,hivyo ni jukumu la wanaharakati hao wanao pendekeza atangazwe mwenye heri kumpima kwa vigezo hivyo,wala sio historia,kwa maoni yangu,Wamtangaze tu kuwa mwenye heri,anastahili yeye wala sio kazi yake
@isayagilson5710
@isayagilson5710 Жыл бұрын
Kweli kabisa wafanye utafiti kama kunamwanasiasa amewahi kuwa mwenye heri maanake ninaowasikia wenye heri walijikita kufanya kazi ya mungu tu sasa Nyerere alikuwa Rais ukiwa kiongozi unaweza ukalazimika ufanye mambo ambayo hayampendezi mungu kutokana na katiba inasema nini.
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Kuna imani zingine hawajiamini wanachoamini..huwa wanajadili imani za wenzao. Wakatoliki wanajiamini sana kwa imani zao... hawajihangaishi na imani za wengine, wanajua ni wakubwa kwenye ujenzi wa hoja
@josephmoyo5617
@josephmoyo5617 Жыл бұрын
Ktk hili la Nyerere wanapoteza muda wao tu Bure.
@zachariamalley7076
@zachariamalley7076 Жыл бұрын
Mungu hufanya kazi yake kupitia kwa watu na c lazima ambao wajikwezao kuwa wenye fikara Bora kwa macho ya kiulimwengu huu, Bali wa nyenyejevu na mioyo ya haki. Binadamu asijetumia akili zake ktk jukwaa kuhukumu wengine na Imani zao.
@mshumbusimchuruza5960
@mshumbusimchuruza5960 Жыл бұрын
Kabisaa umesema ninayosema moyoni mwangu
@PhilipCharlesBukuku
@PhilipCharlesBukuku 4 ай бұрын
😮😮😮😊😊😊
@PhilipCharlesBukuku
@PhilipCharlesBukuku 4 ай бұрын
Nyerere was a benevolent Dictator .May Jehovah God Rest Him in Eternal Peace.🎉🎉🎉
@ernestkamata2555
@ernestkamata2555 Жыл бұрын
Kutangazwa mwenye heri siyo luwa ni malaika aliyeishi duniani ila ni mwanadamu kama sisi. Kwa asiye mkatoriki hawezi kujua kabisa
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 Жыл бұрын
''UKWELI UTABAKI KUWA KWELI''
@adenmwakalobo760
@adenmwakalobo760 Жыл бұрын
Ni kweli kaka Jenerali unapendeza ktk tafakuri zako nyongi. Mojawapo ktk sifa zako nyingi ni umahiri wako ktk kujifunza na kutumia lugha ikiwa ni pamoja na Kiswahili. Asalaam aleikhum si salamu yenye kumaanisha dini (uislamu) bali ni salamu yetu ktk lugha yetu ya Kiswahili, hivyo hakuna haja ya ku-appease mtu mwingine (mkristu au wa dini nyingine). Hongera na shukuran kwa ufafanuzi sahihi. Pia ahsante kwa harakati hizo zote zihusuzo kuwaamsha Watanzania juu ya masuala ya msingi yanayowahusu sana.
@simonrusigwa3024
@simonrusigwa3024 Жыл бұрын
Jenerali anapiga spana kila mtu. Safi sana
@zachariamalley7076
@zachariamalley7076 Жыл бұрын
Ajipige spana mwenyewe kwa kuwa naye alishawahi kuwa sehemu ya mfumo na hakuweza leta maboresho tija, rahisi kushutumu wengine lakini ngumu kujifanya mwenyewe, ndo tabia ya wanaharakati wengi wa aina hii. Kazi iliyobaki ni kuganga njaa au kutafuta vijisifa mitandaoni, maneno kiuanaharakati hayawezi ongeza chembe ya mchanga, tone ya maji, lazima yaandamane na matendo ya utashi wa kuyafanyia kazi kiuhalisia na wenye mamlaka. Ukosoaji wa masifa hauna tija kwetu watu wa kawaida.
@ernestkamata2555
@ernestkamata2555 Жыл бұрын
Umemaliza speach vibaya, kwani akiwa wa kwanza kunatatizo?
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Жыл бұрын
Only solution is Tanzania unity without boder voice your national Ander ccm police force rool religious leader opposition leader odinary Tanzania people you need to unit rengforce unity to get power back under brutal leadership of ccm leadership
@AUDIFANCEACHITIMBWA
@AUDIFANCEACHITIMBWA Жыл бұрын
Vipi kuhusu Mt. Paulo (Saulo)?
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri Жыл бұрын
Alirithi utawala wa kifalme.Alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza katika ufalme wa Malkia wa Uingereza.Baada ya madaraka 09.12.1962.Alianza kuondoka katika utawala wa kifalme.Alileta ujamaa na kujitegemea.Alituandaa tuende mbele kwa kujitegemea hata kimawazo.Ameondoka 1985.Tunao wajibu pia kwa maslahi yetu.Tusishindwe kujiamini.
@aloyce6583
@aloyce6583 Жыл бұрын
Ukitaka maendeleo achana na democracy
@josephmoyo5617
@josephmoyo5617 Жыл бұрын
Kanisa lijitathimini ,kwanini linalaximisha maji kupanda mlima?
@adampetermakombe5654
@adampetermakombe5654 Жыл бұрын
Huyu muzee napeda kumusikiliza tuuuu
@KirengaNdemino
@KirengaNdemino Жыл бұрын
Mhm
@PhilipCharlesBukuku
@PhilipCharlesBukuku 4 ай бұрын
Twaha Ulimwengu Phobia, Tundu Antipas Phobia, Sugu Phobia, Freeman Mbowe Phobia, J Lema Phobia, Dr Slaa Phobia😂😂😂😮😮😮
@tanzania2559
@tanzania2559 Жыл бұрын
Tuanzie hapa 26:00
@zegelibilishanga6047
@zegelibilishanga6047 Жыл бұрын
Haya mambo hayakuhusu Kutangazwa au kutotangazwa hakujadiliwi na mtu asiyejua ukatoliki nn
@lucianyenzi5206
@lucianyenzi5206 Жыл бұрын
Waachie wenye imani yao waendelee na mchakato, maana wanajua wanachofanya, maana wewe haikuhusu, kwa kuwa hujui hata vigezo wanavyotumia ili mtu awe mwenyeheri na hatimaye atangazwe mtakatifu
@dassustephen731
@dassustephen731 Жыл бұрын
Amwfhanganyikiwa huyu hajielewi
@thobiasbukali9008
@thobiasbukali9008 Жыл бұрын
Unadhani Demokorasia ni mpango wa Mungu?
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 Жыл бұрын
Hujaambiwa anatangazwa kuwa mwenye heri. Process ya uchunguzi ndiyo inaanza. Don't confuse people. You are jumping into conclusion.
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 Жыл бұрын
Jenerali are u ok, basically u a telling us Nyerere was a dictator. But now it’s worse, kila kitu ni Mama kaleye neema etc etc, it’s bad! Nyerere hakuiba, leo watu wanaingia hapo ni kujitajirisha tu, it is horrible!
@dassustephen731
@dassustephen731 Жыл бұрын
The guy echoes ludiclulous nonsense and promulgating bunch of stupendous ignorance,arrogance and stupidity
@LeonardKasambala-we6gv
@LeonardKasambala-we6gv Жыл бұрын
Mzee wangu General huwa unanidai kwa Kila tamko la hotuba zako
@didacuskasunga1856
@didacuskasunga1856 Жыл бұрын
ppp0ppp000pp
@didacuskasunga1856
@didacuskasunga1856 Жыл бұрын
pppp0000000pp0pppp
@daudimazengo7772
@daudimazengo7772 Жыл бұрын
Mhhhh mwishowe umeharibu. Kwani akianza yeye kuwa mwenye heri Kuna ubaya. Au hadi awepo Mzungu kwanza? Pia mambo ya dini tuwaachie wana dini wenyewe. Maana hata mchakato huo inaonesha huujui. Be wise for not judging on what you don't clearly know about.
@eatlawe
@eatlawe 8 ай бұрын
Hii ya kutangza mwenye heri ni utapeli wa tu wa Waroma na mila za Kirumi na siyo Biblia hiyo! Hakuna mwandamu na hasa hawo wanaobariki ushoga kujua mtu ameenda wapi! Ili ujue ujaja ujanja ni wakubwa tu au watu maarufu tu ndio wanaopewa hizo sifa za kibinadamu. Ila wasiojulikana wanaenda kwa mashetani! Hii 100% fake and heretic!
@eliasnicolaurobath6864
@eliasnicolaurobath6864 Жыл бұрын
Hakika ni ajabu mimi kama mimi nasema hakuna mtu mwema alie wahi kukubalika kwao au kwenye taifa lake ukweri ni huo angalieni stolia za mitume mjifunze hapo kwa mitume
@josephmoyo5617
@josephmoyo5617 Жыл бұрын
Alichowafanyia ,akina kambona,bibi titi Mohamed na wengine wengi niaibu. Yeye mwenyewe alisema kwao kunakivhakaHuwa anakwenda kufanya matambiko ya mizimu. Aliporuka shimo lililo na mbuzi ndani ,Kisha mashekhe wakamwambia Sasa Swain hakuwezi tena.hayo ni machache sana ,Kisha Leo mnakomaa kumefanya mwenye heri kumbe wagonjwa wa Akili wapo wengi sana ktk nchi hii Hadi wasomi nao ni wagonjwa.
@PhilipCharlesBukuku
@PhilipCharlesBukuku 4 ай бұрын
😂😂😂😢😢😢😮😮😮😅😅😅😊😊😊
@PhilipCharlesBukuku
@PhilipCharlesBukuku 4 ай бұрын
Sir George Kahama was a true son of Tanzania. R.IP Sir G. Kahama, Kandoro, etc May Jehovah God bless the United Republic of Tanzania . Kudos for 4R.
@PhilipCharlesBukuku
@PhilipCharlesBukuku 4 ай бұрын
Don't be bootlickers to the west! We should run while others walk(JKN)😊😊
@PhilipCharlesBukuku
@PhilipCharlesBukuku 4 ай бұрын
❤❤❤Tanzania!!
@MbwanaKisoro
@MbwanaKisoro Жыл бұрын
tegezi
@karimambosanga4290
@karimambosanga4290 Жыл бұрын
Ulimwengu ni dhahabu inayo na azina ktk nchi hii bahati mbaya hatambuliki
@mengikiguruwe6750
@mengikiguruwe6750 Жыл бұрын
Huyu ni mchumiatumbo tu
@joelsaganya4077
@joelsaganya4077 Жыл бұрын
Tangu ni mjue huyu mzee, mazungumzo yake yanaonyesha chuki ya dhati kwa watu anaoamini yeye sio wa upande wake, kifupi mtu huyu ni mbaguzi wa kupindukia
@josephmoyo5617
@josephmoyo5617 Жыл бұрын
Haujamwelewa vzr, Sasa hapo kaongea kipi Cha uongo? Au unapenda watu wanaosifia hata pasipo stahili?
@oswaldpancras5314
@oswaldpancras5314 Жыл бұрын
​Kuna watu wanataka akili zao tu zikubalike, bila kujali athari mbaya zinazowapata wengine, ndio maana unaona maoni ya aina hii, kwao ni kujikweza tu.....i​@@josephmoyo5617
@nashonkibayayu3776
@nashonkibayayu3776 Жыл бұрын
Umesema kitu ambacho umejichanganya mwenyewe. Wayahudi, wamevamiwa, watu 1000 wameuawa, watu zaidi ya 200 walitekwa, hakuna walio piga kelele, hakuna walio ondoa uovu huo kwa mikono Yao, hakuna walio Nina. Wengi wlishangilia, walifurahia. Leo wanajibiwa Kwa uovu walio ufanya, watu wanasimama. Wanasema hakuna haki. Happy haki Iko watu? Walilo watendewa was yahudi, ndiyo majibu ya wanao tendewa wapalesitina. Biblia inasema , Chochote apandacho mtu, ndicho atakacho vuna.
@shenjamamzingi7950
@shenjamamzingi7950 Жыл бұрын
Just keep ur Big Mouth SHUT
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
KANISANI KATOLIKI SHAUKU YA MKUTANGAZA NYERERE NIPO ST,MAANA ALIPAMBANA MNO KUUDHOFISHA UISILAM NA KULIPA KANISA GOODCHANCE!!KUMBE MASIKINI HAKUJUWA UISILAM HAWAHITAJI UMESHENARY KUENEZA,UNASAMBAA KAMA HEWA!! NA LEO HII UISLAM UNAZIDI KUKUWA NA TISHIO KWA DINI ZINGINE DUNIANI!!
@deogratiusvalentino6248
@deogratiusvalentino6248 Жыл бұрын
Una ushahidi?
@fredtarimo1738
@fredtarimo1738 Жыл бұрын
Sasa wewe unafurahia dini zingine zikitishiwa na uislam? Hii sasa ni roho mbaya.
@deogratiusvalentino6248
@deogratiusvalentino6248 Жыл бұрын
Leta ushahidi wa hoja yako, acha kuzunguka mbuyu
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 Жыл бұрын
@hamzakimaro: kauli yako ni ya kishabiki zaidi bila uhalisia. Ushahidi wa kudhoofisha uisilamu ni mavi ya juzi hayanuki. Nyerere aliondoka kwenye uongozi mwaka 1985 akaingia muisilamu mbona bado mnaendelea kulalamika kwamba uisilamu unakandamizwa? Kuchelewa kwenu kimaendeleo hakutokani na sababu iliyo nnje yenu. Huo ndio ukweli I stand to be corrected!
@fatmasherallysherally537
@fatmasherallysherally537 Жыл бұрын
Well said Hamza
Who is More Stupid? #tiktok #sigmagirl #funny
0:27
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
Какой я клей? | CLEX #shorts
0:59
CLEX
Рет қаралды 1,9 МЛН
PURE GASLIGHT: Why Ruto's Mulembe Tour has Failed!
53:21
Herman Manyora
Рет қаралды 3,2 М.
KWAYA KUTOKA KABANGA.
7:20
FPCT GALILAYA MURUSI TV
Рет қаралды 24 М.
Mahubiri ya Askofu Professor Isack Nikodemo kwenye Msiba wa Askofu Charles Katale.
6:48